Kitale agombana na Ustadh.!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 280

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 2 года назад +14

    ACHENI MCHEZO NA QURAANI
    ALLAH ATAWAPA MTIHANI HAMTASAHAU
    MNACHEKESHA WATU KUHUSU QURAANI. SHEKENI ADABU ZENU .NAMUOMBA ALLAH AWAANGAMIZE WOTE WANAOCHEZEA KITABU CHAKE

  • @zidaneommie911
    @zidaneommie911 2 года назад +9

    Allah is the great, He is the creator of universe, He is beyond to human comprehension, Mungu ni mkubwa halinganishwi na na kiumbe chochote, tuyatamke maneno yake aliyotuteremshia kwa heshima na utulivu na si kuyafanyia mzaha, Wallah ogopa siku ambayo huyu uliemfanyia mzaha dunian ndie mfalme na Hakimu wa siku ngumu ya kuhesabiwa cku ya mateso.. May Allah grant us goodness and be among those have achieved your mercy on the day of judgement

  • @vibesonvibes9189
    @vibesonvibes9189 2 года назад +10

    I'm a Tanzanian🇹🇿but to the honest, online support for the Tanzanians from Kenya🇰🇪 massively

  • @Jojonation7
    @Jojonation7 2 года назад +11

    Ostadhi usije ukatoa mimba yangu uwiiii mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohdzotv2676
    @mohdzotv2676 2 года назад +9

    Innah Lillah Wainnah Illah Rajjiun wallah sijapanda Hata kidgo kuona maeneo matakatifu ya Allah yanachezea kizemba kama hvyo

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 2 года назад +1

    Msiyaaambatanishe maneno ya muumba ktk upumbavu wenu TAFADHALI 🙏🙏

  • @mkudesimbaoriginal2027
    @mkudesimbaoriginal2027 2 года назад +19

    Yani hadi Mm mwenyewe Nimecheka wallah 🤣🤣

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 года назад +1

    Waislamu bana sasa wamechukia hata video za Comedy khaaaaaaaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @youngweezy3846
    @youngweezy3846 Год назад

    Daaah kitale kitale sasa cm kachukua saa ngap🙌🙌😁

  • @mohammedmahamud9060
    @mohammedmahamud9060 2 года назад +1

    Msifanye mzaha na maneno Ya mwenyezi munguo

  • @farajially3660
    @farajially3660 2 года назад +7

    Uwo ni mzaha na maneno ya Allah tena mnajifaharisha kwa watu muombeni Allah msamaha

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 2 года назад +18

    Innaa lillah wainnaa ilayhi raajiuun achen kufanya mzaha na quran kitale 😭😭

  • @youngweezy3846
    @youngweezy3846 Год назад +1

    Ila kitale anajuaa bhanaaaaaaaa😁😁😁😁😂😂et afande

  • @saidomari001
    @saidomari001 2 года назад +4

    Masha Allah alhamdulillah

  • @saurijafary3581
    @saurijafary3581 2 года назад +3

    Inalillah wainnailah raj hoon daaah 😭 bro japo mi ni shabiki ako umezingua sana Quran sio ya kuifanyia mazaa hivo tafadhali

  • @fatemazanzibar877
    @fatemazanzibar877 2 года назад +1

    Kitale unajua unajua tena

  • @jonathanmj9374
    @jonathanmj9374 2 года назад +1

    Kitale wee noma bro

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 2 года назад +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 maostadh wa mchongo 🤣🤣🤣🤣

  • @saidmzee8792
    @saidmzee8792 Год назад

    Mazinge
    Mnazini

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 года назад +3

    Khatarii hii eti ustadh kageuka afande..mbona mtihanii huu hahahahahaha

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 2 месяца назад

    Kitareee🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NiyogushimaAudace-jk7nv
    @NiyogushimaAudace-jk7nv Год назад

    Nakukubali kinyama aiseee

  • @rashidomary5488
    @rashidomary5488 2 года назад +17

    Haifai kichezea Quran kama hivyo ni kosa kubwa kisheria
    Tubia kwa ALLAAH

  • @RockCityTV
    @RockCityTV 2 года назад +2

    Nimependa jinsi mwamba alivyomaliza hii inatufundisha jambo moja kubwa sana kiukweli. Vipigo vya maisha havimaanishi kwamba hatuijui dini.

  • @mussamadua1079
    @mussamadua1079 2 года назад

    😂😂😂kazi safi ilammekosea kitukimoja dua huainaandaliwa mazingira maalum yakusomewa siikilamahali nyiimmesomea mbele ya sinki lachooo kitale wemuislam qur'an inakanunizausomaji siihivyo ulivyofanya ingawa unatuburudisha nakutuelimisha ilachunga mipaka nakanuni kaka

  • @YasiniJama
    @YasiniJama 4 дня назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 daaaahh!

  • @ibraahph
    @ibraahph 2 года назад +2

    Umeuwa baba kitale tambatiada abilaha habiu watabba 😂😂😂

  • @mahfoudhjuma4833
    @mahfoudhjuma4833 2 года назад +2

    Innalillah nusra ya Allah ni ushindi

  • @khubeybjandal7435
    @khubeybjandal7435 2 года назад

    Ole wenu, istihzai kweny dini jahannam inawaongoja!

  • @joyzach8820
    @joyzach8820 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 ostadhi usije ukatoa mimba yangu uwiiiii mbavu zangu

  • @SaraphinaSam-cw4gf
    @SaraphinaSam-cw4gf Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kibititi hiki uku ostadh✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 года назад +2

    Subhallah mzaha ya Qur'an?😭😭😭

  • @waziriathuman6179
    @waziriathuman6179 Год назад

    Sasa wazeee mnaakoeleeekeaa siko mnachezea maneno matukufu mcheni mola wenu ujingaaa wenu usiwafanye mnachupa mipakaà ohooo

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 2 года назад

    STANLEY Swala haifungwi ivo inakua mkono wa kulia upo juu wa keshoto

  • @kombom335
    @kombom335 2 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msenge kabisa hili kitale

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 2 года назад +13

    Ashataghafirullah😂😂😂😂🙌

  • @maalimshabanionlinetv7105
    @maalimshabanionlinetv7105 2 года назад +1

    Ombeni msamaha kwa allha mmezifanyia istizai Aya za allha

  • @KmHn-qq4gi
    @KmHn-qq4gi Год назад

    Pore sana kitare nimwizi

  • @eid2643
    @eid2643 2 года назад

    Na Dua ya waislamu hatajwi Baba mungu. Kuweni makini

  • @SamirBSam
    @SamirBSam 2 года назад +1

    🤣🤣😂😂isotope mimba yangu

  • @mwamedypwemu6117
    @mwamedypwemu6117 2 года назад

    allahu akbar kwel leo maneno ya mungu leo yamekua comedy

  • @princemeddy5514
    @princemeddy5514 2 года назад

    Aisee kitale katisha😀😀😀😀😀😀

  • @salumhamisi6401
    @salumhamisi6401 Год назад

    Yaarabi wasamehe kwakuzitumia ayazako vibaya

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 Год назад

    Mweu kweli kitalee

  • @sharomapesataiga246
    @sharomapesataiga246 2 года назад +1

    Buradha kitale na kukubali sana sana ile kindaki ndaki natamani miwe na mimi mchekeshaji mkubwa sana sana

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 2 года назад +9

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ostazi kachimba 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Cambarada
    @Cambarada 2 года назад +3

    Hiiiiii kasoma Tabatiada kweli😂😂😂

  • @TaufiqhHamisi
    @TaufiqhHamisi 10 месяцев назад +1

    maneno

  • @SAyosk98
    @SAyosk98 2 года назад +2

    Eti Bwana Afande🤣🤣

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 года назад +2

    Msihofu kutumia neno la Mungu kuwafundisha watu.Sisi Wakrìsto imetusaidia sana.Dont discourage these yòung comedians please 😭

  • @deegrotv3215
    @deegrotv3215 2 года назад +1

    Kitaleee Mtt wa Mjini hahahahhahahahahahja😭😭

  • @grandpatimi
    @grandpatimi 2 года назад +4

    Hayupo 😂😂😂😂

  • @lazalonzo4607
    @lazalonzo4607 2 года назад +1

    Kitale noma wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @raimundozacariasjonas7426
    @raimundozacariasjonas7426 2 года назад

    Eee😂😂Gwajima tennaaa

  • @imanurio485
    @imanurio485 Год назад

    😂😂kiboko

  • @joshuaeliakimumadehwa8593
    @joshuaeliakimumadehwa8593 2 года назад

    kariiiiiiiíi nakbar san blooooo

  • @zubeirmuhammad3024
    @zubeirmuhammad3024 2 года назад

    Unamkuta huyu nae Kuna wakati anajinadi na kujifaharisha kua ni muislam
    Akisahau kua waislam wakweli hua na heshima na adabu na mambo ya muumba (mungu) ikiwemo maneno yake (Qur an)
    Waislam tubadilike kwan mpaka yafanyiwe mzaha mambo ya dini ndio watu watacheka?
    Tubadilike Mimi
    Wewe
    Yeye
    Wote kwa ujumla
    Tuache kufanya mambo ya ki Iman
    Sehemu ambapo hayastahili kuwepo
    Ahsante .

  • @biommy6700
    @biommy6700 2 года назад +1

    Pwahahaaa aaah kitale wewee, uniwachagi salama cku zote

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 года назад +1

    duh umeuwa

  • @SAyosk98
    @SAyosk98 2 года назад +2

    Amina🤣🙏🙌

  • @MetrixJohn-cx5jb
    @MetrixJohn-cx5jb Год назад

    QUR -AN YA ALLAH HAICHEZEWI

  • @juliusgodfrey9820
    @juliusgodfrey9820 Год назад

    Kitale kuna movies yako natfta siioni

  • @PauljazmenElMichel
    @PauljazmenElMichel Год назад

    Kk mkubwa kitale

  • @tungozamswahilijk4656
    @tungozamswahilijk4656 2 года назад +3

    Ostaz usitoe mimba yangu

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 2 года назад

    Hap.ndugu mumeanguka....hii sio sawa ...kuafnya mzaha na Quran sio sawa

  • @jayvendee8295
    @jayvendee8295 2 года назад

    Shekhe leo kakutana nacho 😂😂😂

  • @bhokesaid3264
    @bhokesaid3264 2 года назад +3

    Mlienda kwenye Dua😆😆😆😆

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 2 года назад +2

    Jamani tuweni makini namaneno ya Allah sioyakuchezea

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 года назад +5

    Shekhe kakutana na jini linalojuwa kisomo😂😂😂😂😂

  • @ideedunia3996
    @ideedunia3996 2 года назад

    Kitale kiboko nakukubali bro 😂😂😂😊😊😊

  • @shadadiswalehe3997
    @shadadiswalehe3997 2 года назад +2

    Hawa wapumbafu wanachezea maneno ya ALLAAH

  • @SaraphinaSam-cw4gf
    @SaraphinaSam-cw4gf Год назад

    Amen🙏🙏🙏✌️✌️✌️

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 2 года назад

    Kitale wewe nomaaaaaa

  • @Qadablah
    @Qadablah 3 месяца назад

    Iptv Tanzania

  • @allykazoa8324
    @allykazoa8324 2 года назад

    Awapo Wenyewe Wametoka 🤣🤣 Kitale Bhana.

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 2 года назад

    Kitale kisha staafiru pia usirudie tena kutumia kuurani illa nimeipenda shoo yako noma unatisha ustazi kajikata fasta 😁👍pia kumbe muislam mzuri tuu dini unaijuwa sheh wangu leo mimecheka sana wewe noma broo

  • @azzanalzakwani7474
    @azzanalzakwani7474 2 года назад +37

    Musichezee quran tukufu ndiyo muongozo wa watu wote

    • @sirpurkinje2836
      @sirpurkinje2836 2 года назад +5

      Ni Muongozo wa wapagani na wachawi na waganga na siyo watu wote.

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 2 года назад

      @@sirpurkinje2836 kijana acha matusi tafadhal

    • @salomekamande2058
      @salomekamande2058 2 года назад

      @@sirpurkinje2836 Naomba rudia tena kakangu

    • @eliyalorry6513
      @eliyalorry6513 2 года назад +2

      Qurani siyo muongozo Wa watu wote.

    • @azadinzunda4327
      @azadinzunda4327 2 года назад +3

      Umekosea Sana kusema mwongozo wa watu wote sio kwamba wote wanaamini vile unavyo amini

  • @neemairadukunda2113
    @neemairadukunda2113 2 года назад +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu❤️🇧🇮🇧🇮❤️

  • @berrymshana4686
    @berrymshana4686 2 года назад +1

    Naaam😁😁😁😁😁😁

  • @TLANDA_BG_93
    @TLANDA_BG_93 2 года назад +2

    Aminaa😂

  • @abbaskaizer1010
    @abbaskaizer1010 2 года назад +5

    Mzaha kwenye Qur- aan mnatangaza vita na Allah na mtaharibikiwa .Acheni Mara moja please!!

  • @magerechales9018
    @magerechales9018 2 года назад

    😂😂😂bhagosha kaji gashii

  • @INFANI-SPORT-TV
    @INFANI-SPORT-TV 2 года назад +2

    aaaaaaAcha😍

  • @jislinmbilizi111
    @jislinmbilizi111 2 года назад +1

    Hi

  • @adammgana3633
    @adammgana3633 2 года назад

    Igizo zuri lakin msiichezee qur an kwan ni kitab kitaka tifu kuna watu walitolewa main kwa sabab ya quran ,kuna wat walipoteza meno sababu ya quran mtume mwenyewe pia mfano mzuri sasa mm na wewe tunapokuwa twaichezea inakuwa siyo vizuri
    Kwenye maisha haya hakuna mkamilifu tutubie kwake kwa Allah maadam tupo hai atapokea toba zetu

  • @jumantakebuka
    @jumantakebuka 2 года назад +1

    Allah atawalipa mnachostahiki

  • @tixboymusiciantz
    @tixboymusiciantz 2 года назад +1

    Umekosea Sana

  • @abubakarmpawenayo2318
    @abubakarmpawenayo2318 2 года назад

    Mnayacezea maneno matakatifu wasenge nyie😏
    Comedie imewashinda shikeni majembe mkalime wapuuzi wakubwa alaaaaa😏😏😏

  • @saeed694
    @saeed694 2 года назад

    Tusieke mzaha kwenye aya za quran
    Allah atusameh sote .

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +4

    Kitale Amiiiiiiiiina😂😂😂😂

  • @tungozamswahilijk4656
    @tungozamswahilijk4656 2 года назад +4

    Ndo ya kajala na majizo

  • @andrewfrancis6079
    @andrewfrancis6079 2 года назад +2

    Kudadek Broh Kitaluiii 😂😂😂😂😂

  • @ndayisengaeddy2620
    @ndayisengaeddy2620 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣kitale shida kbs

  • @MuhammadHamisi
    @MuhammadHamisi 5 месяцев назад

    wahuni wakubwa akili zenu mavi

  • @meisaryboom4378
    @meisaryboom4378 2 года назад +8

    We need to enjoy ...but to use de beautiful words of Allah as comed not good...
    Seriously we love your content.. infact carefully on this

  • @asclassic504
    @asclassic504 2 года назад +2

    🙌🙌

  • @idriskinye1190
    @idriskinye1190 2 года назад +1

    Kitare ayah hizo kumbuka hilo

  • @fatumaathuman3799
    @fatumaathuman3799 2 года назад

    Mtupori

  • @moursopher
    @moursopher 2 года назад

    Mumeenda kweny dua???

  • @uwezogroupcomedy1135
    @uwezogroupcomedy1135 2 года назад

    😄😁😁 hii kali