KAZI YOYOTE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии •

  • @razackhamis4375
    @razackhamis4375 2 года назад +4

    Sopa Sopa Sopa ni master kwa hizi nafasi za kibos

  • @elikanaiamosi5229
    @elikanaiamosi5229 2 года назад +1

    Nmecheka balaaa et nmenusurika khaaa jot we ni nomaaa

  • @salhiamkubwa1560
    @salhiamkubwa1560 2 года назад +34

    Yupo serious na miguu juu ya meza kama yeye ndio boss 😀😀

  • @shabanijuma4887
    @shabanijuma4887 2 года назад +38

    Joti ameipambania kazi,,baadae kapambana Tena kuiacha😂😂

  • @abdirizackkala4593
    @abdirizackkala4593 2 года назад +17

    Nishai mazuri kila wakati,upendo mwingi kutoka Kenya 🇰🇪

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 2 года назад +28

    Jotii jmn daah mungu akupe maisha marefu sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Cg ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 года назад +39

    Nimecheka kifala sana joti noma. Fanya kazi si unataka kazi😆😆😆🇹🇿.

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Tr7u ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @wajerahussein3458
    @wajerahussein3458 2 года назад +1

    I'm woching from Kenya 🇰🇪 isiolo

  • @athmanywaomary3204
    @athmanywaomary3204 2 года назад +59

    Mimi na like kabla hata ya kutizama video yenyewe.. maana mambo yenyewe nayaelewaga tayari...!🤣🤣🤣

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад +30

    Hahahaha kazi yoyote tu apewe🤣🤣🤣🤣ila sio kwa pozi hizo,miguu juu ya Meza ya wenyewe🤣🤣🤣hayupo seriaz huyu
    Achukue mafuta tu aanze kazi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 2 года назад +36

    "Walikuwa wananipiga body to body wale... NYOKOOO!" Hahahahaah we ujuwe una ufala mwingi sana.

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Tey ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @ummyjoel4308
    @ummyjoel4308 2 года назад +2

    Unatafta kaz unakaa kbosss ndugu yangu duh kama we ndo boss sas

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 года назад +32

    😂😂😂Asipokuchekesha Joti Bongo Sijui Ni Nani Atakuchekeaha😂😂
    Hivi ni kipaji Natural Sana
    Sema wabongo tunachukulia kawaida na mazoea ila watu kama hawa Ndani Ya miaka 100 wanatokeaga Mara moja tu😂
    Heshima yako Mkuu

    • @Kaweartsgroup
      @Kaweartsgroup 2 года назад

      NAOMBA PITIENI NA KWANGU NAFANYA SANAAA PIA
      ruclips.net/video/JdWX-12F120/видео.html

  • @annaphilipo2415
    @annaphilipo2415 2 года назад +2

    yani hakuna siku nimecha kama ya leo ise joti Mungu akupe maisha marefu broo ww noma

  • @ibrahimnjohole1684
    @ibrahimnjohole1684 2 года назад +3

    Eti hapa simu sina natumia tz kumi na moja,daaaah.....😀😀😀😀.Mtoto msenge sana huyu daah😀😀

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 2 года назад +4

    😀😀😀najuta kupiga kelele darasan

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 2 года назад +2

    Akuna kama ww nchii ih bro ww ni unajua sana✍️

  • @muslimkassim5670
    @muslimkassim5670 2 года назад +18

    Hahahaa nishai umevamia mtumbwi wa vibwengo mkuu🤣🤣🤣

    • @leahnziku2126
      @leahnziku2126 2 года назад

      😂😂😂

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Tfy ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 2 года назад +23

    My man Joti like you bro!!
    From Burundi 🇧🇮💌

  • @Boaz22
    @Boaz22 2 года назад +40

    Nimerudia kuangalia mara mbili..nimecheka sana😂😂body to body🤣🤣🤣

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 2 года назад +66

    Tunaompenda nishai gonga like zote 😂

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 2 года назад +5

    Body to body ndio mpango mzim maan joti umekaa Kam kwako miguu juu meza kwl mpo serious na job nimechk Kam mazuri🤣🤣🤣🤣😃😃

  • @mary2615
    @mary2615 2 года назад +80

    Another great episode 👍🏻💕👍🏻

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Frb ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

    • @producerema291
      @producerema291 2 года назад +4

      Great indeed

    • @Chui37
      @Chui37 2 года назад

      Hey

  • @yusuphsenkondo8030
    @yusuphsenkondo8030 2 года назад +14

    Nimecheka sana, joti alivyoambiwaa avue nguo zote body to body😂😂😂😂

    • @barakamwango
      @barakamwango 8 месяцев назад

      Waliosema kaz nikaz wakowap

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +5

    Soon tutafika milioni subscribe 🙏💥💥💯💯💯

  • @jenipheraron3566
    @jenipheraron3566 2 года назад +1

    Yan jot we mshenz sana😅 hyo kuweka miguu juu ya meza na unaomba kaz kama we ndo boss vile

  • @akachamilionare8434
    @akachamilionare8434 2 года назад +13

    Craziest comedian in Tanzania 🤣🤣🤣u always leave my ribs cracking 🤣🤣🤣

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 2 года назад

    Mustafa nakuona... Long time since Sinza Mugabe

  • @latasimon9303
    @latasimon9303 2 года назад +11

    Kuna Jamaa anachezesha tumbo hapo ni kusaula wote mpakane mafuta 😄😄😄

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 2 года назад +2

    Joti mbunifu jamani,hongera kwa kazi nzuri sana 😂😂😂

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 2 года назад +10

    🤣🤣🤣🤣🤣body to body hii episode ingeitwa aise maana nimecheka Sana mpaka mbavu zinauma aise joti ww haunampinzani ww ndo na king wa comedy hapa bongo haipingwi

  • @serafintesha9983
    @serafintesha9983 2 года назад +3

    Huyu jamaa ni mchekeshaji sana
    Ila boss anajidai sana labda angekuwa boss yule black sio kipande

    • @allyomary9258
      @allyomary9258 2 года назад

      Sopa ndio sekta yake hiyo ya uboss nashangaa kwanini hayupo cku hizi yeye na kipande

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 2 года назад

      Mh sasa unajaji kitabu kwa kava la nje

  • @yusuphmethod5566
    @yusuphmethod5566 2 года назад

    Nishai umetisha sana sana 2 mana vituko nyako nihatali sana TU tuko pamoja Niko gogola mboto 👍😄🤠

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 года назад +18

    Hahaha... mtoto joti maku sana mjue....!

  • @justinegilayo224
    @justinegilayo224 2 года назад +12

    Ila joti ni zaidi ya talent

  • @13Bki-n
    @13Bki-n 2 года назад

    Shemeji ewe... Nakujulisha tu hapa kaskazini kuna pacha wako haswaa ..yaani vitendo kabisa. Ipo siku tu "#@ msondokimkuu.....

  • @clodoalduscredo1752
    @clodoalduscredo1752 2 года назад +2

    😀😀😀😀👏👏👏👏👍👍👍duh!!! Noma sanaa..,..,......

  • @adolphdamas7606
    @adolphdamas7606 2 года назад +2

    Body 2 boby, halafu km kambale👀👀😱😱😭😭

  • @DouglasMassop
    @DouglasMassop 2 года назад +23

    You are a legend bro. Ila naskitika kuona mpak sasa hujafikisha 1M subscribers... but never give up.. keep on joti

    • @arnhemzuid8885
      @arnhemzuid8885 2 года назад

      Wengine we never miss watching him lakini hatujasubscribe.

  • @mianomalugumashinga6001
    @mianomalugumashinga6001 2 года назад

    Kwel joti ni mchekexhaji👍👍

  • @kafitiwilliam3155
    @kafitiwilliam3155 2 года назад

    Big kumbe si kuchinja tu kuku
    ata kuigiza uko safi

  • @mjungatv8172
    @mjungatv8172 2 года назад +3

    😂😂😂😂😂😂daaah Joti we umeanza kutuchekesha wengine tangia tupo na miaka 12 Afu stil mpaka leo broo hauboi kabisaaaa😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🙌

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +7

    Joti akoswa koswa kuchezewa body to body 😃😃😃🙆🙆🙌🙌

  • @nyandulamwamkili485
    @nyandulamwamkili485 2 года назад

    Mm sio boss,haya mafuta tu haya😂😂😂

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 2 года назад +5

    Almost 1 million subscribers

  • @shijathedon5453
    @shijathedon5453 2 года назад +1

    We mjinga kweli yani unataka kazi umeweka miguu juu ya meza mpumbavu wewe njoo upae samaki msasani mwisho uku sokoni 😂

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 2 года назад +46

    "Tena nimenusurika kishenzi,walikuwa wanapiga body to body!" ~Joti.

  • @casymiry6397
    @casymiry6397 2 года назад +1

    Daah nimecheka sana joti fundiiii😂😂😂😂🔥🔥🔥

  • @samuelkirita1502
    @samuelkirita1502 2 года назад

    Akitoka marehemuu king majuto anafatiaaa JOTIII

  • @patrikiantony9475
    @patrikiantony9475 2 года назад +1

    Kaka joti unajuwa sana nakubari 🙏

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 2 года назад

    Mmmh japo nilikua mbali ila we acha tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯

  • @ednapeter2002
    @ednapeter2002 2 года назад +2

    Yani unaenda kuomba kazi ukae hivo kweli🤣🤣🤣

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 2 года назад +1

    Wapiga kelele class mpooooo....je mnajuta?

  • @allymukhsin2962
    @allymukhsin2962 2 года назад

    Ety brother najuta kwanin ata nlkua napigaga kelele darasani bro ndo anagundua leo kama kazingua 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂

  • @darvie7653
    @darvie7653 2 года назад +1

    Sasa unaomba kazii halaf miguu ipo juuu😂😂😂🤌 ya mezaaa khaaa

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 года назад +18

    😂😂😂😂😂🤣🤣Body to Body 🤣🤣🤣😂😂Nyokoo

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Tyy ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @nicodemozacharia8710
    @nicodemozacharia8710 7 месяцев назад

    King of comedy in dunia nzima😅😅😅😅😅

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 2 года назад

    Najuta kupiga kelele darasani frm🇿🇲🇿🇲 much❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @barakaborn8859
    @barakaborn8859 2 года назад +24

    🤣🤣🤣😂😂 Daaaah Mamae #Joti you always made my day But why Naa you look crazy like this 🤣🤣😂 But all in all am proud of you GOD BLESS YOU

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Ttu ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 2 года назад +1

    Kitaa kigumu adi navunjia naxi...😄😃😃
    Fala huyu..eti nimekoc kad adi katk mackan x umbea

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 года назад

    Si ulitaka kazi fanya kazi kiboga👍👍👍❤❤❤😁😁😁😁😁

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 2 года назад +1

    Hapo kwenye nafasi ya ubos
    Ni sehem panafaa sopa

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 года назад +1

    mamaaaaaa wewew mkojo mrtoka subhii joti senge sana weeeeeeeeeeeee

  • @roshichocolatee8084
    @roshichocolatee8084 2 года назад

    Mimi nampenda tuu🤣🤣🤣🤣uyu mbilikimo jmn😍😍

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 2 года назад +22

    🤣🤣🤣🤣JOTI TUNAMTAKA KIBOGAAA

  • @silvermelodyvevo6082
    @silvermelodyvevo6082 2 года назад +5

    Joti unajua Sanaa broo🔥

  • @TupoComedy
    @TupoComedy Год назад +1

    Ase nmecheka sanaaaa duuuu pia nakupa haii kaka zito ap na tm nzima kiujumla

  • @waluzeomar6853
    @waluzeomar6853 2 года назад

    Uwiiiii Body to Body 💥😅🤣😅😂 kama kambale 😜😂🤣

  • @justinmbuka4286
    @justinmbuka4286 2 года назад +12

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 joti 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nimecheka pekeangu kama chizi

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 2 года назад

    Ulivyo kaa kama wee ndo mwenye nyumba

  • @idyusuph1924
    @idyusuph1924 2 года назад +1

    Hahahaa daah nmechekaa saana

  • @ommarysaidi9339
    @ommarysaidi9339 2 года назад +2

    Hii nimejifunza usipende kulazimishwa vitu

  • @rosinasra3714
    @rosinasra3714 2 года назад +9

    This man 🤣body to body Joti 😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @sarahmosessanga3195
    @sarahmosessanga3195 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣eti Kaz yyt hay bn ila uko vizur sana joti👏👏

  • @fadymoses4994
    @fadymoses4994 2 года назад +1

    Anaomba kaz miguu juu🙃🙃ya meza

  • @puzzleman7062
    @puzzleman7062 2 года назад +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅 very very funny Noma sana 🤜💓🤛

  • @mgangasamandua464
    @mgangasamandua464 2 года назад

    Nakubar kaka ila mbona imechomoa bod2bod

  • @abdoolshakuruswalehe546
    @abdoolshakuruswalehe546 2 года назад +2

    Ngoja niangalie kwanza alafu ntarudi kucheka🤒🤒

  • @abdallahpesa1456
    @abdallahpesa1456 2 года назад +2

    Joti kaona atoke nduki tuu ili atetee kijambio chake 😀

  • @twintv1857
    @twintv1857 2 года назад

    Daaah body to body noumaaaa.....Joti m2 mbad sana

  • @Carolbenny
    @Carolbenny Год назад

    Unaufala miguu juu unatafuta kazi😂😂😂

  • @musakhassim3922
    @musakhassim3922 2 года назад

    Daaah aseee nishai unakimbia kazi wakati unatafuta kazi

  • @hassanbaoma8798
    @hassanbaoma8798 2 года назад +18

    King of comedi for all time

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад +1

      Hyu ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html

  • @aproh_online4970
    @aproh_online4970 2 года назад +6

    Hii nangalia nikiwa kigoma. Big up joti😂

  • @wallasfoundation2389
    @wallasfoundation2389 2 года назад +1

    Heshima kwake bwana nishaiiii😃😃😃🙌🙌🙌

  • @pendondossy4181
    @pendondossy4181 2 года назад

    Sasa nishai kigugumiz kinatoka wapi 😂😂😂😂😂

  • @Ms.Shansha
    @Ms.Shansha Год назад +1

    You make me laugh every time 😂😂😂😂😂May God keep you #JOTI

  • @ernestelias7889
    @ernestelias7889 2 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂✊afai kuwa collable mbav sina mim uyu jamaa mpuuz sana aisee

  • @adamkingi6073
    @adamkingi6073 2 года назад +5

    walikuwa wananipiga body to body wale,.. nyooko🤣🤣🤣🤣🤣

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 2 года назад +1

    Braza najuta kwann nilipiga kelele darasani 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fanuelhotay3601
    @fanuelhotay3601 2 года назад

    😂😂😂 et nawachekeshag watot wadogo hata hawacheki

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 2 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka body to body nyokooo😃😃😃😃🙌🙌🙌🙌🙌

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 2 года назад

    🤣et najuta kwann nlipiga kelele darasan

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 2 года назад +2

    Daah asee Joti ako na ujinga pro max 😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽

  • @ballisticsound4796
    @ballisticsound4796 2 года назад +2

    Bosi bosi nani anakula iyo kazi😂

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 2 года назад

    Daaah nimecheka pk mbavu zauma 🤣🤣🤣joti we overkichaaa

  • @martinrahj8526
    @martinrahj8526 2 года назад +2

    Jamani mfumo wa body to body upo sawaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdalahsambala6667
    @abdalahsambala6667 2 года назад

    Mtu anaomba kaz amekaa kweny kochi na miguu juu y meza

  • @zackygomez1241
    @zackygomez1241 2 года назад +1

    🤣🤣😅😅joti joti nimekuita mara tatu

  • @adelinamadulilwa8176
    @adelinamadulilwa8176 2 года назад

    Nakukubal sana broo NICE