Joti kanipa elimu kubwa sana,Mwenyezi Mungu anavyokuumba ana sababu zake,Joti ni " mfupi" kwa ufupi wake na umbile lake dogo ,limemfanya kucheza "character " nyingi,sema Alhamudullah kwa kila jambo,Mwenyezi Mungu ana sababu zake.
Bora Ume uliza swali la vengu. Dah🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️Yule kaka jamani. Alikuwa. Ana ish makumbosho alikuwa jirani yetu alikuwa mchesh sana😪😭😭roho ime nuuma kweli
Yes nimenjoy saana na nimefurahi ulivyomuuliza mgonjwa anaendelwaje Nilikuwa nahamu kweli kujua nini kilimpata before mpka akawa mgonjwa for that long. Thank you Salama keep it up.
hongela Sana salamander jabari, tunakupenda Sana hususanikwenye kufanaya intv nawatu kiukweli unauwezo mkubwa, yaniunafanya intv ambayo mtuanafurahia kusikiliza Mungu akubalikisana ufanikiwe zaidi
Hii ni ya kipekee,, nilitamani kujua pia ni vipi wanakua sad and how do they handle their heartbreaks.. Celebrities wanakua hawana namna zaidi ya kuonyesha tabasamu kwa jamii but on the other hand maumivu yao hatuelewi.. Nice show Salama, unaustarabu flani wa kuuliza maswali and let other upcoming waangalie hiyo.
Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 Whatsap +255 653953900 Company: Mofaz movers Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
Dah! Nimewahi kumpata mtoto wa mtu kwa staili ya joti hivi hivi family friend then tukapiga picha Ila Sasa yeye alikuwa na simu nzuri kidogo so zikatok vizuri kwake nikamwambia anitumie basi penzi likaanzia hapo aisee nahisi penzi hili sitolisahau
Joti kanipa elimu kubwa sana,Mwenyezi Mungu anavyokuumba ana sababu zake,Joti ni " mfupi" kwa ufupi wake na umbile lake dogo ,limemfanya kucheza "character " nyingi,sema Alhamudullah kwa kila jambo,Mwenyezi Mungu ana sababu zake.
Aisee sikuwahi kuwaza Joti ametulia kwenye usahili kama hivi. Anaonekana ana nidhamu ya kazi....
Dada salama wewe ni muhimu kwenye jamii watanzania wanaoelewa na mimi nimo mungu wangu anae ishi akupe mwisho mwema in fact you're the best
Lucas Mhuvile aka *JOTI* is my all-time Comedian. *Salama* , continue to be the light that inspires others to dream 🙏🙏🙏
salama umetisha sana..joti is my favourite star in TZ
THE BEST SHOW IN TANZANIA Yah Stone Town...Salama your best presentar in Tz i like your style keep focus many things utatuletea....
Yaan Mungu alikupangia kabisa huyo mke aisee,hiyo style yakukutana nmeipenda sana 😂😂😂
Bora Ume uliza swali la vengu. Dah🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️Yule kaka jamani. Alikuwa. Ana ish makumbosho alikuwa jirani yetu alikuwa mchesh sana😪😭😭roho ime nuuma kweli
Salama kila engo anakaa ukimuweka ujaji anafiti dah watyu munakipaji mashallah nakufatilia sana salama Allah akuzidishie Amina
Joti yuko vema sana kwny kujibu maswali. But nawewe umeuliza maswali mazuri pia. So professional in my opinion
Yes nimenjoy saana na nimefurahi ulivyomuuliza mgonjwa anaendelwaje Nilikuwa nahamu kweli kujua nini kilimpata before mpka akawa mgonjwa for that long. Thank you Salama keep it up.
Mazy nmefurahi sana kuskia historia fupi ya joti, wow! Thanks mr lukas for making the world happy, na wanaotudharau sisi watu wafupi be warned meen!
Maelezo marefu...kweli na wewe, Salama, unampenda mno Joti. Asante mwa mazungumzo mazuri. Nimemjua zaidi Joti. Naomba utuletee Hakika Reuben sasa
Sister utuletee na masanja he has something we need to learn mama
Nime notice joti hataki mchezo na chakula kabisa🤗
😂😂
Salama dada kipindi kizuli tangia nianze kukujua wewe kila kukicha unabuni /mmubunifu na unacho kibuni kina kua nice big up sister
Kumbe salama kanenepa arafu naona kama kawa mpole ivi
hongela Sana salamander jabari, tunakupenda Sana hususanikwenye kufanaya intv nawatu kiukweli unauwezo mkubwa, yaniunafanya intv ambayo mtuanafurahia kusikiliza Mungu akubalikisana ufanikiwe zaidi
I watched all the parts of this show and let me say, this was very informative, educational and inspirational to me.
Naomba youtube wafute chaneli za ovyo ovyo zibaki chaneli za maana kama izi za salama,sky,
Ila mamdogo Salama nilikuwa natamani sana nijue namna walivyokutana yeye na Mpoki,halafu hukumuuliza😊
😂😂😂😂😂.. Mwambie machano akuelezeee
@@abdulhamidmachano404 🤣🤣🤣na halafu inaonekana huyu bibiye mpoki hamuelewi maana hata kwenye mkasi hakuwahi kumuita
😂😂😂 Yani ww joti comedy kabsaa mtu akikuangalia tu anaaza kucheka
Hongera sana Salama kwa kutuandalia watu wenye karia mbalimbali.
Nakuaga mvivu kufuatilia ichi kipindi lkn nilivyo muona joti 😂😂 naangalia
Same here
Me too
Kam Mimi 2😄😄
Wandamba wanapenda wali na samaki, hupenda wali sana nimekaa nao nilipokuwa morogoro mang‘ula.
Ni wangoni
Joti bonge la legend yani.unajua Sana😂😂😂.
Tido muhando... Legend
Asante sana salama Kwa kutuletea Joti na kuweza kuyajua mambo kadhaa nje ya box..
"President of comedy africa"..POCA
Hii ni ya kipekee,, nilitamani kujua pia ni vipi wanakua sad and how do they handle their heartbreaks.. Celebrities wanakua hawana namna zaidi ya kuonyesha tabasamu kwa jamii but on the other hand maumivu yao hatuelewi.. Nice show Salama, unaustarabu flani wa kuuliza maswali and let other upcoming waangalie hiyo.
Joti kwenye kula ataki mchezoo😀😀😀😀
😂😂🤣😄😌🏃
Yaani jotti namkubali sana All the way from Leeds uk Thanks Salama kwa kutuletea 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mimi pia mtu mfupi na ni fans wenu🥰🥰🥰🥰
Aiseee jamaaa hongeraa kwako mkali wetu pia ant salama kwako pongezi umetisha
Joti kama Joti. Ongera kwakipawa Mungu aenderee kukusimamia
Mmetisha Sana cjwah kuon umekopi Wala joti kukopi sehem msonge mbele
Mungu akubariki BWANA joti. You are so humble and the best ever
Salama kitale namuomba
True comedian joti nakubali
Salama naomba utuleteee Madam na Master j
Joti kanifurahisha kwenye ma PACHA... joto vipi kama umeni surprise....two in ONE
Kipindi kizuri sana.. Najikuta nakifatilia sana
Kusema kweli sijawahi angalia hii video mpaka mwisho heshima kwa sarama. Heshima kwa joti pia
Nime enjoy mno thankx sis sj
nimefurahi sana....nakuenjoy pia .Stori yake inafundisha sana ktk kufikia mafanikio
inbox
Bonge ya show.. Mwana Morogoro mwenzangu... Na Mbunge wake wa Malinyi Mndamba hahaha
Nme enjoy nakujifunza kwakweli na nampenda sana joti sister salama please fanya utuletee na KITALE jmn
Characters wote ni noma ila Nishai hatari sana 🔥🔥🔥 Big up joti
Salama untouchable great minded much love from 254
Karibuu morogoro at
Joti ni mtu sana
Na mpenda sana joti from Drc congo 🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🍾🍾
Very interesting interview. Jotii very humble nd intelligent man. Long live Aljabir.
Nime enjoy pia nifurahi kusikia habari ya vengu
Ongera kwa kujua ukubwa wa MUNGU
Ecejay tbsam limetawala nkupnda san
Marco chali feat.One the incredible & Msamiati-yeah
Gari ilikuwa chini tenga!!😀
We love you all, nice of you🙌
Kura na mahojiano haikawi poa ilitakiwa angekula kabisa hapo angebaki na soft drink au maji kisha mahojiano yanaendelea
Da!???? Uchukuaji namba hii ni mbinu ya kijeshi 😁😁🙌
Salama mmenifurahisha 😁😁😁😁nimependa leo
Usintie ubayaa
Tuletee kitale ,,salama
Nimeudhika hujam discuss nishai as a character... He's the best character
for the first time nawatch kwasabab y joti
Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
Whatsap +255 653953900
Company: Mofaz movers
Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
Best comedian in 🇹🇿
Daaah salama napenda sana kipindi chako endelea hivi hivi mi ni nambaa one fun wakoo jamani big up 🤝
Good
🤗🤗 mmenifurahisha na kuelimisha... @SalamaJabir @JotiLucas
Dah! Nimewahi kumpata mtoto wa mtu kwa staili ya joti hivi hivi family friend then tukapiga picha Ila Sasa yeye alikuwa na simu nzuri kidogo so zikatok vizuri kwake nikamwambia anitumie basi penzi likaanzia hapo aisee nahisi penzi hili sitolisahau
🔥🔥🔥🔥nakubaliii @Jotii big up Salma👏🏽
Safi sana
Jotiiiiiiiii umemaind baada ya kukuuliza yuke mwanamke ni nishai 😁😁😁😁🤣🙌
Il est très intelligent Joti Lucas. Bravo!!!!
Vraiment.
Jamani kila nikiwaangalia nacheka tu.
Joti.. Vengu. Yuko wapi kweni kitambo sana 🤦♀️🙆♀️
Nakubal sana huyu mwamba
Interview nzuri sana
Yaan salama una moyo sana Mimi ningecheka sijui ingekuwaje
Best show ...keep it coming Salama
Baba wawili huyoooo ndani ya shati la size yake kama tangazo lake
Nimeipenda hii salama
Bigg up sana salma
Tumeenjoy sana 👏👏
Joti unapoint sana hasa jinsi unavyolea watoto
Very smart, JOTI anajua sana kujibu maswali.
Joti Kuna kitu umekifungua katika maisha yangu
Ze King of Comedy#JOTI❤❤❤❤❤
Nafatilia interview zote yani nakupenda da salama🥰
Joti is the best
Sj iyo nyimbo mwishoni yanani ?
Salama safi sana
Nakubali Sana joti
Unge muuliza kuhusu Vengu @Andunje ... Tulisikia yu mgonjwa ikaisha hivyo
Well done Salama
Wapi mama Imma.
Mimi character nampenda Nishai
Hahahaha, tupo pamoja, nishai na mashati yake yale
Mkuu wa idara ya uchekeshaji
Salama endelea mama na ahsante kwa joti
Mi nampenda akiwa kiboga
Nicely