Interview bora kabisa niliyoiangalia toka mwaka uanze hakika kama kijana kuna ya kujifunza mengi maisha ya mtandao ni ya uongo mwingi sikuwahi ona kwamba idris was block to such extent kila picha yake alikua anang'aa na akitabasam
Kuna ile kauli aliyejuu mngoje chini 😩 hii wanatumia wale haters wakiamini ipo siku utakuwa kama wao😦 Hongera Idris kwa kuonyesha hata kama ukianguka unayo nafasi ya kusimama
Duuh!! Kupoteza M600 siyo mchenzo ing'ekuwa mtu mwingine ang'ekuwa ameshachanganyikiwa,Sijawahi kucomment ila umenifanya nicomment,nakupenda sana Idriss coz ni mkweli na ni mpambanaji,umenifunza kitu,kuteleza siyo kuanguka.Big up
You are the true definition of a man Idris...negative people can't be loathed for they are just hopeless,what you did is perfectly fit their negativity.Thumbs up ya Habib👍👍
I love him even more! Duh kumbe tumetendwa wengi duniani pole sana. Mimi bado zero shilingi sijaifikia but I've learned something na nitaifanyia kazi siku nami niwe huru na kidogo ntakachobakia nacho. Alhamdulillah ila mimi mshikaji simsamehe duniani mpaka akhera. Nimekubali matokeo lkn haki yangu haitapotea
This show is just the best thing. Asante Dada Salama. Kaka Sultan, much respect,keep inspiring many. Yours is a lesson many have passed through but many fail to up their game in realizing what they have lost. Keep up, na Mungu akubariki na kukufungulia kila la heri Bro. Thank you so much.
Safi sana salama na timu yako kiujumla kazi nzuri sana, wazo langu japo dogo tafuta vijana au wadada pia ambao sio mashuhuri sana ila wanajituma sana aiza wawe wametoboa ama bado muhimu wawe wanajitambua fanya nao interview naamin zitawagusa watu wengi zaid na zaid kwa kuwa wengi wetu ndo tupo apo waeleze harakati zao walipoanza walipo nini kiliwasaidia kutoboa au nini kinawakwamisha naamin kupitia wewe watakuwa wanatimiza ndoto zao kwa kuwa kuna watu wataona watavutia ata kuwekeza ndani yao ikiwa walivyo visema vitakuwa na mashiko binafsi naamin kuna watu wanapesa nyingi adi cha kufanyia hawana sasa apo ndo tutakuwa tunalisaidia taifa kiujumla kwa huo muunganyiko usijali anae hojiwa anatokea wap muhimu awe anajitambua na pia asiwe yupo nyumbani kabisa yani anangojea miujiza atoboe yani awe mpambanaji haijarishi awe level gani ahsante naomba kuwakilisha
Salama you are a genius,i envy your tenacity and creativity...been your Fan from Mkasi,Ngaz kwa Ngaz and now SALAMA NA.....keep on inspiring us and setting the pace....IDRIS God bless you Champ,this was more than an eye opener.
Idriss nakukubali sana maana uko really sana angekuwa Star mwingine asingeweza kufunguka ukweli nimejifunza kitu Kikubwa sana from u keep it up brother
Nothing surpris me anymore, dah! Bonge la ujumbe thank you Iddris nimeumezaa huu ujumbe utaishi ndani yangu all my life, Salama binti Jabiri be blessed, you’re creativity is another level
am from Burundi, welcomback Salama kiukweli nilikuwa nime miss Kipindi kama hiki umeendesha wewe, toka Mkasi Mpaka leo nilikuwa nikisubir sasa hatimaye umeskia kilio changu. ahsante kwa kurudi na Kipindi Kipya afu uka anza na Idriss rafikiyangu pia ulijuwaje???? hongera sana kwa kurudi. mda mrefu sijaona intervieuw yakueleweka na nzuri kama hii. nime miss sana wenye kuelewa kazi zao kama @Salama Jabiir
Idris, I'm glad umepitia changamoto zote hizo and you were strong through it all and never gave up cause hatujui what would have happened if you didn't.
Idris you a real man. Otherwise you could have collapsed. You have taught me a best lesspn in my life. Salama thankyou too for organising this platform
Best interview at the all time you're so genius idris sultan umekuwa Open sana Biggest Show in town congratulations Jabir Salama your so creativity Woman in Tz
One thing i learned in this Life, is that WHATEVER YOU GO THROUGH, IS MENT TO SHAPE YOU BETTER LATER! Speaking from His Experince and Mine Which kinda relate! And as they say, ITS NOT HOW YOU FALL, its HOW YOU GET UP!!!! Much Love Iddy
Honey Salama hii ya Idris nimeiona leo ndo nimemaliza baada ya kula daku. Babe Dubai summer imeanza tuombeane sahali inshaaAllah. Love u right, left and centre 😘😍😘
One among of interview Ambayo bora kwangu 2020 Tangu Umeanza ichi kipindi kiukwel imeni inspired Sana for me sina maana kwamba Zilizopita ni mbaya No ila imenigusa kwa Namna Moja au nyingne That Y, but Always you do Better appreciate madam
Interview hii imeniliza maana yamenikuta kupitia rafiki Na Mama zetu wanaona mbali ya kumjua mwema na mbaya Lakini sisi tunahisi wazazi km wanatabu au wana gubu...Lakini Alhamdulillah ALLAH Kareem
Salama asante sna this was the best n inspiring show I love Idris coz amekuwa very open so that some of us can learn something from him mpk nmepata nguvu ya kunyanyuka hapa om na kupambania my plans nimeamini kweli Mungu ni mwema. To God be the glory 🙏
Every question and clarification intelligently answered and given. Many thanks to both of you. Was being entertained and learning so much while at it. Bless♥️
A friend told me about this interview last evening, nimeitafuta leo and I have watched it three times today. Such great lessons wah Idris and Salama asanteeeeeeeni tumejifunza mengi. Idris thank you for opening up and being vulnerable!!!!
Umenifurahisha sana na hii interview. nimejifunza vitu vingi sana..!! among the interview ambazo nimeangalia. this is ranked on on top..!! new money and old money concept. thank you for sharing..!!
Nilkwahi kupost jambo flani negative sana kuhusu Idriss mwanzoni kabisa alipoanza kushiriki BBA. Nilikuwa na ujinga tu lakini baadae nilirudi into my mind na kuondoa. Nimejifunza sana kwenye hii interview lakini pia nilijifunza nisi judge watu haraka. Allah anijalie.
This guy is smarter than what I thought. Sometimes things have to happen in life for reasons, whether to break you or to rebuild you. #realityoflife kabisa
Interview bora kabisa niliyoiangalia toka mwaka uanze hakika kama kijana kuna ya kujifunza mengi maisha ya mtandao ni ya uongo mwingi sikuwahi ona kwamba idris was block to such extent kila picha yake alikua anang'aa na akitabasam
Same here sikutegemea kabisa kama idhris kapitia hivi
Anania Massi broke
Kuna ile kauli aliyejuu mngoje chini 😩 hii wanatumia wale haters wakiamini ipo siku utakuwa kama wao😦 Hongera Idris kwa kuonyesha hata kama ukianguka unayo nafasi ya kusimama
Tangu alipoondoka Ruge, Leo nimeona interview Kali tena kutoka kwa MTU mwenye uwezo wa kufikiria. This dude is genius
Mwana yuko poa sana akili kubwa sema watu wanamchukuliaga poa hii sasa ndo jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
Nani mwengine amecheka🤣akalia😪akahuzunika😔kisha akatamani interview isiishe👌🏾
Mimi, R3.... kama wewe kabisaa.
I here Sameness Brother
Me too My Friend R3
Here 😒🤣❣️
Mm Ni miongoni mwao,na nimekutatana na situation Kama hii japo Ni Tofauti kidogo.Ila nimejifunza how can go forward.
Idris unaufala wenye akili ndani yk😂😂😂 i love it!!huo ndio uanaume wa kuanguka na kusimama tn na kusonga mbele....tunajifunza kupitia nyie😍
Duuh!! Kupoteza M600 siyo mchenzo ing'ekuwa mtu mwingine ang'ekuwa ameshachanganyikiwa,Sijawahi kucomment ila umenifanya nicomment,nakupenda sana Idriss coz ni mkweli na ni mpambanaji,umenifunza kitu,kuteleza siyo kuanguka.Big up
Mm M3 tu na nilivurugwa hapa nimejifuza kitu kwa idrsi
napenda vile anaficha identity za watu hahaha these are the kind of celebrities needed in tz
He is genius this guy nilikuwa simchukuli serious but anakili sana
nmecheka baba levo angetaja majina yamtaa mzima aan
You are the true definition of a man Idris...negative people can't be loathed for they are just hopeless,what you did is perfectly fit their negativity.Thumbs up ya Habib👍👍
I like him "nothing surprises me any more"
I love him even more! Duh kumbe tumetendwa wengi duniani pole sana. Mimi bado zero shilingi sijaifikia but I've learned something na nitaifanyia kazi siku nami niwe huru na kidogo ntakachobakia nacho. Alhamdulillah ila mimi mshikaji simsamehe duniani mpaka akhera. Nimekubali matokeo lkn haki yangu haitapotea
Na hilo pia ni tatizo huwezi kufikia hatua hiyo aliyofikia Idris Kama huwezi kusamehe.
This show is just the best thing. Asante Dada Salama. Kaka Sultan, much respect,keep inspiring many. Yours is a lesson many have passed through but many fail to up their game in realizing what they have lost. Keep up, na Mungu akubariki na kukufungulia kila la heri Bro. Thank you so much.
Safi sana salama na timu yako kiujumla kazi nzuri sana, wazo langu japo dogo tafuta vijana au wadada pia ambao sio mashuhuri sana ila wanajituma sana aiza wawe wametoboa ama bado muhimu wawe wanajitambua fanya nao interview naamin zitawagusa watu wengi zaid na zaid kwa kuwa wengi wetu ndo tupo apo waeleze harakati zao walipoanza walipo nini kiliwasaidia kutoboa au nini kinawakwamisha naamin kupitia wewe watakuwa wanatimiza ndoto zao kwa kuwa kuna watu wataona watavutia ata kuwekeza ndani yao ikiwa walivyo visema vitakuwa na mashiko binafsi naamin kuna watu wanapesa nyingi adi cha kufanyia hawana sasa apo ndo tutakuwa tunalisaidia taifa kiujumla kwa huo muunganyiko usijali anae hojiwa anatokea wap muhimu awe anajitambua na pia asiwe yupo nyumbani kabisa yani anangojea miujiza atoboe yani awe mpambanaji haijarishi awe level gani ahsante naomba kuwakilisha
Point nzito sana hii ndugu.
Salama you are a genius,i envy your tenacity and creativity...been your Fan from Mkasi,Ngaz kwa Ngaz and now SALAMA NA.....keep on inspiring us and setting the pace....IDRIS God bless you Champ,this was more than an eye opener.
I was looking for a comment that resonated with my thinking😊😊😊
she is
I love the show inachekesha, inaumiza na inafundisha
huruma luvanda fact
kwa kweli
Dah inafundisha sanaa
Huruma Luvanda, nahisi kama wewe kabisa nami kama mzazi, nahisi machozi yananitoka kabisaaaa.
Idris is underrated mnooo... he is somthing vijana wanahitaji sana
He’s not underrated
Idriss nakukubali sana maana uko really sana angekuwa Star mwingine asingeweza kufunguka ukweli nimejifunza kitu Kikubwa sana from u keep it up brother
Nothing surpris me anymore, dah! Bonge la ujumbe thank you Iddris nimeumezaa huu ujumbe utaishi ndani yangu all my life, Salama binti Jabiri be blessed, you’re creativity is another level
Idris kwangu ni definition ya mwanaume.. Hukati tamaa unainuka haijalishi mara ngapi umeanguka 👍👍👍
I have been waiting for this sure.....so exited from Spain Madrid nakukubali Salama.
Kipindi kizuri,Shangazi(salama) u r the best...
nimejifunza kitu kupitia safari ya Idris Sultan
Huyu jamaa ni wale wanasemaga...well spoken! Ana kipaji cha kuzungumza
am from Burundi, welcomback Salama kiukweli nilikuwa nime miss Kipindi kama hiki umeendesha wewe, toka Mkasi Mpaka leo nilikuwa nikisubir sasa hatimaye umeskia kilio changu. ahsante kwa kurudi na Kipindi Kipya afu uka anza na Idriss rafikiyangu pia ulijuwaje????
hongera sana kwa kurudi. mda mrefu sijaona intervieuw yakueleweka na nzuri kama hii. nime miss sana wenye kuelewa kazi zao kama @Salama Jabiir
😂😂😂😂salama am sure you have really enjoyed interviewing idris,..he is 😂
Idriss nimejifunza mengi sana kwako, salama asante kwa kutuletea huyu binaadam😍😘
I wish the interview could be more longer😭😭😭 so funny n touching at the same time Idris is just extra❤️
Idris, I'm glad umepitia changamoto zote hizo and you were strong through it all and never gave up cause hatujui what would have happened if you didn't.
zitty Andikabac kiswahili nielewe comment yako inaonesha nzuri
@@veronicadaniel1122 mbona kaandika kiingleza chepesi sana
Idris you a real man. Otherwise you could have collapsed. You have taught me a best lesspn in my life.
Salama thankyou too for organising this platform
Natamani kila kijanga angeangalia hii interview ! Ina mafunzo makubwa sana!
tc really teaching something tc so touching...and I learned alot due to my situation right now...you made it idris...thank you salama for this tc 🔥🔥🔥
Same to me amenipa kitu kipya aisee, cjajutia kumsikiliza
Sikuwah kujua Kama Idris uko na IQ kubwa hivi....kuanzia leo nimekupa salute...
Jamani mbona haifunguki jamani au kwavile mnajua Idris nampendasana
Best interview at the all time you're so genius idris sultan umekuwa Open sana Biggest Show in town congratulations Jabir Salama your so creativity Woman in Tz
Hollywood Star residing in Tanzania
Kwenye kipengele cha mama nimefeel kabisa yan Kama vile naona 😭😭
Ahsante sana Dada salama for inspiring us through your show, best show ever, Idris anaroho nyeupe sana ndomaana Mungu anamfungulia milango.
One thing i learned in this Life, is that WHATEVER YOU GO THROUGH, IS MENT TO SHAPE YOU BETTER LATER! Speaking from His Experince and Mine Which kinda relate!
And as they say, ITS NOT HOW YOU FALL, its HOW YOU GET UP!!!!
Much Love Iddy
sure
Nawakubali sana harakati za vijana ambao wanafanya kazi ili waishi vile wanavyo dream kuishi salute to bro idris
jamaa ni muwaazi na anauwezo mkubwa wa kufikili big up broo
This interview is breathtaking... It's a full package,🙌🙌
Na your profile pic is full package😍😘
Haha thank you
Ndo msanii pekee Tz namkubal nlikuw naisubir sana hii interview thanx salam kutuletea huyu m2
Mshana the blacksmith Mm pia
Salama this interview🔥 Idris sina neno lenye uzito ninaloweza sema but🙌🏿
I agree 🙌🙌🙌🙌
Honey Salama hii ya Idris nimeiona leo ndo nimemaliza baada ya kula daku. Babe Dubai summer imeanza tuombeane sahali inshaaAllah. Love u right, left and centre 😘😍😘
fact ya kwamba salama umevaa saa ya casio ya less than 50k imenihusu sana kimaisha♥️watchin this for the second time btw
Atlist bru, sijawai kukubali ila kutokea hii interview, kama umeongea ukwel,
I salute u,
U add urself a new fun.
Mostly u have inspired me.
Big up sana salama nimejifunza mengi kwa idrissa
Dah! Safi sana. Nakuombea kwa Allah kheir nyingi ziwe juu yako na ufanikiwe zaidi Idris. Stay blessed
Hela ikipotea inaweza kuja, Kupanda na kushuka ni jambo la kawaida inuka jikungute songa mbele. Jamaa katoa message moja kubwa mno mno.
Da Salama hongera sana nasoma mengi kupitia vipindi vyako tafadhali uje kutusahili na sie ndugu zako wa vikokotoni znz
Kunakitu kimejifunza...Big up Idris hukati tamaa ni jambo nzuri sana,pambana
Umenifunza kitu Idris japo kuwa na Mimi yameisha nikuta yariyo kukuta ila nikakaa sawa big up bro
One among of interview Ambayo bora kwangu 2020 Tangu Umeanza ichi kipindi kiukwel imeni inspired Sana for me sina maana kwamba Zilizopita ni mbaya No ila imenigusa kwa Namna Moja au nyingne That Y, but Always you do Better appreciate madam
Interview hii imeniliza maana yamenikuta kupitia rafiki Na Mama zetu wanaona mbali ya kumjua mwema na mbaya Lakini sisi tunahisi wazazi km wanatabu au wana gubu...Lakini Alhamdulillah ALLAH Kareem
Ndugu yangu acha tu
I have been waiting for this...so excited
Idris umenichekesha, shukran Salama NA kwa kipindi kizuri 😃😀👍😘😍
Uko vizuri salama umebuni kitu kizuri sana keep it up sis
niliweka aram nisiikose on tv siku imerushwa... its the best show.
Nimependa Sana, Mapito ya Idris. Imenitia nguvu
Loved the interview, Salama unafanya kazi nzuri Sana'a big up . Idris endelea kupambana acha wachonge wewe endelea kupiga kasia wataelewa tu
Salama asante sna this was the best n inspiring show I love Idris coz amekuwa very open so that some of us can learn something from him mpk nmepata nguvu ya kunyanyuka hapa om na kupambania my plans nimeamini kweli Mungu ni mwema. To God be the glory 🙏
Every question and clarification intelligently answered and given.
Many thanks to both of you. Was being entertained and learning so much while at it. Bless♥️
nyimbo ya mwisho inaitwaje ni nzuri sana @yahstone town
Strong character Idris... write a book that will inspire many people
Bonge la interview Salama.👍
Safi sana!
A friend told me about this interview last evening, nimeitafuta leo and I have watched it three times today. Such great lessons wah Idris and Salama asanteeeeeeeni tumejifunza mengi. Idris thank you for opening up and being vulnerable!!!!
I never knew Idris went through all this after winning BBA well umenifunza mengi i respect you my brother love from 🇰🇪
Excellent interview.. safi sana
Umenifurahisha sana na hii interview. nimejifunza vitu vingi sana..!! among the interview ambazo nimeangalia. this is ranked on on top..!! new money and old money concept. thank you for sharing..!!
😁😁kufuani Ana malapa .....I love Idriss for really
Jah bless both of you
Incredible
Hii interview inaonyesha mausiano ya Idris na salama naisi ni wapenzi
Mdada iyo stori imesimama lakin za america majuz umepotezea michongo ya move daah lakn poa
My best interview ever .....
Somo la kutosha aisee Tnx much salama na idris
Idris u like motivation speaker
Aisee leo Salama umepatikana jamaa anaongea kiasi kwamba hata maswali huwezi kuuliza.
Talking series iko poa sana,hongera salama tumejifunza mengi
Dah nimeitafuta hii interview maana nilitegemea sana kujifunza sana aisee pia nawakubali salama na idriss
Hahaha!nimeinjoy interview!really inspiration, keep up home boy!
What a life lesson ... Pole sana
Huyu jamaa kanifundisha kitu kikubwa sana. Ana akili na za ziada fasho big up bro
the best real life interview forever👏👏👏👏
Wow this is my favorite interview 2020 unt the end
Thank you for the directive, supportive and positive interview.
Bonge moja ya interview
😂😂😂😂😂😂😂 ila idris ur so funny eti kifuan una malapa ya umoja au batabta
Nothing suprises anymore 😂
yoh @idriss broh una charisma kali sana.
and this z the best interview trully.
Shaddaaa na. Dhummaa jmni kumb idrissa qur an unaijua. 🙌🙌🙌🙌
Mariam Rashid sasa shadda na dhumma ndo kujua Qur aan
@@princesscarleadssmyle478 ame maliza juzzu 30 hukusikiya?
Hii interview nlikua naisubir ❤️ nilikua naihunt I love you Driss pole for everything
Nilkwahi kupost jambo flani negative sana kuhusu Idriss mwanzoni kabisa alipoanza kushiriki BBA. Nilikuwa na ujinga tu lakini baadae nilirudi into my mind na kuondoa. Nimejifunza sana kwenye hii interview lakini pia nilijifunza nisi judge watu haraka. Allah anijalie.
Nakupenda Salama Jabir. Huelezeki kabisa.
This guy is smarter than what I thought. Sometimes things have to happen in life for reasons, whether to break you or to rebuild you. #realityoflife kabisa
More than interview
Thanks to him Idris am in right now but. Alhamdulillah
Hii ndo Interview bora sana kwangu I🙌👏
Dada salama bonge la kipindi ever...................
Idris has made me to subscribe this Account
Something new I have learned today ✍️
i never knew you , but i came to like you now. big up bro👍👍
Nimejifunza sanaaa ,nimeumia sanaaa lakn pia nimefurahi.