IDRIS SULTAN : SIWEZI KUTOKA BILA KONDOM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 565

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 4 года назад +16

    2020 baada ya jonijoo kuihama wasafii...nipe like

  • @winniemack1150
    @winniemack1150 6 лет назад +5

    Mungu akuweke idriss Co kwa kunivunja mbavu ukuuu! Dalili hz vepe, chupi jeee?

  • @jacklinesalisi8958
    @jacklinesalisi8958 4 года назад +1

    Interview nzurii sana Idris Ni kiboko yake jonijoo maswali yko yako poa sana

  • @halimaukovizurbrooadinani911
    @halimaukovizurbrooadinani911 6 лет назад +1

    Jaman wee Idrisa wanibamba mbaya yan nataman kukuangalia tuu jins unavyo chekesha uko vizur mungu akuwek hivyohivyo usibadilike 😍😍😍

  • @ulimwengu5599
    @ulimwengu5599 7 лет назад +3

    Idriss umeua aisee.....
    Jonijooo eeh hii mwanangu ni the best ktk zote aisee!!Kha!!!!!!!!

  • @princeali8584
    @princeali8584 5 лет назад +4

    Sema daaaah! bro Idris akil ako unaifaham we mwenyewe

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 5 лет назад

    Umesahau jonijooo...kumuliza idris swali la kwenye karatasi na magpen

  • @lylyshadianzoyihaya3433
    @lylyshadianzoyihaya3433 7 лет назад

    Idriss Allah akupe maisha marefu yaani unanipa raha kabisa nikikuona tu nahisi kucheka hata kama ninanjaa

  • @Kibitiyetu1
    @Kibitiyetu1 7 лет назад +16

    Hii ndio comment ya kwana kwenye hii Show ya mkali Jonijooooooo💪💪💪💪

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 7 лет назад +43

    IDRISA HUWEPEND KUKASIRIKA WALLAH MUNGU AKUWEKE 🙏

  • @abdulmussa4954
    @abdulmussa4954 7 лет назад +1

    Braza jonijooo nakubali kazi yako Braza keep it up

  • @noberthnestory8427
    @noberthnestory8427 7 лет назад +9

    Huyo jamaa 😂😂😂 kwel n comedian nime enjoy knoma
    BigUp bro #Jonijooo

  • @qwaxwizz7674
    @qwaxwizz7674 6 лет назад

    Bro joniii nielekeze basi izo vitu nzuri uwa uapataga wap

  • @asilaalhabsi2172
    @asilaalhabsi2172 7 лет назад +3

    Idrisi sultan wewe noma kweli yani wewe mwisho bora umeongelea ma waiving maana wamezidi kuvaa kama zari

  • @mwasitiselemani3465
    @mwasitiselemani3465 4 года назад +1

    Eti Wadada wakaliiiii na mbaba mbayaaaa

  • @dennyrenny2165
    @dennyrenny2165 7 лет назад

    Ebwana eehh!! Bro Idris Sultan magumash sana yan namuelewa sana daaahh!! Kanfurahsha knoma nomaa

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 6 лет назад +2

    Idris you're so funny
    I like it man
    Joni jooo wauni siwatu wazuri
    Situna piga lock kubwa

  • @zenasalum6805
    @zenasalum6805 6 лет назад +7

    Napenda interview za jonijoo hazichoshi kabisaa

  • @youngricky8515
    @youngricky8515 7 лет назад +7

    Idris ni shidaaaaaa,
    You made my day

  • @omarchuma6135
    @omarchuma6135 7 лет назад +8

    First to comment...wahuni SI watu wazuri...we kill like nobody alse

  • @mirriamthuomirriamthuo2899
    @mirriamthuomirriamthuo2899 6 лет назад +1

    MTU mwenye furaha ever smilling

  • @kuruthumomary3533
    @kuruthumomary3533 6 лет назад +2

    Hahahaaaa Idris nakupendaga bure tu unanifurahisha Sana majibu yako😀😀

  • @muhubiriproduction69
    @muhubiriproduction69 7 лет назад +2

    idris ajui nchi ilipata uhuru mwaka gani, anakumbuka tu muungano

  • @zainabguthera7923
    @zainabguthera7923 6 лет назад +6

    Love u Idris love ur show.+974 all the way from +254

  • @selemanimsahani3919
    @selemanimsahani3919 4 года назад

    Wangapi tumekuja kutizama baada yaaba jonijooo kuamia em Efm

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +3

    Noma sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mamsiamani824
    @mamsiamani824 6 лет назад +1

    Heti " hapa ndo tupo..hapa ndio tupo...hapa tupowapi tena😂😂😂😂 I love you idriss

  • @evamday2896
    @evamday2896 7 лет назад +1

    Katika interviews zote. ...hii nime enjoy zaidi ...

  • @khamisfakihkhamis6423
    @khamisfakihkhamis6423 7 лет назад

    sijawah kuangalia hii channel alaf nikacheka ila leo nimecheka sana dah!! alhamdulillah

  • @stanslausbaron14
    @stanslausbaron14 4 года назад

    KATIKA interview na nikiwasha data kitu Cha kwanza kabisa jonijooo ndo wa kwanza

  • @derickrozy3213
    @derickrozy3213 7 лет назад +11

    One of the best show.

  • @idrisouyusuph7584
    @idrisouyusuph7584 7 лет назад

    Aiseee huyuu idris n hatariii nime injoy San shoo

  • @saidtvonlinecnd2689
    @saidtvonlinecnd2689 7 лет назад +8

    We love you jonijooo all the way from canada

  • @prinsecdayana2143
    @prinsecdayana2143 7 лет назад +4

    Haaaa idris ww noma well done John

  • @rashidsuleiman6858
    @rashidsuleiman6858 4 года назад +1

    Uyooo mjomba kumbe nae mvaaa chupi

  • @zuawinasalutekwakodjtunaom7662
    @zuawinasalutekwakodjtunaom7662 7 лет назад +12

    hongera idris nakupenda mno

    • @peninakaogo1966
      @peninakaogo1966 7 лет назад

      zuawina salute kwako dj tunaomba mwendelezo please

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 6 лет назад +2

    Ii ndio interviwe nzuri kuliko zote kwenye now you now

  • @ommy_king
    @ommy_king 7 лет назад +4

    Dah big up broo🙌 Umenifanya ni subscribe 😂😂😂 Bonge moja la idea. Keep it

  • @annenessy5187
    @annenessy5187 7 лет назад +1

    OK idriss uko xoo fun xna big ur xoo talented guy luv ur

  • @isayamgeni2014
    @isayamgeni2014 5 лет назад +12

    Nani katoka kumcheki jonijooo wasafi media..kaamua juja huku

  • @eddiemgogo5447
    @eddiemgogo5447 7 лет назад

    bonge la kpind idrisa umenfurahsha sana

  • @hatibumakame2649
    @hatibumakame2649 6 лет назад

    Jonijooo uko vizuri brother

  • @rashidsuleiman6858
    @rashidsuleiman6858 4 года назад

    Noma sna daa wauni sio watyu wazuli

  • @man-chas3606
    @man-chas3606 6 лет назад +1

    Jonijooo ndo unasomeka hivo wahuni c watu wazuri mzaz.....

  • @cpamoseschacha8281
    @cpamoseschacha8281 7 лет назад

    Idris bwana weeeeeh ....Nimecheka sana

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 6 лет назад

    wew kak ukija kunioa mahar buree, penda chana wew!!!

  • @dullahmamu2165
    @dullahmamu2165 7 лет назад

    Idris nakupendaa hahaha unaniuwaga jmn mbavu zanguu mamaee

  • @jestinangimbuchi6592
    @jestinangimbuchi6592 7 лет назад +15

    idris nimekupenda bure we nikomedian nenda kaigize

  • @manmaujuz790
    @manmaujuz790 7 лет назад

    jonijo Leo kakutana na kichaa mwenzio

  • @emmilianstanley3169
    @emmilianstanley3169 7 лет назад

    loh! jonijooo unajua kunkonshaa

  • @nassorchollo2406
    @nassorchollo2406 7 лет назад +1

    Safi sana broo nakuelewa kinoma noma

  • @khadijahatibu271
    @khadijahatibu271 5 лет назад +1

    Hahahaha uyu mtu noma yuko fun a lot

  • @sitihassan4309
    @sitihassan4309 7 лет назад +39

    hauna mpenzi lakini eti humalizi wiki bila kufanya mapenzi, what are you? PLAYER? anyways i like it u r so funny and charming good good.....

  • @mbotwambotwa8136
    @mbotwambotwa8136 5 лет назад

    Ulinifulahisha kwenye big brother

  • @shamsahussen1059
    @shamsahussen1059 6 лет назад +3

    Dah I love you idiris sicheki kusikiliza

  • @munawahamunawaha8416
    @munawahamunawaha8416 6 лет назад +6

    Dah idrisaa unanifurahishaga wallah😂eti kitu cha kwanza mapenzi kufikilia

  • @josephatmosha4260
    @josephatmosha4260 5 лет назад

    John hilo beat behind ni la nyimbo gan

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 7 лет назад +17

    Ela alafu mapnz hahaha kweli Idri unavisa bhaaan😂😂😂

  • @jacklinejonas5096
    @jacklinejonas5096 4 года назад +2

    Idris sultan........ 😍😍😍😍😍😍

  • @omarrashid2193
    @omarrashid2193 7 лет назад

    Umetisha sana sultan

  • @charlesgeorge2855
    @charlesgeorge2855 7 лет назад

    ✋👮 pamoja sana mzaz! nakukubal mnooo!!

  • @victoriapallangyo2824
    @victoriapallangyo2824 7 лет назад

    Yaan ids we Hapana nakukubali sana

  • @diweni441
    @diweni441 6 лет назад

    Nakubaliana na ww jonijooo

  • @ladykimnan902
    @ladykimnan902 6 лет назад

    idriisa we kiboko San nakupenda bureeeee

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 7 лет назад

    Leo Kaka yangu #jonijooo umeyakanyaga

  • @neemathomas2656
    @neemathomas2656 7 лет назад

    nampenda sana jonijooo

  • @keziahkamau1160
    @keziahkamau1160 6 лет назад +4

    Wapenda sana kuongea mambo ya uchi😂😂😂😂😂😂😉

  • @dianadaniel6082
    @dianadaniel6082 7 лет назад +60

    😀😀😀😀😀 ila idiris bhana eti chupi lazima nivae kichwa cha idris anakijua mwenyewe

  • @rehemahakizimana8317
    @rehemahakizimana8317 6 лет назад

    mungu akusame ww yni mbuvu sina

  • @husseinjuma8375
    @husseinjuma8375 6 лет назад

    Idriss we n hatarii mnoo

  • @sarahmagina1050
    @sarahmagina1050 5 лет назад +2

    Love jonijooo big up from oman

  • @joycekapenda8330
    @joycekapenda8330 4 года назад +1

    Wauni sio watu wazur
    Baba ako

  • @mujunvicta6379
    @mujunvicta6379 2 месяца назад

    Mpaka Leo Naitazama 2025

  • @aishajeshemtengea9884
    @aishajeshemtengea9884 6 лет назад

    Wewe mwisho Idris

  • @fabiyolatylus7025
    @fabiyolatylus7025 6 лет назад

    Nimechekaaaaa mnooooooooooooo

  • @nickykimambo4803
    @nickykimambo4803 7 лет назад +15

    Huyu Idris mwacheni akili zake anaZijua mwenyewe

  • @ericklyaruu6109
    @ericklyaruu6109 7 лет назад

    Every artist now is wairing patek bro...

  • @tausak4568
    @tausak4568 7 лет назад +35

    Kweli ww nyoko IDRIS 😂😂😂😂😂sichoki kuitizama

  • @hedayaals250
    @hedayaals250 7 лет назад +1

    Dash we kaka me napenda uende glob coz pale kunavilaza tu so kwa fan hii qubaliiiiiiiii

  • @jumasaid1206
    @jumasaid1206 7 лет назад +1

    Du idrisa!! we ni comedian wa nguv!!😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😆😅😅😅😅

  • @revocatusburra9977
    @revocatusburra9977 7 лет назад

    Kazih nzurih Mr jonijooo

  • @dullahmmbai9357
    @dullahmmbai9357 7 лет назад +1

    dah hatareeee huyoooo jamaaa

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 7 лет назад +34

    We love you jonijooooo from oman

  • @saidamasoud8659
    @saidamasoud8659 6 лет назад

    Hahaha idris umetishaaaa ww ni zaid ya fire

  • @bonnysure1082
    @bonnysure1082 7 лет назад

    Uyo jamaa anachekesha mzee bb

  • @jumahkibuta3603
    @jumahkibuta3603 6 лет назад

    wauni co wat kabisaaaaa

  • @efrasiahfrank6605
    @efrasiahfrank6605 4 года назад

    Aahhhh bwana unachemka

  • @jescaramadhani2038
    @jescaramadhani2038 7 лет назад +5

    Nakupenda Idriss your so funny

  • @joshuajoseph643
    @joshuajoseph643 6 лет назад

    Sultan mbavu zangu ase we noma sana

  • @raziajolie7774
    @raziajolie7774 6 лет назад

    Uko fresh sana idriss

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 6 лет назад

    wadad wakali na wababa wabayaaaa

  • @rakeshmedia8744
    @rakeshmedia8744 7 лет назад +1

    Was great interview hommie bless up Mzaaazi

  • @mildredamudavi3925
    @mildredamudavi3925 6 лет назад

    😀😀😀😀😀 kumtumia mama picha chafu

  • @jacquelinelaurence8806
    @jacquelinelaurence8806 6 лет назад

    Uyuu kiboko kweli

  • @smartmussadozen3535
    @smartmussadozen3535 7 лет назад +1

    Hahaha interview nzuri sana idriss yupo very funny

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 7 лет назад +1

    Nice jonijoo big up idris umetisha

  • @drakejingu9066
    @drakejingu9066 7 лет назад

    duuuuuh nakupenda buuuure

  • @loycejulius9862
    @loycejulius9862 6 лет назад +2

    😂😂😂😂😂mawivng yanayonukia nyama choma 💃💃💃

  • @hkfenias6543
    @hkfenias6543 6 лет назад

    Uyu jama idris nikichaa kweli😁

  • @ruqaiyahali8055
    @ruqaiyahali8055 7 лет назад +1

    Joninjooo big up