SHILOLE : JACKLINE WOLPER / JELA INAMUITA NAKUSAMBARATISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 698

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 6 лет назад

    Alhamdulillah unakaribia Nusra Shilole, Leo umekumbuka " KUSWALI" kabla ya kuswaliwa. Allah akuongoze katika njia iliyo nyooka

  • @aminamasawe3079
    @aminamasawe3079 6 лет назад

    Jonijoooo uko vzr lv uu... Kaz zako nzur mno ila unachelewa kutoa bhanaaa

  • @chundabaddy9140
    @chundabaddy9140 6 лет назад

    Hakiamungu bro johnijoo nakukubali kuliko mtu yyte kwenye media mungu shahid yangu.una big conffidence unaswaga kali baba ako huna mpinzan

  • @edmundndimbo9266
    @edmundndimbo9266 6 лет назад

    Hahaha shilole katsha yana nimecheka msemo wa kikulacho ki nguoni mwako dah salute kwake

  • @mohamedkulyamba6839
    @mohamedkulyamba6839 6 лет назад

    sema jonijooo cku izi unayumba tafuta wasanii wakueleweka

  • @jacobkilinda3633
    @jacobkilinda3633 5 лет назад

    namkubali sana shilole kwa lugha kimziki yuko vizuri

  • @husnathjuma6037
    @husnathjuma6037 6 лет назад

    wallah nmecheka sana mwanamke anongea huy hamez mate loh

  • @bishoodebrown9722
    @bishoodebrown9722 6 лет назад

    Rock nene mzeee baba
    Usivunjeee chaga kwa demu uliekamuhongaaaa pipi

  • @goodsingers
    @goodsingers 6 лет назад

    nakubal Jonijooo kipindi chako kwa hewa tisha sana

  • @ragebcashtown3822
    @ragebcashtown3822 6 лет назад +23

    Jonijoo una dawa sana aseee! Nampenda Shishi baby

  • @salmajohn8860
    @salmajohn8860 6 лет назад

    Hahahaaaaaaa,shishi bby ,semaaa mama uchebe,waambie ukweri haooooo.penda sn dd shishi bby

  • @rehemamshana5976
    @rehemamshana5976 6 лет назад

    Vile nakupenda shishi mungu akupe maisha marefuu nakupnda shishi

  • @milaotaxitourservicemilao9104
    @milaotaxitourservicemilao9104 6 лет назад

    Shishi noma big up mwana @jonijoo pamoja sana😁

  • @stanislastv3786
    @stanislastv3786 6 лет назад +10

    Weka likeS hapa kwajili ya DADA SHISHI BEBE 🗣🚶‍♂️🚶‍♂️👯‍♀️👯‍♀️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 лет назад +60

    Waoooooo nilikua nasubiri kwa hamu sana, nampenda sana shishi baby 😘😘nmecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpaka basi

  • @omaraula3448
    @omaraula3448 6 лет назад

    Carbohydrates ya shishi kibabe sana.... more love zuena endelea na swala tano

  • @joanondeng3686
    @joanondeng3686 6 лет назад

    shishi beibe....u r the best

  • @sharonshawiz460
    @sharonshawiz460 6 лет назад

    Shashi... nakupend bure😘😘😘😘😘😘😘

  • @joliesaida9829
    @joliesaida9829 6 лет назад

    shilole nakupenda bure iko love

  • @prayharry624
    @prayharry624 6 лет назад

    Ucvunje chaga kwa dem ambae umemuonga kipotabo😂😂😂😂😂😂@ jonijoo tupo pamoja

  • @jitivenymushy7003
    @jitivenymushy7003 5 лет назад

    Sawa mzee Jonijooo

  • @doricekimaro3597
    @doricekimaro3597 6 лет назад

    Shushi wangu,nakupenda alaf cjui nakupenda nn kichaa wangu

  • @monicapetro6493
    @monicapetro6493 6 лет назад

    Yani shilole nakupenda aisee cz upo poa sanaaaaaaa

  • @Dee-o3f
    @Dee-o3f 6 лет назад

    Wallah shishi kajielezea loooooooh mpka maswali yamekua kidogo 😍😍😍 asante jamani #jonijooo

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 6 лет назад

    Shishi blessed you dear kweli unatufurahisha uko stress free .tunakupenda

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +1

    *Shishibaby* umenichekesha sana😂😂😂 love you forever my dear.

  • @marynyabenda9647
    @marynyabenda9647 6 лет назад +10

    Much respect to Jonijooo wahuni so watu wazuri rock Nene,

    • @bettymwikali8019
      @bettymwikali8019 5 лет назад

      Wauni c watu wazuri kabisaaa,,,,babaaako wewe🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kisegeselokisegeselo3815
    @kisegeselokisegeselo3815 6 лет назад

    Tisha sana Jonijooo shishi umeniacha hoi kumbe ukiolewa kuna mashariti yake

  • @ismahanmahamoud3206
    @ismahanmahamoud3206 6 лет назад +1

    wallah Nimecheka Sana shilole ur The Best

  • @miraalema889
    @miraalema889 6 лет назад

    Kusemakwelii nampnda Sana shishi jomoni😍😍😍😍 yaani ni mucheshi alafu siyooo muongoo ila shishi punguza huo mwili😂😂

  • @samira0616
    @samira0616 6 лет назад

    😁😁😁😁uyo shishibby 😃😃😃😃na mpenda mpaka kufaaaa

  • @dorcasbambo8543
    @dorcasbambo8543 6 лет назад

    jonijoooo nakukubali.

  • @abasamtima8122
    @abasamtima8122 6 лет назад

    Nakuelewa sana shishisss.
    Nakubal.
    Nisalimie Kk uchebe Hy.

  • @omarkiraunl366
    @omarkiraunl366 5 лет назад

    Uyu dda chizi kwel nakupenda Tu maneno yko

  • @frankchina9246
    @frankchina9246 6 лет назад

    shilole unaniua na vicheko..khyaaaaa...
    if u eat ur cloth the problem_kikulacho ki nguon mwako..
    #Swali kabl hujaswaliwa..nakuelewa mama..

  • @mauakatembo8320
    @mauakatembo8320 6 лет назад

    shishi unajuaga kunipa rahaaaa wallahy nakupenda bure!

  • @reywilson1288
    @reywilson1288 6 лет назад

    Shilole bhna.Hahaaaaaaa.Leo J umekutana na Kichwa.
    Kazinzuri Jonijoo

  • @leonardflavour7533
    @leonardflavour7533 6 лет назад

    Dada yuko vizuri anasema ukweri

  • @nancymohamedy6411
    @nancymohamedy6411 6 лет назад

    Nampenda shishi na jonijoo

  • @islomutilla1474
    @islomutilla1474 6 лет назад

    Jonijooo tunakumiss bana unachelewa mno

  • @seraphinembila1199
    @seraphinembila1199 6 лет назад

    Nakupenda sanaa shishi wenomaa

  • @enockkitomarys4909
    @enockkitomarys4909 6 лет назад

    ssna mkali jonijooo wahun cyo watu wazur

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 6 лет назад

    Ahsante Sana Kaka

  • @mariamwairimu2803
    @mariamwairimu2803 6 лет назад

    Aki nakupenda tu bure shilole...

  • @tonyjulius6716
    @tonyjulius6716 5 лет назад

    Lock Nene from 254 Joni joo bro now u know umeachia sana man ama block 89 imekufunga? Derick edeleza project bro nimemaliza video zote man

  • @ilakozetuishime5395
    @ilakozetuishime5395 6 лет назад

    Nakupenda sana munyamwezi wangu shishi

  • @mudricahmed635
    @mudricahmed635 6 лет назад

    kiingereza hakija letwa na meli joni jonijoo

  • @omikiss8028
    @omikiss8028 6 лет назад

    nice
    Jonijoo
    &
    nice qtion 4 intview!!!!
    have a nice day Shishi!!!!

  • @Apo_onlineTV
    @Apo_onlineTV 6 лет назад

    dahh iki chuma asee shishi pasua kichwa love it

  • @marynyabenda9647
    @marynyabenda9647 6 лет назад +28

    Axante Jonijoo japo unachelewa xana kurusha vitu huwa nafurai xana ani bac tu brothers

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 6 лет назад

    Oiiiiiiiiiii wahuni sio watu wazuriiiiii .... ✌✌✌✌😂😂😂😂 nimekuelwa brooo

  • @catherinemajiyashamba5934
    @catherinemajiyashamba5934 6 лет назад

    Hahahahah Hahahahah shishi bhna nakpenda sana unanifurahishaga sana

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 6 лет назад +3

    Aki nakupenda Shishi😍😍😍😍😍yaani hujui ku fake uko tu real😍😍😍😍😍

  • @tatusulemani8917
    @tatusulemani8917 6 лет назад

    hahahaha hahahaha shilole unapaga raha dada love u

  • @oscarphilip2428
    @oscarphilip2428 6 лет назад

    jonijoo sio mtu mzuri

  • @annanjau5586
    @annanjau5586 6 лет назад

    Hahahah I vibe with you baby shishi... nakupenda wallah

  • @wasafi6210
    @wasafi6210 6 лет назад

    Anajiamn balaa,#cabohidrate hata hajabisha😁😁😁

  • @erneverernest4675
    @erneverernest4675 6 лет назад

    nampenda sana huyu dada. nampenda tuu

  • @emmanuelowiti8217
    @emmanuelowiti8217 4 года назад

    Safi sana shish b

  • @lukasmiyuda5868
    @lukasmiyuda5868 6 лет назад +1

    Ahaaa shilole bana unaliwa na bwana yako

  • @NewMan-ei9cf
    @NewMan-ei9cf 6 лет назад

    Ahsante shilole

  • @elizabethmelkiory9811
    @elizabethmelkiory9811 6 лет назад

    Hahahahah shishi Kichaa chako nakipenda jamn uuuuwiiii!

  • @phil_kioko_
    @phil_kioko_ 6 лет назад

    Utisha brazza. Shilole mdomo mingi.

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 лет назад

    Oii Wahuni C o wa2 wazurii piga loki nene💥♥️🇰🇪”🙌🏽. Shishibby😊 the doctor Comedian🤣😂🤣😂

  • @lemashonthomas5062
    @lemashonthomas5062 6 лет назад +1

    Much respect Mr Jonijoooo Tupo Pamoja

  • @jamespallangyo2880
    @jamespallangyo2880 4 года назад

    @jonijoo brooo nakuelewa kinona,

  • @shubaibe5802
    @shubaibe5802 6 лет назад +18

    Shishi..nakupenda..intervew zko hazijawahi nipita

  • @dorahmathias5476
    @dorahmathias5476 6 лет назад +2

    Shishi weweeee unanipa raha I lov sweetiee 😍😍😍😍

  • @nurumanyota8447
    @nurumanyota8447 6 лет назад

    Nakupenda sana shishi

  • @johnmango8835
    @johnmango8835 6 лет назад

    nakukubali sana brother

  • @sophiambwana6985
    @sophiambwana6985 6 лет назад

    Nampenda sana Shilole.😁😁

  • @miriamkilonzo1408
    @miriamkilonzo1408 6 лет назад

    Shishi walah nakupenda sana

  • @Dorcas445
    @Dorcas445 6 лет назад +2

    😂😂😂😂😂😂🤣🤣jamani mbavu zangu 😂😂😂😂😂 kusema ukweli Nakupenda sanaaa Shilole we ni mkweli.

  • @alenpeterlenibarbayduleni1307
    @alenpeterlenibarbayduleni1307 4 года назад

    Huwag nikiona hiyo mayki najua tu ni jonijooo

  • @ibrahibakar1167
    @ibrahibakar1167 2 года назад

    Nakueka sawa kidogo sister ipo ivi sala kabla hujasaliwa

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 6 лет назад

    Shilole ...Nakupendaga😂😂😂😂

  • @sophiapaul6911
    @sophiapaul6911 6 лет назад

    Waooh shishi hafek maisha penda sana

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 лет назад

    Nakupenda Shishii

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 лет назад

    u have a point shish, hapo sawa.

  • @Foodtokonly
    @Foodtokonly 6 лет назад

    I adore u da mwaj

  • @kake_alicios7620
    @kake_alicios7620 6 лет назад +28

    Nilikua nimeingojea sana hii interview. Ati wanaamsha💪👅

  • @getrudaherman2095
    @getrudaherman2095 6 лет назад

    Jamaan shishi baby I like you my sister wa om hukuhuku mnyamez

  • @rajansharky3386
    @rajansharky3386 6 лет назад

    usivunje chaga kwa demu uliye muhonga pipi hahaha Jonijooo

  • @ashalol6045
    @ashalol6045 5 лет назад

    Asante shishi msanii anae pandikiza ndoma huyo ni kichaa

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 6 лет назад

    Shishi nampenda sana kwani hata nikiwa nimekasilika nikiona anaojiwa uwa nakuwa happy sana

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 лет назад

    Kingereza noma sana

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 лет назад

    We ukiwa na mawazo ingia you tube andika shishi bby yani utacheka tu lv mmy😂😂😘

  • @glorygodwin8148
    @glorygodwin8148 6 лет назад

    Namkubali Sana shishi

  • @lucwatson6074
    @lucwatson6074 6 лет назад

    duuh!!! nimefurah kweli

  • @jfodboyyoungscalion5839
    @jfodboyyoungscalion5839 6 лет назад

    dah! shish kingereza huwez kabsaa ongea kiswahili tu na kiruga

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 лет назад

    shishi n what's bites you is in your eyes ,,, much love shishi

  • @dignachami2024
    @dignachami2024 6 лет назад

    Dada anajiamini hadi raha. Hongera mamy

  • @farhadimranmoodyimran5119
    @farhadimranmoodyimran5119 6 лет назад +9

    I like ua intro broo ....from ±974

  • @irenecosta9678
    @irenecosta9678 6 лет назад

    nampendag mno huyu dada

  • @fluransflurans7369
    @fluransflurans7369 5 лет назад

    Hahaha interview nzuri sana love u shishi love ur +966 all the way from +257

  • @TheBg09
    @TheBg09 6 лет назад

    Shiiishiii babyyy luv u baby

  • @maryannqueen6544
    @maryannqueen6544 6 лет назад

    Hahahha Jonnjoo😂😂😂 nakutegea tu!!! Wewe!!!

  • @aishamohamed9868
    @aishamohamed9868 6 лет назад

    Nakupenda shishi

  • @muktartz7314
    @muktartz7314 6 лет назад

    shishi nakupenda Sana coz sio mtu wa kujiskia#swali kabla hujaswaliwa.

  • @mtutamajala4767
    @mtutamajala4767 6 лет назад

    Lole 🔥Mapenzi tu 😍