Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 май 2020
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
    ‪RUclips Link bit.ly/RUclipsSalamaNa
    Romeo boy handsome toka Kinondoni mpaka Tandale na sasa duniani kote. Ni kijana wa town, mcheshi, mtanashati, mwenye madevu na mcha Mungu, Ila pia ni Kaka yake mwanamuziki superstar toka Tanzania ambaye ni Diamond Platnumz.
    Mimi na Romy tunafahamiana miaka mingi, na kama ulivyodhani nilianza kumjua yeye kabla sijafahamiana na Nasib, story yetu inaenda toka enzi za ‘ujana’ wetu, rafiki zake ndo rafiki zangu na tulikua tukikutana karibia kila wiki.
    Toka Platnumz awe al maaruf Romy amekua nyuma yake siku zote, toka video ya kwanza ambayo umemtuambulisha kwetu super star huyu Romy alikuwemo pia kwenye video hiyo kama mume mtarajiwa wa msichana ambaye Platnumz alikua ndo mpenzi wake. Toka siku hiyo tumekua tukiwaona pamoja kila sehemu kama kope kwenye jicho.
    Miaka ya hivi karibuni sikuacha kugundua kwamba rafiki yangu huyu kabadili tabia, siye yule nlokua namfahamu wa miaka mitano iliyopita, kuanzia muonekano, kazi, jinsi anavyojibeba na hata maongezi yake. Pia nimekua nikimuona akifanya kazi ambazo si za bora liende na badala yake ni kazi ambazo zinasimama haswa na kujieleza zenyewe. Kwa mbali nilikua naangalia na nikasema kwanini haswa nisimtafute rafiki yangu huyu ili atuambie mimi na wewe siri haswa ya mafanikio yake? Pia kuhusu maisha yake binafsi maana ameoa miaka ya hivi karibuni, kuhusu Mama yake mzazi, mahusiono yake na Mama yake Naseeb, kazi yake kama actor na Dj, kulea mtoto wa mkewe na fame kwa ujumla. Tulikutana na tukazungumza hayo na zaidi.
    Tafadhali enjoy.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown

Комментарии • 145

  • @ispajohn9243
    @ispajohn9243 4 года назад +28

    kama unamkubl RJ dj dondosha like apoo

  • @sizahlameck6479
    @sizahlameck6479 4 года назад +23

    Namkubali sana salama gonga like na salama

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 года назад +10

    Usimjuge mtu kwakumuon mtandaon mashaAllah romy umeongea point saan mung akuwekee wepes kweny maisha yak

  • @muranium7311
    @muranium7311 4 года назад +11

    this is one honest and sincere interview ,i love this show ,from kenya

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 4 года назад +31

    SALAMA IS VERY PROFESSIONAL...THE WAY SHE ASK QUESTIONS AND GIVE HER GUESTS TIMES TO EXPRESS THEMSELVES AND ALSO VERY COMPOSED👍

  • @neserianmollel5111
    @neserianmollel5111 4 года назад +12

    Yan salama Jabir mbunifu sana😍

  • @crelincharles9358
    @crelincharles9358 4 года назад +11

    Naomba this week awe riyama ally dr salama

  • @nancyandrew9273
    @nancyandrew9273 4 года назад +14

    His nice guy with pure heart ❤️ nice interview salamaa tupe part2😊😊😊😊😊💯

  • @luhamahemedi7667
    @luhamahemedi7667 4 года назад +3

    Salaam ni dada wa taifa au tuseme dhahabu ambayo iko mchangani anajua sana Her appreciate is genius

  • @nancyfrancis5251
    @nancyfrancis5251 4 года назад +7

    yap....usiku wa manane milango ya mbinguni hufungukaa

  • @nooromar6233
    @nooromar6233 4 года назад +2

    Alhamdulilah na kwa nia zenu nzuri mngu atawa hidiya yote both of you who are we to judge

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 4 года назад +3

    Mungu ukupe maisha mazuri

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 4 года назад +5

    Love Salama, missed u dear. Hope u keepn well. Eid Mubarak sweetheart. Nice interview ayouni. Keep on keeping on doing the good work. Love u hun 😘😍😘

  • @minahsamiry4459
    @minahsamiry4459 4 года назад +6

    Rommy ur voice 🔥

  • @thomaslyimo1729
    @thomaslyimo1729 4 года назад +14

    Rommy he knows how to handle interviews I was waiting for it soooo looooooong

  • @asanatimrisho1816
    @asanatimrisho1816 4 года назад +4

    Good interview rommy kaongea vizur

  • @victoruswazi3593
    @victoruswazi3593 4 года назад +4

    Interview imekuwa poah sanaa

  • @djgeorgekiller3617
    @djgeorgekiller3617 4 года назад +6

    awooteee huyu jamaa namkuli na chibu

  • @tulahelisha4563
    @tulahelisha4563 4 года назад +1

    Nmeenjoy story zenu..

  • @ibraah2754
    @ibraah2754 4 года назад +8

    Salama na rommy nipe like zangu wadau wa hii pindi hataree town