Salama Jabir: Hawezi kutoka bila kupaka make up / Mwana FA / AY / Tunagombana kila siku

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
    / lilommy
    / lilommy
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 249

  • @LeebraMusicDDTLA
    @LeebraMusicDDTLA 5 лет назад +87

    Salama Jabir, one the best media personality from Tz.

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 5 лет назад +11

    Lil Ommy jiandae kupiga mkwanja mkubwa kutoka You Tube kwa hi interview na Salama. Nimeicheki full na adverts zilikuja za hapa Dubai na nkaziachia full sio chini ya 12. Alaf jumlisha watu wasioweza kukosa interview zako na wapenzi wa Salama mama la mama mkali wa semi. Big up to the 2 of you. Nitairudia tena na tena interview 🔥🔥🔥✔✅✔

  • @yohanamapunda2654
    @yohanamapunda2654 5 лет назад +28

    Huyu salama anajua sana lugha.. yaani isimu(sayansi) ya lugha imelala hapo.. hongera sana

  • @yohanamapunda2654
    @yohanamapunda2654 5 лет назад +34

    Nilichogundua ni kuwa salama ni mtu anaejifunza sana vitu tena kwa umakini mkubwa... all the best sister

    • @abdallahmsakanjia7795
      @abdallahmsakanjia7795 5 лет назад

      Acheni kujifanya wazungu! Ongea kiswahili na lafudhi ya kiswahili.

  • @yusuf02said6
    @yusuf02said6 5 лет назад +51

    Lil Omy ni mara ya pili nakusikia unatumia neno "yakhe" kwa Salama. Ukwl ni kwmba hilo neno halitumiwi kwa mwanamke. Kwa sabab asili ya neno ni la Kiarabu..yaani "ya-akhiy" kwa maana ya "ewe Kaka". Hivyo huwez kumwita mwanamke Kaka. Ndio maana Wazenji wenyewe wanaitana yakhe wanaume kwa wanaume tu. All in all asante kwa bonge la interview.

    • @belak999
      @belak999 5 лет назад +8

      Kwan salama unajua ni jinsia gani? Kwakukosoa hamjambo
      Kaandae kipindi chako na wewe tukukosoe
      Ungekuwa mwalim mzr ungemfuata inbox yake ya insta

    • @yusuf02said6
      @yusuf02said6 5 лет назад +5

      @@belak999 Ukiwa na hoja ntakuja kuijibu ama ikiwa unataka kumshambulia mtoa hoja, basi endelea na mafuta yko ya vitumbua kichwani. 😂😂 Vichwa vyenye urojo urojo utavijua tu.

    • @kaulimbiu181
      @kaulimbiu181 5 лет назад +2

      @@belak999 salama demu kama wewe pumbav

    • @bonitojo
      @bonitojo 5 лет назад +2

      oya kama ushawahi kukukaa na salama iwe kitaa au mnamazoea Yakhee ndio huwa salamu ambayo anatumia kwa washakaji zake wote..
      kwaiyo Omary yuko sahihii kwakua wanajuana.
      na ingekua sio salama angemchana kitambo

    • @mariamsiraju5612
      @mariamsiraju5612 5 лет назад +1

      Pia yakhe sio kaka hii salam inatumika zanzibar na tofaut kabisa na akhii angalia silabi

  • @mariamsalum5794
    @mariamsalum5794 5 лет назад +21

    Tunaenjoy sana mnpowaoji watu wanaojib maswali vzr 🥰🥰akuna ile noo comment......GOOD INTERVIEW I LIKE IT🔥❤️✌️

  • @selemanishaibu8802
    @selemanishaibu8802 5 лет назад +120

    Tunaomkubali Liliommy Likes Hapa

    • @beyondchannel255
      @beyondchannel255 5 лет назад +1

      Kama Unaikubali show hii ya Kibabe Gonga likes za kushatoooo....🙉

  • @yusufumalatula9474
    @yusufumalatula9474 5 лет назад +5

    Salama jabir, vipind vyake navikubalj, her interviw iz the best one, keep it liliomy

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 5 лет назад +6

    My best woman presenter ever,Salama jabir 👍❤

  • @josephmasamaki3895
    @josephmasamaki3895 5 лет назад +1

    Nimependa jibu lako Salama, the way you are it is g
    rowth, upo tofauti na vile ulivyokuwa, upo ulivyo. Hongera.

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 5 лет назад +7

    Salama nimekupenda Bure,, yo 're the best

  • @daprince7545
    @daprince7545 5 лет назад +1

    Am late for far so good half amazing king of interviews na salama big up na apo kando yule gal congratulations . Keep rocking we support you day and night. Since I start follow your Chanel I learn many things. Blessings all 👌👌👌👌

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 лет назад +5

    I smile napomuona Salama jmn, I missed you at Bongo star search!!

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 5 лет назад +1

    Salama kanenepa MashaaAllah. Nampenda sana Salama na siku akija kunipa njenje ntafurahi na kubingiria kama yule jamaa wa HAMIDA ❤💖🧡💛💗💚💙💝💞💟

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 5 лет назад +7

    I like salama jabir the way she express her points big up sana kwake♥️

  • @chrisantafrancis2046
    @chrisantafrancis2046 5 лет назад +5

    Love u. Love ur outfts. Love how intelligent u are. Blessed

  • @shikugitati3544
    @shikugitati3544 5 лет назад +3

    King of interviews 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rizikiwaadee8790
    @rizikiwaadee8790 5 лет назад +5

    Nikimuangalia kwenye Koo naona Kama ameanza kuzeeka , but yupo smart Kama ndo anaanza kukua, big up salama

  • @salvandimbo3598
    @salvandimbo3598 5 лет назад

    I appreciate sana Salama Unafanya mambo mengi Sana Napenda kuwa hivyo ukweli nakufhatilia Sana mambo yako.

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 5 лет назад +4

    Tunazariwa tunatambara tunatembeya tunakimbiya tunakufa 👍👌👏👏👏👏👏👏

  • @machuamusic3205
    @machuamusic3205 5 лет назад +1

    Lil Ommy The baddest Entertainment Presenter in EAST AFRICA 🥉🔥🔥🔥

  • @cadrinaahmed7740
    @cadrinaahmed7740 5 лет назад +8

    Best interview ever❣️

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 5 лет назад +49

    Salama natamani urudi kwenye Mkasi.

  • @salmagungurugwa6854
    @salmagungurugwa6854 5 лет назад +7

    Salama Leo kakutana Na MVP lliomy ndani ya kumi Na nane

  • @famorsn9834
    @famorsn9834 5 лет назад +13

    dakika ya 40, usipende kushoboka na watu unaowajua majina yao shoboka pia na kwa wale usio wajua sababu kenye kila mtu dunia hii wew ndani yake kuna kitu cha kujifunza"

  • @therealmsopa
    @therealmsopa 5 лет назад +5

    Salama is so wise🔥🔥.

  • @allawithegenius2117
    @allawithegenius2117 5 лет назад +7

    Always i real appreciate The King of Interviews @Lilommy The Most Valuable Presenter #MVP🐐💥

  • @siwemasalehe192
    @siwemasalehe192 5 лет назад

    Jus be u #ilike it... Am among ,,,,sipendag kujipodoa kwakweli😍

  • @mwalimuneema
    @mwalimuneema 5 лет назад +1

    Salama, ninakupenda mama. Ninakupenda sana. Nakupenda unavyopenda kusimamia misimamo yako.

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 4 года назад

    Lilommy haya maswali kaka so creative salute

  • @mwanzandaki786
    @mwanzandaki786 5 лет назад +4

    Nimependa saaana alivyomuongelea Cheed , Respect kwako Salama interview ilikua dope sana

  • @shabanihamisi1278
    @shabanihamisi1278 5 лет назад +13

    lil ommy ni bonge la prisenter apa bongo

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 5 лет назад

    Uko vzr Salama...Mungu akubariki

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 лет назад +3

    Namkubali sana salama hanaga maisha fake ❤❤❤

  • @jeronogetrude8188
    @jeronogetrude8188 5 лет назад +25

    I love salama she keeps it 💯 from Kenya we love you lil ommy

  • @manjob4102
    @manjob4102 5 лет назад +2

    I did love her toughness back kwa star bongo search,she doesn't move about the bush,u good girl

    • @nongishishihaule5847
      @nongishishihaule5847 5 лет назад

      Mapresenta wenye akili wanaongea vya akili.block 89 wanakelele .hawajatulia da

    • @joycekaiza8325
      @joycekaiza8325 5 лет назад

      Salama amekuwa mtamu ,kabana Nywele kapenzeza Sana amebadirika Sana .pia kaonekana ndogo Sana na amekuwa na haiba ya kike .sema penda sana mtoto wa j

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 5 лет назад +3

    Uzuri wa interview ni lugha. Anayehoji anajua kiswahili na kiingereza fasaha na anayehojiwa pia nayeye anapita mulemule, kiswahili anajua kiingereza anajua halafu hakuna kuruka swali. Yote yanajibiwa. All in all Salama sio mnafiki kabisa, she is very true and open.

  • @francolesangwa7647
    @francolesangwa7647 5 лет назад +10

    Kaka tambwe tunamuomba @diamondplatnumz hapo kwenye maiki mana tume mmiss sana umpige maswali meng sana tafadhal wanaoniunga mkono like zenu

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 5 лет назад +3

    Nakupenda Salama 😍😍😍😍

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 5 лет назад +10

    Lil ommy I'm your biggest fan,
    But this introduction " they trana be you" please just avoid it it doesn't work 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪

  • @PositivityOnly001
    @PositivityOnly001 5 лет назад +1

    I miss zile interviews za salon...
    My best wishes SalamaJ

  • @collomulastborn1163
    @collomulastborn1163 5 лет назад +18

    Yulee girl😂😂😂😂 naipendaa

  • @aishamuyama3856
    @aishamuyama3856 5 лет назад

    Lil ommy kizazi sana bug up sana king of interview 😘

  • @antoinea.katembo5326
    @antoinea.katembo5326 5 лет назад

    Amenenepa na kupendeza vizuri sana sister SJ! Tumeimisi sana mkasi, Muba na yule msela mwingine wapi___ team mkasi kwa ujumla?

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 5 лет назад +14

    Huyu mama mwaka huu nimemiss mimajibu yake Bss..
    Alaf leo hii amekuwa timamu kweli eti!!

  • @princepeter2110
    @princepeter2110 5 лет назад +1

    I love you salama,, ur new image z gud

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 5 лет назад

    Kwa zama zilio pita hata akina LIL OMMY walikuwa hawa muoni salama kikazi alakini kwa sasa SALAMA hamuoni kabisaa lil ommy kikazi na akina sami sago akina jonijo na... wote hao vipindi vyao vizuri sana vipe takata kishenzi kusema kwa sasa awafunike hao ni ndoto ya mchana

  • @piliciza1627
    @piliciza1627 5 лет назад +1

    Nic intervier lil ommy am so proud

  • @henrickovicent2933
    @henrickovicent2933 5 лет назад +1

    Safi sna dda salama jabiri.

  • @vitalresgalus8460
    @vitalresgalus8460 5 лет назад

    Salama nimekuelewa sana mnyamwenzi kinyama unajua dada hake ILOVEYOU

  • @mkwenyachristopher9310
    @mkwenyachristopher9310 5 лет назад

    Sina saykwa salama,uwanamkubar daily....makini xaana ww mwanamke,Big up nyiiingi kwako

  • @mooking7913
    @mooking7913 5 лет назад

    Lil Ommy nakuelewa sana brother hongera kwako lkn nipo na ushauri kwa ajili ya kuboresha kipindi hiki hasa pale unapozungumzia comments za kwenye mitandao ya kijamii za wageni wako ingependeza ukawa na screen kubwa ambayo watu wataziona hizo comments pindi unapozihusisha kwenye maongezi.

  • @directoridd5893
    @directoridd5893 5 лет назад +2

    Dada sallama umeanza kupodoa unalegea umesuka du ugumu wote umeisha god bless yuo

  • @shabaniqasimu378
    @shabaniqasimu378 5 лет назад +29

    Hii ndio interview BLOCK 89 Makelele tuuu

    • @allyndossy8789
      @allyndossy8789 5 лет назад

      we una akil kama umegundua block 89 ni kelele

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 5 лет назад +2

      Shabani Qasimu watangazaji 70 alaf wote wanataka waonekane wanajua unategemea nin

    • @shabaniqasimu378
      @shabaniqasimu378 5 лет назад

      @@kazkaz1943 hapo sasa

    • @sterlingmemes8966
      @sterlingmemes8966 5 лет назад +3

      Block 88.9 sio interview ile ni night show..bar tender ndio interview session's

    • @haysanhassan2685
      @haysanhassan2685 5 лет назад

      Wale wanawaiga XXL tatizo hawana ubunifu wowote hasa kwenye kuuliza maswali

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 5 лет назад +8

    Izi ndo interview sasa🔥🔥🔥🙌

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 5 лет назад

    Jamani salama jabir ana kipaji ni mtangazaji mzuri alakini siyo kwa wakati huu dunia hubadilika na kwa sasa kumeonekana vipaji vingi vikubwa vya watangazaji wazuri saana kumzudi salama jabir Atafunikwa tu salama j kwa sasa alakini

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 5 лет назад

      Shindwe saitani kila mtu atakula urefu wa kamba yake.

    • @godfreypaulo8355
      @godfreypaulo8355 4 года назад

      Nafikiri umeona kipindi kimeisha anza na namna anavyo kimbiza tayari kaisha washinda watangazaji uchwara

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 5 лет назад +1

    Love you salama

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 5 лет назад +6

    Salama Jabir penda ww sana

  • @shionsaeed7338
    @shionsaeed7338 5 лет назад +1

    Salama anazungumza kiswahili Fasaha.Watangazaji chukueni Somo hapo......

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 лет назад

    Salama Jabir kawa mtu mzima!!!!!

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 5 лет назад

    Salama my no one role model

  • @Fauzia2090
    @Fauzia2090 4 года назад

    "Hauwezi kukua, kama utakua unafanya the same thing everyday". Salama.

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 5 лет назад

    Yaan show Kali ukpata genius studio raha sana

  • @nembua
    @nembua 5 лет назад +5

    Bloo umezaliwa iv au umesomea?

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 лет назад +1

    Half men Half amazing, I like that

  • @princepeter2110
    @princepeter2110 5 лет назад +2

    Yan kwenye interview diva the bawse anatakiwa ajifunze kitu kwa salama ,

  • @totoyamungu
    @totoyamungu 5 лет назад +2

    Twambweeee The MVP 💥🔥🤞

  • @nurumwangoka7424
    @nurumwangoka7424 5 лет назад +6

    nimepasikia hapo tuuuuu pa cheed🔥🔥🔥

  • @phillipianboy9069
    @phillipianboy9069 5 лет назад +1

    Salama is the best

  • @RehemaHassan-h4y
    @RehemaHassan-h4y 10 месяцев назад

    Salaam Habit. Eeeish

  • @vitalresgalus8460
    @vitalresgalus8460 5 лет назад

    Amiggo ILOVEYOU nakupenda Etti

  • @ommarnduru8253
    @ommarnduru8253 5 лет назад +9

    alie sikia ndevu kma kambale. Anijuze jmani

  • @antusamkenda1168
    @antusamkenda1168 5 лет назад +1

    salama jabir nimekumiss sana

  • @alinebakome
    @alinebakome Год назад

    Napenda kulala alafu sipndi kulala salama

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 5 лет назад +4

    Salama mtu m'good

  • @leilamdoe9178
    @leilamdoe9178 5 лет назад

    Salama nakukubali sana

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 лет назад

    Nakupenda salama nilikumic sana Madame

  • @baumbachogero9410
    @baumbachogero9410 5 лет назад +1

    Sasa Salama anakua, I mean she is now growing up!

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 5 лет назад

    Zo long time Umetembelewa Na Wageni Kutoka Mataifa Mengine(Africa/Europe/Asia/America)
    Au Umeenda Kuwatembelea Na Wakakuuliza Kuhusu
    (BONGO FLAVA) Na Uzuri Wa Muziki Huo!
    Ukataka Kuwaelezea Ubora/Uzuri Wa Bongo Flava Kwa Kuwasililizisha/Kuwaonyesha Nyimbo 3! UTAWASIKILIZISHA NGOMA GANI? 3tu! @bossholland

  • @wazirnhosharif2913
    @wazirnhosharif2913 4 года назад

    Hi, big up bi dada.

  • @stay_onit360
    @stay_onit360 5 лет назад +1

    Daah I’m in love with you wewe dada jmn Sjw hata kwann wallah

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 5 лет назад

    Saudi arabia ilisha wahi kuicharaza timu ya Taifa ya BELGIUM katika kombe la dunia na hio sio kazi rahisi

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 5 лет назад +6

    Kwann hujamuuliza kuhsu mahusiano yake ndoa kupata mtoto au ndo tom boy tu ....tunataka kujua izo vitu km mashabiki

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 лет назад +1

    Tunazeeka sasa salamaaa

  • @bakarikiondo4631
    @bakarikiondo4631 5 лет назад +3

    🔥🔥 🔥

  • @najma3268
    @najma3268 5 лет назад +1

    Salama nakupenda mno

  • @christopherjames3684
    @christopherjames3684 5 лет назад +2

    Bonge la interview lilly ommy itakumbukwa hii kama yeye na ruge mutahaba..

    • @fadhilimahonya4575
      @fadhilimahonya4575 5 лет назад +1

      Yani anduje kuna kitu unacho yan kakujalia mungu akuna present wakike Tanzania anaye kukalibia

  • @shanteldelicious2617
    @shanteldelicious2617 5 лет назад +1

    Daah I like that

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 года назад

    nakupenda bure bishost

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 5 лет назад

    😃😃😃salama kama mie sipendi kuulizwa maswali

  • @beyondchannel255
    @beyondchannel255 5 лет назад +7

    Watakaokisubiri kipindi cha SalamaNa hiyo Alihamis Kwa hamu bila kukosa Gonga likes nyingi hapa...

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 5 лет назад

    Salama j kama hujuwi historia ya mpira wa Asia Uliza ujuwe kihusu mpira wa saudi arabia kabla ya kwenda kombe la dunia hukutana na timu za taifa ngumu ngumu dhidi ya timu za Africa mfano wa JAPAN CHINA KOREA IRAN QATAR NAHATA AUSTRALIA

  • @salvandimbo3598
    @salvandimbo3598 5 лет назад

    Naipatia wapi hiyo nipe title yake

  • @mohamedmuhajiri8348
    @mohamedmuhajiri8348 5 лет назад +11

    Apo umeleta mtu anaejielew siyo unatuletea kina diva wasiyo jielew mwisho wasiku utakuja kutuletea mpak amber ruty ss

    • @asifiwekitunga1836
      @asifiwekitunga1836 5 лет назад

      Haha nimetabasamu Kwa sauti

    • @halimalawa3901
      @halimalawa3901 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🏃‍♂️

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 5 лет назад

    tambweee nakukubali kinyamaaaa

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 лет назад +1

    Tambweeeee!!!! Nakukubali sana

  • @victorboaz5695
    @victorboaz5695 5 лет назад +3

    Nanii kasikia Hiyo #All_The_Fucking_time kutoka kwa sarama😂

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 5 лет назад

    Nakupenda bure upendi kufek maisha yako big up kwako

  • @Chingagirl123
    @Chingagirl123 Месяц назад

    Apo kwa viatu sijashikanisha convefence ni brand gani aki😂

  • @selemanbom5141
    @selemanbom5141 5 лет назад

    Cheupe kisturi mamdogo sj shangazi ninja stanlon andunje haaahaaahaaa nakukubali sj