Prof Assad ww ni mtu na nusu very humble kwanza nliwah kukutana nae posta anatembea tu kwa miguu hii story imeni inspire kua honest n humble Mungu akubarik sana mzee.
Huyu baba, ana qualities ambazo sijui kama kuna mtumishi wa umma wa sasa anaweza kufikia hata 70% ya quality alizokuwa nazo, very integrity man mwenye hofu ya Mungu, very painful experience amekutana nayo ktk majukumu ya kazi. Mungu ampe faraja na amani ktk yote aliyopitia. Maisha yake ni ushuhuda mkubwa sana, Mungu aendelee kumpigania.🙏🙏
HUYU PROFESSOR ALIPITIA KIPINDI KIGUMU CHA UTAWALA WA KIDIKTETA NASHANGAA SANA WAKATI ULE WATANZANIA WALIUFYATA HAKUNA VYAMA VYA SIASA WALA VIONGOZI WA DINI MADHEHEBU YOTE WALA HAKI ZA.BINADAMU ZILIZOKEMEA HII NCHI NI YA AJABU SANA TUNAPENDWA KUTAWALIWA KIBABE
Mimi siijui dini ya kiislam mm ni mkristo lakn hakika Profesa ww ni muislam saf na ni mtu wa mungu binafs ulitolewa kihuni ofisini lakn ww ni mtu wa mungu watu kama ww ni wachache sana mungu akutunze mzee wetu ww ni hazina ya taifa hakika
One of the smartest and very ethical and faithful a country has ever had. Mungu akuweke sana Prof. na akufanyiwe wepesi kwenye kila jambo lako lenye heri
Hongera kubwa kwa Crown Media! Mmeonyesha kuwa vyombo vya habari vinaweza kuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa taifa letu. Weledi wenu, uzalendo wenu, na juhudi za kuhakikisha jamii inapata habari za kweli na zisizoegemea upande wowote ni hatua kubwa katika kujenga demokrasia imara. Salim Kikeki, mfano wa kuigwa, ni kioo cha maadili bora ya uandishi wa habari - akitufikishia ujumbe wa umuhimu kwa taifa letu kwa usawa na uadilifu. Hii ni kazi ya kujivunia na tunatoa shukrani kwa Crown Media Digital, TV, na timu nzima ya Crown kwa jitihada zenu za kujenga jamii yenye ufahamu na umoja. Endeleeni kuwa sauti ya haki na daraja la mawasiliano bora kwa kila Mtanzania. Asanteni kwa kuonyesha kuwa demokrasia ya kweli huanza na habari za kweli! Well done, Crown Media.
Hii ndio interview bora zaidi niloiangalia na kuisikiliza.ipo na maelezo ya ukweli kwa mwenye akili na busara tu atairudi kuiangalia tena.Prof.Assad ni mtu sahihi sana kujua uongozi unavyopaswa uwe.Hongera sana Prof.Assad,Pole sana kwa kifo cha mkeo,Allah S.W amsamehe madhambi yake.Salimmmmmmmm Kikeke big up sana,mahojiano bora sanaaaaa hayaa
Tatizo la Prof Assad alikuwa mtu mwema kati kati ya watu wengi waovu hii ni hatari sana ktk nchi hii.Kila siku utaonekana mkorofi,mkali na mkaidi. Pole sana Prof, samehe ,sahau songa mbele brother.
Mwenyezi mungu azidi kukusimamia Prof. Assad. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa taifa letu. Umesimamia haki na ukweli na mwenyezi Mungu atakulipa ipasavyo. Ninatamani siku moja nikuone ili nikupe maua yako usi kwa uso. Wewe na familia yako mbarikiwe.🤲🏾
Pole sana Prof. Hakika maneno yako yamenigusa kiasi cha kulengwa-lengwa machozi. Binafsi, nimewiwa kukuombea kwani unatambua nguvu za Mwenyezi Mungu 'Glory be to Allah'. Mungu akulinde sana sana. Amina.
Mashaallah.....the way he talk it reflect that is a real professor .....kindness integrity and God fearness......Best interview with the lesson inside it...congrats to crown 👏👏👏👏
Am always seeing you as hero of this nation. Am so proud of you, you're honest and very committed! may Allah bless you all time Prof. Assad inshallah 🙏🏽🙏🏽
Hii ni Crown media sasa Salim huyu mzee anastahili hio crown kuvishwa kwenye kichwa chake kwa habari, masikitiko, ukweli na hali halisi ya nchi yetu ilipofikia. Asanteni kwa mchango wenu 🤝, pole Pro maumivu ya kila Mtanzania ni maumivu ya kila mtu
Kuna binadam duniani wanazaliwa ili kutenda haki kwa kipaji walichopewa na Mungu ,kweli alistahili hata kuwa PM wa Tz sema kwa vile hutupendi vizuri na tuko na njaa kweli tawala nyingi Africa zinaona watu hawa ni wasaliti tu
Big brain professor, we pray for you and our beloved late mother, inshaallah M/ Mungu amrehemu. That big time respond broke me into tear for real😢 Inshaallah akupe uimara zaidi. Inna lilah wainnailah raj un.
A humble man, bold human being on earth, good example to human kind on earth, Allah akulipe kheri na Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Prof. Assad, Umetifundisha vingi sana Mzee wetu Assad. Asante sana Salim Kikeke.
Usijali wala usihuzunike sana Prof. Mungu alisha lipa deni Prof. Mungu wetu anaona na anasikia maombi yetu! Na hakika alitujibu vizuri sanaaa. Pole sana kwa msiba wa mpenzi mkeo. Mungu ashukuriwe milele.
Mungu akutangulie sana Prof. Assad wewe ni kielelezo kwa vijana wengi mno, maisha yako ni mfano kuwa katiba na misingi ya ukweli na uadilifu hutetewa na wananchi. Mungu akutangulie na amlaze mama mahala pema!! Tanzanians know deep down you are a very good person keep mentoring the young generation, Sala zangu ziko pamoja na wewe!!
learning is not just in the classroom, I have seen a lot but you are a general in particular, may God grant you patience and a long useful life and let us learn
Kikeke endelea kutufundisha, Prof. Nawe endelea kutufundisha namna ya kusimamia kile tunachokihitaji katika maisha yetu. Ulifanya Kazi kubwa sana katika mazingira magumu na Bado hukutoka na kutuambia yaliyokuwa yanakusibu. Kikeke wewe ni hazina kwa Taifa lakini upande uliochagua kufanya kazi naona kabisa watawala hawajafurahia lkn kwa busara utakazozichota "off mic" nadhani itakusaidia kuhimili mambo. Kikubwa UBBC utakulinda huku tumaini namba liwe Mwenyezi Mungu. Nimelia haki, mahojiano Bora kabisa kupata kuyasikiliza katika ardhi ya Tanzania
Who is cutting onions….I can see how deeply he loved his wife, and it’s clear she meant the world to him. His love for her is beautiful and inspiring, and I’m sure she felt deeply cherished by him. The man of integrity.
Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu,akuongoze akulinde akutunze hakika wewe ni mfano wa kuigwa si tanzania bali dunia nzima, kwa kila mwenye kupenda na kusimamia kweli na haki, Mwenyezi Mungu akulinde amina.
Pole sana Profesa……Allah atakupa kilicho bora zaid….na sisi kwake tutarejea na yeye Allah amjaalie awe banat wa pepon na wewe utakutana nae kwenye firdaus
Pole sana Prof. Mungu ampe iepo njema mama yetu, inshaallah! Upweke unaumiza, Allah akujaalie namna njema ya kukabiliana na upweke na awape nguvu wanao wawe faraja kwako.
Baraka llah:, ya Allah nakuomba kwa rehema yako nipate mke mwema kama alivo kua mke wa prof : Assad ya Allah nakuomba kwa rehema yako iliyo tukuka uikubali Dua yangu inshallah 😢
Allah Swt! Akuhifadhi ndugu yangu, wasomi wenye mtazamo na mwenendo katika Ncni hii ni wachache mno. Walio wengi hawana hofu ya Mungu hapa Duniani wanaona wamefika, msiba mkubwa!
Allah Akbar MwenyeziMungu amtilie nuru kaburi lake dada yetu aliyakua mkeo na wewe akuzidishie subra bila shaka ataendelea kukulipa thawabu kwa subra yako pia atakupa kilicjo Bora zaidi ya hicho alichochukua Nadi atujaalie mwisho mwema amiynn yarabb
nimeishi kushuhudia mtu mwenye alama zote za uchamungu...Pole sana prof kwa mitihan ulopitia. Allah amrehemu mke wako na akuzidishie wewe pamoja na family ustahmilivu na uwezo wa kuhimili hilo.
Asante Prof. Kwa somo la maisha. Such a very humble and God fearing man..Allah akupe kilichobora na akulipe kheir kila siku..we will be waiting to read your memoir
Proffessor Assad Hongera sana kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na kutambua kuwa hakuna Mamlaka kubwa zaidi ya Mungu mmoja muumba wa Mbingu na Nchi Hatima yote wote ni moja . Kwake tulitoka na kwake tutarejea Tuwakumbushe waliojisahau Najivunia kwamba Ulikuwa Mwalimu wangu UDSM 2006-2009 mtu Mwenye Msimamo wako mkali sana kwa Mwenyezi Mungu
Prof Assad ww ni mtu na nusu very humble kwanza nliwah kukutana nae posta anatembea tu kwa miguu
hii story imeni inspire kua honest n humble Mungu akubarik sana mzee.
Mwenyezi Mungu mtie nguvu profesa Asad.Huyu bwana alifanya kazi nzuri sana kwenye maswala ya ukaguzi serikalini. Sema nchi hii ni ngumu sana.
Huyu baba, ana qualities ambazo sijui kama kuna mtumishi wa umma wa sasa anaweza kufikia hata 70% ya quality alizokuwa nazo, very integrity man mwenye hofu ya Mungu, very painful experience amekutana nayo ktk majukumu ya kazi. Mungu ampe faraja na amani ktk yote aliyopitia. Maisha yake ni ushuhuda mkubwa sana, Mungu aendelee kumpigania.🙏🙏
Wapo japo wachache
HUYU PROFESSOR ALIPITIA KIPINDI KIGUMU CHA UTAWALA WA KIDIKTETA
NASHANGAA SANA WAKATI ULE WATANZANIA WALIUFYATA HAKUNA VYAMA VYA SIASA WALA VIONGOZI WA DINI MADHEHEBU YOTE WALA HAKI ZA.BINADAMU ZILIZOKEMEA HII NCHI NI YA AJABU SANA TUNAPENDWA KUTAWALIWA KIBABE
Asante Mungu umenipa somo zuri toka kwa mja wako Prof. Assad. Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema.
Mimi siijui dini ya kiislam mm ni mkristo lakn hakika Profesa ww ni muislam saf na ni mtu wa mungu binafs ulitolewa kihuni ofisini lakn ww ni mtu wa mungu watu kama ww ni wachache sana mungu akutunze mzee wetu ww ni hazina ya taifa hakika
Allah akuongoze na ww upate Nuru ya uislam jitahidini kufatilia kwa uwezo wa mungu utaiona haki
Apewe Nchi iki mpendeza Muumba hapo mbele kwani tuna hitaji Viongozi kama hawa kuongoza Taifa
@@sanaaseif2731aamren
@@sanaaseif2731 hapo ndo mnapokosea watu wa dini, haimaanishi alipo sio sehemu sahihi, ukristo na uislam ni dini nzuri sana
Nakuombea kwa uishi na hekima pia uweze kuisaidia Jamii.
Mola akubariki sana.
Pole sana Prof., you are among few civil servants mliokuwa mkisimamia maadili ya kazi na ucha Mungu.
Huyu mtu ilikuwa zawadi kutoka kwa Mungu. I really appreciate you prof
One of the smartest and very ethical and faithful a country has ever had. Mungu akuweke sana Prof. na akufanyiwe wepesi kwenye kila jambo lako lenye heri
Hongera kubwa kwa Crown Media! Mmeonyesha kuwa vyombo vya habari vinaweza kuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa taifa letu. Weledi wenu, uzalendo wenu, na juhudi za kuhakikisha jamii inapata habari za kweli na zisizoegemea upande wowote ni hatua kubwa katika kujenga demokrasia imara.
Salim Kikeki, mfano wa kuigwa, ni kioo cha maadili bora ya uandishi wa habari - akitufikishia ujumbe wa umuhimu kwa taifa letu kwa usawa na uadilifu. Hii ni kazi ya kujivunia na tunatoa shukrani kwa Crown Media Digital, TV, na timu nzima ya Crown kwa jitihada zenu za kujenga jamii yenye ufahamu na umoja.
Endeleeni kuwa sauti ya haki na daraja la mawasiliano bora kwa kila Mtanzania. Asanteni kwa kuonyesha kuwa demokrasia ya kweli huanza na habari za kweli! Well done, Crown Media.
Hii ndio interview bora zaidi niloiangalia na kuisikiliza.ipo na maelezo ya ukweli kwa mwenye akili na busara tu atairudi kuiangalia tena.Prof.Assad ni mtu sahihi sana kujua uongozi unavyopaswa uwe.Hongera sana Prof.Assad,Pole sana kwa kifo cha mkeo,Allah S.W amsamehe madhambi yake.Salimmmmmmmm Kikeke big up sana,mahojiano bora sanaaaaa hayaa
Yes
Huyuu jamaa ni Rais
Tunaitaji katiba mpya
Tatizo la Prof Assad alikuwa mtu mwema kati kati ya watu wengi waovu hii ni hatari sana ktk nchi hii.Kila siku utaonekana mkorofi,mkali na mkaidi.
Pole sana Prof, samehe ,sahau songa mbele brother.
ALLAH akulipe kheri Professor, InshaAllah ALLAH akujaaliye ukutane nae mkeo peponi. Amin
Amin yarabal alamin ,na sisi Allah atupe wake wema,
JABALI LA TAALUMA NYETI KTK DUNIA. I'M SO PROUD OF YOU FATHER ❤❤❤❤❤❤
Mwenyezi mungu azidi kukusimamia Prof. Assad. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa taifa letu. Umesimamia haki na ukweli na mwenyezi Mungu atakulipa ipasavyo. Ninatamani siku moja nikuone ili nikupe maua yako usi kwa uso. Wewe na familia yako mbarikiwe.🤲🏾
Pole Profisa .Mwenyezi Mungu atakupa nguvu zaidi na moyo wa subira
Safi sana Allah akupe maisha marefu prof
Pole sana Prof. Hakika maneno yako yamenigusa kiasi cha kulengwa-lengwa machozi. Binafsi, nimewiwa kukuombea kwani unatambua nguvu za Mwenyezi Mungu 'Glory be to Allah'. Mungu akulinde sana sana. Amina.
Kabisa
Mashaallah.....the way he talk it reflect that is a real professor .....kindness integrity and God fearness......Best interview with the lesson inside it...congrats to crown 👏👏👏👏
Mwenyez Mungu azidi kumbariki, ampe faraja, na kila lililojema kwake. Itoshe kusema nimejifunza mengi kwake.
Am always seeing you as hero of this nation. Am so proud of you, you're honest and very committed! may Allah bless you all time Prof. Assad inshallah 🙏🏽🙏🏽
I have not only noted but also learned something. Excellent Prof. Assad
Prof anahofu sana ya Mungu ni mwalimu bora na mtumishi bora ambao wanahitajika sana kwenye maendeleo ya nchi yetu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii ni Crown media sasa Salim huyu mzee anastahili hio crown kuvishwa kwenye kichwa chake kwa habari, masikitiko, ukweli na hali halisi ya nchi yetu ilipofikia. Asanteni kwa mchango wenu 🤝, pole Pro maumivu ya kila Mtanzania ni maumivu ya kila mtu
Kuna binadam duniani wanazaliwa ili kutenda haki kwa kipaji walichopewa na Mungu ,kweli alistahili hata kuwa PM wa Tz sema kwa vile hutupendi vizuri na tuko na njaa kweli tawala nyingi Africa zinaona watu hawa ni wasaliti tu
Big brain professor, we pray for you and our beloved late mother, inshaallah M/ Mungu amrehemu.
That big time respond broke me into tear for real😢
Inshaallah akupe uimara zaidi.
Inna lilah wainnailah raj un.
Allah ampe Nuru katika kaburi lake, ampe Pepo ya firdausi kesho inshallah. Atupe na Sie elimu yakuijua haki na kuifuata
Mashaa Allah
Alhamdulilah
Allah akupe kila lakheri profesa Asad,wallahiy binafsi nskupenda sana kwaajili ya Allah, Allah atupe sote mwisho mwemaa
Professor Assad you are strong and stronger. Mungu ampe kauli Thabiti mama yetu huko kwa mwenyezi Mungu... Don't tear down Sir.
Allahumma amiyn
Aamin
A humble man, bold human being on earth, good example to human kind on earth, Allah akulipe kheri na Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Prof. Assad, Umetifundisha vingi sana Mzee wetu Assad. Asante sana Salim Kikeke.
Jah bless you Baba
One of the best interview. Hivi ndinyo media zinapaswa kufanya kazi. Maudhui yanayofundisha.
Exactly! Media nyingine utani utani umezidi kwa kweli na vipindi vya michezo na umbea umbea
@@mwaulambo wanafanyaga umbeya
Kaakweli crown itawapita muda si mrefu@@mwaulambo
Huyu Kikeke ni international journalist. Ameanza vzr. Tunamfuatilia sana.
Kabisa
Mashallah prof. Mnyenyekevu mwenye khof ya m/mungu
Lecturer wangu professor wangu principal WA CHUO changu, it's pleasure to see your review sir.
Ninajivunia sana kukaa meza moja na kufanya kazi na wewe prof 🙏🙏
Weeeh ya kweli hayo
ulipata baati Aise
Hongera aisee
Mungu azidi kukubariki Prof. Assad na akupe nguvu na maisha marefu
ALLAH akulipe kheri Professor, InshaAllah ALLAH akujaaliye ukutane nae mkeo peponi pamoja na waja wema. Mzee Asad unahema na busara za utosha. Amin
THE BEST INTERVIEW OF THE YEAR......BIG UP CROWN MEDIA
Usijali wala usihuzunike sana Prof. Mungu alisha lipa deni Prof. Mungu wetu anaona na anasikia maombi yetu! Na hakika alitujibu vizuri sanaaa. Pole sana kwa msiba wa mpenzi mkeo. Mungu ashukuriwe milele.
MashaAllah hakika hii interview ni lesson kubwa kwetu na kuna mazingatio ndani yake
PROF ASAD ALLAH akulip kheir baba angu pmja na marhum mkeo
aamin
Mwenyezi Mungu awatie nguvu Prof Assad!
Mungu akutangulie sana Prof. Assad wewe ni kielelezo kwa vijana wengi mno, maisha yako ni mfano kuwa katiba na misingi ya ukweli na uadilifu hutetewa na wananchi. Mungu akutangulie na amlaze mama mahala pema!! Tanzanians know deep down you are a very good person keep mentoring the young generation, Sala zangu ziko pamoja na wewe!!
learning is not just in the classroom, I have seen a lot but you are a general in particular, may God grant you patience and a long useful life and let us learn
Pole sana Assad kwa kumpoteza mama yetu. Mungu azidi kukutia nguvu.
I learnt a great lesson,from you prof,Asad,May God bless you!
Allah atupe subra na atupunguzie mitihani profesa allah akupe subra na waslam wote amin
Daaah! Hearttouching, specially hapo kwa mke wake. God bless u prof
Kikeke endelea kutufundisha, Prof. Nawe endelea kutufundisha namna ya kusimamia kile tunachokihitaji katika maisha yetu. Ulifanya Kazi kubwa sana katika mazingira magumu na Bado hukutoka na kutuambia yaliyokuwa yanakusibu. Kikeke wewe ni hazina kwa Taifa lakini upande uliochagua kufanya kazi naona kabisa watawala hawajafurahia lkn kwa busara utakazozichota "off mic" nadhani itakusaidia kuhimili mambo. Kikubwa UBBC utakulinda huku tumaini namba liwe Mwenyezi Mungu. Nimelia haki, mahojiano Bora kabisa kupata kuyasikiliza katika ardhi ya Tanzania
Professor Assad Mwenyezi Mungu Akujaalie Heri Na Baraka Tele,Endelea Kuwa Humble💪💪
Kaka yangu Profesa Asad nakupa pole sana kaka yangu nakuombea kwa mwenyezi Mungu akuponye majeha akutie nguvu
Nakupenda!
This man have very strong heart. Great lessons to learn
Pole sana prof Allah akutie nguvu sisi sote njia ni moja ,tumuombe Allah atupe mwisho mwema aamin
Who is cutting onions….I can see how deeply he loved his wife, and it’s clear she meant the world to him. His love for her is beautiful and inspiring, and I’m sure she felt deeply cherished by him. The man of integrity.
Allah (s.w) Ampe Jannah Firdaus Mkewe huko Alipo 😊
@@salimdiabyonlinetv4873amiiiin Yaa Rabbi
Member wa Muslim university of morogoro like hapa
Mungu akubariki sana profesa
A Godly Man, Principled and highly Mannered🙏
Prof you're one of the very few patriotic but also the smart of the smartests
Waislam wote wangekuwa kama yujamaa dini ingekuwa moja tu Mungu akulinde mzee wetu
Mungu humjibu mwenye kiburi. Mungu alijibu kwa Motooo
Mzee ulipo tupo mungu akujalie afya njema Mzee wetu yupo mungu Mzee asadi🇹🇿♥️💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏
Masha Allah. Tuakubali sana kazi yko profesa assad
Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu,akuongoze akulinde akutunze hakika wewe ni mfano wa kuigwa si tanzania bali dunia nzima, kwa kila mwenye kupenda na kusimamia kweli na haki, Mwenyezi Mungu akulinde amina.
God bless you too, hope God will help you for ever.Amen
Pole sana Profesa……Allah atakupa kilicho bora zaid….na sisi kwake tutarejea na yeye Allah amjaalie awe banat wa pepon na wewe utakutana nae kwenye firdaus
Allah ndie mgawaji wa rizki na kila kitu be blessed sana professor Assad
The real definition of Professor
Prof. Hongera kwa Busara alizokupa Mola.
Hakika ulitolewa ofsini Kinyume cha Sheria.
Asante kwa kutueleza ukweli.
Wewe ni Jabali usie ogopa Mwanadamu.
Pole sana professor allah akupe subra,na allah ampe janatulfirdaus mama yetu
Asand Brotherly, uwe na moyo mkuu. Dua yangu Mungu akupe wepesi mpenzi wetu. umenigusa lakini endelea kumtumainia Mungu. Pole
Thanks prof. Amazing story, umenisaidia sana
Pole sana Prof. Mungu ampe iepo njema mama yetu, inshaallah! Upweke unaumiza, Allah akujaalie namna njema ya kukabiliana na upweke na awape nguvu wanao wawe faraja kwako.
Baraka llah:, ya Allah nakuomba kwa rehema yako nipate mke mwema kama alivo kua mke wa prof : Assad ya Allah nakuomba kwa rehema yako iliyo tukuka uikubali Dua yangu inshallah 😢
Mungu aendelee kukubariki na kukutunza Prof. You are very Unique.
Professor Assad! The God fearing man and a model moral person!!...he makes me cry!!...
Mwenyezimungu s,w akutie nguvu sana profesa asad
We❤ you professor Assad, ethical leader
Mungu akulinde daima...👏👏👏👏👏
i feel that pain,mzee mungu atakuapa nguvu zaidi
Allah Aendelee kukupa subira na msimamo wa kuamini kadar na Afya njema mzee Asad. Na Amsamehe mama yetu Yale aliyomkosea.
Allah Swt! Akuhifadhi ndugu yangu, wasomi wenye mtazamo na mwenendo katika Ncni hii ni wachache mno. Walio wengi hawana hofu ya Mungu hapa Duniani wanaona wamefika, msiba mkubwa!
Professor namkubali sana. Ni ndoto yangu siku moja nionane naye ana kwa ana. Nakukubali sana
The best interview ever in my life....🙏🙏🙏🙏
Be blessed Prof ASSAD
Pole sana Prof
Miongoni mwa wanazuoni wangu bora kupata kuwafaham Allah akulipe badala njema Prof.Assad
Nampenda sana huyu mzee. Mungu amtunze
Allah Akbar MwenyeziMungu amtilie nuru kaburi lake dada yetu aliyakua mkeo na wewe akuzidishie subra bila shaka ataendelea kukulipa thawabu kwa subra yako pia atakupa kilicjo Bora zaidi ya hicho alichochukua Nadi atujaalie mwisho mwema amiynn yarabb
Tunakupenda sana Prof Assad. Historia itakukumbuka kwa uadilifu wako. Mungu akutunze uishi sana
nimeishi kushuhudia mtu mwenye alama zote za uchamungu...Pole sana prof kwa mitihan ulopitia. Allah amrehemu mke wako na akuzidishie wewe pamoja na family ustahmilivu na uwezo wa kuhimili hilo.
Asante Prof. Kwa somo la maisha. Such a very humble and God fearing man..Allah akupe kilichobora na akulipe kheir kila siku..we will be waiting to read your memoir
Asante Sana Profesa.Mungu ampe mama Kauli thabiti.Kazi uliyoifanya ni nzuri mno na ya kutukuka Sana.
Allah amzidishie Busara na Hekima Prof. Amjalie pia mama pumziko jema
Maa Shaa Allah it's the best interview,prof Asad Allah akuhifadh na akupambe na uchamungu
Allah akulipe uadilifu wako prof your roll model
I enjoyed and learned a lot from this wise man
Pole Salim Kikeke naona ulichoka sana na yote ulioyasikia kutoka kwa Prof.Nice and touching interview
A very humble guy.....I wish I get time to learn at the feet of this great individual....Mungu aendelee kumtunza!
Proffessor Assad Hongera sana kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na kutambua kuwa hakuna Mamlaka kubwa zaidi ya Mungu mmoja muumba wa Mbingu na Nchi
Hatima yote wote ni moja . Kwake tulitoka na kwake tutarejea
Tuwakumbushe waliojisahau
Najivunia kwamba Ulikuwa Mwalimu wangu UDSM 2006-2009 mtu Mwenye Msimamo wako mkali sana kwa Mwenyezi Mungu
Mzee wangu mungu akulinde.mungu akutangulie kila atua moja unayopiga. Akika mungu ni mwema
Allah azid kukupa subra,nguvu na ampunguzie adhabu y kaburi mke wako&Alitie nuru kaburi lake liwe miongon mwa viwanja vy pepo In-shaa-llah
An elite prof....congrats sana
Mi jamaa huwa namkubali sana 🎉 particularly alivosema watumishi wengi waserikali uwezo wao ni mdogi kwenye nafasi zao
Much respected man in Tanzania..Maa Ash Allah
Kupitia Kwa watu kama Hawa huwa nawaheshimu sana waislamu💯💯
mtu muungwana sana na mpenda Mungu. Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha tele Prof