TZ ❤️ USA | TULIKUTANA MTANDAONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 74

  • @magdalenakilapilo6791
    @magdalenakilapilo6791 14 дней назад +1

    Napenda Matha sana , nlimjua kupitia mtandaoni, ana namna yake flani , yuko safi sana.

  • @lulumkongwe9987
    @lulumkongwe9987 11 месяцев назад +1

    Hongera dear Martha umenielimisha vizuri

  • @Marygabry
    @Marygabry Год назад +4

    The story is fire, Nimejifunza , Asante Shena kwa kuendelea kutuelimisha .
    Binafsi nanufaika sana na darasa

  • @RealtorZanzibar
    @RealtorZanzibar 3 месяца назад

    Binti smart nimepeeentA interview

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 10 месяцев назад +1

    Hongera sana dada shena kwakuendelea kunipa somo zuri one day ntafika na mm huko

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Год назад

    lazima uweke Standards, ujue nini unataka mtandaoni na pia ni kumuomba Mungu akupatie mtu sahihi

  • @kajunabyabato7644
    @kajunabyabato7644 9 месяцев назад

    Great woman Martha. You are so straight forward, God bless you .

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +2

    Ameelezea vizuri sana. Kwanza hapo pakidumisha uanawake wetu wa Kitanzania kujua kumtunza mume. Cv za Wakenya zimeoza kwa kujifanya kujua sheria kuliko wale walioziandika. Stay away with such.

  • @judithlugongo8804
    @judithlugongo8804 7 месяцев назад

    Binti anaeleza vizuri hongera sana

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 Год назад +1

    Mungu atakutetea siku zote kwa kuwa unamtanguliza mbele. MITHALI 8: 17

  • @estermtundu8672
    @estermtundu8672 Год назад

    Bando langu haliendi buree ❤

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 Год назад +3

    Ameeni ni kweli ukimtumainia MUNGU yeye ana weza haijalishi mazingira ya na semaje yeye ana fanya tuu kwa ajili ya utukufu wake hongereni saana wapendwa.

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад

    Tunamshukulu sana ❤❤❤

  • @HidayaMadai-nl3em
    @HidayaMadai-nl3em Год назад +1

    Hongereni sanaa nimependa sana historia yake yakukutana na mwenza wake

  • @eunicenangole5740
    @eunicenangole5740 Год назад +2

    You are both beautiful with a great story 😊

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 7 месяцев назад

    Good story

  • @swedyswedykhamisi8942
    @swedyswedykhamisi8942 3 месяца назад

    mkenya mtulivu sana maana wakenya ni wajuaji sana wanajifanyaga wanajua kila kitu lakini ni washamba sana na hawajijui kama ni washamba shida sana hawa jamaa kuisha nao

  • @miriamahmadi1356
    @miriamahmadi1356 Год назад

    Shena kaz nzur

  • @zainabumaphingo539
    @zainabumaphingo539 22 часа назад

    Naomba dada unisaidie ivi hiz platform dating nizakwel lazima ulipie then wanakutumia picha alafu ukimpenda unalipiwa ndo unaconectiwa nae

  • @MissKaliz
    @MissKaliz Год назад +8

    Asante Shena kwa kunipa nafasi kushare machache katika channel yako, hongera kwa kazi nzuri❤️❤️❤️

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 Год назад +1

    Wow nmempenda huyu dada

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy Год назад +1

    Nawapenda mimi.

  • @ErikanaDada
    @ErikanaDada Год назад

    Naomba link ni ingie

  • @cecyandrea7424
    @cecyandrea7424 Год назад +2

    Umeongea mambo mzuri sana

  • @CatherineHanje
    @CatherineHanje Год назад +1

    Asante shena Mimi ni mama napenda kujifunza ili niweze kuwasaidia wasichana wangu

  • @mohamedmwagao
    @mohamedmwagao 11 месяцев назад

    Shena najaribu kujiunga na bantu site lakini naona aitaki

  • @dorcasPhyuza
    @dorcasPhyuza Год назад

    1:15 dada nimefura sana

  • @veronicajulius6403
    @veronicajulius6403 Год назад +3

    Mim natafuta Hadi nachoka sielewi nifanyeje

  • @ChikoMathias
    @ChikoMathias 11 месяцев назад

    Shena ninawezaje kukupa tuwexe kuongea. Sijapenda hbr yangu mwi ngine aijue mpaka pale tutakapoongea

  • @marykisoka4233
    @marykisoka4233 Год назад

    Shena nipo na ww mpaka siku moja tutakuja kuwasiliana nikiwa huko panaitwa njeee😅

  • @MichaelTalla-j8z
    @MichaelTalla-j8z Год назад +1

    Tunajiungaje

  • @ZaituniHassan-d4e
    @ZaituniHassan-d4e 7 месяцев назад

    Huyo bbke ashapata mke sa hii

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 Год назад +1

    Ongera dada Kwa kipindi kizur nami niongee apa jamani nimesha tafuta mpaka nimechoka nimekutana Na watu Zaidi ya 100 ila vichaa tu

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 Год назад +2

    Mitandaoni anatumia jina gani uyu dada tuandikie

  • @philemonfelician8721
    @philemonfelician8721 Год назад +1

    Jaman huyo dada ameniinspire sana ,mm nmejiunga tinder ila sjajua vzr n jinsi Gani naweza kukutana na mwenza wangu,pia nmelipia naombeni msaada jmn

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 Год назад +1

    Ngozi nyeusi wasumbufu

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Год назад

    Wewe mtu mzima na hakuna Mamlaka ya kuingilia maamuzi yako.Ila Wazazi watabaki kuwa jicho lako kimaamuzi Angalizo Utamaduni wa Kiafrika Bado utabaki kuwa dhahabu ktk kupitia utamaduni wa kiafrika.

  • @GlorySam-k1u
    @GlorySam-k1u Год назад +3

    Shena plse naomba namba yako nipo Tanzania and Nina mpango wakuja huko nataka unikutanishe na huyu dada pia nielekeze jinsi ya kuingia mtandaoni Mimi cjui kabisaaa.nimemwelewaa sana

  • @elizabethsanga9184
    @elizabethsanga9184 Год назад +2

    Dada shena lakini mbona hatujawahi waona wenzi wao japo hata picha, maana wanakuja wao, tu! Si unajua wengine huhamsija kwa kuona

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      Mdogo wangu maisha ya ndoa hayapo hivyo kama unavyodhani, nakuombea upate wako halafu nikualike wewe kwa interview halafu na wewe umualike mume wako. Nimeona nikuombee ndio Solution nzuri kwani naweza kukuelewesha sana lakini na bado usielewe.

    • @pillizegega3302
      @pillizegega3302 Год назад +1

      Wengi anaowahoji mbona wako RUclips au Instagram na wanapost waume zao. Mfano huyu dada najua chanel yake alipost hata ndoa yake pia aliongea how they met.. ukifika kwenye chanel yake utaona

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +1

    Maisha popote

  • @witnessmusa5454
    @witnessmusa5454 Год назад +2

    Haki Mimi nimechoka kutafuta dad Yani nakutana na Sommer kibao😢nimechoka😔

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 9 месяцев назад

    weupe hawawezikuishi Afrika hatamiaka40 akirudikwao hawezikuwachanganyia lugha kwakisingizio eti ameisha sahau lughamama hayo ni matokeo ya kujisuta nakutukuzasana uzungu.

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 Год назад +1

    Shena Nana please naomba email yako