UHOLANZI WANATOA PERMIT YA KUISHI HATA KAMA HAMJAOANA | ALIKUA NA MIMI LAKINI ANADATE MTU MWINGINE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 69

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Год назад +3

    Safi waambie wasifikiri rahisi wanawake wana tamaa sana wazungu hawapendi ❤❤❤

  • @BRIGHTNESSYOHANA
    @BRIGHTNESSYOHANA Год назад +4

    Nimempenda Lisa , well said Yani ukiwa na chako hata mwanaume hakusumbui iwe mweusi au Mweupe..

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +3

    Interview nzuri. Bi dada anajielewa sana. Big up both of you.

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Год назад

    Very very good interview! Shena Unasaidia sn watu kujiitathimini.❤

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Год назад +8

    Da Shena, siku ukijaaliwa na ikikupendeza please uwe unakaribisha baadhi ya your past guests kama wa 3 kwa mpigo mfanye panel discussion on topics kama life ya 50/50 na wazungu, culture shocks na namna ya kujibalance ili kustahimili , nafasi ya ndugu tunapokuwa kwenye haya mahusiano, misaada kwa familia za kibongo, mtazamo wa wazungu, upweke na depression za ughaibuni,malezi ya watoto waliochanganyika etc etc zitanoga sanaaa hizi discussions

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +3

      Ahsante kwa mchango
      Nimeshaandaa moja hivi kabambe nasubiri wapate muda
      Mtaenjoy hiyo siku 🥰

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад

      ​@@OfficialDatingAssistancesafiiii

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 Год назад +3

    Swala la kanisani very true 😂😂😂 najikuta naenda kusali na wazeee

  • @Gannaartist
    @Gannaartist Год назад +2

    Nafuatilia sana video zako na huwa zinanifurahisha sana.

  • @carolineoyieko4791
    @carolineoyieko4791 8 месяцев назад

    Wa holanzi wa zuri sana,

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 11 месяцев назад +1

    Mwanaume wangu nigeria ila najuta😂😂😂usipokula km dada zao unalo😂 shena tuwekee wake wa wapopo kwanza😅

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 месяцев назад

      Kiukweli nawakaribisha sana.. Kama unamjua mtu nipatie Connection nae nimuombe interview

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 Год назад +3

    Shena ufanye umlete mdada anaitwa Jojo gray nae tufahamu experience yake na mlami🤣 anaishi tz kaolewa na mzungu

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 Год назад +4

    acha tupambane na wazungu hata kama nipasua kichwa wacha ituuuuwe uwiiiiiiii😂😂😂

    • @salhamvungi1744
      @salhamvungi1744 Год назад +1

      😂😂😂

    • @officialemilie
      @officialemilie Год назад

      Kabisa 😂😂😂 tuta banana hapa hapa😂😂😂

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад

      @@officialemilie unajua nini dada emilie,mie huwa nawashangaa baadhi ya watu hasa sisi waswahili tunarohombaya sana za kukunja,tena chafu,nilishasikia mahojiano ya watu wengi utaskia ohoo mara ulaya maisha magumu,sijui wazungu wakohivi mara vile,,,,etiiii ohoooo sijui nn,,!!nasemaje??ikitokea fursa wewe nenda utajua mbele kwa mbele.chamsingi kama unaenda kwa utaratibu (legally) siyo mbaya,hata kama utazamia fine woiiiiiiii

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 7 месяцев назад +1

      Me too 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sukivlog885
    @sukivlog885 Год назад +2

    Ni kweli hata Mimi kwenye ndege, mwarabu Alitaka kuniibia simu yangu. Bahati. Rafiki yangu Akaona 😢

    • @sarah-hy7gz
      @sarah-hy7gz Год назад

      Alitaka kuibaje asee. Mana mm. Ht ilivyopotea sm yangu sikuelewa ndan yandege

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Год назад

    Good interview

  • @katumabiyan5090
    @katumabiyan5090 8 месяцев назад

    A very good experience

    • @Star50046
      @Star50046 7 месяцев назад

      What did she say

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 Год назад

    😂😂kumbe ulaya kuna Mbagala ndogo eeh😂😂😂😂🙌🙌

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Год назад

    Nice interview ❤ Ila Lisa nakushauri ukiwa Europe akisema twende walking, gym etc kubali tu mwenzio anaenjoy company,life ya ughaibuni upweke mwingi.Bongo social life iko vizuri ,mambo na matukio kibao, ndio mana huna mcheche na kutokatoka.

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад

    Safi kabisa 😂😂😂😂

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 Год назад +1

    Natamani ufanye live kila siku jamani me napenda😂😂

  • @DramaDiveApp
    @DramaDiveApp Год назад +3

    Warabu ni wezi shena njoo turkey you will understand me hawataki kufanya kazi wanataka mserereko Yaan Mm hata kuzungumza nao sitaki kabisa bora atoke Morocco au Egypt hao sio wavivu hawa wa karibu hapa wezi usiombe waingie group la familia nzima wezi Babu mpaka mjukuuu kipindi cha ramadhani Ndio balaaa

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 Год назад +1

      nimecheka😅😅😅eti babu,wajukuu

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @annamussa185
      @annamussa185 Год назад

      Sana wezi udokozi wanao sana harafu ukimbamba anajifanya Dini iko mbele ukimpekua hutoamini

  • @Evakibira
    @Evakibira Год назад

    Which is the best site? help

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +2

    Italy na UK kuna vibaka zaidi ya bongo.😂

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @jessicagervas4075
    @jessicagervas4075 Год назад +2

    Good interview 💞

  • @annamussa185
    @annamussa185 Год назад +1

    Me wangu aliniuliza mimi na Mungu yupi ni wa kwanza kwako nikamwambia Mungu wa kwanza wa pili wazazi then wewe yani alilalamika akaniambia yeye Mungu kwake ni kama number 10 huko yani hawana habari kuhusu Mungu tena kuna muda hataki hata kusikia😴

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 Год назад +2

    Sema apo kwenye trein na sehemu ya kutengeneza kucha umeona kama umebaguliwa kuna kitu nimegundua ni suala la lugha kama unaongea english mdachi apigi na wewe stori lakini kama unaongea lugha yake kinederlands mtapiga stori mpaka basi icho ndio kitu nilichokiona kwenye stori yako na kwanini nimegundua kutokana na sistimu uliokua nayo kwamba unakuja holland miezi 3 na unarudi bongo miezi 3 kwasababu gani wanataka usome lugha na ufanye mtihani wa lugha ukipita unapewa pamit ya kuishi ndio siku hizi sistimu ilivyo

  • @LilianPhilemon
    @LilianPhilemon Год назад

    Hi shena mambo

  • @LilianPhilemon
    @LilianPhilemon Год назад +3

    Ongea kiswahili

  • @miskyabdillah7451
    @miskyabdillah7451 Год назад

    Jamani binaadam wte ni kutoka kwa Adam na Hawa, but tunahitaji kujisoma

  • @alsam4881
    @alsam4881 Год назад +5

    Mie Napenda kuangalia video zako lakini nashindwa kuangalia yote kwasababu ni ndefu sana, kila video zako zote ni karibia lisaa moja, na kama unavyojuwa huku kwetu bando ni ghali kuangalia video za RUclips, Kama unaweza basi ukatishe japo iwe interview ya dakika 20 itakuwa ni poa sana, Na natumaini utapata viewers wengi sana na RUclips yako itakuwa sana, Ukiangalia watu wengi huwa hawapendi kuangalia video ndefu RUclips kwasababu wanataka kuangalia video tofauti, natumai utanielewa na kulifanyia kazi suala langu.

    • @BlessedQueenElizabeth
      @BlessedQueenElizabeth Год назад

      Mimi kiukweli na download ni rahisi,

    • @AliKhamisi-f4m
      @AliKhamisi-f4m Год назад

      kweli mda mwingi

    • @hafsalucky1088
      @hafsalucky1088 Год назад +1

      Anataka watu wajifunze Kwa undani na waelewe zaidi.

    • @ImeldaIsdory
      @ImeldaIsdory Год назад +1

      Mimi huwa namfuatilia Shena tangu nilipomfahamu! Hata nikikosa live yake naangalia wakati nikiwa na nafasi. Kama muda wangu ni mfupi, naangalia kiasi na baadaye namalizia. You can't imagine, ninatafuta pesa ya bundle kwa ajili ya kufuatilia hizi interviews. Najifunza mengi out of this. Napunguza matumizi mengine najazia kwa bundle! Mfano, sinywi soda, sitoi michango bila sababu maalumu! Siendi sehemu za starehe ambazo hazina positive impact!

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy Год назад +1

    Mabinti wazuriii wanatumwagia vitu vitamu kabisa.

  • @RealtorZanzibar
    @RealtorZanzibar 3 месяца назад

    Walanzi wabahir nimechoka kwakweli

  • @PiliOmary-f8g
    @PiliOmary-f8g Год назад

    Shena namba yako naipatajenafuatilia sana kipindi chako

  • @rehemasteven5819
    @rehemasteven5819 Год назад +1

    Jaman Mbona hao wa Italy Kama waswahili 😂

  • @Naw89
    @Naw89 Год назад +1

    Shena sio kila Mwarabu ni mwizi usiweke kabisa hiyo dhana
    Kila nchi ina wezi pia wizi ni akili ya mtu na malezi futa hiyo fikra kabisa haipendezi hasa kwa mtu kama wewe unaedili na jamii mbali mbali

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад

      Naona umeichukulia negative… nimeeleza Experience yangu na hivyo nikiwa nao kwa public transport ya Ulaya navyopata ile feeling ya tukio lililopita… sijasema waarabu ni wezi.. kwani wizi ni tabia ya mtu personally haihusiani kabisa na kabila au asili fulani ya mtu.

    • @zackariamtunguja9435
      @zackariamtunguja9435 Год назад

      Ni vibaka hasa hao.. Mimi nawajua

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Год назад

    Dada mwanaume ndio ni lazima awe provider ni kweli hasa Kwa Mila na desturi zetu za kiafrica but sio kwa wazungu mamy, wewe si unamiaka 2 tu just wait your still New mpendwa hiyo ni trela, movie yaja 50/50 lazima labda kama haufanyi kazi ❤

    • @annamussa185
      @annamussa185 Год назад +1

      True,tena muholanzi lazima 50/50 harafu wazungu wana maisha ya kawaida so lazima msaidiane labda kama ni Bilionea hapo sawa ulaya maisha magumu nyie😴

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 Год назад

      @@annamussa185 exerctly hata hao Afrika men walioko huku Europe wanasaidiana kwa kugawana majukumu sio rahisi maisha ya Europe kumuachia mume au mke pekee no way 😍

  • @victorianambololo5718
    @victorianambololo5718 Год назад

    Lisa nisaidie

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад

    😂😅

  • @marykisoka4233
    @marykisoka4233 Год назад

    Kiukweli kinachotutoa kwa waswahili ni vituko na matukio yao yanachosa sana alafu ni nothing

  • @jescaemmanuelmollel9011
    @jescaemmanuelmollel9011 Год назад

    I hate kukumbushiwa makosa yaliyopita

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy Год назад

    Picha ya uso na kwenye video ni vitu viewili ni tofauti!

  • @luluhilaly5694
    @luluhilaly5694 8 месяцев назад

    Je huyo shemeji yetu ana umri gan