LISSU AKABIDHIWA RASMI GARI LAKE, ATOA KAULI NZITO KWA JESHI LA POLISI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 72

  • @kenedysimon3566
    @kenedysimon3566 Месяц назад +10

    Sote tutakufa pengine waliofanya hiv wengine wameshatangulia mbele ya haki

    • @user-yw3qh6qj8g
      @user-yw3qh6qj8g Месяц назад

      Wote mjomba wameshalamba mchanga,usicheze namungu

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz Месяц назад +5

    Haki ya Mtu hapoitei hata ingiingia kwenye mikono ya adui Yako Kama ni haki Yako itarudi mikononi mwako .

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 29 дней назад +1

    Pole sana kamanda wetu wee sio binadam wakawaida ila umeletwa namungu huku duniani .

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb Месяц назад +9

    Haki ya Mtu haizami Mungu Mkubwa Iko siku waliofanya unyama wa kumpiga Lisu na wao watalipwa Kwa walichokifanya hapa hapa duniani Mungu halali

  • @mohamedially5330
    @mohamedially5330 23 дня назад

    Pole sana

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc Месяц назад +2

    Daaaaaaaah hii dunia kweli tunapitaa usimfanyie ubaya mwenzio

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Месяц назад +1

    Wangelitengeneza kabla..you are too strong😢

  • @user-qg7fw7si5i
    @user-qg7fw7si5i 25 дней назад

    Mungu aendelee kukuimarisha upone

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 Месяц назад +1

    Ama kweli gold lazima ipite kwenye moto

  • @japhetmathayo7594
    @japhetmathayo7594 28 дней назад +1

    Polic wapo vzr sasaivi jamni wanawasikiliza watu vzr mungu awabariki

    • @user-ib2ew9ec3d
      @user-ib2ew9ec3d 24 дня назад

      Wasengetu anae ongea nimkubwa kuliko wao laxima watulie

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Месяц назад

    Pole mheshimiwa🙏

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Месяц назад +1

    Tupo vizuri kwa ulinzi wa raia

  • @jonijoogabriel3728
    @jonijoogabriel3728 25 дней назад

    😢😢

  • @Kenyan_Duke
    @Kenyan_Duke 23 дня назад

    Lisu aliumizwa mno,,Mungu amkumbuke🎉

  • @Mohamedi-hz5ud
    @Mohamedi-hz5ud 29 дней назад

    Tundu lisu mungu akulipe heri amiin

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Месяц назад +1

    MI NADHANI NI VYEMA LISITENGENEZWE KAMA NI LA KUMBUKUMBU KAMA KUNA WATU WA KUSAIDIA BASI WACHANGE WANUNUE JIPYA .

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад

    Ya Mungu mengi wanyaturu w mezeee wembe mnyampaa wa singida, c wanyuturu ww fumbo, Atraghunkie avaa,vatiudahaa, Allah pekee,wa meze wembe kikowp,

  • @MusaMainde
    @MusaMainde Месяц назад +1

    Polisi polisi police wanafk sana

  • @georgenorasco1705
    @georgenorasco1705 26 дней назад

    Kaisha lipwa stahiki zake zote, hvyo tunahtaji aman tu tz, maana wanasiasa huleta machafuko afu wao na familia zao wanakimbia nje ya nchi,
    Wanaoumia ni watu na familia maskini,
    Hvyo tuweni makini tujitahd kumuomba mungu na kutumia hakiri zetu ktk maelekezo tunayopewa na viongoz wetu

  • @SuleimanSalim-ql3ny
    @SuleimanSalim-ql3ny Месяц назад +1

    Ushauri wangu hilo gari lisitengenezwe lipelekwe makumbusho na wewe ununuliwe nyengine km hio

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Месяц назад

    Kwa makumbusho sawa kabisa

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 26 дней назад +1

    Tatizo matusi nyinyi

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Месяц назад

    Very dark moment in the history of Tanzania

  • @makibadatela7865
    @makibadatela7865 Месяц назад

    Lissu kaka yangu unajua kufikiri sana, plate no ya gari umeshajua ipo mjini na inadaiwa!

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 29 дней назад

    Uhai wa MTU UKO mikononi mwa mwenyezi Mungu.

  • @user-xy4kt8wk6l
    @user-xy4kt8wk6l Месяц назад +4

    Halafu tunaambiwa Tanzania Nchi ya Amani

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Месяц назад

      Sana nchi ya amani

    • @kilogreekachananawatuwasio4054
      @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад

      Kutaka kuliwa uyu sio Useme Tanzania sio nchi ya Amani Ushaona vita toka kidogo njee ya Tz jibu Utajipa mwenyewe wacha kuongea no sense man

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад

      ​@@kilogreekachananawatuwasio4054Acha kuongea pumbavu pia

    • @user-xy4kt8wk6l
      @user-xy4kt8wk6l Месяц назад

      C Lazima Vita ss haya Maswala ya kupigana Risasi na Ujambazi Amani hiyo ipo wp amka kjn maana Naona Umelala

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Месяц назад

      @@user-xy4kt8wk6l kupigana risasi popote watu wanapigana ata ivyo kalindwa na gari lake tumemlindia tatizo liko wapi apo muacheni mamayetu kipenzi achape kazi mambo ya lisu ilikuwa baati mbaya lisu tunampenda sana

  • @user-ut9zv7ft1g
    @user-ut9zv7ft1g Месяц назад

    Dunia mapito kila mtu hatapita

  • @davidchege-fx5ho
    @davidchege-fx5ho 23 дня назад

    Magufuli was a bad man

  • @antonymomba8185
    @antonymomba8185 29 дней назад

    Auhuru kamili bado sana

  • @mashimbaalloyce1916
    @mashimbaalloyce1916 29 дней назад

    Hiyo gari iwekee kuwa kumbukumbu siku ukombozi utakapotokea

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 27 дней назад

    Tumwachie mungu atakulipa

  • @ellymartin9343
    @ellymartin9343 Месяц назад

    Mimi nashauri Sana kwamba, tupitishe Mchango wa Kununua Gari lingine la kutumia Mheshimiwa Tundu, na hili la Tundu Lisu lililoharibiwa liwekwe kwenye makumbusho sasa

  • @joachimisack5834
    @joachimisack5834 Месяц назад +1

    Tundu antipasi lisu wewe ndio Raisi wa Tanzania 2025 na Mungu akubariki kabisa

  • @antonymomba8185
    @antonymomba8185 29 дней назад

    Duniani tunapita

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Месяц назад

    Kariweke liwe kumbukumbu nje ya jengo la makao makuu

  • @amosmdullah7301
    @amosmdullah7301 Месяц назад

    MUNGU ANANGUVU SANA

  • @hashimhassanimassawe8366
    @hashimhassanimassawe8366 Месяц назад

    Hivi.huyundoanakaa.anajaribu.kabs.kumtukana.mama.kweli.lghaasani.yotehiyoakikufanyia.bado.shukraniyako.ndo.unamlipakumtukana.kwelibora.magufuli.angebaki.mpaka.leo.tungeona.mambomazuri.cnaaaaaa

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l Месяц назад

    Hawana shabaha walofyatua risasi risasi nyingi hazijapiga ktk kioo

    • @user-yw3qh6qj8g
      @user-yw3qh6qj8g Месяц назад

      Hapana ndugu,sioshabaha,ni mungu hakuruhusu

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 Месяц назад +1

    Hongera sana kwa jeshi la polisi Tanzania mmefanya jambo la busara sana kukabidhi Mali halali ya lisu

  • @philemonnestory4239
    @philemonnestory4239 Месяц назад

    Anae tumia plate number hiyo ni mhusika namba 2

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s Месяц назад

    Mtukanaji ni nani sema msema ukweri kaja ajawainizo ni akili zako za kimasikini na kutokua na erimu Yani wewe kichwa ni mzigo kwa shongo

  • @chamandaayolaiza1535
    @chamandaayolaiza1535 25 дней назад

    UNAMZAMIRIA KUMU_UWA MWENZIO KUMTIA KILEMA. UNASAHAU KMA NA WWE IPO SIKU NAMOJA UTAKUFA NAUTAKWEND KKUTANA NALIE KU_UMBA HAPO NDIPO UTAKAPO JUTA NAKULIA ILA WAPI 😭😭😭 TUBIA KABLA HAUJA KUFIKIA UMAUTI ALLAH NIMWING WAKUPOKEA TOBA

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад

    WAWE LISSU NDIO UMEFANYA MIPANGO NA WAZUNGU KUTUONDOLEA MPENDWA WATU MAKUFULI KABLA KUFA ULIKUA UNATANGAZA KIFO BOLA RISASI ZINGEKUUA TU MTUMWA WA MANYANGAU WEWE

    • @moshajexplore
      @moshajexplore 19 дней назад

      Mkunduthe hii. Kwani makifuru hakujaribu kumuua?

  • @user-lr5wc6kk7m
    @user-lr5wc6kk7m Месяц назад

    Hili gari usilitengeneze mkuu liweke makumbusho

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Месяц назад +1

      Sio mbaya mpe kibunda atafanya Hivyo 😏😏😏

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Месяц назад

    Jeshi la police 🚔 linazingatia wananchi wake ndio mahana tumekuifazia vizuri tupo pamoja na wananchi wetu

  • @mcgabby
    @mcgabby Месяц назад

    Duuuuuuh Kuna namna anazitaja hizo risasi unaweza sema ni manati aiseee marisasi na marisasi ila Yuko hai

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Месяц назад

    huyu mwamba ni Mtumishi wa Mungu

  • @user-nl3vn6dg6j
    @user-nl3vn6dg6j Месяц назад

    Aisee ule utawala ule dadaki😂 usingerudi TZ milele ndugu.
    Leo tena unamtuka mama? Kweli ww ni tundu

  • @RashidShinza
    @RashidShinza Месяц назад

    Mtukanaji kapewa gali lake

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi Месяц назад

      Shida yetu Sisi Waafrica hatutaki kuambiwa ukweli na huwa tukiambiwa ukweli tunaugeza kuwa ni matusi;Mbona unakimbilia kuyaona matusi huoni alivyogeuzwa kilema?

    • @philemonnestory4239
      @philemonnestory4239 Месяц назад

      Matayo ya Bibi Yako

    • @samwelmkilya9236
      @samwelmkilya9236 Месяц назад

      Mjinga weee

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 Месяц назад

      tumia akili na nyakati usipende kuongea ujinga

    • @danielshimora5315
      @danielshimora5315 29 дней назад

      Chunga kauli zako.

  • @hashimabdallah5730
    @hashimabdallah5730 28 дней назад

    Ipereke makunbusho kaka itakuwa inakuingizia pesa kaka lisu usiitengeze Bora iweke makunbusho itakuwa kumbukumbuu