PROF. KABUDI ASHUSHA NONDO NZITO "SERIKALI YA UJERUMANI IWAJIBIKE KWA MAMBO MBAYA YALIYOFANIKA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 7

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 25 дней назад

    Wanaomubeza Professor Kabudi hawazichambui kwa kina hoja zake. Nikuwa samehe bila gharama. Kwa kifupi ni vyema uwekeze ili upate pesa yakufanya shughuli singing za maendeleo kwa uendelevu.( Sustainability).

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 26 дней назад

    Wagerumani lazima wawajibike

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 25 дней назад

    Waziri wa Utamaduni ?

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 15 дней назад

    Hakika wewe ni professor

  • @Timextimex11
    @Timextimex11 21 день назад

    Makundi yote makuu ya Ligha Duniani wapo hapa Tanzania.
    Wabantu
    Wakoisan
    Wakushi
    Wanilotick
    Afro-asiatic - Wairaque na Wambugu
    Huu ni utajiri. Tujadili:

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 25 дней назад

    Huyu kabudi na usomi wake anazungumza pumba inasikitisha kwa ubaguzi wake watu hawana maji ya kunywa anataka sprinkler za maua