Ndoto ya Kuchinja :Shaikh :Jafari Mtavas

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 50

  • @angelinakafui1353
    @angelinakafui1353 4 месяца назад +1

    As Salam wa rahmatulah shehe naomba unitafsirie ndoto ya kuchinja kondoo

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 2 месяца назад

    Nimeota nyama ilochinjwa buchani ila ina damu naishangaa ile nyama kama ya binadamu mala kichwa chake na taya lake kiujumla ni mnyama nikastuka usingizi na kuomba allahu sw 🤲🤲kama ya shari aiepushe

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 4 месяца назад +2

    Shekhe Asamaleykum mi nimeota mume wangu kachinjwa polini na hii inajirudi rudio sana

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 месяца назад +1

      Allah taala aepushe isiwe kama ulivyoona, ndoto hujulisha maranyingi juu ya kuwa atadhulumiwa.

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 месяца назад +1

      @@MTAVASSYTv asante sana

  • @hadijahussein6302
    @hadijahussein6302 2 года назад

    As salamu alaikumu wa rahmatulah kwa kweli una itaji ulinzi wa Allah, barkalah fika

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 года назад

      Allaahumma aamiyn

    • @jerlaskambale5458
      @jerlaskambale5458 Год назад

      Ki ulutwe nini?

    • @irhadiddi94
      @irhadiddi94 8 месяцев назад

      Jee ukiota unachinjwa wewe mwenyewe tapsiri yake niipi

    • @duniaduaratv1216
      @duniaduaratv1216 2 месяца назад

      ​​@@irhadiddi94utadhulumiwa au wewe urafanya dhambi Allah akuepushe na yote hayo

    • @duniaduaratv1216
      @duniaduaratv1216 2 месяца назад

      ​@@irhadiddi94utadhulumiwa au utafanya dhambi Allah akulinde na yote hayo

  • @RehemaBinti
    @RehemaBinti 5 дней назад

    Mimi nimeota Kuna mbuzi inachinjwa harafu damu ikamwagikia mm

  • @stellamariko2300
    @stellamariko2300 Год назад

    Asante Sana shehe.
    Mimi nimeota kuku amechinjwa ila sikujua nani amemchinja.
    Nikapewa namimi nianze kumkatakata nyama,
    Shehe hi ndoto in maana gani?

  • @nzeyimanaanassi3585
    @nzeyimanaanassi3585 4 года назад

    Jamani kila siku sijibiwi comment zangu.nimeona niko nacuna kuku nyumbani.ndoto zangu sijibiwag 😭

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 года назад

      Ishara ya kupata riki kidogo au itajulisha kuwa wewe haumjibu msoma adhana

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 2 года назад

    Asalam alykum mi mara nyingi huota kuku wengi wakubwa na wadogo wengine mara wamekufa na huota mume wangu anachija kuku

  • @ImranRamadhan-wb2se
    @ImranRamadhan-wb2se 11 месяцев назад

    Me nimeota nashuudia mauwaji mwanamke anachinja mwanaume 😢

  • @muhsonplumbing8450
    @muhsonplumbing8450 2 года назад

    Nimeota nipo na mke wangu Kisha tukakutana na kundi la ng'ombe,Kisha nikamchinja ng'ombe mmoja na nyam kuziwek ktk ndoo

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 года назад

      Inshallah utapata neema, lakini kuna matatizo ya ndoto hizi kwani hujulisha kuwa muonaji ni dhalimu mara nyingine 🤔🤔🤔🤔

  • @salmasaid2512
    @salmasaid2512 3 года назад +1

    A,alykumu, Mimi nimeota malehemu mume wangu kachinja mnyama alafu Mimi nikamchuna maana yake nini.

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 года назад

      Muombee dua tu kwasababu ya hii ndoto inakupa ukumbusho tu mama

  • @kopgdydrtyh7923
    @kopgdydrtyh7923 3 года назад +1

    Mimi nimeota nimemchinja nyoka

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 года назад

      utamshinda adui yako au utamuingilia mwenza wako

  • @DaniKisitu
    @DaniKisitu Год назад +1

    Nimeota ndoto ndugu yangu kachijwa kichwa naomba unitafusirie

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  Год назад

      amefanya dhambi huyo nduguye maana hii ndoto lakwanza katika maana zake ni hii Allaah taalka amemsema قُتِلَ الْلِإنْسَانُ مَا أَكْفَرَ amelaaniwa mtu pale alipokufuru (ameuwawa mtu pale alipopinga) maana hii ya kwenye mabano inazingatia nje udhahiri wa mameno hivyo hapo unapata hilo , lakini inaweza ikajulisha kwamba huyu hajaongozeka ni mpotovu

    • @ModesterSeverin-rq5uo
      @ModesterSeverin-rq5uo 9 месяцев назад

      Ninaota ndoto mume wang anachinja mbwa alf anauza mapande yake nn maana yake

  • @angelangaiza2274
    @angelangaiza2274 3 года назад

    Salamu sheh, nimeota nachinja 🐔 mweupe, naweka damu yake kwenye beseni na manyoya yake naweka umo umo naoga, du! Nini maana yake, nisaidie sheh.🙏

  • @christophermulinge2303
    @christophermulinge2303 6 месяцев назад

    Nimeota ndugu ya babangu akichinjwa ila mchinjaji sikumjua maana n nini

  • @lilianrichard9065
    @lilianrichard9065 2 года назад

    Naomba shehe unipe tafsili ya ndoto naota nagombana na ba mdogo tunatumia mapanga lkn kanikata uson damu zkawa znamwagika nyingi nn maana yake

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 3 года назад +1

    Asww sheh niunge kwenye Group lako

  • @mrsally5583
    @mrsally5583 3 года назад

    Bas mkitoa tafsir toni direct msizunguke mno

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 года назад

      Uelewa wa watu hutofautiana hivyo njia hii husaidia ila inshaallaah tutalifanyia kazzi

  • @MercyJoshua-of1ls
    @MercyJoshua-of1ls 6 месяцев назад

    Sasa kameluti ndio nini sasa wewe tumia kiswahili kiarabu na sisi wapi na wapi

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 4 месяца назад +1

    Nimeota shemeg yang kawachinja kuku wa 2 jogoo wa rangi mchanganyiko,nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 месяца назад

      huyo haswali mhusieni aswali, au laa basi kuna dhulma anafanya.

    • @MmMm-hx6ln
      @MmMm-hx6ln 2 месяца назад

      @@MTAVASSYTv inshaaAllah, ahsante

  • @mariamjuma1943
    @mariamjuma1943 4 года назад

    Mtu akiota swala anachinjwa ila baada ya kukatwa kichwa na kukimbia kuelekea katikati ya watu waliokuwa kwenye sherehe kisha kutaka kuwaambia habari ya maadui zao ila kabla hajazungumza mtu anatokea nyuma na kumchinja, inamaanisha nn?

  • @aliyaliya1995
    @aliyaliya1995 2 года назад +1

    Nimeota mkewangu kapakiwa kwenye bodaboda walifika njiapanda wakasimama nikatokea mm ghafla yulekijana mmoja alikua na panga nika mpora panga na nika wachinja wote watatu nika ondoka na mkewang

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 года назад +1

      acha dhulma utafanya dhulma na kukimbia, kama pia yaweza sema lingine ni kuwashinda maadui au maradhi inshaallaaah

  • @mariamseleman9229
    @mariamseleman9229 4 года назад

    Asww Sheh naoba uniuge kwenye grup lako niliibiwa simu namba 25761208962 ni mimi mariam

  • @evamhufu7698
    @evamhufu7698 3 года назад

    Mimi naomba nisaidie nimetoa namchinja mtu. Maana yake nini?

  • @subiraorajabu7334
    @subiraorajabu7334 3 года назад +1

    Nmeota nmkimbiza jogoo akat nmkamata kulikua na mayai mawil tukapika na wali tafsir yke nn shekh

  • @asiasuleiman2027
    @asiasuleiman2027 4 года назад +1

    Nimeota nagawa nyama ilio chinjwa Ila Sijui Nani kachinja nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 года назад

      Umemuingilia mwanamke usiyejua hata nani kambikiri ( na pia yaweza kujulisha kuwa unafanya jambo au upo na mwanamke hujui historia yake)

  • @mariamjuma1943
    @mariamjuma1943 4 года назад

    Mtu akiota anaogelea kwenye kitanda katika hoteli ya kitalii na watu mbalimbali walikuwepo wakiogelea ila anayeogelea nae akiweza kufika mwisho wa maji na kurudi juu, pia mtu huyo katika ndoto akiwa ni mchumba wake; nn tafsiri yake?

  • @sophiamarwa4067
    @sophiamarwa4067 2 года назад +1

    Samahn nimeota nimekatwa kichwa Nini maana yake

    • @ndohoriomsacky445
      @ndohoriomsacky445 Год назад

      Sophiamarwa4067 umeota umekatwa kichwa inamaana umekatwa unatumika kichwa chako kwenye biashara omba Sana au uangaike

  • @mrsally5583
    @mrsally5583 3 года назад

    Nimeota mtu anamchinja ngombe

  • @josephaugustino9803
    @josephaugustino9803 3 года назад +1

    MIMI NIMEOTA WATU WATATU WAMEKUFA NDANI YA CHUMBA NILICHO PANGA MMOJA
    MPANGAJI MWENZANGU MWINGINE NI BABU YANGU MMOJA SIMJUI ILA NILIKUWA
    NA BABA YANGU NDO NAMWAMBIA FURANI NA FURANI WAMEKUFA ILA KIUWALISIA UYO
    BABA YANGU AKAI HUMU NAPOISHI MIMI AKAJA KUWATAZAMA IZO MAITI CHA AJABU
    MAITI ZENYEWE AZINA VIWILI WILI KIPO KICHWA AWAKWA ANACHUKUWA KICHWA
    KIMOJA KIMOJA KUTAMBUA WAKINA NANI WALOKUFA! JE NDOTO INAMANISHA NN?