TAFSIRI ZA NDOTO | UKIOTA DAMU KATIKA NDOTO YAKO | HIZI NDIO MAANA ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 44

  • @SakinamohammedSakina
    @SakinamohammedSakina 10 месяцев назад +3

    Asalam alaikum ustadh,,nlijipumuzisha mchana nkaota damu zanitoka puani,,nlipoamka sina nguvu kicha chaniuma ,,hasi waleo sihisi vzr

    • @Vela27-q3f
      @Vela27-q3f 2 месяца назад

      Mimi pia niliota hivohivo

  • @AnnahmariammwakuliKiba
    @AnnahmariammwakuliKiba Год назад +1

    Asalam aleykum shekhe mm niliota ninatoka damu zamwezi naimejirudia

  • @gonga1986
    @gonga1986 4 года назад +1

    Asalaam aleikhum sheikh,,mimi nimeota nikosehem ya starehe na familia akatokea mtu akanichoma kisu kichwani nikatoka damu sana nikapelekwa hospitali baada ya kutibiwa nikakaa kidogo alafu nikafa lakini baada ya kufa nikajiona tena naishi...tafadhali nijibu sheikh

  • @ayshaswalekh9197
    @ayshaswalekh9197 4 года назад +2

    Sheik jalbu kwenda streat on point cz kisa cha na bii yusufu tunakijua

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 года назад

    Asaalam alykum.waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah sheikh mm nimeota LEO tumevamiwa na majambazi wakatupiga RISASI. Lakini aliwauwa watu wawili na mm nilikuwa wa watatu. Akunipiga risasi ilikuwa imekwisha

  • @DinahJ-ln8pr
    @DinahJ-ln8pr 2 месяца назад +1

    Ukiota unajikata kidole damu inamwagika alf mtu mwingine kuona ivyo anakusaudia kukufunika ili damu iaache kumwagika inamaana gani

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 года назад

    Asalam waalekum sheh mimi nipo safarin sheh nimeota kwanza na nakimbizwa sana na na mtalaka wangu tena alikua ana jazba sana sana bas naomba misada kwa watu bs lkn nikamshinda hakufanikiwa kunipata sasa mwanang mmoja nilozaa nae yy aliniona akamwambia bana mama huyu apa nikamwambia unataka mimi baba yako aniuwe nikaanza kukimbia ten gafla nikajikuta nipo ndan mimi na wenzang mmoja akawa ana kisu tunavutiana sasa mimi namwita mvulana pemben nisaidie damu zina chururika mikonon mwang yule mvulan alonisaidia akawa na yy akamrejeshea yule ambae aloninjinja nashuta saa kum dakika 6 sik ya ijumaa

  • @zenaal-baalawy3262
    @zenaal-baalawy3262 3 года назад +2

    Mimi niliota nipo na mume wangu anakunywa maji kwenye glass lakini mimi nikiitizama ile glass naona kuwa yale sio maji ni damu,anataka kunywa nikamzuiwiya asinywe nikamuambia hiyo ni damu.

  • @mamanyassri313
    @mamanyassri313 3 года назад

    Aslmwalkum mm nimeota wananikata nakiwembe

  • @raniagazem5471
    @raniagazem5471 3 года назад

    A alykm Mimi watu wanauana mauaji alafu mm nikaenda kukalia damu

  • @vallentinemideva3557
    @vallentinemideva3557 2 года назад

    Tafadhali na mtu akiota anaosha damu ina maana gani na ni damu yangu ya period yangu ndio nlikua naosha

  • @sharifamusssa1465
    @sharifamusssa1465 2 года назад

    Shekh nisaidie.mm.naota nipo.natapikA.mara.nipo.naudumia watu.wawili.vijana.niko.mjamzito.naogopa

  • @DiddySope-or9yy
    @DiddySope-or9yy 9 месяцев назад +1

    Me nimeota nakohoa damu nini maana yake

  • @aaikndy
    @aaikndy 3 года назад

    Assalam alaikum nimeota natapika vipande vyeusi na damu

  • @HassanChiboy
    @HassanChiboy 5 месяцев назад

    Hakika

  • @abuisa1021
    @abuisa1021 Год назад

    Asalam aleykum shekhe mimi niliota jicho langu la kulia linatoa damu nina miaka mitatu sasa mpaka niote tangu siku hiyo jicho linanisumbua sana

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 5 месяцев назад

    Mimi niliota nimeshikwa kichwani damu nyingi zikatoka baadae yule alonishika kichwani akaniambia maradhi yako yote yaliyokuwa yanakusumbua yamepona je shekhe inamaana gani nilivyoota iyo ndoto jioni mvua ikaninyeshea sana maana nipo kikazi nje

  • @jafarahmed4519
    @jafarahmed4519 4 года назад +1

    Asalamu aleykum sheikh mm nimeota natema mate ya damu

  • @SamweliLuhahula
    @SamweliLuhahula Месяц назад

    Me nimeota nimeona damu nyingi barabarani zimetapakaaa na watu wapo pemben wanashangaa na mm pia nikiwemo nashangaa ina maana gan?

  • @jalxs6745
    @jalxs6745 Год назад

    Mimi nimeota natoka damu puani

  • @lucymbai2174
    @lucymbai2174 Год назад +1

    Na ukiota upasuaji uliopasuliwa ukijifungua ukiwa umepasuka Tena na kutoa damu mingi?

  • @efronsinafesto
    @efronsinafesto 2 месяца назад

    Nmeota nakula damu ya hedhi nini tafsiri😢

  • @zulfamwakitosi5002
    @zulfamwakitosi5002 2 года назад

    Asalaam walykum mimi nimeota nimesimama nikajiona naishiwa nguvu mara naona natoka damu puani

  • @MtemiRamadhani
    @MtemiRamadhani Год назад

    Ostadh mi nimeota naambiwa ninywe maziwa yaliyo changanywa na damu namba nipe tafsiri yake

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 3 года назад

    A aleykum Mm nmeota natokwa na damu kwenye tupu la nyuma

  • @azaomary7824
    @azaomary7824 4 года назад

    Mm nimeota natokwa na damu puani

  • @sadamubarak1219
    @sadamubarak1219 3 года назад

    Ukiota je unatapika damu na usaha hali yakuwa ni mgonjwa

    • @gracesaid6958
      @gracesaid6958 2 года назад

      Nmeota rafik angu anatoka machoz ya damu + jasho ladamu lnamtililika nkashtuka sana akat namsindikiza hospital tukapata ajal lakin hatukuumia lakin mbele yetu gari likaanguka na kuuwa watu wa 5 lakin nmelia sana kama waliokufa ni watu wangu wa karibu. nini maana yake

  • @damakatana
    @damakatana 9 месяцев назад

    Mimi liota mnyama amekatwa makalio anatoka damu

  • @Ruthmpoa-sv9ul
    @Ruthmpoa-sv9ul 6 месяцев назад

    Niliota miguu yangu hinatoka damu nikaona babangu ananipangusia hiyo kina maanisha nini

  • @bintisamwel6513
    @bintisamwel6513 2 года назад

    Ivi mkiuliza maswali mnajibiwa kwel

  • @jacquelinelyimo1826
    @jacquelinelyimo1826 2 года назад

    Nimeota kuna mtu anafanyiwa operation alikuwa anaumwa..wakati tumemzunguka alivyopasuliwa tuu damu zikanirukia kuanzia usoni na mwilini...na baada ya operation mtu huyo akapona.

  • @azizahassan939
    @azizahassan939 3 года назад

    Nimeota damu iko kwenye ndoo nyeupe

  • @Trendtalks05
    @Trendtalks05 3 года назад

    Asalaam aleykum ukimuotea ndugu yako wa kiume amefungwa kamba ananyweshwa damu nini maana yake sheikh

  • @leticiajohn968
    @leticiajohn968 3 года назад

    Nimeota nakidonda kikubwa mguun nn maana yake nisaidie