Ukioto Unafua Nguo Na Kuzianua Ina Manisha Nini?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 89

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 6 месяцев назад +1

    Asante sana pastor ubarikiwe

  • @MiragorethLaswai
    @MiragorethLaswai 3 дня назад +1

    Napokea kwa jina la yesu

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 10 дней назад

    Asante pastor mm nimeota nikiwa ziwan navuka baada ya hapo nguo zangu zikandondoka alafu nikaziludisha after hapo zikawnda tena zikawa kama zimeanikwa kwenye mchanga

  • @rahmajumaomar8749
    @rahmajumaomar8749 Год назад

    Asante sana pastor

  • @RukiahKanga-v4v
    @RukiahKanga-v4v 2 дня назад

    Amin

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 года назад +2

    Ameen, bwana amenivunja miguu

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 2 года назад +1

    Amen amen barikiwa Sana mtumishi

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 года назад +1

    Amen Amen ,🙏ubarikiwe sana pastor

  • @subirapallangyo5670
    @subirapallangyo5670 Год назад +1

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

  • @Lovenessimon-zz8qg1jz6j
    @Lovenessimon-zz8qg1jz6j 8 месяцев назад +1

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @pendohenry3207
    @pendohenry3207 Год назад

    Kweli kabisa baba mm nipo hvo ubariwe Mungu azidi kukubariki zaidi

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 года назад +1

    Napokea, katika Jina,la YESU AMEEN AMEEN🙏🙏🙏🙏

  • @jumambote345
    @jumambote345 2 года назад +1

    Ameeen mtumishi

  • @aidaswana2122
    @aidaswana2122 Год назад

    Amen baba and amen i receive it

  • @FabiolaMkojera-pn3pg
    @FabiolaMkojera-pn3pg Год назад

    Shalom pastor?ningependa tena kujua ukiota na jembe lipo pembezoni mwa mlango..

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 года назад +1

    Unaeeweka vizuri

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 2 года назад +1

    Ombi langu kwa Mungu, NATAKA NIKUJUE NIKUFAHAMU BWANA MOYO WATAMANI NIKUJE.

  • @wycliffekibengwa5978
    @wycliffekibengwa5978 2 года назад +2

    Amen

  • @FatumamumbeKyalo
    @FatumamumbeKyalo 3 месяца назад

    Nikweli pastor Mimi Niko Ivo kabisa mpaka watu ua wananishangaa

  • @MathaGerlad
    @MathaGerlad 9 месяцев назад

    Amina

  • @joyceadema7904
    @joyceadema7904 Год назад

    Amen nimepokea kuanika nguo na kufua🙏🙏

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 5 месяцев назад

    Ameeeeen

  • @DoreenAlex
    @DoreenAlex 9 месяцев назад +1

    Mimi ni wa August ila nina tabia hizo

  • @veronicaguilherme8430
    @veronicaguilherme8430 6 месяцев назад

    Shaloon Mtumishi? Mama ameota amefua nguo nyeupe na kuanua na kunvisha mtoto lile gauni na kwenda kanisani

  • @الحمدلله-ذ7م7د
    @الحمدلله-ذ7م7د 2 года назад +1

    Pastor niliota niko namtoto wangu tulikuwa sehem ambayo siijui tukakuta ngazi nyingi alafu zavyuma tukaanza kuzipanda huku nimemushika mkono mtoto wangu baada ya kufika juu kabisa tukakuta tena. Zngine zakushuka tukaanza kushuka tena kwa chini tukakuta nyumba nzuru sana wameweka kila aina ya mapambo hadi tutaa twakuwaka kama tumauwa tuna langi nyingi sana napalikuwa watu wengi sana wali kuwa wamefungulia mziki ila siku juwa ni mziki. Gani ila palichangamka sana sijui mana yake pastor

  • @dianalyamuya4809
    @dianalyamuya4809 Год назад

    Baba ubarikiwe sana hebu tueleze na watu wa mwezi wa saba!

  • @wycliffekibengwa5978
    @wycliffekibengwa5978 2 года назад +1

    Nimeota nalazimishwa nirudie kidato Cha nne na nilipita vizuri nakubadiliana nao lakini ninapotaka kukalia mtihani 🦎 lizard ananirukia ninashtuka nakaata kurudia kidato Cha nne

  • @minkelvin9044
    @minkelvin9044 Год назад

    Pastor nimeota kuna mubaba flani alikua anang'ang'ana na kutaka kulala na mm, but hakufaulu nilimsukuma huko thn kufungua mlango watoto wake wakamuona akiwa hana nguo walikua hapo mlangoni hadi wakashituka inamaanisha nini mchungaji

  • @annwafula9183
    @annwafula9183 Год назад

    Amen🙏🙏🙏🙏

  • @aidaswana2122
    @aidaswana2122 Год назад

    Kweli kabisa baba na mm ndo nilivo hivo hivo

  • @الحمدلله-ذ7م7د
    @الحمدلله-ذ7م7د 2 года назад +2

    Ameen.

    • @akwilinagodwin5959
      @akwilinagodwin5959 2 года назад

      nimeota nikifika na kuzianika zile nguo zote

    • @akwilinagodwin5959
      @akwilinagodwin5959 2 года назад

      miaka mitaku iropita niliota nimevaa nguo nyeupe ambayo IPO kama shela watati nilipo kuwa natembea ilingia doa nikamza kulifuta mpaka Nika sutuka kwenye usingizi

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 года назад +1

    Ameen

  • @queenowino9236
    @queenowino9236 2 года назад

    Amen amen 🙏🙏

  • @imeldathomas760
    @imeldathomas760 4 месяца назад

    Kuota unaanua nguo ina maana gani?
    Mimi nimeota naanua nguo zangu katika kamba na nikamuona mchungaji akinisaidia kuanua nguo hizo

  • @Zamzamfarag-b7e
    @Zamzamfarag-b7e 10 месяцев назад

    Kweli pastor iyo yote ni tabia yangu

  • @helenachiwoni5100
    @helenachiwoni5100 2 года назад

    Mimi nimzaliwa wa kwanza

  • @PendoBonface
    @PendoBonface 3 месяца назад

    Mimi nimeota mzee kikongwe maana yake nini mchungaji

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 года назад +1

    Unayo yasema ni kweli

  • @PendoMkakanzi
    @PendoMkakanzi 8 месяцев назад

    Kweli mtumishi mimi niko ivo

  • @Dorcaskendi-ny3ml
    @Dorcaskendi-ny3ml Год назад

    pastor niliota nikianua manguo

  • @gloriarimba4080
    @gloriarimba4080 Год назад

    Jana niliota nafua nguo ya white na blue nilipomaliza kufua nikaona nazianika kwa kamba

  • @kaninimuindi6470
    @kaninimuindi6470 Год назад +1

    Ni ukweli mtoto wangu hanaga kikubwa na kidogo upeana tu hata kama sio chake

  • @sarahmwikali4164
    @sarahmwikali4164 10 месяцев назад

    Amen in Jesus name

  • @mariamlinus6182
    @mariamlinus6182 2 года назад +1

    Niliota nimeenda kwa mume wangu tulieachana lakn nikiwa na maisha magumu sana na sikumuona yy nikawa naona mke wake na watoto wake ila akanisimanga pia ndoto ikajirudia rudia na aitok kichwani nn maana yake

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      Unaonywa Kuwa ni wewe Una weza kufanya maisha yako Kuwa mazuri Kwa kusahau yaliyo pita na kuanza maisha mapya. Ukirudi nyumba utapatana na madharau

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 Год назад +1

    Mimi niliota nimefua nguo na ninasianua nikipanga kwa carpinet

  • @JoyceNchama
    @JoyceNchama Год назад

    'Mm.niliota.nmefuwa.nimeanika

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 года назад +1

    Niliota simba wawili majike, nikaanza kuokoa watoto wa jirani ili wasiliwe, na simba, mara nikaona simba wananiogopa wakakimbia wale watoto nikawapa, chakula,

  • @evea-mo2rh
    @evea-mo2rh 11 месяцев назад

    Nimeota mtoto wangu anapewa nguo mpya ni mfano wa suti ni rangi ya buruu na ina misitari mweupe pia ni sare nguo za ndani afu pea mbiri nisaidie mtumishi

  • @lilliannyarinda6057
    @lilliannyarinda6057 2 года назад +1

    Na hkiota navulia nguo kwa mto inamaanisha nn

  • @LilianAchieno
    @LilianAchieno 3 месяца назад

    Haki mtumishi mtoto wangu jack yuko hivyo unaongea ukweli

  • @gracengairo6214
    @gracengairo6214 7 месяцев назад

    Mtumishi mimi niliota nafua afu kuna mtu akaja kunisaidia kifua

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 года назад +1

    Kuna rafikiangu, mwanamke, nilimuota kanipeleka kwenye, kaburi akaniambia nisujudu , kwenye hilo kaburi, akaniambia usipo sujudu, utapata madhara, nikakataa, nikaanza kukeamea, katika jina la Yesu, nikaamka usingizini, myiaka tano sasa huyo rafikiangu, hanipendi tena hata simu hanipigii

  • @eunicekithome1205
    @eunicekithome1205 9 месяцев назад

    Ameeeeeeen

  • @AngelinaNyahega-bp7xt
    @AngelinaNyahega-bp7xt 8 месяцев назад

    Mimi nimeota nafua nguo za kiume suluali nyigi na mashert pamoja na mashuka alaf nikazianika hi Ina maana gani

  • @morrenelamwaka4974
    @morrenelamwaka4974 2 года назад

    Nikweli pasta ata kama Sina chochote aniambia nikologee ata uji usiyo kuwa na chochote nina watoto watano ila uyu wa mwez wa tatu Yuko tofaut sana na awa wengine

  • @MkulaElfrida
    @MkulaElfrida 8 месяцев назад

    nimeota Kuna mtu amekufa mzee. ila watu wanajiandaa kwenda mochwari ila nguo za kumvisha zilipoletwa nikaona ni chafu sana nikaanza kuwaambia hakuna nguo zingine? Au zifuliwe? nikashituka

  • @gracemalisa251
    @gracemalisa251 8 месяцев назад

    Ukiota unateka maji kisimani na kuingiza ndani na pia ukiota ndoto unaanua nguo aina koti la mchumba wangu

  • @jacklinbusena5210
    @jacklinbusena5210 Год назад

    Nimeota nikiosha nguo za president wetu

  • @JoyceKivuyo
    @JoyceKivuyo 8 месяцев назад

    Nimeota naanua nguo

  • @minkelvin9044
    @minkelvin9044 Год назад

    Tafadhali pastor nisaidie nijue hio mdoto inamaanisha nn

  • @morrenelamwaka4974
    @morrenelamwaka4974 2 года назад

    Pasta niliota nipo kwenye way wa sinyenge nimelala na watoto wangu akaja simba kuzingila pale na kuwakamat watoto wangu nikapambsna nae akakimbia

  • @angelaodundo4060
    @angelaodundo4060 2 года назад +1

    Hello rev praise God usiku wa kuamka leo niliota nmeletewa gari aina ya vitz KCJ ya lemon green sasa nlikuwa nashangaa ntaambia wadosi gari imetoka wapi na inekuwaje nkanunua nkaamka

  • @rahmamasagati4218
    @rahmamasagati4218 2 года назад +1

    Je ukiota unafanya mapenzi kwenye ndoto hii Ina maana gan

    • @felistuskinongi
      @felistuskinongi 2 года назад

      Ukona jini mahaba ama ni roho ya spiritual father's

  • @emeldaogoncho9809
    @emeldaogoncho9809 8 месяцев назад +1

    Ukiota mtu akipima nguo yako inamaanisha nini

  • @Julieth-n2h
    @Julieth-n2h 5 месяцев назад

    Niliota naanika nguo za ndani chumbani kwa baba ambaye ameshakuf

  • @ritadupon6858
    @ritadupon6858 6 месяцев назад

    Kuota unaanuwa ńguo

  • @JoyceNchama
    @JoyceNchama Год назад

    Ukiota.unakula.udongo.au.umebebw.kwanye.gali.namtu.mnaye.fayanaye.kazi

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 Год назад

    Niloota nafua nguo

  • @linahchrissy7574
    @linahchrissy7574 11 месяцев назад

    Nimeota nikifua nguo za mtu mwingine 😢

  • @gracemathias-ub1dj
    @gracemathias-ub1dj Год назад

    Nimeota naanika nguo et nini maama yake

  • @rotundajane3426
    @rotundajane3426 2 года назад

    Uki ota una anika nguo kwa kamba

  • @JoyceNchama
    @JoyceNchama Год назад

    Nanikaota.nawaona.ndugu.zangu.wamefaa.sare.mm.sijavaa...hiyo.sareee.inamaana.gan.baba

  • @eliamlomo6620
    @eliamlomo6620 Год назад

    niliota nimevunja mnala wa wachawi

  • @eliamlomo6620
    @eliamlomo6620 Год назад

    Nikaota simba anakoloma navo msogelea anakimbia

  • @PriscaPrincess-jn5pr
    @PriscaPrincess-jn5pr Год назад

    Pasta niliota Niko munadani nikinunua nguo zamtumba Kisha nikazifua Nani kaondok nazo nyumbani

  • @solomoniswilla8441
    @solomoniswilla8441 2 года назад +1

    Amen

  • @JoyceJohn-n7l
    @JoyceJohn-n7l Год назад

    Amin🙏🙏

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 Год назад +1

    Amen

  • @GraceLeonidas
    @GraceLeonidas 4 месяца назад

    Amen