MUONEKANO WA NDANI NA NJE WA TRENI ZA MWENDOKASI "INTERNET NI BURE, SPEED NI KASI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 фев 2024

Комментарии • 339

  • @_born84
    @_born84 3 месяца назад +23

    With this new railway Tz is set to be a serious logistics hub in Africa .
    Congratulations Watanzania!

  • @nzizajovinpaul4955
    @nzizajovinpaul4955 3 месяца назад +7

    Tanzania nchi tajiri na Mama samia atasababisha wananchi wapate usafiri Mzuri. ❤❤❤ Keep Moving forward Tanzania.

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 3 месяца назад +15

    Dr, Samia yupo vizuri, na hatuna shaka nae, maana alikua pacha wa jpm, shida ni Yale mafisadi yalio chini yake.

  • @HassanMoha-rc8oq
    @HassanMoha-rc8oq 3 месяца назад +14

    Hongera nchi ya Tanzania Hongera mama samia songa mbele kwa kujenga Tanzania 🇹🇿

  • @user-oz6zp8fr1c
    @user-oz6zp8fr1c 3 месяца назад +25

    Maua maua ndugu yetu Hayati Magufuli. Pumzika kwa Amani Baba

  • @victormbagga1821
    @victormbagga1821 3 месяца назад +15

    Usafi please na utunzani
    Sio mauchafu kutupwa ovyo

  • @salimsaid9852
    @salimsaid9852 3 месяца назад +3

    Hongera sana Mama Samiha.Treni zimependeza sana ila hofu yangu ni suala La usafi sijui tumejipangaje.na Walichofeli Waandishi wa habari kwenye hii dhiara ya majaribio hawakuwauliza wakurugenzi juu ya suala la USAFI.

  • @vero57
    @vero57 3 месяца назад +15

    Asante sana magufuli, ndiyo leo wamemaliza kazi ya train 🚉

    • @edwinmakingi3631
      @edwinmakingi3631 3 месяца назад

      Bado hawajamaliza, bado sana

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 3 месяца назад +1

      Uyo dada anasema asane laisi samia kwa kulinda kibarua chake ionekane samia ndo anafanya kaz hii lakin kwenye comet ni magufuli2 we ka na uyo samia wako

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 3 месяца назад +4

      Hongera Mama Samia kwa kazi nzuri

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 3 месяца назад

      ​@@halunimnenwa5224
      Na wewe nenda chato kakae na huyo Magufuli wako

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 3 месяца назад +3

      Hongera Mama Samia kwa mwendelezo na Kupiga hatua mbele

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 3 месяца назад +4

    MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI 💪💪💪🇹🇿 Hakika Raisi Dkt John MAGUFULI alitengeneza ALAMA icon ambayo haitasahaulika milele na Taifa 🇹🇿 na DUNIA 💪💪💪💪

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 месяца назад +9

    Hongera sana baba huko uliko

  • @seifwashule274
    @seifwashule274 3 месяца назад +5

    big question is! je tutaweza kuendeleza na kutunza, au itakuwa kama mabasi ya mwendokasi☹

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 3 месяца назад +6

    Kuna vingi vya kumuiga mzee wetu magufuli mungu amsamee baazi yamakosa yake🙏🙏

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 месяца назад

      Hakuna aliyekamilika mkuu.

  • @user-ir5mc7vk8b
    @user-ir5mc7vk8b 3 месяца назад +5

    Asante Mungu kwa neema hii ya usafiri huu hii hakika ni hatua kubwa Sana

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 3 месяца назад +6

    Wahoooo am exceedingly humbled am profoundly honoured in My President 's leadership. Her Excellency Samia Suluhu Hassan...

    • @KomboHajj
      @KomboHajj 3 месяца назад

      Ongea kiswahili wew

  • @lameckmagunya7013
    @lameckmagunya7013 3 месяца назад +8

    Hongera kwa serikari

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 2 месяца назад

    Rais SH.Kazi nzuri endelea hivi hivi kuipatia maendeleo makubwa nchi yako Tanzania ndo nyumbani tutazunguka huko tutarudi nyumbani Tanzania.Big up SH,My president.

  • @Calex-the-Pilot
    @Calex-the-Pilot 3 месяца назад +4

    Ningependekeza Rangi ya viti vya Bussiness ibadilishwe au ifanyiwe ubunifu ipendeze, rangi moja tu tena ya orange haiji kabisa! Viti vya Economy vina muonekano mzuri kuliko vya Bussiness!

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 3 месяца назад +1

    Hongera sana Tz hongera Mama yetu Samia hongera Watanzania wote kwa ushirikiano na mapokezi mazuri

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 3 месяца назад +4

    Jembe Magufuli aliona mbali , iko poa sana

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 3 месяца назад +16

    Baba magufuri tutakukumbuka 😢😢😢 daima

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 3 месяца назад +4

      Tusiwe wabinafsi,magufuli kweli alianzisha lkn si wapo walioendeleza!kwanini wote tusiwapongeze?

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 3 месяца назад

      Hakika Jembe letu baba upumzike kwa amani , amina🎉🎉🎉

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 месяца назад +5

    Msingemuua mwamba mpaka Leo tungekuwa mbali sana ... Rip malume Magu walikuua ili wanifanye wao ndio walioleta maendeleo

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 3 месяца назад

      Pole😅

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад

      Yule mjinga na yeye aliua wengi anaeua Kwa upanga nayeye atauwawa Kwa upanga kwahiyo utetee ujinga

    • @mancholotrasco8350
      @mancholotrasco8350 3 месяца назад

      @@robertphilip385 alimuua nani Kwa ujinga acha kusifia wapumbavu wanaojiita viongoz wakat wanakula rushwa tu ... Hayo maendeleo unayoyaona Leo ni mipango ya magufuri yote ... Mnasifia kiongoz anaueshindwa kubalance bei ya sukari na miunodombinu ya umeme nchi gani hiyo

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад

      @@mancholotrasco8350 Ben sanane nawengine wengi alijaribu kumua Lisu mungu akakataa likafa yeye jinga kabisa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад

      @@mancholotrasco8350 Ben sanane nawengine wengi alijaribu kumua Lisu mungu akakataa likafa yeye jinga kabisa

  • @outzone66
    @outzone66 3 месяца назад +5

    Huyo alikwenda kunawa kwenye fountain tap itakuwa haijui matumizi yake. Hiyo ni kwa matumizi ya kunywa maji

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 3 месяца назад

      Mh!umemuona kumbe?

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 3 месяца назад +1

      Ndio wanatakiwa wawafundishe abiria jinsi yakutumia vitu vilivyomo humo ndani bila hivyo ni shida.

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 месяца назад +14

    R I P Magufukuli uliyo achaa bado na endelea Kwa wa Tanzania Allah akupe Nuru uko uliko Sleep well still remember you comred

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 месяца назад +4

      hili ni wazo la jakaya ndie alieanzisha maqufuli akarithi rejeeni historia

    • @user-fl3fb5gh6b
      @user-fl3fb5gh6b 3 месяца назад +2

      Atii wazo la kikwete,mbona alishindwa

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 месяца назад

      @@user-fl3fb5gh6b alishindwa wapi wewe wafadhili wakwanza katika ujenzi huu wa reli ni nani aliewashauri au ulikua bado unanyoya?

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 3 месяца назад

      ​@@user-fl3fb5gh6bna huyo magu wenu pia kashinda. Bisamia oyee. Magu kazi yake alikuwa ni kufilisi watu tu

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 3 месяца назад

      Lazma ujue kwamba sio kila mpango mkakati unapo pangwa na serikali ni lazma ufanyike kwa wakati huo huo hasa ktk miradi mikubwa ya kimkakati inahitaji umakini wa hali ya juu ikiwezekana yanakusanywa maoni juu ya kilicho wasilishwa hivyo basi wala usikatae hii miradi mikubwa ya nchi inakuwepo ila utekelezaji wake ndo huchua muda wazo linakuja awamu ya 6 ila utekelezaji unakuja awamu hata ya 8​@@user-fl3fb5gh6b

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 3 месяца назад

    Tanzania congratulations and I hope magufuli alifanya makubwa walio achiwa wanatekeleza vizuri kazi iliyo bakia kongole Mama samia

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 3 месяца назад +2

    PONGEZI kubwa kwa Raisi Dkt John pombe MAGUFULI

  • @khadujifuad9360
    @khadujifuad9360 3 месяца назад +3

    Nawaza huo mgao wa umeme sasa?

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 3 месяца назад +8

    Magufuli hayupo kimwili lakini bado anaendelea kufanya kazi

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 3 месяца назад +2

    Kama lengo ni kumpongeza hayati Magu basi na Mh SSH apewe maua walikua wote.Tusisahau hio plz😂😂👏👏👏

  • @evansokemwa6587
    @evansokemwa6587 3 месяца назад +4

    kweli tanzania imendelea sana kuliko kenya pongezi wa bongo

  • @jkomedikaduli
    @jkomedikaduli 3 месяца назад +21

    Maguuu maua yake huko mbinguni amen

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 3 месяца назад +1

      Nani kakwambia yupo mbinguni

    • @dullahmmebela5624
      @dullahmmebela5624 3 месяца назад

      Mimi nimesema!!!​@@letthedeadburythedead2148

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 3 месяца назад

      @@letthedeadburythedead2148 basi huko aliko

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 3 месяца назад

      Kila kitu magu, magu nyie mnazani hakuna mwingine angeweza kufanya hivo...

    • @radhiaomary5591
      @radhiaomary5591 3 месяца назад

      @@piusgadau6328kumbuka yy ndo kaanzisha

  • @user-yi8qv1lg5e
    @user-yi8qv1lg5e 3 месяца назад +4

    KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 месяца назад +2

    Mama fanyen kwel tok dar to arusha kabla ya afcon itakuw mmechez...watu watatak kutalii zaid kupitia tren

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 3 месяца назад +11

    Hasante marehemu maghufuri kwa kuanzisha treni hii na hongera mama samia kwa kukamilisha treni kufanyakazi leo

  • @salimshuba5804
    @salimshuba5804 3 месяца назад +3

    160kph ni ndogo sana kwa tren ya umeme...inabid iwe kuanzia 200kph na zaid

  • @robertmkude8234
    @robertmkude8234 3 месяца назад +4

    Thanks JPM & SSH

  • @andrewmashika3756
    @andrewmashika3756 3 месяца назад

    Hongera TRC. Hio full a/c ikipata hitilafu madirisha yanaweza kushushwa?

  • @ismailisungura3491
    @ismailisungura3491 3 месяца назад

    Tuta kukumbuka daima JPM congratulations jembe

  • @susanmauno8207
    @susanmauno8207 3 месяца назад +1

    Congratulation tanzanian thats a big step

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 3 месяца назад +2

    mashaAllah kama ndege❤

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 3 месяца назад +1

    VERY COOL..Lakini nimeshangaa kuona katika VIDEO HII kwenye dakika ya 3:32 ....UTAONA TRENI IKIWA NJIANI KWENYE MWENDO HUKU BAADHI YA MILANGO IKIWA WAZI.....Huku EUROPE HAKUNA TRENI YA UMEME INAYOWEZA KUFANYA KITUKO KAMA HICHO...#USALAMA KWANZA ... NI KOSA KUBWA HATA IKIWA NI MAJARIBIO...HAIRUHUSIWI....

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 месяца назад

      Ndio Bongo hii mzazi acha tu

  • @user-xk8nc2ii2u
    @user-xk8nc2ii2u 3 месяца назад

    Hongera sana kazi inaendelea

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm Месяц назад +1

    Hongera mama samia

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 3 месяца назад +2

    Mama Samia namba one tz. Hana ubaguzi yy ni kazi kazi. Wenye roho nyeusi wabakinazo tu.

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 3 месяца назад

      Samia kafanya Nini wew boya!

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 3 месяца назад +1

      @@miltonjohn9779 boya mwenyewe mkundu mweusi kama nyani. Ww huwezi kuona kafanya nini kwani roho yako inachuki binafsi. Chuki zinamfanya mtu awe kipofu.

  • @user-kg2fe7dd2v
    @user-kg2fe7dd2v 3 месяца назад +1

    Nampongesa rais wetu samia , hakika hajatuangusha , huyu ni kiongoz kwelikwel

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 3 месяца назад +1

    PONGEZI kubwa Ziende kwa Raisi wetu DKT John pombe MAGUFULI 💪💪🇹🇿🫡

  • @jbmaru96
    @jbmaru96 3 месяца назад +2

    Much better than Kenya big up wooooohoooooo

  • @ArcadoBaliseka-yt5ox
    @ArcadoBaliseka-yt5ox 3 месяца назад +3

    Tren yenyewe yamwaka 70 tunataka treni ya mchongoko sio hiyo

  • @nassrabarwani1548
    @nassrabarwani1548 3 месяца назад

    Tuitunze jamani tuwache Uswahili na tuwe na nidhamu big up Tanzania!

  • @user-mz2wx5dt9v
    @user-mz2wx5dt9v 3 месяца назад

    Magufur mungu akutunze pastor

  • @timotheeciza1592
    @timotheeciza1592 3 месяца назад

    Hongera sana président Samia na heshima kubwa sana kwa malehemu Magufuli

  • @Keytv254
    @Keytv254 3 месяца назад +3

    Tanesco naye ni nani😂😂😂

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 3 месяца назад

      Hawamjui vzr.. Ye yuko pale anawazoom tu😂😂

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 3 месяца назад +2

    Magu hooooyeeee mungu akupunguzie adhabu uko ulipo wameaanza kujaribu miladiyako baba ila wameiijumusana Sina uakika Kama watamaliza Kama ulivyotaka iwe baba watu wanaujumusana miladiyako

  • @Iam_mgahivevo
    @Iam_mgahivevo 3 месяца назад +2

    Ishu ni yatadumu au ndio wahusika watachukua Salio la wamiliki wa mabasi ili wayauwe ili wapate wateja kwenye mabasi

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 3 месяца назад +1

      Hilo nalo neno na mafundi wanaojua kuyarekebisha wanao au mpaka watoke nje.

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 3 месяца назад +1

    Bale kigamboni Ile Panton Kuna TV sijui Ile TV inafanya kazi gani hiii miaz kumi na Moja napita na mv hapa kazi tv Ile sijui wausika wapo kaburini😊

    • @amospotievents960
      @amospotievents960 3 месяца назад +1

      Itawaka kipindi cha kampen kuwa mtulivu😂😂😂😂

  • @mrben227
    @mrben227 3 месяца назад

    Kwahiy hizi treni ni 2,yani moja wakati inqkwenda dar nyengne inqkwenda moro ?? Au vp wana comments?

  • @adamuselemani6173
    @adamuselemani6173 3 месяца назад +1

    Hamna treni treni wamesha ichakachua ilitakiwa ije ya kufanana na ndege Hiyo ndio mwendo Kasi,,,Sasa hii Kama ya kwenda kigoma 😮😮😮😮😅

  • @franssmoses6791
    @franssmoses6791 3 месяца назад +1

    Amna treni hapa temepigwa kwa wenzetu izo ni treni za kubeba mizigo muonekano wa nje kama semi trela

  • @user-ix4uc3et8p
    @user-ix4uc3et8p 3 месяца назад

    Hunger sn Tanzania km alivyosema JPM Tz ni nchi Tajikistan basically ht kulipwa mshaha kwa mtu m1 m1 inawezekana. DHAHABU,ALMASI , BANDARI NA MBUGA ZA WANYAMA ,

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 3 месяца назад +3

    Mbona za wenzetu hazipo hv au zile ni za Gesi😂😂😂😂

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 3 месяца назад +1

      mtumba huu 🤣🤣🤣 ulikuwa ushatupwa wao wameenda kuununua

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 3 месяца назад

      Samahani mwenzako yupi 😂

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi 3 месяца назад +1

      Mwenzako yupi? Hatuwezi kua grade moja hapa duniani labda mbinguni😂😂😂

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 3 месяца назад +1

      @@KiongoziMwandamizi hata mbinguni hawezi kalia kiti cha Musa,

  • @lupamwakyusa1582
    @lupamwakyusa1582 3 месяца назад

    R I P Magufuli 💪, japo sidhan kama ndo ilikua aina ya mabehewa uliyoyakusudia na mda ulioupanga kuanza kufanyakazikwa trenii

  • @ABUBAKAROMAR-vz7jl
    @ABUBAKAROMAR-vz7jl 3 месяца назад +1

    Kusema kweli mumetushinda yetu ya kenya

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 месяца назад

    Naomba kazi

  • @thedaveiknow.
    @thedaveiknow. 3 месяца назад

    This is way better than the kenyan SGR..and for way cheap..Uhunye alituosha manze😢

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 3 месяца назад

      Kama Uhuru aliwaosha,Ruto atawakatakata Kama kitunguu.

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 2 месяца назад

    Hizo siti za Watu watatu hapana aisee.... sijui watakuwa wanapima watu kg.....

  • @isaacmusa2977
    @isaacmusa2977 3 месяца назад

    😂😂😂ata hawa wamegongwa pia...

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 3 месяца назад

    Zitsenda mpaka Nsirobi?

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 3 месяца назад

    Yeah! Tanzania kila la heri na maendeleo.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 месяца назад +2

    Tatizo watanzania wengi sio wastaarabu na wachafu wape mwezi tu treni itakuwa kama choo

    • @haggaiandagile6232
      @haggaiandagile6232 3 месяца назад

      Hapa ndio shida inapoanza ukawaida, kuchukulia vitu poa, kuharibu vitu...natamani wachapwe viboko hawa wachafuzi

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 3 месяца назад +1

    Dada unaongea points tupu😊😊😊

  • @kevoowade2794
    @kevoowade2794 3 месяца назад

    Nice one

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 3 месяца назад +1

    Mnajitoa ufahamu mwanzilishi hatajwi kabisa,

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 месяца назад +1

    Hongera sana Mama Samia , yeyote leo atakayekutukana Mama Samia Mimi ninaye 😊

  • @user-jw3gi6nn2i
    @user-jw3gi6nn2i 3 месяца назад

    Tumetoka Mbali Nakumbuka.Nimewahi Kupanda Treni Ya Makaa Yamawe Nikitoka Mombo Kwenda Arusha Nikiwa Mdogo Na Marehemu Bibi Yangu Nikaja Kupande Tofauti Na Ile Nikiwa Mkubwa Na Leo TZ Tunaingia Ya Kutumia Umeme Kweri Tumepiga Hatua IPO Siku Nahiyo Nitaipanda

  • @melau_tz
    @melau_tz 3 месяца назад

    Nauli bei gani?

  • @KapuliMkayala
    @KapuliMkayala Месяц назад

    Ongeleni sana

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 3 месяца назад

    Mimi nina wasiwasi mkubwa kwenye usafi wa ndani na nje ya treni,na ubora wa huduma zote,tukifeli hapo kwa muda mfupi treni itakuwa haitamaniki kabisa!

  • @Mollelmichal
    @Mollelmichal 3 месяца назад

    Kama umeme ndo mnakta hivi sasa hii treni itakuwaje

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 месяца назад

    M'mungu ailinde Tran hii amen🙏

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 3 месяца назад

      Mungu harindi train bari ninyi msiharibu train hiyo. Kwakua mungu hatokushika mkono usiharibu kama unataka kuharibu.

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 3 месяца назад

    Mfundishe watu ustaarabu Sasa, na ninyi pia muwe wastaarabu, lkn keep nyume na hilo jata hizo meza zitakiwa viti au stand za mizigo

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 3 месяца назад +1

    ziitwe JPM rail ways hilo jina la mwendokasi limekaa kishamba sana

  • @mwinyimatopa2283
    @mwinyimatopa2283 3 месяца назад +8

    Hongera Sana Kwa serikali na za kipekee Kwa magufuli huko aliko

  • @user-il5rk1ul4f
    @user-il5rk1ul4f 3 месяца назад +1

    Je itakuwepo na treni ya mizigo?

  • @husseinallysuleiman4657
    @husseinallysuleiman4657 3 месяца назад +1

    Kuwe na viatu maalum vyakupandia maana navyowajua wabongo ilo kapeti litajaa mchanga wiki tu namaganda ya karanga maana mwingine atanunua mahindi asafiri huku anatafuna ainjoi safari

  • @youngrich6661
    @youngrich6661 3 месяца назад +2

    Tanzania on top

  • @bilid4128
    @bilid4128 3 месяца назад

    Hiyo ya economy ina Changamoto kidogo ,mtu wa dirishani akitaka kutoka ataleta usumbufu kwa aliyekaa pembeni yake

  • @anordmwesiga8717
    @anordmwesiga8717 3 месяца назад +1

    Mbona muda ni mrefu sana..dar to moro dk 90 ni nyingi sana..

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 3 месяца назад +2

    MAGUFULI ❤R.I.P

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 3 месяца назад +1

    Yani Hii Train ina viti kama Vya Ndege

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 месяца назад +2

    Wewe Dada Kenya wanayo usitudanganye au hujawahi kufika Kenya ?

    • @jossycally
      @jossycally 3 месяца назад

      huku kenya ni ya disel sio nishati

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 месяца назад

      @@jossycally Mwaka 2017 Kenya walianza kuwa na SGR train iliyojengwa na Wachina. Huamini ebu Google uone

    • @casmiraugust6853
      @casmiraugust6853 3 месяца назад

      ​@@leokamil6284ile ni ya diesel sio umeme

    • @t1910j
      @t1910j 3 месяца назад

      Ya Kenya ni ya diesel ya Tanzania ni ya umeme. Alimaanisha hii ni treni ya kwanza ya umeme East Africa.

    • @martinstarford6209
      @martinstarford6209 3 месяца назад

      ​@@t1910j Mimi naona kiswahili ndio lugha ya taifa Tanzania lakini bado kuelewa imekuwa shida waziri alisema ya disel pia iko 😊

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 3 месяца назад +1

    Hii safi sana, nchi inasonga mbele. Dar to Morogoro kwa dk 90? Itakuwa inakimbia sana. Safi sana hii.

  • @allysaidallysaid4530
    @allysaidallysaid4530 3 месяца назад

    Hilo kontena napanda naendanalo wapi mm

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 3 месяца назад

    Bayaaa! Eti kutoka dar to moro masaa matano!! C bora Nipande abood

  • @MARK-nh4hx
    @MARK-nh4hx 3 месяца назад

    Hi Sio project ya mtu binafsi hela haitoki Kwa mfuko wake ama account..bali ni ishuru ya mwananchi..tuwache kuwasifia watu ambao wamechaguliwa kufanya kazi .. anybody can do it.

    • @lupamwakyusa1582
      @lupamwakyusa1582 3 месяца назад

      Brooo watu wanataka vinafasiii 😂😂😂

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 3 месяца назад

    Matapeli wakubwa,umeme haujawahi kuwatosha wananchi hata tren ya kawaida mmezishindwa ndo itakuwawendokasi mabasi ya mwendokasi yenyewe mmeyaua asilimia hamsini ccm acheni utapeli wa fikra kwa watanzania hiyo trenni showoff hakuna kitu hapo tupeni umeme wa uhakika hata majumbani tu

  • @user-il5rk1ul4f
    @user-il5rk1ul4f 3 месяца назад

    Safi sana ila naomba nauli isiwe kubwa sana

  • @user-mx2tx5eg9x
    @user-mx2tx5eg9x 3 месяца назад

    Tutaweza kuitunza? Hapo Kuna changamoto

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 3 месяца назад

    Msifieni basi na JPMagufuli huyo ndio mwamba aliye tufumbua macho na kuweka kifua mbele

  • @martinstarford6209
    @martinstarford6209 3 месяца назад +1

    Ethiopia ndio ilikuwa nchi ya kwanza east africa kutumia reli ya umeme

    • @Zannah690
      @Zannah690 3 месяца назад

      Ethiopia haipo east africa

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 3 месяца назад +1

    TATIZO LA TZ NAWAZA ILE SIKU UTAKUTA RELI IMEIBIWA CHUMA KIMEENDA KUUZWA KWENYE NONDO

  • @eliezerwamungu4614
    @eliezerwamungu4614 3 месяца назад

    Ikitokey umeme umekatika itakuwak sas???