MAAJABU YA CHUMBA CHINI YA BAHARI, RAIS AMEWAHI KUFIKA, KULALA USIKU MMOJA NI ZAIDI YA MIL. 4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 408

  • @KhalifaShaban-n6x
    @KhalifaShaban-n6x 8 месяцев назад +7

    Huo mtihani sana je ikaja shida ya kupasuka kio maji yakaingia ndani sikifo chakujitakia manankionahapo nikama upo kwenye yai likipasuka hatari sana

  • @nassorsalim8748
    @nassorsalim8748 2 года назад +19

    Yahe sehemu mzuri sana
    Lakini ni bora kwenda Maka kuliko kuja huku na ni kupoteza pesa
    Bora uko nazo nyingi pesa wasaidie mayatima wajane na mafukara
    Uipate pepo ya Allah
    InnshaAllah Allah atuwezeshe amin

  • @flyimaadonlinetv5539
    @flyimaadonlinetv5539 2 года назад +6

    Hongereni sana Ayo Tv....naomba kutowa ushauri kwanza jambo mlolifanya zuri sana la kufanya mahojiano na raia wa nchi nyengine....ombi langu muwe munaweka ssuti ya kutafsiri pale mtu anapozungumza lugha nyengine au mahojiano ya lugha nyengine. Ahsanten sana
    Mko vizuri sana

  • @HekaSaid
    @HekaSaid 8 месяцев назад +2

    Beautiful i can see one of my hand work it was crazy job for sure

  • @piusmajo8133
    @piusmajo8133 2 года назад +8

    Ubunifu mzuri sana,Safi Sana mwanasayansi kwa Jambo hili

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 8 месяцев назад +3

    Mwenyezi mungu sianipe mume anipeleke tu hapo mm

  • @hokakoko730
    @hokakoko730 2 года назад +16

    Daah ila mm siwez kulala sehemu iyo ata ikiwa bure

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 2 года назад

      Huna hela

    • @annajustin1945
      @annajustin1945 2 года назад +2

      @@maujanjatv24h41 jamani siyo hela kwanza huo usingizi unakujakujaje weeee mm kuyachungulia maji tu hoi

    • @neemamungula
      @neemamungula 8 месяцев назад

      Hata Mimi siwez, nyangumi mara owaaa kioo chalii

    • @fifo262
      @fifo262 7 месяцев назад

      Hhhhhh uoga uoo

    • @OmaryZuberi-o3b
      @OmaryZuberi-o3b 5 месяцев назад

      ​@@neemamungula😂😂😂😂😂😂😂😂owaaaaaaa😮😮😮

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 8 месяцев назад +1

    Kuna uboresho mzuri ss mpk wageni wanaenda tn miaka na waokoaji hpo wapo karibu kuna umakini

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 года назад +2

    Woow amazing saana 🙌🙌🇶🇦

  • @jeremiahsanare8754
    @jeremiahsanare8754 2 года назад +43

    Hata bure siwezi kulala hapo

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 года назад +2

    Hongera sana kwa ubunifu muzur, one day nitafk inshaalah

  • @AhmadySeifsoud-ng3bn
    @AhmadySeifsoud-ng3bn 9 месяцев назад +1

    Karibu pemba 🤗

  • @anitamabuga6346
    @anitamabuga6346 6 месяцев назад +1

    Hizo ni dalili Moja wapo za siku za mwisho, Yesu anarudi hivi karibuni tujiandeni kuraki mwokozi wetu mambo ya Dunia yote ni ubatili tu.

  • @ajayakikoytz590
    @ajayakikoytz590 2 года назад +8

    Ila wandishi wahabali wanashuhudia mengi Da🥰, Apo kulala tu million Kadhaa na laki mbili😅

  • @kassebo
    @kassebo 2 года назад +7

    Acha mwenye pesa! aendeleee kuitia ushamba Dunia

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 2 года назад +4

    Ukilala hapo ni sawa na mwanandani kasoro sanda

  • @mshamhemedy8567
    @mshamhemedy8567 Год назад +1

    Super cute maganga wa pemba

  • @fatmasuleiman1104
    @fatmasuleiman1104 2 года назад +8

    Jiran yetu ndo walikuwa mafundi waliniambia kma wanatengezea room chini ya bahar nikajua utani kilipoisha kikaonyeshwa kwenye tv akaniambia twende nikupeleke utaingia bure maana bado ndo kwanza tumemaliza kujenga nikamwambia sisubutu maisha bado nayapenda labda mungu atake kunichukuwa kwa hiar yake lakin c kwenda kujitaftia kifo cha kusud

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 года назад +5

    Mbona rahisi hicho chumba ntakuja kwenye honey moon yangu insh Allah

  • @janekuria1898
    @janekuria1898 2 года назад +1

    Waaaa 🥺 Mimi siwezi lala kwa hicho chumba. La....

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 года назад +3

    Amazing Sana

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 2 года назад +5

    Milioni 4 kawaida sana hapo kwani hata hizo booking tu unaona zilivo na compition...I think Blue economy ingeangalia miradi kama hii ina collaboration with Ministry of Tourism.

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 года назад +12

    Mimi ninachumba juu ya mti wa muembe jamani.. kulala buku tu... Hamna kunguni kiivyooo ila utazoea tu wote mnakaribishwa okoa milioni nne yako kwa buku..😁

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 2 месяца назад

    Mbna padogo mngepaongeza jmn 😊😊 pabaya bhnaa ata apavutiii

  • @ismailalfankihiyo3215
    @ismailalfankihiyo3215 7 месяцев назад

    Mimi nilishawahi kukaa 2 days kwakweli ni raha sana,very enjoyments

    • @TonnyMaleko
      @TonnyMaleko 7 месяцев назад

      Wegiñe. Ha5a ndege Hawaii. Kapakia.

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi 8 месяцев назад +1

    Ila wazungu wanapenda kumchefua Mungu anaweza kuwaletea gharika wasiamin

    • @theresialubida161
      @theresialubida161 8 месяцев назад

      Wenzao waribadirishiwa rugha Sasa subiri wao MUNGU akikasirika

    • @MwantumRashidi
      @MwantumRashidi 8 месяцев назад

      Kabisaaaaaa umenenaaaa

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 года назад +5

    MashaAllah 😙😙😙

  • @priscamagambo5320
    @priscamagambo5320 2 года назад +2

    Acha yanipite,hata bule silali ng'oooo

  • @Celestineshikuku-i4x
    @Celestineshikuku-i4x 2 года назад +2

    Doreen edasi from saudi arabia, jini makata na jini maimuna kanipata mle ndani kwisha mimi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @OmarNuri-w7v
    @OmarNuri-w7v 8 месяцев назад +2

    How do u get oxygen under the water

  • @shailglobal2296
    @shailglobal2296 2 года назад +4

    How do you get oxygen inside the watar

  • @ramadhanjuma4087
    @ramadhanjuma4087 2 года назад

    Mashaallah nicely Ilike it

  • @ibraheemiddy8612
    @ibraheemiddy8612 2 года назад +4

    Watu wanabalaaa jaman mmmh silali aje papa aniletee vurugu mie

  • @aliclassic8468
    @aliclassic8468 2 года назад +5

    Vip kuhusu samaki papa

  • @uswegemwasumbi5739
    @uswegemwasumbi5739 2 года назад +2

    Iko vizur

  • @MarthaMkasi
    @MarthaMkasi 7 месяцев назад +3

    Me siwezi lala we maji yakihingia ndani huko jee😂😂

  • @IsmailDede-nz5ut
    @IsmailDede-nz5ut 8 месяцев назад +1

    Cwez lala hapo mm

  • @MussaIbrahim-xz8mr
    @MussaIbrahim-xz8mr 7 месяцев назад

    Amazing

  • @NeemaShababi-nu8dr
    @NeemaShababi-nu8dr 8 месяцев назад

    Aki ya mungu

  • @Haulat-yc9gz
    @Haulat-yc9gz 7 месяцев назад +2

    Mm hata unilipe silali wala siingii

  • @jescaisrael7338
    @jescaisrael7338 7 месяцев назад

    ❤❤cool

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 8 месяцев назад

    0:42 mimi siwezi kufa kwa presha looh,,naona kama nitakua nafata kifo walai siwez kulala apo

  • @neemamjengi9913
    @neemamjengi9913 2 года назад +4

    Mwanadamu ana akili nyingi sana,Mungu alizo mjalia

  • @CyprianNyakundi-m8d
    @CyprianNyakundi-m8d 8 месяцев назад

    Maajabu hayo et nyumba chini ya maji mimi nsons hiyo n miujiza natamani siku moja nitembelee hiyo sehemu

  • @cornelytv2839
    @cornelytv2839 8 месяцев назад

    congratulations 💐

  • @KadeejaKadeeja-ej4bu
    @KadeejaKadeeja-ej4bu 8 месяцев назад

    Atali sana

  • @tumumaumba3037
    @tumumaumba3037 2 года назад

    Aisee

  • @ShanyShany-d1u
    @ShanyShany-d1u 7 месяцев назад

    Ndomujue Tanzania laha

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 2 года назад

    It's amazing katumia mechanisms zipi kujenga na je wimbi la bahari likija Hari inakuaje apo

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 года назад

      Hahaha.
      Halafu Ayo ungetutafsiria muarabu wako amesema nini😄
      Nasikia GHORFA TAHTA LMAI MAA MAUJUDI FIY OMAN WA HADHA AWAL MARRA ASHUF HADHA sijui ndio nini amesema😄😄😄🏃🏃🏃🏃

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 года назад

      @@swaumdodoma7591 Nitafsirie.

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 года назад

      @@swaumdodoma7591 bobo ndio wapi?

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 года назад

      @@swaumdodoma7591 Niko nje ya Africa lakini nyumbani TZ.

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 года назад

      @@swaumdodoma7591 Boboo japo unasema kuwa ipo TZ lakini sipajui ila kule nchi jirani KENYA kuna mji unaitwa KAKUMA! Kwahiyo inawezekana kukawa na mahusiano
      baina ya miji miwili hii🏃🏃🏃.

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 11 месяцев назад

    Iyo apana kabisaa siwezifika

  • @SalumuMeso
    @SalumuMeso 8 месяцев назад

    Kiukweli ni laha sana namm nakwenda

  • @pesamadafu1673
    @pesamadafu1673 7 месяцев назад

    Mungu aritega mahari naichi kafu

  • @RuthBoke-i6q
    @RuthBoke-i6q 7 месяцев назад

    Never siwezi hata bure

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 года назад +1

    Mmmh !!

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 года назад +4

    Cwezi kulala humo hata bure

  • @فاطمهنزوى
    @فاطمهنزوى 2 года назад

    Imshallah wamekusikien wa2 wa oman watajarbh na wao

  • @LovelyCoastline-il1lr
    @LovelyCoastline-il1lr 8 месяцев назад

    Kwann chumba kimoja

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 года назад +5

    Hata kwa bure siwezi kulala 😂😂
    Labda kuingia na kutoka basi 🚶🚶

  • @priscillawilliam3603
    @priscillawilliam3603 8 месяцев назад

    Mmm kumbe ni huko haya kila na kheri.

  • @فاطمهنزوى
    @فاطمهنزوى 2 года назад +2

    Mashallah

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 года назад

    Mmmmh makubwa hayo

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 2 года назад

    Ata Hilo boat Mimi sipandi kabsaaa,mungu aniepushe majanga hayoo🙉🙉🙉🙉🙉🙉

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 года назад +3

    Gorofa heluwa wagidi mashaallah

  • @HassanKubwito-uv7jv
    @HassanKubwito-uv7jv 7 месяцев назад

    Kwakweli Zanzibar wamepiga hatua

  • @DeusJonathan-np8gd
    @DeusJonathan-np8gd 7 месяцев назад

    Duh!! Mie siwezi lala hata kama ninalipwa

  • @BushiriRashid
    @BushiriRashid 2 месяца назад

    Nilifka siku moja sirudihi Tena nilitowe million 3 Yani siendi Tena Yani Siji tena

  • @Chekibob
    @Chekibob 2 года назад +2

    Mbona mmekata hiyo sauti tusikilize habibi 😁😁😁😂

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 2 года назад +3

    AyoTV wanamaswali yalioenda shule mashallah

  • @mkalywagoka9913
    @mkalywagoka9913 2 года назад +1

    Hela hela zinasababisha tuuwaneeee

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 2 года назад +6

    Ukiwa na pesa hakuna unachokosa na kushindikana

  • @nuruali7859
    @nuruali7859 2 года назад +1

    Ntakuja kulala hucho inshaallah honey moon yngu when mi bby arrived amiin

  • @ireneathuman5227
    @ireneathuman5227 2 года назад +3

    Kama starehe nikulala kwenye hicho chumba niacheni kwanza nipo likizo

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад +6

    Mnao sema hamuwezi kulala wote hamna hz pesa za kulala hapo

    • @fatumakambangwa2915
      @fatumakambangwa2915 2 года назад

      Ndugu mimi masikini uwezo hata sh 20,000/= sina ila hata kama nimepata msaada sisubutu mimi muoga sana na maji weeeee

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 года назад

      @@fatumakambangwa2915 kubali huna km unayo ungeenda hvy hvy na uwoga wako

    • @fatumakambangwa2915
      @fatumakambangwa2915 2 года назад

      Mimi kwer choka mbaya ha sh 20,000/= sina ila hata kwa msaada silali mimi na maji hapana chini ya bahari mmmmm uko juu na boti naendaga basi sina jinsi niingie chini weeeee siwezi

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 года назад

      @@fatumakambangwa2915 bc waache wanao weza

    • @mikidadymohammedy7603
      @mikidadymohammedy7603 2 года назад

      Ni kwel Bi khadija pesa hana ndio maana

  • @MylaSheukindo
    @MylaSheukindo 8 месяцев назад

    Siwez lala hata kwakulipwa😮😮

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 8 месяцев назад +1

    Apo Mimi kama Mimi Siwezi lala chini Kwa maji Japo tutakufa..😂☑️📌

  • @helenangamoga5927
    @helenangamoga5927 2 года назад +1

    Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 2 года назад +1

    hayo ni maeneo ya washirikina

  • @Gorgeousij
    @Gorgeousij 7 месяцев назад +1

    Inanikubusha ile sub marine iliopasukia America.njia ya kuingia chini ya ogopesha sana juu ukiteleza itakuwa je?hata nikalipwa niende pale siwezi.wenye waliandikisha historia kama Dedan kimathi,Mandela hawako.

  • @theresiamartin3008
    @theresiamartin3008 2 года назад +3

    Kwa jinsi navyoogopa maji,Hata kwa buku 2 siwezi kulala hapo

  • @gloryndoss813
    @gloryndoss813 3 месяца назад

    Hapana kwakweli ata nipewe milion mia sisubutu

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 года назад +3

    Ni mandhari nzuri lakini silaliiiiiiiii.......

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 года назад +3

    Yaani samaki unawaona live bila chenga😀😀

  • @aggerdihenga4673
    @aggerdihenga4673 2 года назад +1

    Makangale manta I mic u so much 2taonana tena soon Inshaallah 🙏

  • @JobMulengeki-r5u
    @JobMulengeki-r5u Год назад +1

    Hv yule Samaki mkubwa anaepinduaga Meli akifanya yake hapo inakuwaje?

  • @marcellakomba6758
    @marcellakomba6758 7 месяцев назад

    Wenzetu SA na Ulaya zipo "Under Water Room" zipo nyingi tu.
    Nanga zake ni makini haiwezi kupinduliwa.

  • @saidsalum9587
    @saidsalum9587 2 года назад +3

    Niliwahi kufika katika hii hotel tuliloisha shule 2016 na wapo wenzangu ambao walifka hdi katika hio sehemu kwa kuogelea tu wakati huo sisi tuliruhusiwa kuingia ktk hotel bure na hio bichi ilikuwa ina mawe mawe cjui saiv ipoje

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 2 года назад

      Ok

    • @sulleysidey2844
      @sulleysidey2844 2 года назад +1

      me nishaenda sana hapo hapahitaji boti sema hawaruhusu kufika kwenye chumba kam unaogelea kutoka juu

  • @AsiyaMmanga
    @AsiyaMmanga 7 месяцев назад

    Jeeeee wagen ni million 4 na lak mbil jeee kwa wat wa ndan ni bei ndooo hy hvy au

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 года назад +2

    sio lazima tour

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 2 года назад +1

    Vp kioo kikipasuka 😆😆

  • @sabilibrahim2457
    @sabilibrahim2457 2 года назад

    Bei gani kwa siku 1

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 года назад +7

    Kuna mtu sku Moja itakuwa ndo kaburi yake

  • @agnesbaligono2742
    @agnesbaligono2742 2 года назад

    Maajabu kweli

  • @AnnaSanga-bs7pl
    @AnnaSanga-bs7pl 8 месяцев назад

    Sunami vipi

  • @MarthaMkasi
    @MarthaMkasi 7 месяцев назад +2

    Kitanda chenyewe kimejaa mito tu ndo milioni 4 sasa walijengaje mbao za uko chini jamani 🤣

    • @fifo262
      @fifo262 7 месяцев назад

      Fika ujionee sio uongee tu

  • @phaustineJoseph
    @phaustineJoseph 8 месяцев назад

    Ata Bure siwez lala

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 2 года назад +5

    Room ina chuma kimoja😂😂

  • @najmanassoro308
    @najmanassoro308 2 года назад +2

    Mh ngoja nisome koment tu

  • @elizabethshillah-u4j
    @elizabethshillah-u4j 7 месяцев назад

    Kabwawa tu Kindai huku kwwtu nakaogopa hata kusogea,,humo kwa kweli kufika tu nishakuwa marehemu kwa pressure,,tena mbao,,,,,bado tu hazijaoza?

  • @RamadhaniHamimu
    @RamadhaniHamimu 8 месяцев назад

    Hayo ndio matumiz ya pesa acha wenyepesa wainjoi

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 2 года назад +1

    Maisha ni pesa