CHUMBA MAALUM ANACHOLALA RAIS "SIMU HAIINGII"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 526

  • @falconheavy9
    @falconheavy9 4 года назад +6

    This was impressive....keep up the great work you're doing!

  • @zaym7769
    @zaym7769 4 года назад +15

    Mbona kawaida sana. Kwa awamu ya uncle Magu msitegemee atoe pesa kizembe hivi hizi ilikuwa enzi za Marais waliopita.

    • @missdecharmecelio9465
      @missdecharmecelio9465 3 года назад

      Yaani umeniwahi sana, chumba cha kawaida saaana,vitanda vibovu ati 1,500$, 1000$ kiekiekie

  • @bobchanda2460
    @bobchanda2460 4 года назад +56

    TANZANIA 🇹🇿,, wewe ndo mtangazaji namba moja kwa maoni yangu

  • @daprince7545
    @daprince7545 4 года назад +23

    Millard imagine saii niko kwa presidential suite room niko na week moja tuko kikazi inje ya africa. Nilibahatika kupata hio room it's amazing.

  • @linustiba6085
    @linustiba6085 4 года назад +1

    Daah me nilishalala na8 nyerere dah Kina kunguni hichoo😀😀😀

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 4 года назад +7

    Millard uko vizuri hongera

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 4 года назад +3

    Great, Tanzania 🇹🇿 your truly beautiful country. I can see how you own amazing things

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 4 года назад +7

    Daaah.. ila pa kawaida sana.. tv yenyew ya ajabu tu... waboreshe zaidi ndani ni pa kawaida ila nawapa bigup

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 года назад +10

    Vyumba hivi vipo kwenye nyumba zetu.....Namshukuru Mungu kwa hilo

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 года назад

      Hahaaaaaa

    • @sarahtaste2876
      @sarahtaste2876 4 года назад

      Weee ni mpumbavu sana nimecheka kifala😁😁😁😁😁

    • @kalumbugideon4159
      @kalumbugideon4159 4 года назад

      @@sarahtaste2876 Sarah....ntafute uone kwenye whatsapp...0753499783

    • @kalumbugideon4159
      @kalumbugideon4159 4 года назад

      @@sarahtaste2876 Jitahidi.... Tusitukane tu ninyi Watu...tunamfatilia Sana Ayo.....

    • @sarahtaste2876
      @sarahtaste2876 4 года назад

      @@kalumbugideon4159 si nilisahau serikali inafatilia ayo tv 😁ila simalizi kucheka

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 года назад +34

    Hotel Tanzania 🇹🇿 very expensive halafu hakuna cha ajabu,,ukienda nchi nyengine ukiona hotel zao ni nzuri zaidi na sio ghali

    • @graceyates1488
      @graceyates1488 4 года назад +2

      Very true
      But we can only learn from them..
      Kusema kweli million 3 kwa kitanda na view hiyo
      Mmmhhh BADO

    • @amanimuyombe6136
      @amanimuyombe6136 4 года назад +3

      Hapo issue siyo maajabu ya chumba kimuonekano bali kinachofanya chumba kiwe bei ni aina ya watu waliowahi kulala hapo. Mfano mtu akipata t.shirt aliyovaa messi uwanjani anaweza iuza hata Billioni 1 mnadani wakati kiuhalisia bei ya hiyo t.shirt ni 40,000 tu

    • @amanimuyombe6136
      @amanimuyombe6136 4 года назад +3

      Chumba ushaambiwa huwa wanalala marais na mawaziri😀😀 hata kingekuwa chumba cha udongo na nyasi bado kingekuwa bei tuu!

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 4 года назад

      @@graceyates1488 ii ni bei ya hotel ya chini ya MAJI na kuta za vioo unalala huku samaki wankzngk

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 года назад +2

      @@binsultan6981 mbona kawaida sana hiyo. Wengine ndo nyumba zetu hizo deileee

  • @yakubuiddy4454
    @yakubuiddy4454 4 года назад +6

    Milioni3 usikuu Mmoja Dahhh Sisi tunalipa 7000 Mtaani Usikuu Mmoja

  • @aishasaeedally136
    @aishasaeedally136 4 года назад +29

    Hela ya kulala hapo siku moja nimenunua kiwanja 😂😂 akili za kimaskini daaah

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 года назад

      Kiwanja mbwinde nachumba chakulala kabisa

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 4 года назад +2

    Asante sana Madam Patricia kwa hiyo hoteli murua kabisa.Lazima nitapitia next time nikiwa Arusha-CAPITAL YETU YA AFRIKA MASHARIKI.

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 6 месяцев назад

    Tanzania mzuri Sana kwali 💖

  • @yahyayazidi6767
    @yahyayazidi6767 4 года назад

    Nakukubar sana kuzidi mond ur like kina huna mafundo

  • @zuberykharoub6868
    @zuberykharoub6868 4 года назад +5

    millard ayo ubarikiwe sna unatoa habar nzur snaaa

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 4 года назад +5

    Kama umetembea sehemu nyingi ...Gonga like kua hiyo kawaida sanaa

  • @juliuswamahiga2286
    @juliuswamahiga2286 4 года назад +7

    Well done young man,,,, keep it up and God bless

  • @faridahamis3844
    @faridahamis3844 4 года назад +3

    Kizuri jaman kipewe sifa loh viumbe hamna jema mzuri tena Sana👌

    • @mahengomahengo8191
      @mahengomahengo8191 4 года назад

      Hakina uzuri wakulipia kias hicho Cha pesa ubaradhuli na israf tu

  • @mwashiuyayoshuatv9829
    @mwashiuyayoshuatv9829 4 года назад +4

    Nakukubali sana Millard unanitia moyo mno .. unachapa kazi sana bro

  • @paschaziaignas6984
    @paschaziaignas6984 3 года назад

    Pa kawaida snaaa million tatu ya nyoko

  • @jamesaldeligo2459
    @jamesaldeligo2459 4 года назад +7

    Utackia mtu anasema pakawaida sana , Ila ukiangalia huenda hana hata kitanda chumbani kwake🤣

    • @noelaemmanuel397
      @noelaemmanuel397 3 года назад

      😂😂😂😂😂hapo kulala ndugu hapna jamn duh

  • @dorisndossi4734
    @dorisndossi4734 4 года назад +4

    Sio mbaya kwa sisi watu wa tourism tuliotembea tembea iyo ni ya kawaida sana yani sana

  • @sopy3055
    @sopy3055 4 года назад +4

    So beautiful kiukwel hope one day before I die ntakua kweny sehem nzur kama iyo amina

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад

      Yaani kwa hayo mawazo lazima utalala. Wengine washaanza kusema bora mbinguni kuliko duniani. Nawauliza wanauhalika gani wakienda huko wataviona hivi😄😄😄

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 4 года назад

      @@ilovejesus9303 mbinguni akuna chanyumba wala vitu vyote tunavyo viona hapa chini ya juwa vyote vitabaki mbinguni nikusifu tu

    • @rosemarysulle9288
      @rosemarysulle9288 Год назад

      Sehemu nzr ni mbinguni wewe

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 3 года назад

    Millard ayo upo vizuri

  • @kitasyajohn9592
    @kitasyajohn9592 4 года назад +5

    Mwisho wa yote kila nafsi itaonja mauti na hayo yote hayatakuwa na sehemu katika ufalme wa mungu

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 года назад

    Miladi uko vizuri

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi 4 года назад +3

    3m,me nimetafta maisha yangu mpaka kesho sjawah ishika.da kwel imeandikwa kila mtu na msalaba wake nimeamini😎

  • @beatricemushi9072
    @beatricemushi9072 4 года назад +6

    Pakawaida sana jaribuni kutembea ndugu zangu wa Tanzania 💔😤😤😤😤

  • @bahatibthomas9609
    @bahatibthomas9609 4 года назад

    Ahsante ilikuwa ni ni ni strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff mzuri to you guys for the below request and approval for MBA students also appreciate for

  • @fischerkashaija3214
    @fischerkashaija3214 4 года назад +1

    Kwa bahati mbaya ukisha lala usingizi hukubuku tena umelala kitanda cha gharama gan wala sehemu gani hapo ndio unajua mungu ni mtukufu

  • @yasinimswaki3026
    @yasinimswaki3026 3 года назад

    Shekh
    barahiyan

  • @francothadey5475
    @francothadey5475 4 года назад

    Vaa kofia ayo

  • @2514SRK
    @2514SRK 4 года назад +4

    Hiyo ni Kama Lodge za Dodoma NJE Nzuri lakini Ukiingia Ndani Magodoro Kama yameokotwa na Ya Miaka 20 iliyopita.
    Kiukweli Lodge za Dodoma Mmmmmmmh NAPITA TU.

    • @upgo6112
      @upgo6112 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣sema ulitaka za bei ndogo

    • @khadejarajab8007
      @khadejarajab8007 4 года назад

      😂😂😂😂😂😭

  • @donatimr656
    @donatimr656 4 года назад +58

    Wherever how the life will be ....I will be more famous and influential than milardayo

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 3 года назад +1

    Kule vikindu ndanindani kiwanja milioni 1 mpaka laki 8 hio nyingine naanzia kupandisha chumba kimoja Kama polic post Kisha nalala nikiamka pia siondoki maana yakwangu dah mi sijui nikoje mawazo yangu yakimasikini tu bac nishaona nyingi hio pesa👌

  • @abdararashid8627
    @abdararashid8627 4 года назад +1

    Ulitakiwa kuhubiri vyuma wanavyoweza kulala wateja na si kutuonyesha chumba anachoeeza kulala Rais.

  • @kibasatv1524
    @kibasatv1524 4 года назад +2

    Very good Millard

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 4 года назад +3

    Bei zenu kubwa mno mzee magu halali humo ng'ooo

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 4 года назад +1

    Chumba ni chakawaida sanaaa

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 года назад +4

    Tumelala Vegas five star hotel room for less than 200$ then hiki kibanda kichafu ndio 1500$... very bad joke

  • @noelaemmanuel397
    @noelaemmanuel397 3 года назад +2

    Hapo kulala ndugu hapna bhn hyo hela nanunua kiwanja kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂labda kwenye ndoto

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Naic

  • @benardmwakilasa3969
    @benardmwakilasa3969 4 года назад +8

    Nimelala hotel kama hii morogoro kwa 70,000 na ni nzuri kuliko hii,funiture za kizamani

  • @dinnahdan3598
    @dinnahdan3598 4 года назад +48

    Mbona kama chumbani kwangu tyu😂😂😂

    • @yohanamaiga3031
      @yohanamaiga3031 4 года назад +1

      Umeona ee

    • @justinamichael5934
      @justinamichael5934 4 года назад +2

      Kawaida tu ata mi nikijikaza naweza kupasua

    • @juniorcx0114
      @juniorcx0114 4 года назад +1

      Alaf unaambiwa milion 3 na zaidi duu utasikia kod zipande

    • @musasabu6969
      @musasabu6969 4 года назад

      @@justinamichael5934 mzee ucku moja 3m bei gali xna

    • @credo7837
      @credo7837 4 года назад

      Ach dharau

  • @isihakasage38
    @isihakasage38 3 года назад

    Iko sawa

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 года назад +2

    Usenge upuuzi ujinga na ukosefu wa kufikili sasa iko c kama chumba cha Mwanangu tu mana ata changu akifikii

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 4 года назад

    Ayo umesahau kofia

  • @hildayusto2086
    @hildayusto2086 4 года назад +1

    Mnautani na Hela Nyie oooii

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 года назад +1

    Ahsante Sana dada

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 года назад

    Hahaahaaa nimekuona madamu mie hapo nimepiga sana kazi ya security ila pazuri kwa kweli ukweli sio dhambi

  • @kimolankenyenge7158
    @kimolankenyenge7158 4 года назад +2

    Aisee hyo hoteli naikubar mie nilishalala siku kumi bila kulipia

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 4 года назад

    Uhujumu uchumi at milion

  • @idelphoncefrolian9067
    @idelphoncefrolian9067 4 года назад +1

    Milioni 3 ??? Mmmmnhhhh hebu kuweni serious basiii kwambaje natoka na hivyo vitu vya ndani nasepa navyooo auuuu

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 4 года назад +35

    Nlikutana na hotel kama hii kahama nikalala kwa elf50

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 4 года назад +4

    Wow mahali pazuri sana 🇨🇦❤️🇨🇦

    • @albs1448
      @albs1448 4 года назад +2

      Wewe unaishi Canada halafu unasema eti pazuri,ebu acha uongo

    • @shkjumaa8939
      @shkjumaa8939 4 года назад

      kwan Canada ni mbinguni

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 4 года назад +1

    Million 3 daaaaa muda huo napata uwanja na najenga ka slope na ka hela ka mtaji daaaaa af mtu anatumia 24hours na pengine hafikishi hayo masaa 24

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 4 года назад

    😀😀😀Mecheka kingereza.

  • @samuelnyabange2069
    @samuelnyabange2069 4 года назад +3

    Hata kama kuna huduma ya kuogeshwa kwa kulambwa na ulimi, 4m kwa usiku mmoja ni nyingi mno.

    • @linahsemindu9575
      @linahsemindu9575 4 года назад

      Samuel nyambange 😄😄😄😄😄😄😄😄

    • @amanmalik6917
      @amanmalik6917 4 года назад

      Umefika high level ya UBAHILI

  • @landmadvdmbeyacity9561
    @landmadvdmbeyacity9561 4 года назад +2

    mamae zenu ata 10000 tu silali

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 года назад +1

    Million 3 kulala siku moja tuu 😀😀

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 4 года назад

      M3 ndogo kwa viongozi wakubwa

    • @hamadshein498
      @hamadshein498 4 года назад

      Ulizia gurunet motel.zaid y hyo.

    • @amanistephano5208
      @amanistephano5208 4 года назад

      @@hamadshein498 Aulizie grand melia ipo Arusha iyo presidentia ni dola 3500

  • @yahayab4u614
    @yahayab4u614 4 года назад +1

    Hata kwangu pazur

  • @BlandinaMassawe
    @BlandinaMassawe Год назад

    Kibo palas ya mchaga laswai😅😅

  • @bencruz1717
    @bencruz1717 3 года назад

    1000$ haaaaa

  • @maigathomas2353
    @maigathomas2353 4 года назад

    Kazi nzuri hongeren

  • @musasabu6969
    @musasabu6969 4 года назад +1

    Hivi kweny hizo hosteli za kfahali ukilala usingizi utofauti wake nini nyumba za kawaida ucngz wake unakuwa tofaut et

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 года назад

    Hio room ilioandikwa mkapa futa afu andika jina langu nami nienjoy maisha!

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 10 месяцев назад

    Meneja n mkenya

  • @bayujaphary.9086
    @bayujaphary.9086 4 года назад +7

    USINGIZI TU au?

  • @projestusmuta7799
    @projestusmuta7799 4 года назад

    Asnt magu ndio mahana ulalagi kwny hayo maoteli bei nikubwa sn ml3 Kwasiku niujinga

  • @nabotinyalusi7079
    @nabotinyalusi7079 3 года назад

    Mirad baba lao

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 4 года назад +5

    Dollar elfu moja mia tano hii hii dollar ama dollar ya zambia

  • @eliaslukumay1661
    @eliaslukumay1661 3 года назад

    Safi sana

  • @zaizaitwaha6633
    @zaizaitwaha6633 4 года назад +1

    Ndani ni kwa kwaida sana kila kitu ndan ki cha kizamani

    • @felistershayo8222
      @felistershayo8222 4 года назад

      Hiyo ni kamera tu ikutoa picha vizur chumba kiko very standard na iko na vitu funiture natural smart asilia za kuvutia so n too much standard

  • @berachahvalleys
    @berachahvalleys 4 года назад +1

    Chumba cha kawaida sana hicho

  • @fordbillions
    @fordbillions 4 года назад

    Mmmh milion 3 laki 4 na 80

  • @hassanali-ck2we
    @hassanali-ck2we 4 года назад +17

    kikubwa ni makazi ya milele yaliyo mbele yetu
    dunia ni mapito tu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 года назад +5

      Unakilii nyingi kama radio ya plastikii..hata ukilala kwenye mkeka unalala tu..chamsingi nimandalizi yako ya milele

    • @furahaiddi533
      @furahaiddi533 4 года назад +2

      @@dorcaskidoti249 lol but right

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад +2

      Raha enjoy duniani, huko makazi ya milele hujui utakumbana na nini. Hakuna aliyeenda akakuhadithia kukoje

    • @kiatu
      @kiatu 4 года назад +2

      Una maana kaburi 🤣🤣

    • @kiatu
      @kiatu 4 года назад

      Una maana kaburi 🤣🤣

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 4 года назад

    Booking mzeee

  • @muddyommy4699
    @muddyommy4699 3 года назад

    Yanga

  • @Jpn_Studios
    @Jpn_Studios 4 года назад +4

    BORA NIKABET HUENDA NIKA DOUBLE HIYO MONAY 🤣🤣🤣 kuliko kupoteza kwa one night 😂😂😂

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 4 года назад +1

      Umeona n vile htn pesa pia lkn cdhn nlivobahili mhhh bora nkanunue dera inayobak nafny .mengn

    • @Jpn_Studios
      @Jpn_Studios 4 года назад

      @@priscamlyuka5531 😂😂😂😂

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 4 года назад

    Mbona niya kawaidaa sanaa chumba cha Rais hakina hadhi yake! Arusha mmezidi na mabei yenu!!

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 3 года назад

    Choo Sijaipenda

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 4 года назад

    Jaman au macho yangu mbona kawida tu ushauri waboreshe ndani zaid

  • @akhousesolutionsltd9433
    @akhousesolutionsltd9433 4 года назад

    Akijyamba mlinzi si atamsikia 😂😂

  • @patrickmuhangi4071
    @patrickmuhangi4071 4 года назад +2

    Mbona pa kawaida sana? Hapafiki hata chumba cha Diamond. Millard tuoneshe kwa Platnumz

    • @musamkembela1395
      @musamkembela1395 4 года назад

      mond mtu mkubwa ww anahela

    • @donatimr656
      @donatimr656 4 года назад +2

      Yanii mawazoo yenuu watoto wa kiumee mnavyomuhusudu diamondii aseeee

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 года назад

      @@donatimr656 Mungu wao huwezi jua

    • @donatimr656
      @donatimr656 4 года назад +1

      @@m.mmarckus6298 unajuaaa ni vijanaa wa kiumee kunaa muda mpkaa aibuu yani Toto LA kiumee kabisa

    • @kiatu
      @kiatu 4 года назад

      Ndio upeo wa hotel na ujuaji wetu.

  • @ericnjau5642
    @ericnjau5642 4 года назад

    Vip mtu binafsi akataka presidential room

  • @tinoman3623
    @tinoman3623 4 года назад

    Inanidrive crazy

  • @nelsonwilliam7578
    @nelsonwilliam7578 4 года назад

    Mbona mbaya ss

  • @bahatibthomas9609
    @bahatibthomas9609 4 года назад

    Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu
    atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 года назад

    Sijaona cha Ajabu Hapo

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 4 года назад

    you start this long time ago

  • @ayoubrasicky8153
    @ayoubrasicky8153 4 года назад

    Kwer panafaa

  • @aishafahdi8355
    @aishafahdi8355 3 года назад

    Millard penda Sana hbr zako👍❤️

  • @agneskigeme1197
    @agneskigeme1197 4 года назад +6

    Heeee mbona pakawaida sana

  • @saraahtz1773
    @saraahtz1773 3 года назад

    I trust your news!!!!

  • @naimaalkiyumi2273
    @naimaalkiyumi2273 4 года назад

    Hiyo bei Mjomba Magu anaijua??

  • @danielmathias160
    @danielmathias160 4 года назад +5

    Haina ht Rift room ya kawaida tu. Sema millard unawatangazia Biashara tu 😂😂

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 4 года назад

      Lift sio Rift

  • @philipo98samuelsamuel16
    @philipo98samuelsamuel16 4 года назад +1

    Mm naona usingizi ni godoro tu izo nyingine mbwembwe tu

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 4 года назад

      Hahahaa.. Kabla na baada ya kulala kuna vitu vya kufanya. Tafakari ya siku, Habari, Mawasiliano, Kuandika, Usafi na kifungua kinywa. unatoka ukiwa kamili.

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 4 года назад

      Wewe kumbe godoro likiwa zuri husikii mbu

  • @brightluvanda2795
    @brightluvanda2795 4 года назад

    Nyinyi watu wa hii hotel,hotel yenu humo ndani ipo kawaida sana,haina mvuto especially fanicha na urembo mwingine wa vyumba,imepooza sana na ni ya kawaida sana"acheni ubahili,wekezeni katika mvuto ili uendane na bei!"fanicha zina mvuto wa old age".nendeni mgoogle hata hotel za zambia muone ndani zilivyo nzuri"!!

  • @shabanishabanibakary8315
    @shabanishabanibakary8315 3 года назад

    Mmh