Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 фев 2024
  • #trc #dar #sgr #tanzania
    Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo
  • НаукаНаука

Комментарии • 136

  • @gmaxtv1661
    @gmaxtv1661 3 месяца назад +24

    Kazi ya jpm ndiyo tunaona matunda yake leo dah😢 R .I.p shujaaa wang

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 месяца назад +11

    Mbona hatupandi hata miti na maua, inakuwa concrete jungle! Curb appeal na landscaping ni vitu vya muhimu, mimea hu-absorb radiant heat!

  • @barutiboniphace4335
    @barutiboniphace4335 Месяц назад +1

    Mtangazaji mimi ni Defensive driving trainer na masuala ya barabarani pamoja safe trainer in General. Nimeona ulinyo kua unaingia kwenye LIFT uliweka MKONO ili LIFT itambue uwepo wako hiyo ni hatari sana sometimz lift inaweza ku misbehave isi sense ikafunga ukabanwa mkono harafu ikaanza kushuka au kupanda isee mkono umeenda. So tuwe makini sana na kwenye milango au lift kuzuiya kwa mkono very dangerous. Big up sana bro 🙏

  • @praygodmunisi8999
    @praygodmunisi8999 3 месяца назад +2

    Broh @snash Kuna kitu umesahau hapo toilet,kuhusu huo mstari wa njano chini .. Yaani hiyo alama ya njano chini iliyoingia na toilet nikwaajili ya watu wenye ulemavu wakuona (vipofu).. Yaani inaalama maalumu ambayo kipofu akaifika tu akiikanyaga anajua maana yake ninini, kwahiyo anaifuata kwakutembea Juu yake na itamfikisha Hadi toilet🤝🤝🔥

  • @hastatz
    @hastatz 3 месяца назад +37

    Mama samia hahusiki hapo ni magufuli

    • @user-bl3rp5tk5f
      @user-bl3rp5tk5f 3 месяца назад +4

      basi unahusika ww😅

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 3 месяца назад +6

      Yuko wapi uyo magufuli anaehusika apo, wacha ushabiki wa kijinga.

    • @thamani5842
      @thamani5842 3 месяца назад +4

      Roho mbaya tu, ukitaka anahusika hutaki anahusika

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 месяца назад +3

      Mkuu mama anahusika, kwani si walikuwa wote!

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 месяца назад

      ​@@hamzakhamis1575usimjibu hivyo kwani mjinga hajibiwi ujinga.
      Mueleweshe tu kuwa hii milada mama anahusika kwa kuwa walikuwa wote na mzee full stop 🛑

  • @mosesfrancois752
    @mosesfrancois752 3 месяца назад +3

    Sijashangaa Steshenie... huyu host anafaa sana , ata asiejua sentamisungwi uko anamuelewa kwa wepesi

  • @rodgence9641
    @rodgence9641 3 месяца назад +5

    Iyo sehem ya kukata ticket zipo 6 ila utakuta mfanyakazi mmoja anayeingia na kutoka😂😂😂😂😂

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 3 месяца назад +7

    Hata pale mbezi mlisema kama airport ndogo leo hii kupo kama zizi la malisho 😂😂

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 3 месяца назад +4

    safi sana kaka snash unafanya vyema sana Mungu akubariki sana katika karia hii

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 месяца назад +3

    nakubali mzee uwaga nakufatilia sana

  • @rashidhamad8697
    @rashidhamad8697 3 месяца назад +3

    Hongera sana mama samia

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 месяца назад +1

    Kaka nimeikubari review yako na unajaribu viti kwa ukaribu ad kugonga, That's so good tunatazama na uimara maana mainjinia wa bongo hawachelewagi kutuletea midosho

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 3 месяца назад

    Hongera sana magufuri wew ndio ulio tujengea pumzika kwa aman uncle magu

  • @jeremiahkeko7618
    @jeremiahkeko7618 3 месяца назад +5

    Ila we jamaa ni mkorofi Yan ndio uanze kugonga gonga ung'ate ng'ate viti

  • @kakaziller
    @kakaziller 3 месяца назад +3

    Nzuri iyo, unajua wajibu wako kijana

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 3 месяца назад

    Kazi iendelee tunasubiri reli ya mama Samia Dar lindi mtwara songea speed300km/h kila la heri mama Samia Tanzania yako zidi kuing'arisha ipendeze hongera sana.

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 3 месяца назад

    Baba upo vizuri unavyochambua halafu unajuwa kuvaa mwnngu mwili henga

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 3 месяца назад +4

    Asante kwa Tour...tunaomba urudi tena utuonyeshe station yetu baada ya mwaka mmoja...kama utakuta toilet seat na mabomba kama yapo maana tunajuana😂

    • @slowclimbertothetop4572
      @slowclimbertothetop4572 3 месяца назад +1

      Mwaka mmoja mbali ikianza kazi wiki 2 aende akapige picha tena. Na vile viti vya treni ndani utavikuta vingunguti mtu anakalia home

    • @jeremiahmwasele4259
      @jeremiahmwasele4259 3 месяца назад

      ​@@slowclimbertothetop4572😂

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 3 месяца назад +1

      @@slowclimbertothetop4572 🤣🤣🤣🤣

    • @elibarikimaganga9571
      @elibarikimaganga9571 3 месяца назад

      Yani hilo ndilo tatizo letu watanzania. We think globally but we act locally, ikianza matumizi baada ya wiki utakuta mifuniko ya vyoo imeng'olewa, Koki na mabomba ya chooni yanavuja ndio za plastiki na makopo kama yote vyooni, machinga wamekaa mpaka kwenye korido na kwenye sehemu za kusubiria abiria wanaouza maji, machungwa, biskuti na kila kitu...😂

    • @erickwanjarajr5707
      @erickwanjarajr5707 2 месяца назад

      Nakumbuka mwendokasi kipindi inaanza unatangaziwa, kituo kinacho fantastic manresa, kituo kinacho fantastic tikitop, nanda sasa, unapitiliziswa, utashukia kimara. Asante!

  • @itNeza
    @itNeza 3 месяца назад +2

    Kazi nzuri Sana Snash 🙌💯👑, ( Sim Ipi ilio tumika ku Shoot ? )

  • @superstuwart2434
    @superstuwart2434 3 месяца назад +1

    kwanini umengata viti dakika ya 9:00. tofauti na hapo good work brother

  • @raystudio7563
    @raystudio7563 3 месяца назад +3

    Snash Tafadhali
    Naomba Review Nyingine Ukiwa ndani Ya Mabehewa

  • @KSACTV
    @KSACTV 3 месяца назад +1

    hongera sana tanzania one love kutoka kenya

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 3 месяца назад +1

    Mama samia umetishaa sanaa mama munguu akulinde.

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis 3 месяца назад

      Magufuli alitisha sana

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 3 месяца назад +1

    Nakubar Snashitz

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 Месяц назад

    Kweli kwa watu mashughuri hata kuingia umeshindwa umeishia kuangalia kwa mbali na kusifia tuu😂😂😂

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 11 дней назад

    Mbona saiz sion miradi mipya au mwenye akili ameshakufa

  • @sketchbabu
    @sketchbabu 3 месяца назад

    Hongera sana brother. Kazi nzuri, safi.

  • @rodgersasu
    @rodgersasu 3 месяца назад

    Superb video Quality, and with a phone, am impressed, kudos to the color grading as well.. looking forward to more coverage on this subject

  • @fauzibinzoo6563
    @fauzibinzoo6563 2 месяца назад

    Kiukweli huu mradi umeingia gharama nyingi sana nashauri tuulinde na tuupende maana ni kodi zetu wenyewe hazijayoka kwa wahisani wala hao viongozi hawajatoa mifuko i mwao so tuwe wazalendo tuulnde

  • @djseletz3112
    @djseletz3112 3 месяца назад +4

    Magufuli the best

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 14 часов назад

    UTAMU UTAMU

  • @moodybanka1327
    @moodybanka1327 3 месяца назад +2

    Namba 1 leo

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 месяца назад +1

    ushamba mwingi sana mara vip mara imagination , mazingira mazuri sana shida shida ushamba mwingi

  • @user-lq7ew3eg3u
    @user-lq7ew3eg3u 3 месяца назад

    Umeelezea vizuri Sana

  • @husseinallysuleiman4657
    @husseinallysuleiman4657 3 месяца назад +1

    Safi sana viongozi wetu

  • @mohamedihamisi292
    @mohamedihamisi292 3 месяца назад

    😂😂😂 Ingekuwa ipo Kenya hii station tusingelala nawakumbusha wakenya ipo kama hii nyingine Dodoma halafu boraa zaidi sasa zipo Mwanza mbili kaliii mbona tutaelewana tu Safari hii

  • @mcback4384
    @mcback4384 3 месяца назад +1

    Mkiruhusu abiria wa Treni ya MGR waingie humo ndani patakua kama jalalani

  • @stewardsambala4892
    @stewardsambala4892 3 месяца назад

    Kazi iendelee

  • @godfridkapipi7035
    @godfridkapipi7035 3 месяца назад

    Kama kuna mkono wa mtu kwenye kifo cha anko Magu aiseee afe vibaya sana

  • @fadhilileskar3210
    @fadhilileskar3210 3 месяца назад

    Kazi nzuri

  • @bilid4128
    @bilid4128 3 месяца назад +1

    Hivyo viti vitavunjwa vunjwa vyote wabongo hawa aisee ni kipengele...wengine wataleta kunguni hapo 😅😅

  • @kelvinkaniki7186
    @kelvinkaniki7186 3 месяца назад +1

    Best review ever 🔥

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 3 месяца назад +1

    Sasa watu wanafanya Kaz manyumbu yapo kuandamana😂😂

  • @shabanifp8711
    @shabanifp8711 3 месяца назад +1

    Jina la Mama Litukuzwe, ameeena.❤

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 3 месяца назад +1

    Mzee wangu magufuli nakukubali milele mungu akusamee makosa yako 🙏🙏

  • @MudiBwanga
    @MudiBwanga 3 месяца назад

    Good job

  • @samuelseverua
    @samuelseverua 3 месяца назад +1

    nasubiri picha za Termnibus ya kulee

  • @moredigital_
    @moredigital_ 3 месяца назад +1

    Safi sanaaaa

  • @JumaNtasimba
    @JumaNtasimba 3 месяца назад +2

    Jaman muwe munamkumbuka magufuli mbona hamumutendei haki

    • @mtatatv1414
      @mtatatv1414 3 месяца назад +1

      Kaka miaka yote raisi akipita anapongezwa aliyopo ata kama miladi ilianzia nyuma atuwezi Kila siku mzungumzia mtu aliepita sawa alianzisha ila samia kamalizia maana samia angekuwa afai asingemalizia miladi kwa wakati ko pongezi kwa mama kwa kumaliza miladi iliyoanzishwa

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 месяца назад

    Rest in happy daddy jhoni we will not forget you our love

  • @promotemax4162
    @promotemax4162 3 месяца назад +3

    Mambo mazuri kama haya huwezi ona comments za Wakenya coz wanajua station ya reli yao ilivyo kama ukumbi

    • @SmilingCorgi-pr9bn
      @SmilingCorgi-pr9bn 3 месяца назад

      😂😂😂😂 exactly 💯 👏 🙌 👌 🤣

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 3 месяца назад

      Kweli kabisa wakenya wanawivu mchafu sana dhidi ya Tz😂😂😂😂😊

    • @victorwiketye2461
      @victorwiketye2461 3 месяца назад

      Hivi kwa nini Waafrika tunachukiana wenyewe kwa wenyewe?

  • @Iam_mgahivevo
    @Iam_mgahivevo 3 месяца назад

    Magufuli kwa nini umetuacha mapema baba tungepata mambo mengi mazuri kama haya okay kazi ya Mungu haina makosa Rip chuma

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 3 месяца назад +3

    Hivi kwa nini watanzania mna tabia ya kushikashika ukuta? Angalia huyu mtangazaji, finishing ikikuvutia ni lazima ushike? Kuna ulazima wa kugonga gonga mlango kuonyeshwa uimara? 😮

    • @hallin9561
      @hallin9561 3 месяца назад

      wacha kukariri bhana, wazungu wenyewe wapo mbele kitechnolojia ila wakivutiwa na kitu wanagusa kabisa ivyo ivyo adi kutaka kutumia ikibid. sembuse kugusa ukuta, watazame wale wanaoReview magari wanavyofanya, au wale wa simu sometimes adi wanazigongesha

    • @egdldm4981
      @egdldm4981 3 месяца назад +2

      @@hallin9561 Wazungu wa wapi hao wana test kwa meno? Watakuwa wale wa Ukrainie labda.

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 3 месяца назад +1

      Watu kama nyie ndo mnaonaga wazungu miungu wakati wana ujinga mpk we mwenyewe unashagaa huyu mtu au mdudu@@egdldm4981

    • @egdldm4981
      @egdldm4981 3 месяца назад

      @@jayharryson4913Naona washamba mmealikana kuzindua treni kwa mtindo wa kishamba mlioukariri kutoka kwa wazungu ... kazi iendelee.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 3 месяца назад

      @@hallin9561wazungu gani wanashika shika vitu Na kung’ata viti na meno ? Huyo mtangazaji sio mstaarabu

  • @Moviesclip6action
    @Moviesclip6action 3 месяца назад +2

    kwenye tren la umemewaweke king'amuzi cha azam

    • @jamilasaid5698
      @jamilasaid5698 3 месяца назад

      Badala useme Dstv unasema Azam duuh

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 3 месяца назад +1

    Magufuri ❤❤❤

  • @swaloweddingcollection
    @swaloweddingcollection 3 месяца назад

    Kak umetisha katik ukaguz upo vzr 😂

  • @2pacFreeStyle96
    @2pacFreeStyle96 3 месяца назад

    We unasema hauna cha kumlipa mama samiha kwa sababu ya hiyo station hujui kwamba hiyo imejengwa kwa kodi zetu au unafikir mama samiha katoa pesa zake mfukoni

  • @Omix_production
    @Omix_production 3 месяца назад +1

    1:33 snash hii content imepigwa kwa smartphone S24 ama camera

  • @AgredaMoyo
    @AgredaMoyo 3 месяца назад

    Iko wap station na nauli sh ngap Moro??

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 3 месяца назад

    Sisi tunajua ni JPm sasa izo story zingine zakuchangamsha uchaguz

  • @user-bq7gx1jh9s
    @user-bq7gx1jh9s 3 месяца назад +1

    R.i.p JPM haya ni matunda uliyoyaanzisha japo hayajakamilika Kwa wakati

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 3 месяца назад

    Wakenya mje muone station ya kisasa siyo nje mnapanga mabenchi ya kukalia watu!.

  • @emmanuelchiza7733
    @emmanuelchiza7733 3 месяца назад

    Kenya watu wa kidheri onyesha yenyu😅😅😅

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 3 месяца назад +1

    Hapo ndio hua nauona ubaguzi wa watanzania dhidi ya watanzania wengine.
    Kwanini kigoma tu kama njia ya wageni na sio maeneo mengine yanayopakana na nchi nyingine?
    Huwezi kumsikia mtu au kiongozi akiongelea mikoa kama, mbeya, kagera, mara, Arusha, Kilimanjaro, mtwara au ruvuma, kuhusu wahamiaji haramu zaid inatajwa kigoma tu.
    Huo ujinga hua naupinga sana kwakua hiyo ililetwa na wakoloni. Waliokua wakiziona nchi zilizotawaliwa na wabelgiji na wafaransa kua kama adui kwa nchi za kiingereza, kijerumani na nyungnezo.
    Muendelezo huo unaendelea hadi sasa ndio sababu watu wamefanya kuinekana kigoma kama mkoa wa kiukimbizi.
    Wilaya ya ngara imekuzwa na watu kutoka rwanda, hakuna anaeongea lakini kwakua ni moja kati ya watu wenye nguvu za kimaamuzi serkalini

    • @petroezekiel9097
      @petroezekiel9097 3 месяца назад +1

      Naungana na ww kaka ni upumbavu wa hali ya juu sana

  • @catherinejohon1282
    @catherinejohon1282 3 месяца назад +1

    Spati pcha magufuli angekuwepo

  • @jumalihumbo5314
    @jumalihumbo5314 3 месяца назад

    Me naona miradi mingi kaacha jpm tu😂😂😂

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 3 месяца назад +1

    iko wapi?

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 3 месяца назад +1

    Hivyo vyoo sasa vitachafuka balaa

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in 3 месяца назад

      😂😂😂na wabongo tulivyo wachafu

  • @eligiusedmund3187
    @eligiusedmund3187 3 месяца назад +1

    Kwani na uko umeme unakata viuno kama huku

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 месяца назад +1

    kigoma 😂😂 ila kiukweli wamuah sio watanzania ila basi tu

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 3 месяца назад

      Dunia hii kila mtu ni muhamiaji...cha muhimu ni kufuata sheria za nchi tuu
      Familia ya kiingereza ...Queen elizabeth na mumewe ...sio waingereza halisi...lkn walikubalika
      Sembuse ss kajamba nani...africa inatakiwa iwe free movement...soon inakuja
      Kenya na Rwanda wameanza...watu wanazuiana wakati sote tu masikini😂

  • @husseinmwinyi6833
    @husseinmwinyi6833 3 месяца назад

    Nauli ipoje ?

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 3 месяца назад

    Sio mama Samia ni magufuli jamani da!

  • @thamani5842
    @thamani5842 3 месяца назад

    Ahsante Mama, wewe ni jembe

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 3 месяца назад

    Magu hoyooooo

  • @user-pp1tn2mu7h
    @user-pp1tn2mu7h 3 месяца назад

    Mama samia mingine 5

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 месяца назад

    Magufuli oyee

  • @mg_panther
    @mg_panther 3 месяца назад +2

    ❤❤❤❤

  • @josephmalale4860
    @josephmalale4860 3 месяца назад

    PROJECT ZA MJOMBA MAGU IZI

  • @Max9_captain
    @Max9_captain 3 месяца назад

    kama mbele yan

  • @user-rj4lt9np5p
    @user-rj4lt9np5p 3 месяца назад +1

    ❤❤

  • @grahamnangi1817
    @grahamnangi1817 3 месяца назад

    EMBU AJITOKEZE MTU APIGE SHOTS APO , KUNA VIEW FLANI NIMEONA KAMA UNACHUNGULIA TWIN TOWERS NI NOMA😂

  • @user-fv3if7wv6j
    @user-fv3if7wv6j 3 месяца назад

    Restin peace Magufuli

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 месяца назад

    Magufuli

  • @user-mz2wx5dt9v
    @user-mz2wx5dt9v 3 месяца назад

    Msituchanganye magufur ndo Kaz yake

  • @williamruto3103
    @williamruto3103 3 месяца назад

    R I P ,, J P M😢

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 3 месяца назад +1

    Huyu jamaa anaroho ya hasad hataki😢tuendelee mbona Aiir port ya JK nzuri

  • @user-em7db3pv7d
    @user-em7db3pv7d 3 месяца назад

    J p m💪🇹🇿

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 3 месяца назад

    Sio mama samia ni Magufuli

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 11 дней назад

    Mbona saiz sion miradi mipya au mwenye akili ameshakufa

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 3 месяца назад

    Kamanimtu amemuuwa magu bsa mungu ndie mwenye hukumu

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 месяца назад

    Magufuli