Jamaa ameifanya sayansi ionekane ni kitu rahisi especially kwa sayansi kama hizo ambazo huonekana kuwa ni ngumu sana kama sayansi ya satellite na rocket. Asante sana kaka kwa kutufungulia njia maana umetupa picha kuwa ata bongo kuna mabrain mijitu yenye akili kubwa ila hawapati Njia au where to start. Serikali kupitia research center au science department sijui but we need to invest Big kwenye izi talent. Kumbe Mungu Tanzania hakutupa tu utajiri wa rasilimali pia Vipaji vipo. Again.. kaka tunakushukuru sana, u just made it look so easy ata mimi nimetamani kusomea yani tofauti kabisa na walimu wetu wanavyotufundisha science SnS asante pia this Content is the Real DeaL
Mimi mkenya lakini nimependa Sana anachokifanya huyu kijana daah,hawa ndio watu tunahitaji kwenye jambi zetu hapa AFRICA hongera Sana brother may God grant good health and long life we need you to inspire the current and coming generations aasante Sana I love this....hata sijui la kusema....
Huyu Dogo ni Genius sana !!! Una feel kabisa kuwa ana knowdge zaidi!! Nasikia kutoa machozi hawa ni Almasi kwa Africa..anaitaji back up kali sana. Nimeshuudia uvumbuzi kibao lakini system zina let down sana,...TUKIACHA ROHO MBAYA, WIVU, CHUKI, NA UKANDAMIZAJI, KULOGANA....Hawa ma genius wanaweza kabisa.
Amna kitu bora kama kuwa mzalendo ,umesoma lkn ukarudi Tanzania kuonyesha ulichokipata kazi nzuri zana tukipata vijana kama wewe kumi ambao wamesoma njee na kufika kiwango ambacho umefika na kurudi nyumbani kuendeleza ujuzi Tanzanian tutapiga hatua kubwa sana big up sana
Big up brother for great innovation, and revolution on technology to our country This man realy need great support from us, and your support we take our country to the next level
Dah,nimefarijika na kufurahi sana Asante sns Asante kaka yetu kwa Ubunifu huo sisi ambao tuko kwenye industry ya tech tunajua ugumu upi umeupitia mpaka leo hii wazo lako unalifanikisha.Big up brother usikate tamaa,tuko pamoja nawe
Vijana wapo wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wakifanya vitu kama hivi ukweli nikwamba serekali yetu haiko tayari kusaidia vijana wenye vipaji kuwaendeleza
Well done home Boy .. Kazania apo apo .. Nenda Kenya tu apo utapata nafasi na pesa nyingi kwa kazi yako hiyo ..!! Kibongo bongo bado tuko busy tunasifu na kuabudu kwanza ...!! Hawawezi kukuzingatia zaidi zaidi watakukwamisha na kukuvuruga tu ..
Msomi, genius, Kiswahili kimenyooka anatumia lugha kwa ufasaha wala halazimishi kingereza. Njoo kwa Std 7 failures, anataka kila neno aweke kingereza huku hajui na matamshi hawezi
Hasa ma slayqueens wetu hawa ni shida sana You Know, You Know zinakua nyingi sana kwenye maongezi kiingereza cha kuunga unga sana wanatishia watu... Ila wasomi wenye akili hawana hizi mbanga, kuna jamaa mmoja yule anafanya kazi Boeing ni m Tanzania nae ukicheck interview yake anaongea kiswahili fasaha tu na amekaa sana USA miaka mingi..
Hongera sana huyu ndio msomi wa vitendo hajaenda kukariri kama walio wengi wafanyavyo, wenye kujaaliwa wamsaporti aweze kulikomboa Taifa ktk masuala haya ya kisayansi ya juu
Watanzania hawawezi elewa coz hii field hawaijui wachache sana watakuelewa but hongera sana broo umeni inspire sana umetumia alot of money, time keep it up
@@ollymagicswabongo wapi hao wengi unaowazungumzia wewe, shida yetu sisi hatupendi kuona mtu akifanya jambo likafanikiwa tunaanza kwa kukatisha tamaa kwa kuonyesha kuwa yeye sio wa kwanza,
if you understand something enough, you can explain it a 7yo kid, what you see is a master at work....Anajua what to talk about and what not to, he is not just a great engineer his communication skill are great, he is down to earth no ego kabisa....keep the work brother, ila hapo kwenye code tupe exp zaidi kidogo next time microsoft code ndo zipi which language exactly? tupia hizo we curious 😅😅
Viruri sana. Tungekuwa na wasomi wa aina hii angalau wangefanya jambo. Ona wasomi wetu wengine wanavyovuruga taaluma zao, wanadharau utanzania wao, lugha yetu kiswahili, wamejifanya nusu wazungu kiasi kwamba fikra zao na mitazamo yao ni huko walikopatia elimu si tanzania.
Hiki ninachokiona hapa ni kikubwa sana! Hii ilipashwa kuwa moja wa mfano wa bunifu za kufadhiliwa moja kwa moja na serikali au hata watu binafsi na mashirika! Ila kwa vile nchi zetu za kiafrika hasa kusini mwa jangwa la sahara hazina muda na wanasayansi wake, sintashangaa kuona bunifu kama hizi zinapotea tu pasipojulikana! Kongole kwake bwana huyu, nimemfwatilia muda mrefu hakika ana kitu kikubwa sana. MUNGU aendelee kumuwema kwa faida ya kizazi chetu sasa na hata baadae.
Asante kwa video nzuri. ila aliye edit tafadhali punguza wakati mwingine sauti ya vionjo (sound track). ina volume kubwa sana kuliko sauti ya muongeaji kwahiyo ni ngumu kusikiliza anacho wasilisha hata kama ukiongeza sauti ya kifaa chako. asante
Tunasema tumshukuru Mungu na atuinulie bijana kama hawa,pia serikari inapaswa kuangalia vijana kama hawa na kuwapanguvu vijana wote wenye uwezo wa kutengeneza kitu chochote cha maendeleo ya kiuchumi watumiwe na serikari yao tuweze kujitegemea maana madini tunayo yanayo sapoti vitu vingi vinavyo husiana na sayansi tunaomba serikari itoe nguvu kwa wavumbuzi wote..Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 tuvbariki na vijana wa Afrika.
Moja ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia,changamoto ni kwamba hakuna anayeshikwa mkono kuendeleza na kueneza taalaum yake kwa vizazi vijavyo na mwisho wa siku wanapotelea hewani. Fursa hizi zikitumika vizuri pengine siku moja tutakuwa hub ya kiteknolojia badala ya kuendelea kudumazwa na wenzetu waliopiga hatua.
Wizara ya habari technology na mawasiliano wanasubiri tu mtu akosee wampe adabu sioni kuonana vitu kama ivi akikosea tu akirushe bila kibali watatoka kama kumbikumbi kwenye kichuguu aende police akaojiwe Africa ni bara lenye viongozi ambao 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
SEREKALI YETU ITAZAMIMI MIPIRA. YALE YAMANA HAWANA HABARI NAYO UNAKWEND KULIPA GOLI MILION 5 WAKATI SSI RAIA TULLA NJAA TUNAWAGONJWA WETU TUNASHINDWA KUWALIPIA MAHOSPITALI 😭😭 BABA WWE PAMBANDA KWAUWEZO WAKO ALIO.KUJALIA ALLAH ILA USIJE KUTEGEMEA SEREKALI KAMA ITA KUSAPOTI NEVA
Tunaomba muendelezo wa ufafanuzi zaidi juu ya satalite. Pia nikupongeze Mtanzania mwenzetu kwa hatua hii. Niombe serikali yetu kutumia ubunifuu huu kwa Masirahi ya Taifa🇹🇿
Hongera sana brother, Tanzania inakuwa kubwa, serikali na taasisi BINAFSI tumpe sapoti
Jamaa ameifanya sayansi ionekane ni kitu rahisi especially kwa sayansi kama hizo ambazo huonekana kuwa ni ngumu sana kama sayansi ya satellite na rocket. Asante sana kaka kwa kutufungulia njia maana umetupa picha kuwa ata bongo kuna mabrain mijitu yenye akili kubwa ila hawapati Njia au where to start. Serikali kupitia research center au science department sijui but we need to invest Big kwenye izi talent. Kumbe Mungu Tanzania hakutupa tu utajiri wa rasilimali pia Vipaji vipo.
Again.. kaka tunakushukuru sana, u just made it look so easy ata mimi nimetamani kusomea yani tofauti kabisa na walimu wetu wanavyotufundisha science
SnS asante pia this Content is the Real DeaL
The Next Black panther & defender of Africa Technology ❤
Mimi mkenya lakini nimependa Sana anachokifanya huyu kijana daah,hawa ndio watu tunahitaji kwenye jambi zetu hapa AFRICA hongera Sana brother may God grant good health and long life we need you to inspire the current and coming generations aasante Sana I love this....hata sijui la kusema....
Huyu Dogo ni Genius sana !!! Una feel kabisa kuwa ana knowdge zaidi!! Nasikia kutoa machozi hawa ni Almasi kwa Africa..anaitaji back up kali sana. Nimeshuudia uvumbuzi kibao lakini system zina let down sana,...TUKIACHA ROHO MBAYA, WIVU, CHUKI, NA UKANDAMIZAJI, KULOGANA....Hawa ma genius wanaweza kabisa.
DIT is the best school for engineering Tanzania ,thanks bro all the best in you ideas
Daaaah! Haya ndo mambo napendaga kuona na kusikia... safi sana kaka
Napenda sana kuona nasisi tunafanya mambo ambayo tulikuwa tunayaonaga kwa wazungu naipenda Tz
Amna kitu bora kama kuwa mzalendo ,umesoma lkn ukarudi Tanzania kuonyesha ulichokipata kazi nzuri zana tukipata vijana kama wewe kumi ambao wamesoma njee na kufika kiwango ambacho umefika na kurudi nyumbani kuendeleza ujuzi Tanzanian tutapiga hatua kubwa sana big up sana
Big up brother for great innovation, and revolution on technology to our country
This man realy need great support from us, and your support we take our country to the next level
FUTURE MAN ON SPACE FROM TANZANIA IS COMING
Dah,nimefarijika na kufurahi sana Asante sns Asante kaka yetu kwa Ubunifu huo sisi ambao tuko kwenye industry ya tech tunajua ugumu upi umeupitia mpaka leo hii wazo lako unalifanikisha.Big up brother usikate tamaa,tuko pamoja nawe
Hongera sana brother Lenard , wewe ni hazina ya Taifa
Hongera Sana Shayo ,Talent hii niliiona kwako ukiwa form two .Mungu akufunike Mzee we ni Taasisi.
Aise hongera sana!! Ahsante. Ww ni mtanzania kweli. Kiswahili kizuri. Hongera sana. Mungu akutangulie siku zote. Amen.
This man is very genious we need such engineers and not politicians
Inafurahisha na Mungu abariki ndugu yetu huyu na watu wote ktk vipaji mbalimbali. Safi sana Mr Shayo
Nimefarijika sana, ingawa sijui watamtumiaje ili kuinufaisha Tanzania yetu na Africa kwa ujumla, Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania.
Hello Mr Shayo i got inspired Keep up bro
Huyu jamaa tuko vizuri, nafurahi sana!!! Kuona Mtanzania anavyofanikiwa, tupate vijana wengi kama hawa, Mungu ibariki Tanzania
Vijana wapo wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wakifanya vitu kama hivi ukweli nikwamba serekali yetu haiko tayari kusaidia vijana wenye vipaji kuwaendeleza
Well done home Boy ..
Kazania apo apo ..
Nenda Kenya tu apo utapata nafasi na pesa nyingi kwa kazi yako hiyo ..!!
Kibongo bongo bado tuko busy tunasifu na kuabudu kwanza ...!!
Hawawezi kukuzingatia zaidi zaidi watakukwamisha na kukuvuruga tu ..
Hongera sana kaka kwa kazi mawazo nakizi ulizozifanya pia hongera kwa matumizi mkubwa ya lugha ya kiswahili katika mauala ya sayansi ya anga
Mashallah ❤safi sana Mungu akusaidie sana kaka
Kaskazini is always headers,,,, big up brother
Kazi nzuri Afrika inawezekana kama Serekali zita kusanya vipaji na ujuzi mbali mbali kwa ubunifu.
Ndiooo ❤🎉
Kinyange to the word. Keep moving mate. Home boy
Hongera sana Mhandisi. Una uwezo mkubwa... mambo haya yapewe heko, tunakutakia mafanikio makubwa sana.
Hongera sana haya ndio mambo ya kutuletea elimu hii ni nzuri.Asanteni
Vizuri Sana Kaka Mungu Atakuwezesha Pia Nataisapoti Hii Kazi
Nitatoa Ushirikiano Kwa Ajili Ya Taifa Letu.
Huyu amesoma ameelimika, anaitendea kazi elimu, wasomi wengi iko kwenye makalatasi, Mungu akubariki sana, songa mbele tunakuombea.
kazi nzuri sana bro...keep up
Msomi, genius, Kiswahili kimenyooka anatumia lugha kwa ufasaha wala halazimishi kingereza. Njoo kwa Std 7 failures, anataka kila neno aweke kingereza huku hajui na matamshi hawezi
HAHAAA MWQMBAAA UMETISHAAA UMEONGEA KWA UCHUNGU HAHAAA
Dah kweli kabisa yan kiswahili kimenyooka na ana eleweka
Hasa ma slayqueens wetu hawa ni shida sana You Know, You Know zinakua nyingi sana kwenye maongezi kiingereza cha kuunga unga sana wanatishia watu... Ila wasomi wenye akili hawana hizi mbanga, kuna jamaa mmoja yule anafanya kazi Boeing ni m Tanzania nae ukicheck interview yake anaongea kiswahili fasaha tu na amekaa sana USA miaka mingi..
@@ZeProDJay hao target yao ni wazungu
wewe jamaa umeandika nilichotaka kuandika 😂
Mungu atajalia utafika kaka
Hongera sana huyu ndio msomi wa vitendo hajaenda kukariri kama walio wengi wafanyavyo, wenye kujaaliwa wamsaporti aweze kulikomboa Taifa ktk masuala haya ya kisayansi ya juu
Kaka Leonard shayo upo 1 tu Africa nzima🌟💪🏾
Watanzania hawawezi elewa coz hii field hawaijui wachache sana watakuelewa but hongera sana broo umeni inspire sana umetumia alot of money, time keep it up
@@ollymagicswabongo wapi hao wengi unaowazungumzia wewe, shida yetu sisi hatupendi kuona mtu akifanya jambo likafanikiwa tunaanza kwa kukatisha tamaa kwa kuonyesha kuwa yeye sio wa kwanza,
@@ollymagicsKumbe hujapendezwa mkuu😂
Yeye atakuwa wakwanza kati ya wengi watakao kuja nyuma yake Kila mabadiliko lazima awepo mwanzilishi@@Piuspaul123
Mungu akuinuwe kijana mwenzangu ❤
hongerasana jeserikali itakusapoti kweli
Tena serikali isimguse kabisa itampoteza tu Kaka yetu hongera Sana ndugu yetu
Izi ndo habar sasa! Big up sns!
Kazi njema,Songa mbele kwa maono makubwa juu ya TAIFA lako.Viongozi wa Nchi wa kuone.
Hongera Sanaa hatuwezi hata kulipa garama mpak hap Mungu akusaidie zaidii
Hongera mkuu,serikali mtumieni huyu mtu
Hapo nimenyanyua mikono bro appriciate
Allah atupatie Watanzania 10 kama huyu. Na uongozi kama wa Magufuri. TANZANIAN tuko mbele sana.
if you understand something enough, you can explain it a 7yo kid, what you see is a master at work....Anajua what to talk about and what not to, he is not just a great engineer his communication skill are great, he is down to earth no ego kabisa....keep the work brother, ila hapo kwenye code tupe exp zaidi kidogo next time microsoft code ndo zipi which language exactly? tupia hizo we curious 😅😅
Ni idea nzuri sana. Kwa uchunguzi mzuri zaidi haende mlima kilimanjaro pia itakuwa poa sana
Kaka asante sana Sasa Tunaweza kufikia malengo ya nchi yetu
Kazi nzuri bro sema tu mungu akutangulie maana hill in kusudi zuri ktk nyanja ya kiteknolojia hasa ya agani.
Nilitaka Ku juwa wakati izo radio hazi fanyi kazi Wala Ku tuma information, gisi gani wana weza kui rekebisha
Sijajutia mb zangu 🎉🎉
Hawa ndio wangekua wanapelekwa nje kupata ujuzi zaidi kwaajili ya maendeleo ya taifa , sio kumpelekea wema sepetu kwaajili ya bongo movie.
Engineer msomi kwa vitendo..... congratulations ndg, unastahili kutunukuwa PhD na Uprofesor
Daa kaka umetisha
Big up Mkuu and stay blessed
Viruri sana.
Tungekuwa na wasomi wa aina hii angalau wangefanya jambo.
Ona wasomi wetu wengine wanavyovuruga taaluma zao, wanadharau utanzania wao, lugha yetu kiswahili, wamejifanya nusu wazungu kiasi kwamba fikra zao na mitazamo yao ni huko walikopatia elimu si tanzania.
Uko sawa mkuu..... hongera ktoka Nairobi.,wetu hapa kingereza tele ila akili kama hii hamna
Yaaa Kazi nzuri
Hiki ninachokiona hapa ni kikubwa sana! Hii ilipashwa kuwa moja wa mfano wa bunifu za kufadhiliwa moja kwa moja na serikali au hata watu binafsi na mashirika! Ila kwa vile nchi zetu za kiafrika hasa kusini mwa jangwa la sahara hazina muda na wanasayansi wake, sintashangaa kuona bunifu kama hizi zinapotea tu pasipojulikana! Kongole kwake bwana huyu, nimemfwatilia muda mrefu hakika ana kitu kikubwa sana. MUNGU aendelee kumuwema kwa faida ya kizazi chetu sasa na hata baadae.
Asante kwa video nzuri. ila aliye edit tafadhali punguza wakati mwingine sauti ya vionjo (sound track). ina volume kubwa sana kuliko sauti ya muongeaji kwahiyo ni ngumu kusikiliza anacho wasilisha hata kama ukiongeza sauti ya kifaa chako. asante
Mungu akutangulie kaka
Bwashee, Umetishaaa sana, kwanza mdogo alafu ana maarifa makubwa sana. Congratulations 🎊
Anaelezea vizuri nakueleweka sana.. Hongera kwake
God bles u
Tunasema tumshukuru Mungu na atuinulie bijana kama hawa,pia serikari inapaswa kuangalia vijana kama hawa na kuwapanguvu vijana wote wenye uwezo wa kutengeneza kitu chochote cha maendeleo ya kiuchumi watumiwe na serikari yao tuweze kujitegemea maana madini tunayo yanayo sapoti vitu vingi vinavyo husiana na sayansi tunaomba serikari itoe nguvu kwa wavumbuzi wote..Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 tuvbariki na vijana wa Afrika.
Well done bro...salute
Safi sana mtalaam ❤, Serikari sasa ikupe hela ya hizo Project.
Hongera sana kaka, umefanya kitu cha pekee sana, tunajivunia wewe
KISWAHILI SAAFI KABISA, HAKUNA NYODO, ELIMU KUBWA, ANATOA ELIMU KUBWA BILA KUTOA JASHO, HONGERA SANA. UTAFIKA MBALI
HONGERA SANA DOGO.SHIDA SISI WA TZ HATUWAPENDI WABUNIFU WETU WA NDAN
Moja ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia,changamoto ni kwamba hakuna anayeshikwa mkono kuendeleza na kueneza taalaum yake kwa vizazi vijavyo na mwisho wa siku wanapotelea hewani.
Fursa hizi zikitumika vizuri pengine siku moja tutakuwa hub ya kiteknolojia badala ya kuendelea kudumazwa na wenzetu waliopiga hatua.
Huyu si anastahili kutunikiwa Phd jamani... Au wadau mnaonaje🤔🤔🤔
Kabsaa kuna wengine wana Phd hakuna hata la msingi anajua za notes tu mpe practical sasa
PhD Tanzania ni mpaka avuke viwango vyote vya fitna
Anayo tayari
@@MocDomy-qn6thl kweli kabiss
Hongera sana kijana,nakuomba nenda Kwa Raisi wa nchi yetu Tanzania,akusaidie mtaji Ili utengeneze satellite ya nchi yetu.
Hongera sana kaka mm pia nimesoma electronics kama wewe napia ninamalengo kama yako karibu zanzibar
Mungu akitangulie mkuu.
I appriciate it
Katika wavumbuzi wote Tanzania huyu nampa namba 1 kwasababu uvumbuzi wake umeambata na taalum haswa ie professional inventory
Huyu ndie alitakiwa kuwa pale TCRA
Labda awe ccm
Good job Mr. Engineer👏👏👏
Brain act genius 🧠🧠🧠🧠
Hmm ndo maana joto linazidi kuongezeka 😮 kaka kaka😂
Mm binafsi nakutakia heri una jambo kubwa ebu fanya jambo lako na Mungu akujalie uzione ndotozakozikiwa angani na sio mezani tena !
Hongera sana, watu kama hawa wenye akili nyingi wasiachwe bure, serikali iwatumie kwa maendeleo ya Taifa letu.
Safi sana Sns kwa kuvitukuza vya nyumbani
Wizara ya habari technology na mawasiliano wanasubiri tu mtu akosee wampe adabu sioni kuonana vitu kama ivi akikosea tu akirushe bila kibali watatoka kama kumbikumbi kwenye kichuguu aende police akaojiwe Africa ni bara lenye viongozi ambao 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Hongera sana kaka hivi ndiyo wasomi tunatakiwa kuwa ndiyo tuendelee
Tupo vizuri natunapambana sana watu wa Kilimanjaro .We never give up👏👏👏
Ukiweks tu u Kilimanjaro ni kosa kubwa.. Ni m Tanganyika good...
Ukabila wa nini sasa
haikuarahisi kaka kazi nzuri sana ndugu na hongera sana
SEREKALI YETU ITAZAMIMI MIPIRA. YALE YAMANA HAWANA HABARI NAYO UNAKWEND KULIPA GOLI MILION 5 WAKATI SSI RAIA TULLA NJAA TUNAWAGONJWA WETU TUNASHINDWA KUWALIPIA MAHOSPITALI 😭😭 BABA WWE PAMBANDA KWAUWEZO WAKO ALIO.KUJALIA ALLAH ILA USIJE KUTEGEMEA SEREKALI KAMA ITA KUSAPOTI NEVA
Naweza kupata contact za huyu bwana...??
Naposikia habari kama hizi za teknolojia nahisi Dunia ipo mkononi mwangu big up #SNS
Big up brother 🙏
Kazi nzuri. Je, inaweza kuelea juu angani?
Brother Leo...Hongera sana Kaka
Tanzania ni nchi yenye vipaji vya ajabu sana tunahitaji viongozi makini sana ilikufikia malengo ya Taifa.
Nice keep Going 🤝👏
Hii inamaana jamaa anaweza kutegeneza vifaa vinavyo tumia umeme na mawasiliano, ikiwemo simu, computer, TV, Redio Nk.
kabisa... mwamba ana Ndoto kubwa ni balaa hivyo ni vitu vidogo kuliko Satellite jamaa anajua Mungu amemariki sana🙌🙌
Safi sana na siosomi anaenda kufungua baaa
big up sana men your the future. big brain tunaitaji sana vichwa vya aina hii
Tunaomba muendelezo wa ufafanuzi zaidi juu ya satalite. Pia nikupongeze Mtanzania mwenzetu kwa hatua hii.
Niombe serikali yetu kutumia ubunifuu huu kwa Masirahi ya Taifa🇹🇿