@@BeckhamMsigwa hiyo inajulikana lakin miezi 7 kikundi kidogo ameshindwa kukimaliza na Dunia INA msaidia israil hawezi kushinda hii vita manake kule alikokuteka tayari wanazibukia na kushambulia tena
Yuko vizuri ....yuko UNBIASED. DjSma ISRAEL (and allies) INAMUUMIZA SANA KICHWA! Asipoangalia ata presha mwaka huu😅, kwa sababu ISRAEL IS HERE TO STAY, na atakayewachokoza anabamizwa tuu!
@@princematumbo wewe mama yako haendi chooni? Au umezaliwa bila mama?😅 Punguza hasira usije ukapata presha ukaanguka ukafa 😃 Jina lenyewe Prince Matumbo!🤣😅
Kuna tofauti gani kati ya Hamas na kile walichokifanya wakina Mandela(Madiba, mwamba wa Afrika) dhidi ya wale wazungu wakoloni Afrika kusini? Wangewapa mauwa na kuwapigia makofi kwa dhulma walizofanya wakoloni? Walipambana kama Hamas leo hii wanavyo pambania ardhi yao dhidi ya wayahudi Palestina na wakapata uhuru wao. Namnukuu Mandela "uhuru wa Afrika kusini haujakamilika mpaka Palestina iwe huru" mwisho wa kunukuu. Kwa hiyo wakina Mandela walikuwa hawana haki ya kutete taifa lao? Kuitwa gaidi hata Mandela aliitwa gaidi na kifungo juu. Baadaye akaja kuwa shujaa wa Afrika kusini, Afrika na dunia nzima kwa ujumla.
Ukiwa Ulaya ndio utajua hujuwi, hakuna kitu cha bure. Familia wanaishi pamoja lakini kila mtu anajinunulia mwenyewe. Waubinafsi wa hali ya juu. Yaani changu changu, chako chako hata kama ni mama mzazi(lakini sio wote) ila wengi wao wapo hivyo. Ukiona umepewa kitu cha bure, akili ku mkichwa!!!
Sky. Mm nina ushauri kwako kama una weza ili kipindi kiwe offolicial kwa mambo haya hata kwa hiyo cku 1 moja. Tengeneza sehemu nzuri ambayo ina ji brand pia.kipindi kina noga. Ni maoni yangu tu.tunapenda tuone maendeleo pia ya vipindi nyenu mkiwa live kama hivi .🙏
Hiyo nimipango yao WENYEWE... kudanganya uma,,mibomu kila siku Leo USEME,,Bado WAPO...mm naomba vita ikwishe mwisho utasikia NYUMBA zimejengwa PARESTINA ambacho kitaongeza vita.
Ukizoea kumuonea mtu anayekuogapa kwa mda mlefu huwa unamtengeneza kuwa jasili na shujaa asiyeogopa chochote. Israel imewakomaza Hamas mwenyewe so ikubali matokeo
Hiyo nimeiyona waliwaingiza mkenge na wao wakazama kichwa kichwa kwenye mahandaki Al qasam wa kasepaa nao na huyo mwanajeshi aliyejirecod hiyo ni hotuba ya Netanyau mwenyewe 😂.. Coz Ata hy video aliyeisambaza kwa mara ya kwanza ni mtoto wa Netanyahu anayeishi California
Hawana air defense generation wala ya nini ? Kwamba ulaya wenyewe wanaitaka? Hizo propaganda kila kukicha kuwapa credit uongo uongo mwingi hao wayahudi
Daah Ally masubi jaribu kumwerekeza hata ww 🤣🤣 kuwa ile defense ya izilaer hata urusi ana cha kujifunza🤔🤔 siyo awafariji ndugu zake kuwa ni ya kawaida 👍 maana watu wenye majina ya kiarabu wakisikia defense ya izilaer ni yakawaida sana wanafarijika sana🤝 next time tuleteeni makala jinsi gani izilaer ilivyo na power kubwa kijesh 🔥💪 mtwambie kabsa kuwa entellegence yao hajapata kufikiwa na nch yoyote karne hii🙏🙏🙏
Usije kuludia tena sikunyingine kuongea huo utumbo!!! Yani mrusi akajivunze kwa netanyau mtu anaepigana namataifa zaidi ya 45 akiwa pekeyake, ogopa sana Russia ule nimuziki mwingine hujiulizi kwa nini toka vita ya mrusi imeanza netanyau aligoma kupeleka silaha yoyote? Jibu ni moja tu Putin alimkanya netanyau akamwambia ukijaribu ntaichoma teraviv kwadakika 5 tu au unajisahaulisha?
Tulivyo aminishwa na ilvyo israil ni mbali na mbali awako vizuri kabisa kwa Mimi muelewa kama wao wakovizur ulaya yote wanapeleka ulinzi pale wanini Sasa na wao ndo wenye ulinzi Bora kuliko wote
@@hassanihamidu8546 ndo mnafalijiana ujinga Ivo. Amemushindwa ucrein atawaweza wana wa izilaer mbona mnajamba vitani 🤣🤣🤣 urusi na izilaer hawajah kutunishiana misuri kabsa 🤝 coz izilaer Hana shida na urusi 🧷 yeye maadui zake Nini baba zenu warabu 🙆 apo hata wakiungana hawafulukuti kama ilivo Kwa urusi adui yake Mkubwa ni marekani. 💀 Mbona kama unasinzia mdgo wake mwamed🤣🤣🤣
Sma msema haki na mkweli. Viva Smaa
Mimi mwenyewe na penda Sana Hamas na Ez BHollah, na Mungu awa jaalie Hamas
Utapenda sana ila hamas kui piku Israel ni ngumu tena ngumu sana 😂😂
@@BeckhamMsigwa hayo ni maono yko fuatilia aljazeera uone idf wanavyoomba poo... wanajuta kumsikiliza natanyahu
@@BeckhamMsigwa hiyo inajulikana lakin miezi 7 kikundi kidogo ameshindwa kukimaliza na Dunia INA msaidia israil hawezi kushinda hii vita manake kule alikokuteka tayari wanazibukia na kushambulia tena
@@mohamedaley5632 wacha uongo, haya ni matamanio yako, yaani ndoto yako....alafu kuna kitu kinaitwa 'Ukweli'.
@@zuricakes6817 kutokana tu na ulivyoongea nishajua ni katka wale anaewazungumzia dj smaa
Dj smaaa is a master on military affair knowledge,, we are on here for all
Dj Smaa nilitamani kumuona kabisa safi kabisa 🙌🏼🙌🏼
Yani Hawa jamaa wanajua Sana mashalah wanaakili sana
Allah wasaidie ndug zetu Hamas waweze kuwashinda hao waisrael
Hatuhitaji vita tunahitaji Amani itawale ili
1. Watoto wakue
2. Wazee wapumzike
3. Wagonjwa watibiwe
4. Mazao yastawi
Mko vizuri! Mnachambua vizuri.
Asante sana ndg mtangazaji asante sana ndg wachambuzi mko vzr sana
Great program,big up SNS.
Ali masubi yuko vizuri sana kwa kuchambua yani mtazamaji unamuelewa vizuri sana
Yuko vizuri ....yuko UNBIASED. DjSma ISRAEL (and allies) INAMUUMIZA SANA KICHWA! Asipoangalia ata presha mwaka huu😅, kwa sababu ISRAEL IS HERE TO STAY, na atakayewachokoza anabamizwa tuu!
@@zuricakes6817mkundu Wa mamako wewe, Israel to stay wapi?! nguruwe wewe
@@princematumbo wewe mama yako haendi chooni? Au umezaliwa bila mama?😅 Punguza hasira usije ukapata presha ukaanguka ukafa 😃
Jina lenyewe Prince Matumbo!🤣😅
Safi sana Mungu awasaidie wanaopigania Ardhi yao inayokaliwa kwa Mabavu
Niwapongeze kwa taarifa nzuri sana zenye uhakika, kwa Tanzania nawapa namba moja mko vizuri kwa taarifa za Kimataifa
Dj smaa upo vizur.defesi ya israel inapakwa mafuta ulaya na marekani ila akuna ulinzi apo.
Watu munaozani kua Islael ni nchi ya ki kristo poleni hio nchi ya kiyahoud na muache kuwasema wachambuz kua wanaudini hio ni vita tu kama vitanyengine
Hiyo ni spiritual battle huwezi kuelewa Kwa akili ya kimwili
Shauri yako
Tunaipenda Israel ❤😂😂.
Mbona wewe unapenda Iran 😂
Dj sm👏👏
Daa leo Israel wamefanya unyama m mungu awalindinde rafaa😢😢😭
Dj smaa u r gd kwa kuchambua in short SNS muko vizuri
Hamas ni kikundi kidogo lakini kinamtoa jasho Israel anaepewa kila kitu na Marekani ikiwemo jeshi
Hawa watu Nihatarii sana maana muogpe sana mtu ambae anaeipigania haki yake ya maisha yake huyo ni vizazi na vizazi
Sasa kama ni hivyo mbona mnalalamika na kulialia? Acha wapigane.
Hamasi itazidi kusababisha Raia wa Palestina kuuawa sana.
Twende kaziiii!!!
M.mungu awabariki wananSNS
Kuna tofauti gani kati ya Hamas na kile walichokifanya wakina Mandela(Madiba, mwamba wa Afrika) dhidi ya wale wazungu wakoloni Afrika kusini? Wangewapa mauwa na kuwapigia makofi kwa dhulma walizofanya wakoloni?
Walipambana kama Hamas leo hii wanavyo pambania ardhi yao dhidi ya wayahudi Palestina na wakapata uhuru wao.
Namnukuu Mandela "uhuru wa Afrika kusini haujakamilika mpaka Palestina iwe huru" mwisho wa kunukuu.
Kwa hiyo wakina Mandela walikuwa hawana haki ya kutete taifa lao? Kuitwa gaidi hata Mandela aliitwa gaidi na kifungo juu. Baadaye akaja kuwa shujaa wa Afrika kusini, Afrika na dunia nzima kwa ujumla.
Dj Smaa nakuelewa vzuri wanaosema una udini hawajitambui.usijali we endelea kutupa madini.
Wote wako vizur hamna udini hpo nyinyi mnaoanza kufatilia leo ndio mnatuvuruga
Sijui wanataka waelezewe vipi😢
Ni mashabiki maandazi na udini mwingi hawataki kuambiwa ukweli
Dj sma upo vizuri sna
Mko vizuri wachambuzi balaaa
Ukiwa Ulaya ndio utajua hujuwi, hakuna kitu cha bure. Familia wanaishi pamoja lakini kila mtu anajinunulia mwenyewe. Waubinafsi wa hali ya juu. Yaani changu changu, chako chako hata kama ni mama mzazi(lakini sio wote) ila wengi wao wapo hivyo. Ukiona umepewa kitu cha bure, akili ku mkichwa!!!
Kwann upende vya bure?? Fanya kazi
Huyu jamaa mweus anachambua uhalisia haonyeshi kuegemea upande fulani na ndivyo inavyotakiwa
Wote hapo ni weusi umemaanisha nani boss
Ukweli unauma mnyonge akifqnikiwq
tatazo watu saivi ukweli hamuutaki
Kweli lakini huyo hapo mwarabu anakandamiza sana waizilaeli
@@chikusangalala7759 ok basi mbona Ndugu zetu wa Congo mbona wanakufa sisi weusi wezao tupo kimya ?
Kwani ata wakifa watatangaza 😢.Mungu awalinde hamas
Wanakufa sana hawatangazi MUNGU tunakuomba linda raia wa Gaza 🙏
Hivi Israel ni ya kupigana vita miezi 6 dhidi ya hamas tena kimji kidogo kabisa
Tena hapo ni kwakuwa wameharibu tu majengo na kuua raia isinge kuwa hivyo yani israel hawana uwezo wa kuiondoa hamas
Hatari
Air supression
Kweli
Na yale maandamano telaviva ni ya nini viva abu ubaida❤
hapo hakuna cha udini jamaa anaongea fact only
❤❤❤❤ safi sana
Safi sana
Hao wana jipiga wenyewe hao
DJ smaa unachambua vzr
malaya
Safi sana wachambuzi napenda muwe mnatuchambulia ivi
Huyo masoubi hampati kabisa dj smaa smaa anavitu adimu sana
Kaka wote atuwezi kuwa Sawa
Sky. Mm nina ushauri kwako kama una weza ili kipindi kiwe offolicial kwa mambo haya hata kwa hiyo cku 1 moja. Tengeneza sehemu nzuri ambayo ina ji brand pia.kipindi kina noga. Ni maoni yangu tu.tunapenda tuone maendeleo pia ya vipindi nyenu mkiwa live kama hivi .🙏
Dj SMA Analet habar ambazo huwezipata Mainstream Media
Mmeshindwa kuchambua mpira mnaanza kuchambua mabomu. Washamba kweli
Ila jamani, kombola kufik hadi Mji mkuu kweli litakua halina madhara? Mzee ukikutana nalo utakufa tu
Mfumo wa ulinzi wa Israel wanaousifu sana sio bora kiivo , mbn hizbollah rocket 🚀 zinapenya , Ali Masuby bado mwepesi kwenye uchambuzi
Mifumo ya ulinzi yoote DUNIANI haizuii KWA asilimia mia NDIO maana HATA s 400 ya URUSI zimeshambuliwa
Leo mmeambizana kuvaa black 😊
Mpaka Leo Hamasi anaubavu tena wa kurusha rocket !!!!!!!
Hiyo nimipango yao WENYEWE... kudanganya uma,,mibomu kila siku Leo USEME,,Bado WAPO...mm naomba vita ikwishe mwisho utasikia NYUMBA zimejengwa PARESTINA ambacho kitaongeza vita.
Nipo hapa.
Ahsante sana GPS 💪
Iyo source yenu ya bbc ya uwongo
Wapigwe hao magaidi.
God bless Israel
Dj smaa ni hatari anajua sana tena sana. Mungu amjaalie apindishi maneno . Hawa watu tunawatumiaje kwenye taifa
Wachambuzi wetu pongezi zenu naona mnachambua habari za ukweli na uhakika bila kuelemea upande wowote
Mzee upo Fasta sana
Tupo pamoja
Mkuu kuna mejeruhi 3
Huo ndio ukweli... mtamsifu Israel sana but anapigana na nani..!!?? Na je ananini huyo anaepigananae..!!
Na kupata vyema kutoka Tel Aviv-Yafo
Leo kaka gps imekuwa fupi sanaa
Ndefu ipo itakuja soon
Dahhhh nikwel kwa vifaa vya kivita Israeli wapo juu lkn lkn hamas wanambinu nyingi sana tena sana
aise Israel watajb kwa ukubwaa🎉🎉🎉
Waulize kinachowakuta😂😂😂
ok yahudi tumekuelewa
Sawa semaji la kiyahudi
Israel anajibu kikamifu😂
Israel anajibu kikamilifu 😂😂
Ukizoea kumuonea mtu anayekuogapa kwa mda mlefu huwa unamtengeneza kuwa jasili na shujaa asiyeogopa chochote. Israel imewakomaza Hamas mwenyewe so ikubali matokeo
Pointless
Limerunguliwa
leo vipi dakika 14 tu 😢😢
Wacambuzi bola kabisa mungu ibaliki inchi jilani Tanzania
Kwann ivyo vichwa vipo hapo mshauri mama samia avichukue ivyo vichwa visaidie Taifa
Kaka ally ulaya wote ni wabovu kwenye vita hawana silaha bora bali wao ni watu wa kujisifu na kujitangaza kwenye vyombo vyao vya habari
WAPI WAMEJITANGAZA 🤣😳😳😳
Yakwetu yametushinda tunajadili ya wengine huu ni ujinga uliokithiri
Kaka umesema kweli israel hawana uwezo wa kivita maana nimashoga wala huo mfumo wao wa ulinzi ni wa hovyo
Huyo jamaa white hamna kitu hajui kuchambua😅😅😅😂😂😂 ananichekesha😂😂😂
Kwani mnajua mnachokijadili? Kumbukeni mnajadili unabii wa Mungu, hiyo vita sio ya kisiasa kumbukeni Hilo.
Muyahudi mweusii kajitojekeza
Hapn DJ Sma Ukiingizaa Udini hauwezi kumwelewa, Yeye anachambua uhalisia katika Vita
Kweli 😮😮
Kabisa weng hawamuelew sma
Sema wewe usijumlishe wengine
Sma shukran sana kusimamia haki na ukweli
Yaan palestina hawaish kwa amani lakini iziraili pia hawajawah pia kuishi kwa aman
Israel haitaki huu mzozo uwishe mapema
Hiyo nimeiyona waliwaingiza mkenge na wao wakazama kichwa kichwa kwenye mahandaki Al qasam wa kasepaa nao na huyo mwanajeshi aliyejirecod hiyo ni hotuba ya Netanyau mwenyewe 😂.. Coz Ata hy video aliyeisambaza kwa mara ya kwanza ni mtoto wa Netanyahu anayeishi California
Kama una degr za kujitambua na kuacha ushabiki hawa jamaa utawaelewa
Islael na marekani hata wapigwe vipi hawasemi ukweli utasikia tu hakuna madhara😂😂😂
Dj sma nimchambuzi mzuri but yupo na udini sana ana chuki za wazi wazi kwa nchi za ulaya na America 🇺🇸
Sio lazima kumfuata
Na mimi nimegundua hilo
Hao Aljazira hawaaminiki kabisa
Kitu ambacho naona mmekiacha kwenye uchambuzi wenu ni kwamba Hamas wanakua wagumu zaidi kumalizwa sababu ya njia yao ya kujificha kwa Raia
Wanawadanganya hao makafiri hata wapigwe hawasemi
Acha uongo anaweza tengeneza ata yeye
Hao wanajishambulia wenyewe we ukitaka uamin wakuonyeshe maiti .za kiyahudi hio kama septemba ileven warakufa raia wengine sio wayahudi
Hao mashoga hata wafe hawasemi maana wanaona aibu lakin wamekufa haiwezekani walenge shabaha na ifike mahali husika na wasife
Sawa basi wamekufa wameisha na vita imeisha na hamas wameshinda 🤣
Dj sma huyo israel hajaanza vita leo ameanza vita zamani ukitaka kuona yupo vzur ingia nae vitan
ok yahudi tumekuelewa
Kama hauelewi kipindi hauelewi tu.Ali ni Ali Smaa ni Smaa
Kwenye ground Israel imeshindwa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
Wapige hao masoga
Hawana air defense generation wala ya nini ? Kwamba ulaya wenyewe wanaitaka? Hizo propaganda kila kukicha kuwapa credit uongo uongo mwingi hao wayahudi
Ilo jibu la ni apana, ni lako sio la Israel
DJ SMA kwan mrusi alikupa nini?
Wenzao wanawauwa afu wenyewe wanawateka si wauwe tu
Dj sma hatawai appreciate Israel.. Jamaa anamchukia sana Israel
Kwani Israel ndio nani mpaka kila mtu aipende? Ifuatilieni mtajua hamjui😮😮😮
Hawez kufika mbali akiegemea upande mmoja uchambuzi hautaki hvo
@@user-it7ih1it3mTatizo hupend ukweli
Izrael ni ubwa walio potea awezi kuegemea
@@user-it7ih1it3m kwani alichokiongea kipi kaongopa??
Malaika mtowa roho anaeitwa iseraili
Daah Ally masubi jaribu kumwerekeza hata ww 🤣🤣 kuwa ile defense ya izilaer hata urusi ana cha kujifunza🤔🤔 siyo awafariji ndugu zake kuwa ni ya kawaida 👍 maana watu wenye majina ya kiarabu wakisikia defense ya izilaer ni yakawaida sana wanafarijika sana🤝 next time tuleteeni makala jinsi gani izilaer ilivyo na power kubwa kijesh 🔥💪 mtwambie kabsa kuwa entellegence yao hajapata kufikiwa na nch yoyote karne hii🙏🙏🙏
Usije kuludia tena sikunyingine kuongea huo utumbo!!! Yani mrusi akajivunze kwa netanyau mtu anaepigana namataifa zaidi ya 45 akiwa pekeyake, ogopa sana Russia ule nimuziki mwingine hujiulizi kwa nini toka vita ya mrusi imeanza netanyau aligoma kupeleka silaha yoyote? Jibu ni moja tu Putin alimkanya netanyau akamwambia ukijaribu ntaichoma teraviv kwadakika 5 tu au unajisahaulisha?
Tulivyo aminishwa na ilvyo israil ni mbali na mbali awako vizuri kabisa kwa Mimi muelewa kama wao wakovizur ulaya yote wanapeleka ulinzi pale wanini Sasa na wao ndo wenye ulinzi Bora kuliko wote
@@hassanihamidu8546 ndo mnafalijiana ujinga Ivo. Amemushindwa ucrein atawaweza wana wa izilaer mbona mnajamba vitani 🤣🤣🤣 urusi na izilaer hawajah kutunishiana misuri kabsa 🤝 coz izilaer Hana shida na urusi 🧷 yeye maadui zake Nini baba zenu warabu 🙆 apo hata wakiungana hawafulukuti kama ilivo Kwa urusi adui yake Mkubwa ni marekani. 💀 Mbona kama unasinzia mdgo wake mwamed🤣🤣🤣
@@shabanimataka8418 nani alikuaminisha Sasa🤣 huna haja ya kuaminishwa hilo lipo wazi🤜🤛 utaki unataka🙏
Wametangaza au wametangaziwa? Maana tuangalie Israel dunia ilivyo ilivyowaelemea , movie tu hiyo
Mimi siamini juu ya hilo,na hiyo ni mipango ya Esrail tu ili iendelee kuitwanga Palestina.
Acha Hamasi atwangwe tu.😢