GPS: Cyril Ramaphosa achaguliwa tena kuwa Rais wa Afrika Kusini, ANC, DA vyaungana! Wataeleweka?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 июн 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 62

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 9 дней назад +10

    Sky level zako ni za juu kabisa hongera kwa ubunifu mkubwa... unatupa vitu vya tofauti kabisa

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 9 дней назад +5

    Hivi vichwa navikubari sana Yani mmekamilika GPS for life ❤

  • @mussamkanga3329
    @mussamkanga3329 9 дней назад +5

    Nawakubali sna brothers

  • @nyachenga1454
    @nyachenga1454 9 дней назад +6

    Da nimekuwa wakwanza kuona GPS nawakubali sana maana mm ni mdau sana wa siasa za nje na ndani na nimefatilia kwa muda sasa kama miaka 12 sasa Ally ,dj sma,Hery,na mwenyekiti muongozaji.

  • @yussufoptic
    @yussufoptic 9 дней назад +1

    😅😅😅nafurahi sana kusikia kifaransa humu, mimi nawafatilia kutoka DRC BUKAVU. Big up guys

  • @bladetvke
    @bladetvke 9 дней назад +6

    Naomba mwongelee vita vya Myanmar

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 9 дней назад +4

    U guys makes me feels like I need to go back to school right now 😢

  • @abellugimba6243
    @abellugimba6243 9 дней назад +1

    Nawapata Vizuri kutoka China.Big up Sky kwa ubunifu,kwa kweli mimi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel yako kutokana vipindi vyenu vizuri.Natamani kupata platform hapo kaka nikarudi Tanzania.

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 9 дней назад +2

    Mpo visuri GPS kutoka Donholm nairobi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 9 дней назад +1

    Kiukwer kaka sky..Yani nawapenda Sana nyinyi..Yani nyinyi ni vichwa vyangu wanguvu kabisa yan nawapenda Sana na napenda muungano wenu...Yani hapo mmejaaliwa sana mashalah..napenda sna kipindi hichi.gps..

  • @mwanaidiabdalla5293
    @mwanaidiabdalla5293 9 дней назад +2

    Nawakubali nyie watu sana ❤

  • @khamisomar889
    @khamisomar889 9 дней назад +3

    Hii timu inahita lisaa sio dakika 38❤

  • @Soudbako
    @Soudbako 8 дней назад

    Kazi nzuri brother's

  • @twahasuleiman-lo9vl
    @twahasuleiman-lo9vl 9 дней назад

    Napenda Bond ya sasa ya GPS , brother Ally big up sana akili kubwa MashaAllah🎉 fam from Zanzibar

  • @alexmugo3159
    @alexmugo3159 8 дней назад

    Guys you are doing a great job hongera sana,kenya twawategemea kwa kutufungua akili

  • @benmcdream2268
    @benmcdream2268 9 дней назад +2

    Kikosi cha kak sky 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @user-mq1jx5ll4m
    @user-mq1jx5ll4m 9 дней назад +3

    Good evening dear friend I'm mumba evans from zambian welcome to samfya district mansa provence thanks

  • @GbpAud_King
    @GbpAud_King 9 дней назад +3

    Henry mwinuka yuko vizur

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 8 дней назад

    Level ya mbali sanaa not Tanzania but much big up🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GraceMashinga-be9wb
    @GraceMashinga-be9wb 9 дней назад +1

    Vichwa sana hivi SNS🙏🙏🙏🙏

  • @SerahGlam
    @SerahGlam 8 дней назад

    GPS is my mental therapy

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 9 дней назад +2

    Bando yangu ikiisha kwa kujielimisha sio mbaya

  • @novusengineering_tz4523
    @novusengineering_tz4523 9 дней назад +1

    Kuna dada anaitwa Waizer, ni moja ya wwchambuzi wazuri wa GP, anaweza ungezeka kwa hii team

  • @ibba8082
    @ibba8082 9 дней назад +2

    MALEMA Sera ya Kukubali USHOGA Ndo Imemwangusha!!!

    • @massawemrlowprice3949
      @massawemrlowprice3949 9 дней назад +1

      Malema mgumu sana kudili naye

    • @josephjosephat4792
      @josephjosephat4792 9 дней назад +1

      😂 kuwa mgum na msimamo n kitu kizuri lakn kuwa na msimamo kuptiliza nayo n kasheshe nyngne.

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 3 дня назад

    Dj smaa kama itawezekana kwambelen fungua app ambaya inawawezesha wanafunzi. Kuelewa histoia. Coz shule hawapati haya mdini unayotoaga.

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 9 дней назад +1

    I think ili itofautike na ile GPS ya global position.... GP.AS

  • @mandalusinga7992
    @mandalusinga7992 9 дней назад

    Ndio

  • @sarimosarimosarimo
    @sarimosarimosarimo 7 дней назад

    Sky tunaomba muwe mnaangalia msubiji nayo tuisikiye kwenye uchambuzi

  • @sadicklugendo2514
    @sadicklugendo2514 9 дней назад

    Hongereni wana Geo politics.
    Hii Coalition ya ANC na DA watajitahidi kurudisha hadhi ya RSA kwasababu hawa DA ndio miongoni mwa vinara wa Sabotages wa hali ya uchumi wanchi ikiwemo umeme na infrastructure zote za RSA. Sasa hii ni kama kumpa mchawi akulelee mwanao atabaki salama ANC wamecheza smart sana ingawa logically hawako ktk mlengo mmoja na hii inawezakuwa natural death ya ANC. Hongereni wana Geo politics Analysis

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 дней назад

    ✌️👊👍.

  • @EliaPastori
    @EliaPastori 9 дней назад +1

    2ko p1

  • @user-pf2qk8fz9o
    @user-pf2qk8fz9o 9 дней назад

    Mpinzani wa uganda mlie mwongelea anaitwa kiza besije

  • @eliebasimisemwandu207
    @eliebasimisemwandu207 5 дней назад

    J'étais malade

  • @stevenmahinda657
    @stevenmahinda657 9 дней назад

    Kaka jaribu kuangalia settings za sauti mic za wachambuzi...mic yako sautii ipo vzr

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 9 дней назад +1

    GPS ni atar hongereni xana

  • @sharifali178
    @sharifali178 9 дней назад

    Nakupeni mtihani mukifaulu munajua kingreza musipo faulu hamujui muzungumze kiswahili dakika 10 bila ya kuchanganya na kingreza

  • @JustineJohn-vh6tb
    @JustineJohn-vh6tb 9 дней назад

    Huyu jamaa Dj Sma yupo level nyingine kabisa hawa jamaa wawili waacha utumwa mambo leo eti mtu unajisifia unaongea kiingereza hadi leo!?

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 9 дней назад

    Vichwa vyamaana sana 🎉

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 9 дней назад

    Ali maasubi km ulipogusia kusema ramafosa ana umuhinu wake,lkn kw hoja iyo kw mtazamo wangu ktk suala muhimu la kimkakati ktk gepolitics kashiriki vizuri sn na bado anahitajika kw kiasi flani na ni muhim kuendelea kuogoza kutokana hali ya kisiasa inayoendelea duniani.

  • @sharifali178
    @sharifali178 9 дней назад

    Na Wana siasa varbs ngumu sana

  • @matakamataka9438
    @matakamataka9438 9 дней назад

    Maan wanajua kuchambua halafu wanajuatena pia wanajua maendeleo hayaji kwakuwatumikia shanzi waulaya bila cc wenyew tutaendelea kua watumwa wa fikra

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 9 дней назад

    Umekuja kufanya mapinduzi aiseeeee haijawah tokea

  • @mubarakahussein9950
    @mubarakahussein9950 9 дней назад

    Sky nini kinaendelea inchini ufaransa ?

  • @matakamataka9438
    @matakamataka9438 9 дней назад

    Kunawale wanaoshabikia vyama vya siasa tanzania vinavyotumika na wazungu waje kwa hawajaamaa wajifunze mengi uzalendo wakweli

  • @rukusaisumaili6504
    @rukusaisumaili6504 9 дней назад

    Kilasiku nawafata kutoka uvira

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 8 дней назад

    Siasa ya Afrika kusini ipo juu Sana,kwetu tz huwa Hakuna haki katika uchaguzi,pia chuki ndani ya Chama cha CCM dhidi ya vyama vingine,huku uchumi wa nchi ukizidi kushuka chini.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 9 дней назад

    TANZANIA NAYO C.C.M HITATETEMA UCHAGUZI UJAO?????

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 9 дней назад

    Mkojuu nawapata nikia buja

  • @ubunifulifestyle3492
    @ubunifulifestyle3492 9 дней назад

    Leo sina coment mme chambua vizur na kwauhalisia

  • @michaeljuma7764
    @michaeljuma7764 8 дней назад

    Injuria sine dumno

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 9 дней назад

    English neno monja linamaanisha vituvingi mdomaana watuujichanganyia sana 😂😂

  • @Calis2451
    @Calis2451 9 дней назад

    All whatbis happenings to South Africa is a price to pay by a great mistake done by late president Mandela that we forgive but we can't forget this has made the white (ada) comply the aspect of economic by their hand whatbis happening now they are dominating slowly into politics what does this means they are havung both economic and politics power this it indication of anc malema party and new Zuma party to come to an end it's just opinion

  • @shaban6644
    @shaban6644 9 дней назад

    Hapo DA katamanishwa tu, ANC sio wajinga kukubali kujieka rehani kwa hao DA. Ramaphosa Ana Akili mingi, na lengo lake ni kubwa.

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 9 дней назад

    Respect to brother ally masubi