wanatizama maisha yao tu awajui athari za badae wadogo zetu waje wafe au wapate ulemavu wa kudumu hongera mkuu wa mkoa then viongozi badilikeni zama zimebadilika mtaenda lupango muache familia zenu zinateseka kila kitu mnataka kuiba amliziki na mishahara yenu, inatosha mlivyoiba jamani hiz ni zama nyingine zama za ufatiliaji .
ila kweli.. walizoea kuibia kwa njia yoyote.. ukiangalia haya ni mabanzi halafu at yanatumika kujenga majengo ya serikali... hii si haki.. huyu mzee yuko sahihi..
Wanao mkubali mwari gonga like
Mkuu wa mkoa wa tabora kuna kitu anakitaka ila wanyamwez hamumuelewi,big up kiongozi
Good!!!!!
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!, SIHA watamkumbuka, anaprove kwamba hakufeli, ila kura za maoni zilimuangusha tuu!.
RC. Uko vizuri sana natamani uongoze mitaa yote ya Tza Hongera sana. God bless
Chuo veta mwanza
Tabora mmepata Mkuu wa Mkoa, Hongera zenu, kama unamkubari Huyu RC gusa like tuwe pa1,,
Ila mzee baba unaniachaga hoi 😂😂😂😂😂😂 nawapiga wote bangili kama umesikia hii weka like yako
I m say
Jamaa kifaa
🤣🤣🤣🤣🤣
poschas bae 🤣🤣🤣🤣 atawapiga wote Bangili Mzee ame nimaliza 😂😂😂 natupa dani😂😂😂
Ha ha haaah chezea mwandri
Alikuwa amekunywa pombe nitawapiga bangili WOTEEEEH 😁😁😁😁😁😁 wanyamwez ndgzang mnafeliwapi
Hongera sana mheshimiwa, Unaitendea haki nafasi yako, Huu ndiyo uzalendo wa kweli, Bila ufuatiliaji kama huu Nchi haiwezi kusonga mbele.
Huyu jamaa maashaallah yuko vizuri ktk kusimamia kazi yake , Good.
Wanatabora mnakwama WAP kumwelewa mzeee
Kama unamkubali mkuu wa mkoa Agrey Mwanri like za kutosha kwangu
Mtanzania ukimpa nafasi ya kujitetea anakupoteza, Maadam anasema wanachambua nzuri wakat Mbao tayari ipo juu kwenye paa.
Hahaha madam kanichekesha sana
Hahahahaahaaa 😆 madam hakujua mzee anakumbukumbu na haki ingekuwa mtu ambaye siyo smart madam alikuwa ameshampoteza
@@menyaichimlay3186 kabisa ange ungana na madam lakini kakutana na chuma sasa
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaaa Mhe. Hoyeeeee anayemkubali na anataka aendelee madarakani miaka mingi gonga like nyingi kwa mhe.
Nakukubali mzee baba Licha ya kuongea kwako Kama unachekesha, ila unafanya kaz kwa weredi wa Hali ya juu Sana. big up Kamanda Mari😊😊↩️
al
do!!! nasomba hao wote:gonga like kwa mkuu Trb
Mzee mwenye Nundu hataki kimeo.... kajitetea fasta. YAANI ILE MIMI SIMOOOOOOOOOH👀🤗
Hahahhhh katetea ugali wake mapema
@@mathiaszakaria7052 Anamjua Mzee wa makavu live.. mara anampiga bangili..😂
Hongela saaaana mkuu wa mkoa waige kwako wanaokuna hongela saaana
Aisee wanatabora mmepata kiongo bora ,mfuatiliaji,mwenye hoja za ukweli asiye pindisha kauli kwa watendaji wake, hongera mkuu
Yeeeeeeh magufuli wa pili hapa kazi tu wakomeshe shenzi hao wamezoea cha bure cha pembeni safi komesha wote bangili za bure kila mmoja safi sana👏👏
Hahaha nawapiga bangili😂😂😂😂😂😂
Huwa namuelewa sana mkuu wa mkoa Mh.Mwanri
Duuuu Ila viongozi wa tabora kweli wabishi bado tu hamjamwelewa huyo mzee anacho taka.
Mkuu wa mkoa safi sana uko vizurì sana mungu akutie nguvu
Kazi yako nzuri Mr mwanri
Madam be careful😀😀
😁😁😁😁😁😁😁😁
Viongoz wote wangekuwa hivyo, nchi ingeendelea haraka sana
Mungu akubariki Rc kweli upo commited na URC wako, mana yote hayo si kwa faida ya familia yako bali kwa wanakaliua na wanatanzania kwa ujumla.
Safiiiiiiii. Safiiiiiiii safiiiiiiiiiii mwamri ch
Km umesikia Nawapiga bangili gong like
RC Mwanri ndani ya Kazaroho sec, nyoosha hao watu
the funny thing is,watu hawajui kuongopa,eti wakileta tunasort...upumbavu duh.sukuma ndani.
Mkuu mungu akubariki!
Hakika mwanri ni jembe la kazi kama unamkubali gonga like
Nasomba hao wote natupa ndani😂😂😂 kama umisikia hiyo gonga like twendee🕺
Wasipewee mshahara ili wapewe bangiliiiii za fedhaa hao wamenunua mabanzi walijuwa hatafwatiliwa. Sio dhamani awamu ya tano hiyooooo. Hapa kaziii.2 mwamri. Safiiiiiiii safiii. Chukuwaa Serengeti nitalipaaa upo juuuuuu
Mwanri shikamoooooo
Malahaba
🤣🤣🤣🤣
Dah ! Huyu R C MWANR mpango mzima yaani
Piga bangiri mwariiiiii oye magu aona kichwa hicho kiko good sna madamu bick car
Hahahaa huyu anajuwa mbinu zote jmn nyookeni Tu acheni kupinda pinda mtapigwa bangili .
Anafaa sana kuwa waziri WA mambo ya ndani
km umeckia "be careful me" like apa tujuwane👅👅
Apo ni kaliua mwanry piga bangili wote hao
wanatizama maisha yao tu awajui athari za badae wadogo zetu waje wafe au wapate ulemavu wa kudumu hongera mkuu wa mkoa then viongozi badilikeni zama zimebadilika mtaenda lupango muache familia zenu zinateseka kila kitu mnataka kuiba amliziki na mishahara yenu, inatosha mlivyoiba jamani hiz ni zama nyingine zama za ufatiliaji .
Kama na wewe unaogopa kupigwa Bangili ginga like hapa tujuane.
next president
Aaaahahah😂😂😂...amesema "Madam be careful men" 2:15 .. Kakukubali Mzee... Salute
Nilikuwa natamani sana mwanri angekuwa raisi baada ya magufuli kumaliza mda wake
Uongozi bora sio ubabe na vitisho
Kuna mwalimu aliyenifundisha shule ya sekondari alikuwa akituambia huku ameshika bakora kuwa mwafrika haendi bila mijeledi
@@AK-ho2lb A K 47 minutes ago
Hahahahahahahaha
Ni kweli anafaa urais baada ya makofuli
Nakubali mzee
be careful madam😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Daaah huyu rc nampenda sana
aletwe dodoma ainyooshe kondoa
ila kweli.. walizoea kuibia kwa njia yoyote.. ukiangalia haya ni mabanzi halafu at yanatumika kujenga majengo ya serikali... hii si haki.. huyu mzee yuko sahihi..
Mkoa wa Tabora umepata bahati kumpata huyu jamaa.yuko vzr sana.
Tbr oyeeeeee wanyamwez oyeeeeee
uongozi ni kazi sana
Huyo ndio Mwanry bhanaaaa
Kazi nzuri 👏👏👏👏👏
Tabora mmepatikana
Grand corruption hizooooooooo
Yan kama umeajiriwa Tabora na natabia hizi jiuzuluuuuuuuuj kabla hayajakukuta
BG up kwa mwali
Noma sana hapa kz tu
kwa kweli mbao hizo hapana
Hako kadada kanatetea kusort ni kashenzi Sana.
Nasomba hao wote natupa ndani kama umeipenda gonga like
Maadam beceafull
Big,up mkuu wewe uko juu
Madam be carefully with me,hatari
Nakuelewa sana mkulu baba
Respect full Mwanry
Bangili mojaaaaaaaaa hyo jamaa mbona anajitetea hvyo
Mniskilize vzr
Umepatiwa zawadi
Eti madam be careful me....kizungu hujui bro
Duh wewe kingereza ndo kimekupita, amesema be careful with me
Mtu anachanganyikiwa mpaka anasema mambo yanayohusu majenzi
Madam jiangalieeeee🤣🤣🤣🤣
Madame be carefully😃😃😃
Ayo TV mkopoa sana na wapenda
Huyo madam hatawahi kudanganya tena
Shibuki mnyamaaaa
Madam be care ful😀😀😀😀
Wataanguka Sana na presha
Huyuu jama ni shiidaa
Mzee baba kajitoa mapemaaaa'kabla hakijamkuta
Tumekumiss mzee. JPM akuweke kitengo uwanyooshe
Sana jembe
Madam Be careful me 😀😀😀🙌🏾 alie sikia Nani agonge like
jamani hakuna kupiga hata kidogo? sasa tutaishi vp sisi.
Mwanri nenda na Moshi unapafaa sanaaaaa
Duh...Ni Uozo si mchezo.
Don't pay a single cent !!!
Ongera mkuu
Mwanri chapa kazi!!!!!
Ss kwnn waje wafanyie solting site bana. Ww mama umechemka.
Nampenda sana
Wanaleta ndio mna sort acha uongo we madam
Safi mzee
Anawanyoosha kinyama
Gereza LA tabora inabidi liongezwe maana so kwakutupwa ndan huko.
Halafu Tabora mbao ni nyingi mno mnanunuaje reject nyie watu mnataka kumuona RC mbaya bure.
Careful with me
Jamani huyu mzee aje dar
Big up
piga bangili hao mzee baba
Watendaji Tabora naona wagumu kuelewa. Jamani nani angelipia hizo mbao kujengea nyumba yake mwenyewe? Watanzania jamani tubadilike.
Headmistress be careful