PROF. JANABI AONGEA KWA UCHUNGU WANAOMSEMA MTANDAONI KUHUSU KULA SIWEZI KUWAJIBU NI USHAURI TU
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- PROF. JANABI AONGEA KWA UCHUNGU WANAOMSEMA MTANDAONI KUHUSU KULA SIWEZI KUWAJIBU NI USHAURI TU #ikulumawasiliano #ikulumawasiliano #samiasuluhuhassan #bbc #news #diamomdplatnumz #kenyanews
God bless Prof .Ushauri wako ulinitoa kwenye Mateso yaki Afya miaka minne nili teseka na sasa Niko vizuri sana
Ulitesekaje?? Tupe na wenzio tujifunze.
We baba nitafuata ushauri wako forever
Heshima kubwa kwako Dr. Janabi. Asante sana kwa kujali afya za wananchi. Ni upendo mkubwa sana. Somo zuri sana. I respect you. Dr. Naomba utoe some.juu ya madhara ya kula.vyakula vya GMO na upigaji wa madawa kwenye mboga na nafaka. 🙏🙏🙏
Ninamuelewa sana.Tunapata elimu ya bure kutoks kwa bingwa tumshukuru Mungu🎉Tuache ujinga fulani wa kupotezana.Tuwaheshimu wataalamu wetu🎉
MUNGU akubariki Profesa Janabi asante sana.
Mtu wa maana huyu ,,anaokoa maisha yetu
Ahsante sana Dr kwa ushauri
Huyu Mzeee mimi namwelewa sana
Mungu ajubariki prof
Mungu akubariki sana Profesa
Prof. mimi nakuelewa sana, nimeanza pia utekelezaji wa machache, inawezekana na ni kweli
Nakuelewa Sana doctor
Nakuelewa sana Profesa Janabi endelea kutuelimisha
Dr janab achana na watu wanaokusema vibaya fanya kazi. Binadamu wa ovyo kazi yake kuongea mambo ya ovyo. Nimeiona kitu cha kishenzi kwenye jamii forum na nikaona huyu aliyeandika ndiye adui wa Taifa letu. Nakushauri piga kazi achana na hao wapumbavu
Kweli huu ni upendo mkubwa sana.
Great
Prof. anachonifurahisha, anatupa ushauri kuupokea au kuukataa ni juu yako!
Nahisi huyu anaenda chooni mara moja tu kwa wiki.😂😂😂
😂
Yeye mwenyewe anaonekana mgonjwa
Mungu akubaliki Pro
Well spoken Professor Janabi
Kuwamlikia vipofu ni kazi sana janabi tuache tu
Ila waswasi wangu ni kwamba doctor janabi mwenyewe ukimuangalia yupo weak,yani kama ana maradhi fulani hivi😅
Umri umeenda Pia. Na afanyacho ni kujikinga na maradhi ya uzeeni kwa kupitia chakula.
Hayo hayakuhusu wewe fata ushauri ukiona hakufai uache....
Vuta picha ya huyu dk janabi miaka 3 iliyopita na sasa,utafundua kwamba amedhoofika sana
Huenda kisukari ndipo akaanua kutoa ushauri
Mungu akubariki sana Dr
Usibabaishwe na wavuta bangi wa ccm,akina msukuma,wapo wapo tu kama.dagaa wa mnadani.Hawana tija kwa jamii,wala.posho
Maji, sawa, kahawa kafanye utafiti tena doctor
Profesa huyu kichwa sana
Nilikuwa natafuta hapo alivyoongea Kwa uchungu 😂😂
Professor umesahau kuwa hata uzingatie lishe kiasi gani Kama unamtazamo hasi juu ya maisha hiyo afya itatetereka tu
Mlo bila mpangilio ndo chanzo cha maradhi mengi mwilini. Hivyo cha kwanza kabisa ni kuangalia mlo kwa kuwa ndicho kitu chepes cha kuanza nacho.
🇹🇿UKIMSEMA SPECIALIST NGAZI YA U PROFESA UNAKUWA UNA UJI WA SMENTI KWENYE FUVU
💯💯💯💯
Waliotuwekea hizo principle zote za science hata siyo professor ila wewe pambana na kuamini u professor utaishia pabaya, tumia akili yako na mbinu za wazee wako bhana
Kwani wale wazee wetu wa zamani walikuwa wanajua suala la pressure, weight na uzito? Mbona wameishi miaka zaidi ya mia???
@anatoliwema3664 GO ASK THEM IF YOU HAVE ONE
@anatoliwema3664 NENDA KAMTOE UKAE WEWE KWENYE NAFASI YAKE, WATANZANIA WENGI MNATAFUTA KURUMBANA SI KUELEWA, HAYO ELEZA FAMILIA YAKO IWE NA AFYA NDIYO ITAKAYOKUSAIDIA UKIWA MAUTUTI. YOU WROTE A LOAD OF SHIT!
Kiukweli hata mm asubuhi kula Hapana kiukweli sipendi hata kule na viakula
Ramadhan ni mwezi maalum teina mmoja tu sasa ukifuwara utaratibu wa ramadhan si mtihan inavotakiwa mtu asike akiwa ameshiba na akiwa na njaa aweke asile kupitiliza na iwepo sehem ya maji na hewa
Watakuja Prof usijali
Wanachoyo wivu mana wanakula bila mpango pia hawajijui wana payuka tu
Wewe unadhambi inakutesa
Wewe endelea na ushauri wako,niayari mtu kuufata au laa
Kwanini anavaa miwani ya macho😅😅😅
😂😂unataka kusemaje kwahyo
Anataka avae miwani ya miguu😂😂😂
Inategemeana yawezekana alipata madhara kwenye ukuaji wake au toto
@@pascofp145 hapana ttzo alikuwa anakula sana
Fanya kazi Dr. wengine tunakusikiliza
Uko kama msukule
Prof.Hachana nawasiojitambua hivi unapotoa elimu ya afya zetu kosa liko wapi? Wengine tumeyafuatilia nayametusaidia.Sasa ukienda huko WHO nani atatuelimisha hii elimu nzuri sana.Watanzania wanaugonjwa wa kubishana bila hoja
chai muda wowote
Toka nikusikilinze ck hizi nimekuwa mss sijui nimepungua kinyama na agenda Yako hii Xmas tusile sana Wala kunywa bc ck ya Xmas nafunga uck ntakula kipanfe Cha kuku na maji nalala
Kwani chai nikinywa si chapati 2 tu 😅 sasa ivo vichapati viwili dakika mbili tu havipo mwilini. Huyu jamaa ushauri wake awape wale wafanyakaxi wenziwe uko maofisini sisi tunohangaika uku nje tusimskilize tutakufa wakuu.
Ukitaka ufuate la ukiona haukufai basi acha usimshauri mwingine
kula kunazingatia kazi mtu anazofanya pia. km ww ni mpagazi hiyo haina shida mana unakula then unaenda kuzitumia nguvu
Kwa nini maprofesa wetu Afrika sio wagunduzi pia sio wabunifu ?
Ishu ni Mohamed. Loliondo "WATU" walipanga foleni, milima, matope, misukosuko, mikiki bado magari yaliongozana. Hakukuwa na shida. Tatizo ni Mohamed
Ishu si Mohamed jina tu,jamaa tunaswali nae khamsa swalawaat,Tena ni jamaa wa kuuendea msikiti masafa,Allah ampe thabaat
@@nusalim3389tuliosoma Cuba tumeelewa
Mashallah km ni swala 5
Sisi tunafuata ushauri wa mtume wa Allah ....usile isipokua mpaka uwe na njaa na usile ukashiba ubakize sehemu ya maji,HEWA na chakula.
..,.
Sahihi lakin usisahau kufunga jumatatu na Alhamisi
Camera man your not serious, hatuoni hizo slide
NA WEWE ULE BHNA....UNAKONDAJE
Pamoja na elimu yako utambue uzee hauna tiba,anza ibada ww dunia tunapita
Utamjuaje unaishi nae
Huyu jamii anawekeza sana kwenye afya yake inaonekana ila sasa ukute labda ana mke anachepuka na wanaume wengine halafu mwisho wa siku mke anamletea ukimwi Prof Janabi !
Hata huduma anayotoa wagonjwa wanaweza kukusababishia kama hukujikinga vizuri nakumbuka Kuna mmoja sindano iliyotumika ilimchoma na akapata
UNAANZA NA MLO UPO?
ASANTE DR. JANABI MBOGA HAZIPO SALAMA NA MAHINDI YA KUCHOMA, MADAWA YA KUMWAGILIA NAYO NI MTIHANI KWA AFYA ZETU.
You are actually confusing me instead of educating me. To me you are a celebrity doctor. You assume that all people have shillings.
Ww tupe ushauri wako unataka afanyeje
Watu hatuna wema tunaokuelewa tupo