ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO
    Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

Комментарии • 26

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 11 месяцев назад +4

    Mzee janabi good profashinal

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 11 месяцев назад +2

    Asante kwa ushauri doct

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 11 месяцев назад +2

    Kwa matusi yenu professor ataacha kutupa madini ni mtu mzima nadhani hajisikii vizuri kwa hizi lugha zetu😢

  • @Juddy1017
    @Juddy1017 11 месяцев назад +4

    Thank you doctors, asante sana

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 месяцев назад +2

    Kama upendi ushauri wa Prof.Janabi husisikilize,.

  • @LeonardMakenya
    @LeonardMakenya 10 месяцев назад +1

    Vzr!

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 5 месяцев назад +1

    Mimi nikuombe dokta wakati unatumbia tupunguze misosi utueleweshe na namna ya kudhibiti madonda ya tumbo

  • @WakwetuTz-g7i
    @WakwetuTz-g7i 4 месяца назад

    Doctor ulaji wa miwa nao una madhara gani?.

  • @SalluJohn-gy8lc
    @SalluJohn-gy8lc 11 месяцев назад

    Dr naomba matibabu ya maungio ya goti, nyonga,bega,na shingo

  • @henricamikambi6147
    @henricamikambi6147 4 месяца назад

    Zamani tulidhani kula Milo mingi ndo unakuwa na afya Bora. Kumbe Milo michache ndo afya!

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 11 месяцев назад +2

    Asante dk.

  • @pepenelimited2627
    @pepenelimited2627 10 месяцев назад

    Unywe chai mwili useme umekula?
    Alafu uendelee na kazi,ipi?
    Magogo ya tanesco hutasukuma.
    😂😂😂

  • @HhhTt-vl9ct
    @HhhTt-vl9ct 11 месяцев назад +1

    Kwaiyo na uprofessa wako woote ukizingatia jina la kiislam na unaunga mkono tattoo ila tu vifaa viwe safi. Dah. Professa MAVI

    • @ahz6907
      @ahz6907 11 месяцев назад +2

      Huyo hajaajiriwa na hospitali ya kiislamu anajibu kama mwajiriwa wa serikali na sio kiongozi wa dini au mwakilishi wa waislam.😊
      Masheikh wanatosha kukumbusha hayo mambo ya dhambi unayotaka...mwache janabi afanye yanayomuhusu!

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 11 месяцев назад

      Kwani huyu kaajiriwa hospital kwa ajili taasisi ya uislam au anaongelea kitabibu

  • @Doto-wj8ll
    @Doto-wj8ll 3 месяца назад

    Wanaokusema vibaya akili awana

  • @godsson5954
    @godsson5954 11 месяцев назад +1

    na mashaka na afya ya akili

  • @rupiaraaj1674
    @rupiaraaj1674 11 месяцев назад +2

    Kwahiyo bwana Prof inawezekana akawa anakunya mara chache zaidi.

    • @sarahoden1344
      @sarahoden1344 11 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @rosemuna5569
      @rosemuna5569 11 месяцев назад

      Hahhahha wew hebu Acha utan rafik angu tutanyimwa kupewa madin sasa ila umenichekesha

  • @farajambagale9373
    @farajambagale9373 11 месяцев назад

    Nataka kujua kwani watu wanashauri kutumia vitu vya sukari kama hujala kitu

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 7 месяцев назад

      Mimi nadhani mtu akila mchanganyiko wa vyakula hakuna tatizo la afya.
      Tatizo letu wengi hatuna uwezo wa kuwa na vya aina tofauti na wachache wenye pesa nao wanakula sana na kuwa na vitambi.Pengine pamoja na pesa zao hawali vyakula bora😂

    • @xyz-v6d
      @xyz-v6d 5 месяцев назад +3

      Mwili hupata energy/nguvu kupitia.1.Wanga 2.Mafuta.3 protini
      Chaguo la kwanza la mwili kupata nguvu ni kupitia wanga kwa sababu umengenywaji wake ni rahisi kuliko mafuta au protini.
      Wanga zipo aina 3. Ya kwanza primary saccharides kama glucose. Ya pili ni secondary saccharides kama sukari ya mezani na ya tatu ni tertiary saccharides kama viazi au miogo au ugali.
      Kundi la kwanza hufionzwa moja kwa moja kuipa mwili nguvu ndii maana wengine huwekewa drip ya glucose,inakwemda moja kwa moja,haimengenywi,ya pili hutumia mda kidogo sana kumwngenywa,ili iwe glucose ambayo ndio "sukari' ya damu. Kundi la tatu inachukuwa mda sana kumengenywa ili iwe glucose.
      Kwa hiyo ukiwa una njaa sanaa,mwili huna nguvu basi unatumia sukari au vitu vywa sukari

  • @Manunhya
    @Manunhya 2 месяца назад

    Unaamin tna utaenda mbinguni jmn hapo ndo unafer

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 11 месяцев назад

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 11 месяцев назад

    Profesa ilishindwa kuhojiana na vyombo vya habari kuwa m-wazi kwa Taifa juu ya vifo kwa wakubwa fulani kama tulivyoona mahojiano na vyombo vya habari katika tukio la kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Japan katika kampeni zake.Kwa uprofesa wako tungepata taarifa zilizo sahihi kabla na baada ya umauti.Sijui tatizo hilo na mashaka ya namna hiyo watanzania twambie kwa kujifunza