Wabunge Wavunja Mbavu/Orodha ya Vifaa vya Shule ni Utapeli Mtupu/Wizara ya Elimu Ije na Mawazo Mapya
HTML-код
- Опубликовано: 6 окт 2024
- Mbunge wa Kahama Mjini Mhe. Jumanne Kishimba amewaacha hoi Wabunge baada ya kutoa mchango wake hasa upande wa Elimu....tazama hapa...
Hakika huyu ndiye mbunge pekee ccm mwenye kuelewa maisha ya watz, Mungu akuongoze ktk kutoa mchango wako
Mzee Wangu hapo kwenye elimu umenena vizuri sana. Hii ndio aina ya Mawazo mapya tunayohitaji jamii yetu ya Kitanzania.
Dahh huyu mbunge anauelewa mzuri sana kwa kweli. Hawa ndio wanafaa kuwa washauri wa awali katika wizara.
Duuh Wewe kweli ni Professor Safi sanaaa Sana Professor.
Hatumtaki kua mbunge huyu,, huyu naomba awe Mlidhi wa rais wetu mpendwa alie pendwa zaid na mungu, (MAGU)
Hii michango ndo tunataka... academy za michezo watoto wafundishwe wakuwa wadogo lakini kilimo hapana.... elimu ni nini ni karatasi ama kuelewa jambo lina fanyika je..? 👏👏👏👏👏👏👏
Good idea professor. Apo nakukubali sana. Ila elimu kutolewa muhimu
Anachokuongelea mara nying kinakuwa kiko vijijini Sana. Kwa bahat mbaya anaojaribu kuwashirikisha hawajui maana yake. Amakweli alie juu mngoje chini. Je Kama hatoshuka????? Inatia huruma😭
Jamaa kishimba yupo vizuri sanaa
Aisee ni noma sana sana sana. Kahama ndio jimbo pekee lenye mbunge.
Ukweli huu unaendana kabisa na nchi yetu Ila bado tunajarib kutenga baadhi ya jamii huo ndo ukwel!
Safi kweli mheshimiwa
Saizi wanalazimisha tuwe tunachanga 10000 ili mwanafunzi awe anakula shulen nawakat hiyo hela ukipiga kwa mwaka ni 120000
Wazur kuongea lakn utekelezaji hamna.halafu maana ya elimu ni kupata maarifa ya kudadafua mambo sio kula chipsi na mayai
Nikweli Mimi nimetumia laki tatu na sitini kukamilisha vifaa vyote
Kbc jamn kama kuna shule moja hp Dom mjn daaa ni hatar
Dah baba utafika mbinguni
Waliokupa ubunge hawakukosea!!!utafika mbinguni
Kabisa
Kwa nini usipewe wizara, hongera waliokuchagua.
Uyu mzeee kichwa
Du kweli
Safi kabisa mkuu
Prof Kishimba katika ubora wake
Duh... Huyu mwamba anaakili balaa katoa idea Kama tano hivi
Je wanae amewapeleka shule au la
Jamaa anaakili sana huyuu
Unafaa kuitwa professor
Uyu mbunge bonge la mbunge tunaeelewa Tu ndo tunaelewa apo
Kweli huyu ni professor
Anaongea point sana ila zinachekesha sana halafu mwenyewe yupo serious😁😁🤣
Kahama mna mbunge saaafi
Huyu Mzee binafsi namkubali sana maana huwa anaongea mambo halisi yaliopo yanayo tugusa sana kila siku sizani kama ukiwa na masikio na una akili alafu usimuelewe Mzee huyu
😎
Huyu ndo ilibidi awe waziri wa elimu!
Huyu mbunge nondo kweli kweli.
Elimu ya bongo ni ya mchongo
Baba mi naona serikali inapaswa walau ikufikirie hata uwaziri wa elimu uwe mikononi mwako maana unayo macho pevu kubaina ya watanzania waishio mazingira magumu
Mbuge wetu
Mzee huyu ndo mbunge pekee mwenye Utu na akili za kujitosheleza tena mbunge timamu.
Wengine hao njaa tu
😂😂😂
Semababa
Definition Ya Elimu Ni Nini Ni Karatasi Ama Uelewa?
Hahahahahahahahahaha
Bunge limekuwa kijiwe cha stori..maneno kishimba unayatupa tupa hayo,
Watoto wakiona viaz wanajua mabomu
😂😂
K
🤣🤣🤣🤣🤣