Kishimba ashusha nondo NZITO kwenye elimu Bungeni; ataka uanzishwe mtaala wa wafanyakazi wa ndani
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Mbunge wa Kahama Mjini (CCM) Jumanne Kishimba akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/24.
Intelligent man..... ndiye mbunge pekee mwenye point zenye maana ya kiwango cha juu ktk nchii yenye wabunge waongo
Mawaziri ndo waongo bora wabunge wakaida ila mawaziri wakuteuliwa niwaongo cheupe chanjano nawabunge baadhi yawanawake niwaongo saana
Sanji alifungwa mtoto wangu ukoo wangu.kabila langu..kwamwe ...ya.gete
Kishimba a Big Brain Man 💯💯✍️🙏🙏
Akili kubwa sana mam Samia ampatie unaibu waziri waviwanda atatuvusha
Safi point kubwa
Huyu mzeee anajua Sana kuweka point za maaana pongezi sna
Hahahaaaaa😂😂😂😂namkubali sana uyu mzeee kishimba
Kichwa sana huyu mzee
Hahahaaa huyu mzee anafikiria njebya box sana 😂😂😂
Mh kishimba na kuwelewa sana
Mzee wetu una mawazo ya viwango sana
Big thinkers Mr. Kishimba, naunga mkono hoja unazozitoa una akili kubwa Sana, hao wanaotunga sheria ni vipofu wa sheria na ni wavivu wa kufikiri, hebu fikiria mtoto wa sekondari ambaye tayari amevunja ungo au kubalehe, huyu kanuni ya maumbile aliyoumbiwa nayo inaanza kumfosi ili apate dudu akiwa ni wa kike na wa kiume anaanza kuwa forced kupata nyugunyu, hivi kweli Kuna mtu anaweza kupambana na maumbile? Mi naungana na kishimba wakifikia balehe waruhusiwe kupeana dudu na nyugunyu na ikibidi wafungishwe ndoa kwa sharti la kutopeana mimba mpaka hapo watakapomaliza masomo lakini pia wazazi wa watoto wachukue dhamana ya kuendelea kuwalea watoto wao. Hata ukiwazuia wasiolewe bado wanaoana ndoa zisizo rasmi na wanapeana nyugunyu kkama kawaida. Tutafakari na tuchukue hatua
Du wewe mzee unajua Sana,kwanza hao hao waliopeana mimba wangezalisha Sana pia watoto wao wangetunzwa,istoshe wote wawili hawakuwa na nia ya kusoma,Ni Bora waachwe wakazaliane
Mh. Kishimba nakuheshimu sana. Unafikiria jambo kwa chanzo kabisa kisha unaiangalia kwa undani na mapana. Hiyo ndio elimu. Wewe ni Daktari J.K.
Tunahitaji mitaala na elimu inayoendana na mazingira na Dunia ya Sasa sio elimu ya mkoloni kuandaa watumwa
Point zenye kueleweka zisizohitaji akili nyingi.
Ni kweli Mhe.Mtoto wa kiume unapofunga miaka 30 huku nyuma mtoto yule baba yake kufungwa ahudumiwe na nani?wazazi wanapata shida nyuma huku ya kulea bint yao na mtoto.Kijana anakwenda jera kumaliza Dona la Serikali bure.Waowane tu walee mtoto.
Hivi mnamuelewa Mh.kishimba?
Facts
Hv mbunge kishimba mbona jimbo lako la Kahama limechoka? hujawahi kufanya chochote kuhusu maendeleo, bas tu.
tutamuelewa zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Huyu mzee nondo , utasikia tunakata boom
Leo Mwanaume Hana mtetezi kabisa
Bora Wewe umeliona hilo la Hawa wa shule maana nao wanamitego sana yaan
Kishimba ni mbunge wa kuchaguliwaaaa kwwl kwa uhallai
Upo vizur
😂😅😂kishimba bn eti kutenga ugali kunaitaji elimu uyo jamaa namkubali na mbunge shabibu wakiongea ujui nipoint tupo nawakubali mno hawana pinda pinda
😂😂😂 kosa lao kubwa nn adi yupo magelezani mawaziri wajibu maswali mepesi afu magumu kujibu
Hahaahaha mbuzi wa mizimu
Mbunge wa pembeni Hana mbavu
Haelew 😂uyo kazi yake nikupiga meza tu apo ukimuliza kishimba kasema nn hajui
Ud