Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 157

  • @samuelmajule54
    @samuelmajule54 Год назад +1

    Muheshimiwa mzee Kishimba shikamo.
    I salute you in the name of the intelligence and common sense

  • @JaphetRingo
    @JaphetRingo Год назад +6

    This man's Brain is rational. Brilliant inspiration

  • @tittomarwa4474
    @tittomarwa4474 Год назад +1

    Sawa Mzee kishiba ,Baba shida kuipokea sayansi naujima inchi yetu Mim Nafuatilia Sana Tangu kitambo Expatiation mathematics.yaani sayansi ifanye kazi kimatafa katika inchi.Asant

  • @emmanuelpius5479
    @emmanuelpius5479 Год назад +1

    Hope healing, critical argument

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 Год назад +8

    Hongera sana Mh. Kishimba. Ila hapa kwetu ukitaka kuanzisha kitu kwa kua unaanza kwa mtaji mdogo na uzoefu mdogo unaanza kusumbuliwa na Halmashauri, watu wa viwango na TRA bila hata kujua kamtaji ulichoanza nacho umepatawapi kwamba umekopa au umetoa wapi. Na hivyo vikwazo nilivyotaja ni vichache. Serikali haimsaidii mjasiriamali hata kidogo. Cha kushangaza Serikali inaweza hata ikamkopa mzabuni mdogo na inawezekana ndio anakua ameanza biashara isimlipe kwa kisingizio cha ukaguzi wa madeni hata kwa miaka 10. Huyu mzabuni anaweza hata akawa amekufa sii kibiashara tu hata uhai. Maendeleo ya wananchi ni mchakato. Shida inakua wachakataji ambao ni Serikali wako kisiasa saidi.

  • @husseinmsenuka6319
    @husseinmsenuka6319 Год назад +2

    Hongera Sana Mzee Kishimba na issue ya mabadiliko ya mtaala wa elimu unaoendana na mazingira ya sasa ya sayansi na teknolojia,dunia ni kama kijiji inatakiwa kuwe na mabadiliko ya haraka inayoambatana na Elimu Kwa vitendo.

  • @lucasndombele6033
    @lucasndombele6033 Год назад +5

    Professor Kishimba in action! Putting theories into reality.

  • @chrismukaja
    @chrismukaja Год назад +1

    God bless Mzee. Kishimba kwa Elimu maalum . Hakika were Ndola Profesa Wa kwetu

  • @OnkyMike-km3jk
    @OnkyMike-km3jk Год назад +2

    Asante sana Mh. Kishimba kwa nondo hizo

  • @twaliburajibi856
    @twaliburajibi856 Год назад +1

    Bora professor Kishimba hukuchagua kupita kwenye madarasa rasmi. School is an enermy of true knowledge. Mfumo wa elimu yetu hautatui shida za watu. Wasomi wengi wamekuwa mizigo kwa familia na taifa kwa ujumla

  • @africayetutv329
    @africayetutv329 Год назад +10

    Kwanini kishimba asipewe kipindi chuo kikuu kufundisha biashara? Mimi nadhani itakuwa safi hata secondary pia hata kwa mwezi Mara moja tu kila chuo

  • @musamaghati7733
    @musamaghati7733 Год назад +2

    Haloo.. kweli hizi ni nondo..

  • @denisyohana8104
    @denisyohana8104 Год назад +4

    namuunga sana mkono kishimba ,bonge ya mtu bongo,hii ,hebu heti fikiriakwani nikimaliza darasa la saba na nikahitimu ,kwani ni lazima neende form one(kidato cha kwanza) au ni kihitimu kidato cha nne ni la zima niende ,waka huo huo kidato cha tano ,kama mpango wangu ni elimu ya darasa la saba ,nisilazimishwe kwenda kidato cha kwanza mwaka huo huo ,naweza fanya mambo yangu na nikaamua kusoma tena kama ntahitaji

  • @innocentlongino5664
    @innocentlongino5664 Год назад +2

    Hongera sana

  • @ysmasalu
    @ysmasalu Год назад +5

    Ni mawazo mazuri sana. Nashangaa vyuo vikuu vyetu vinawatunukia watu PhD ambao hata ukiwaangalia unaona hawana sifa. Kishimba anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari.

  • @domycossan1395
    @domycossan1395 Год назад +16

    Huyu mzee nasikitika amezeeka haraka alipaswa kuwa katika 40's na apewe nafasi ya kusikilizwa na kufuatwa maelekezo yake. Ana akili sana sana.

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Год назад

      Mwenyezi Mungu atamleta mwingine maana Kila mambo hulipanga Kwa wakati

    • @mussamgonela
      @mussamgonela Год назад

      Ni kweli babuu huyu jamaa ni jinias hapo std 7 vp walau angepata form 4

  • @annemashiku-xf9fz
    @annemashiku-xf9fz Год назад +5

    Soseji sio nyama jaman,sawa. Asante Kwa madini Mh. Kishimba

    • @tengeru
      @tengeru Год назад

      Ni nn

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 Год назад

      Kasema only20% ndo nyama

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 Год назад

      ​@@tengeru kuna vitu ukiviona wakati wanatengeneza hutokula maisha labda kama anaetengeneza akuhurumie aweke vitu vizuri lasivyo ni majanga tu

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 Год назад +1

    Elimu ya Ng'ombe nzuri sana

  • @venny2nyi162
    @venny2nyi162 Год назад +2

    Wasomi tunazidi kufundishwa.
    Kishimba atumike . Atatufaa sana watanzania

  • @josephfaustine2636
    @josephfaustine2636 Год назад +1

    Nakuelewa sana kaka mkubwa

  • @bashirmrisho8491
    @bashirmrisho8491 Год назад +3

    Kishimba genius 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gabrielsawike7327
    @gabrielsawike7327 Год назад +1

    Kishimba mungu akulinde

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 Год назад +10

    Nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa, mimi pia ni mdau wa elimu na nna kasoro zangu nyingi tu kwenye mfumo wetu wa elimu na mengine mengi nayotaka niyatoe katika namna tofauti kama maandishi, documentary n.k. katika kusikiliza kwa makini nimegundua ukiachana na elimu wanafunzi wengi na binadamu wengi hawapendi kujifunza na kufanya exploration ili kupata exposure. Shule wanakupa kiasi kidogo ni kama wanakuwashia taa kumulika linabaki kuwa jukumu lako. If you just seat and hope for fortune unajidanya, ni lazima uwe na tamaa ya kui explore Dunia ndo uta achieve knowledge, hata Manka Mussa ali insist elimu kwasababu alitembea nchi nyingi katika safari yake ya Hijja Mecca, akajifunza vitu vingi ikiwemo ustaarabu wa watu wa mataifa tofauti. Mfalme aliyekuwepo kabla yake kwenye dola ya Mali alipotea kusikojulikana kwasababu alienda ku explore Dunia akajikuta amepotelea hukohuko. Mansa Mussa alivyorudi akaibadilisha Timbuktu ikawa kitivo cha elimu. Mtafuteni historia ya askofu mmoja hivi (alishafariki) alikuwa alikuwa anaitwa Aloysius Balina wa Jimbo la kahama enzi hizo ila alihudumu Geita na Shinyanga pia. Kwasababu ya exposure na kusoma nje alikuja akajenga shule nyingi, vituo vya afya, radio na vitu vingi tu. Somo hapa ni nini? Kusoma ni kitu cha kwanza ila kujieleimisha ni jambo lingine na ku explore dunia ni juu yako mfano rahisi angalia perfection ya doctorate ya mzee wa Singida na yule bwana aliyeitwa mganga wa kienyeji mwenye masters ya finance ya uingereza utagundua mganga yako deep sana kwasababu ana exposure ya elimu na maisha ndo maana kanisa katoliki linasomesha maaskofu wote nje na wanakuchagulia pa kwenda ili upate exposure ya elimu na maisha ukirudi ni jukumu lako kubadilisha vitu kwenda kwenye uhalisia. Hata kishimba mnamuona yako deep ila jamaa katembea, kakutana na misukosuko, kujifunza vitu vingi na kwa akili zetu akijiita la saba eti watu wanaamini, jamaa ana elimu kubwa ya maisha sema hana vyeti na kwavile sisi tunaabudu vyeti ndo anatu prove wrong kwamba vyeti havikupi uelewa kama hujataka kujifunza.
    Nyerere alichukuliwa kutoka kwao Butiama akapelekwa kusoma Tabora, baada ya hapo akapelekwa Uganda Makelele university akarudi kufundisha wakaona haitoshi wakampeleka Scotland kwenda kusoma elimu ya juu na wakamuwekea misingi thabiti (chini ya Father Richard Walsh) huyu ndo aliona kitu ndani yake, aligundua akifundishwa anafundishika na ana instinct za Uongozi kwenye damu yake kwa ukijua haikuwa bahati mbaya. Walimu Walimfundisha na wakampa perfect education (elewa maana ya perfect education), ndo maana alikuwa na uwezo mkubwa wa ku reason na ku deal na changamoto na kikubwa kabisa zamani watu walikuwa wanafundishwa falsafa hii iliwawezesha kuwa na uwezo mkubwa wa ku reason ndo maana hata kanisa katoliki mapadri wake lazima wasome falsafa. Hapa jiulize, Nyerere alikuwa chini ya Father R. Walsh kama mentor wake wewe upo chini ya nani? Wazazi wako hawataki unataka nini wanakulazimisha tu eti usome uajiliwe hapa ndipo ujinga unapoanzia, Kingine watoto wanasoma falsafa sahizi? Kuna watu wa kuwa mentor? Ndo maana mtoto akibatizwa anachaguliwa msimamizi zamani ilikuwa na maana siku hizi hewa. Kila mtu anakuwa mjinga, kila mtu anamtegemea mwingine afikiri kwa ni niaba yake na anayetegekewa analalamika tu. Tumezaa Dunia ya malalamiko hatujui tatizo mwisho tunakuwa obsessed na watu kama kina Kishimba, tunawaona exceptional kumbe ndo wote ilitakiwa tuwe hivi.

    • @AdamMemba-ij6xr
      @AdamMemba-ij6xr Год назад

      Mansa Kankan Musa. Co Manka.

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 Год назад

      @@AdamMemba-ij6xr with all that written words can't you figure out it might be an error? Au unahisi mimi sifahamu kama ni Mansa Mussa? Ok, thanks for your insight reading.

    • @matayhando6519
      @matayhando6519 Год назад

      Unataka tu umaarufu sijaona ulichocomment Bora ungekaa kimya.

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 Год назад

      @@matayhando6519 tafsiri ya ujinga ni watu kama nyie. Nitake umaarufu au nisitake wewe inakupunguzia nini mezani kwako? Fix matatizo yako siyo kuendekeza ego. Au comment na wewe ili u expose upumbavu ulionao kichwani mwako. Look for your type to mess with, hivi vitu huwezi ku digest kwa ufinyu wa akili ulionao ndio maana huelewi mhitimu wa vyuo vya maghorofani.

  • @amosafrica2350
    @amosafrica2350 Год назад +6

    Hii akili ya Kishimba ni kubwa sana. Ni vile tu nchi yetu inapuuzaga sana hawa watu.

  • @isayandolomindolomi1853
    @isayandolomindolomi1853 Год назад +2

    Kishimba ni kiboko kweli wewe ni profesaa

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 Год назад +1

    Baba baba heshima kwako kwanini tanzania inaziba masikio baba huwe ukweli mungu ndio anao utaka wewe ni hazina duniani na mbinguni pia kwanini watu hawailewi neema mungu akulinde baba akupe maisha marefu amen

  • @DiscowKajojo-no2up
    @DiscowKajojo-no2up Год назад +1

    Good kishimba

  • @fabianjames8920
    @fabianjames8920 Год назад +1

    Anastahili sana

  • @butungo1
    @butungo1 Год назад +3

    Mh. Kishimba, wewe ni mtu tofauti mno na wengi walioko serikalini

  • @masungajp1
    @masungajp1 Год назад +10

    This is what I call GENIUS.

  • @medlucas5686
    @medlucas5686 Год назад +3

    Naona kunaumuhimu wa kupata elimu ya kujiajili kwa somo la mzee nchi haiwezi kuendelea Kama waliosoma wanategemea ajira

  • @mussamgonela
    @mussamgonela Год назад

    Nimekuelewa vzr sana

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Год назад +1

    Hongera sana Mzee wetu kishimba ,

  • @howardkingu6181
    @howardkingu6181 Год назад

    Hongera sana mheshimiwa kujiamini kwako na hekima Yako inatusaidia Watanzania

  • @howardkingu6181
    @howardkingu6181 Год назад +2

    We also have to adopt entrepreneurship education in all curricular.

  • @Sir_Kisesa
    @Sir_Kisesa Год назад +1

    Genius

  • @davidngenda924
    @davidngenda924 Год назад +1

    Mh kishimba genius sana huyu jamaa daaa

  • @NelsonMinja-bm4hy
    @NelsonMinja-bm4hy Год назад +2

    Original mind

  • @mathiasmahenge6047
    @mathiasmahenge6047 Год назад +2

    Mh. Kishimba anastahili kutunukiwa elimu ya juu na mamlaka zinazohusika.

  • @sanaanimaisha4072
    @sanaanimaisha4072 Год назад +2

    Hongereni sana Wana udom kumleta profesa Kishimba. Hakika tumejifunza mengi sana

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Год назад +3

    Wa tz wanakariri maisha, bado tupo usingizini tukiamka tutajua nini cha kufanya. Madereva wanadiwa vyeti uzeeni vya daraja C na E utadhani daraja D (magari madogo), pikipiki na bajaji ajali hawahusiki nazo au wanaopata ajali wote hawana vyeti.

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 Год назад +1

    Uyu Mzee inabid apewe nafas kubwaa zaid ana madini meng sana yakutusaidia waTz.... mzee anajua lengo la elim n kuja kuingiza ela... lakin sisi tunakuja kufndshwa kutafta thaman ya X ambayo ata atyjawai kuiona

  • @HassanMasoud-tb8uh
    @HassanMasoud-tb8uh Год назад +2

    Tungetumia mafunzo ya meeshimiwa akika tungekua mbali sana kimaendeleo

  • @newvoicetutorial2131
    @newvoicetutorial2131 Год назад +3

    Kunahaja kubwa watanzania kujivunia mzee huyu na kumuombea uzima,

  • @givenngoko4528
    @givenngoko4528 Год назад +2

    Profesa Kishimba akiunganisha nadharia na vitendo kitu ambacho mfumo wa elimu umefeli. Live long Profesa.

  • @danielmuzanye181
    @danielmuzanye181 Год назад +1

    Ni Changamoto chanya anayoileta. Safi sana

  • @jameszephania3143
    @jameszephania3143 Год назад +8

    Watoto wamechezea Boom hapo wamekata Tamaa jamani.

    • @annemashiku-xf9fz
      @annemashiku-xf9fz Год назад

      Hahahahah,wamechoka sana

    • @bilid4128
      @bilid4128 Год назад +1

      😂😂😂 cha ajabu anachoongea Mheshimiwa hawaelewi kwa sababu hajaonja joto la mtaani wakajua likoje!! Hapa walipo hao wanachuo wana uhakika wa Bando,kula ,kuvaa na kulala ...lakini Hali itakuwa mbaya mara baada ya kumaliza chuo ...hata hela ya vocha itakuwa Kimbembe kupata 😢😢 ...

  • @juliusi3012
    @juliusi3012 Год назад +2

    Hakika una wazo zuri 💯💯

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 Год назад +1

    Mwamba namkubali sana, ginius

  • @HabakukiMajogoro-uf1cy
    @HabakukiMajogoro-uf1cy Год назад

    Kwa kweli binafsi mh.ninakukubali,maana una mawazo yaliyojaa hekima,busara,na maarifa,.kweli wewe ni haki yako uitwe Profesa.

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 Год назад +4

    Great entrepreneurs🔥

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 Год назад +1

    Huyu mzee hakika kapita Cuba 🇨🇺 anamawazo makubwa sana

  • @African511
    @African511 Год назад +2

    Tatizo la watu weusi hatuthaminiani,huyu mzee angekua mzungu,sasa hivi angekua Prof kabisa.

  • @rusanzurubigo1103
    @rusanzurubigo1103 Год назад

    Big brain

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 Год назад +2

    Mh. Prof. Dr. Kishimba PhD in action!

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 Год назад +4

    Kupanga mifumo serekari lazima ichunguze na wakulima watengenezewe kila mkoa soko kuu la uuzaji wazao.

  • @hassanmshinda8575
    @hassanmshinda8575 Год назад +1

    👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 Год назад +2

    Prof Kishimba

  • @matiasmwalongo
    @matiasmwalongo Год назад +1

    Safi mkuuu

  • @howardkingu6181
    @howardkingu6181 Год назад +2

    Kuna tekinojia nzuri ya india na china ya kutengeneza majiko ya kutumia kuni kidogo tu na kutoa moshi kwa nje kutumia chimney.

  • @DennisDidas
    @DennisDidas Год назад

    Kishimba anazungumzia Knowledge and invention, Knowledge provides the basis for invention, while invention expands and enriches knowledge. They are interconnected processes that drive progress, innovation, and the advancement of society.

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 Год назад

    👍 👍

  • @bestitz7633
    @bestitz7633 Год назад

    ❤😊

  • @abbasirovya6118
    @abbasirovya6118 Год назад +3

    Hakika mzee kamwaga nondo za kutosha. Ipo haja ya kujiuliza wapi tunakwama na kutafuta suluhisho ili twende mbele.

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 Год назад

      Wenye PhD ndo wanatuangusha sana hii nchi wana dharau sana maisha ya uhalisia

  • @jumamhagama7913
    @jumamhagama7913 3 месяца назад

    Ninamuelewa sana huyu profesa hakika huyu ndio yule profesa niliekua ninamtafuta

  • @charlesmapunda2002
    @charlesmapunda2002 Год назад +3

    Uyu Mzee ana akili sana

  • @yohanamlowe704
    @yohanamlowe704 Год назад

    Asante mzee nimejifunza

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Год назад +1

    Hakika hata hao vijana inabidi waweza na akili kukuelewa ,maana navyowaangalia ni kama wanawaza ,ila hawaeikilizi wanasikia tu hapo ,KAZI TUNAYO KUBWA SANA BADO KAMA TAIFA

  • @GodfreyMwambwalo-ev9nh
    @GodfreyMwambwalo-ev9nh Год назад +6

    Huyu mwamba apewe nchi tutapata maendeleo makubwa sana ana akili kubwa sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    👍✌👊

  • @amansimba1429
    @amansimba1429 Год назад +1

    Madini ya huyu mzee tutayakumbuka kipindi akiwa hatupo nae duniani

  • @princes6045
    @princes6045 Год назад

    Hakika Kishimba ni zaidi ya Profesa.Adumu

  • @emanuelsamwel5085
    @emanuelsamwel5085 Год назад

    🎉

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Год назад

    Safi sana kishimba bungeni ukisimama kuwaelezea vitu vyenyefaida katika nchi hii ili itusaidie wao huwa wanakugeuza wewe kama komedi wanacheka tu nakukuachia ushauli wako mwenyewe wao wanaendelea naupigaji wako afazali uleushauli uliyokuwa unawapa wapigaji geuzia kwahawa wanafunzi kidogo tutaona mabadiliko na maendeleo yanchi yetu kwasababu wao akilizao nyingi hazipo katika upigaji akilizao zipo kwenyemasomo tu hayapo kwenyeupigaji

  • @ommyregga5829
    @ommyregga5829 Год назад +2

    Nakukubar san japo tumeishia la saba ila sisi tuna akiri kuliko waliosoma

    • @johnshauri3130
      @johnshauri3130 Год назад +1

      Nyie mna nguvu kuliko waliosoma maana waliosoma wanachimba mita kumi na msiosoma mita 40

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Год назад

      Ukipata nafasi kasome maana kusoma SI DHAMBI ni kujiongezea maarifa ,hapo kishimba ameshasoma mwenzio ata kama alichelewa ,

    • @bilid4128
      @bilid4128 Год назад +1

      Aliyeishia la Saba akili yake haina ukomo!! Akili yake inaweza kujaribu mambo mengi maana hajui Theory/sheria za nyingi nyingi za kufanya Mambo kama watu wa Chuo au A level hata O level ! Sheria hizo huwajengea wanafunzi ukomo wa kufikiri .Ndiyo maana mhitimu wa Chuo kikuu tena wa Biashara anatafuta pa kuajiriwa 😂😂😂 ili hali elimu ya biashara anayo .Hapo ndiyo tunakuwa na Mashaka na tunayofundishwa vyuo vikuu !!! Hayatekelezeki kwa Vitendo!!!

  • @batulimwasisime886
    @batulimwasisime886 Год назад +2

    HUYU MZEE MHIMU SAANA KWENYE NCHI HII

  • @sifuabdallahmkamba6102
    @sifuabdallahmkamba6102 5 месяцев назад

    Huyu Mh ni madini sana ila akisha kufa ndiyo anapewa maua yake. akiwa anaongea Mjengoni huwa wanamuona kama comedy

  • @josephmayenga4615
    @josephmayenga4615 Год назад

    Kwannsa huyu mbuge asipewe nafasi za juu kusaidia Tanzania kwasababu maono yake ni ya maendeleo Mungu anasaidia sana

  • @elijahfresh5985
    @elijahfresh5985 Год назад +2

    Huyu jamaa ana akili nyingi sana

  • @jcmmassao
    @jcmmassao Год назад

    mawazo yako yataishi kama maisha ya watu

  • @innocentlongino5664
    @innocentlongino5664 Год назад +2

    Hiki chuma

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz Год назад +9

    Hiki ndio kilichotakiwa kwenye nchi yetu.Muwalete watu wenye mifano dhahiri

  • @FanuelAloyce
    @FanuelAloyce 5 месяцев назад

    Wengine naona wamelala hawaelewi maana bado Wana mikopo ngoja wamalize wataamka tu

  • @MathematicsInTZ
    @MathematicsInTZ Год назад

    Wanafunzi wenyewe naona hapo wanamwona kama qnapoteza muda

  • @ladislausmasala7367
    @ladislausmasala7367 Год назад +2

    Apewe nchi huyu...

  • @howardkingu6181
    @howardkingu6181 Год назад

    Missing link in our education is not "based on problem solving approach"

  • @sundaymsenga9351
    @sundaymsenga9351 4 месяца назад

    Watu wa CNMS wajinga sana mnalala wakati baba anazungumza mambo ya msingi😂 mbadilike mambo ya sap yakishamba sana

  • @DullaEster-u9t
    @DullaEster-u9t 10 месяцев назад

    hahahhahahaah lakn waheshimiwa mnashidwa kufundisha nn namna gan ss wanafunz tunafkisha mawazo yetu kwenu kwa maana hakuna nafas amby wanafunz tunaweza kufkisha mawazo yetu kwnu kwan tunayo mengi sana zaid ya haya yenu maana cc ndo waanga wa kipnd hki

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 Год назад +1

    Kishimba as kishimba

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Год назад +2

    Mama nakuomba sana mpe huyu mzee kakitu fulani hizi ili atumike kwenye hii nchi...tafadhali mama..

    • @karimchindema9823
      @karimchindema9823 Год назад +1

      Mawazo yake na nchi ni vitu viwili tofauti...hafai Ana akili kubwa... hii nchi inahitaji akili za kawaida tu kuiendesha

    • @charlesmwamlima3923
      @charlesmwamlima3923 Год назад

      Hawawezi mpa cheo si et kisa hana degree

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 Год назад

      ​@@karimchindema9823hahaaaa

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 Год назад +2

    Mimbumbu haijui kitu

    • @howardkingu6181
      @howardkingu6181 Год назад

      Nadhani hujamuelewa TU. Siku Moja utafunguka.

  • @edwindaniel7306
    @edwindaniel7306 Год назад +1

    Mzee kishimba ana maono ya kweli maana yeke iwepo elimu ya vitendo kuliko elimu ya kwenye vitabu maana dunian mambo yamebadilika tuache elimu ya kukopi tunazidi kuaangamia tanzania kielimu maana wasomi ni wengi na ajila hamna

  • @ImaniSaid-m8u
    @ImaniSaid-m8u 6 месяцев назад

    Wasomi wetu nisist du na kaka du

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 Год назад +2

    Mzee wa nje ya boksi

  • @jumamakamba2212
    @jumamakamba2212 Год назад

    Olechiza ngosha

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg Год назад +1

    😅

  • @ndetitave466
    @ndetitave466 Год назад

    Tunahitaji watu kama hawa

  • @mashaurimasolwa2601
    @mashaurimasolwa2601 8 месяцев назад

    huyu jamaaa anamadini sana

  • @InnocentAlfred-ro1nx
    @InnocentAlfred-ro1nx Год назад

    Unapokoment ajenda kw fikra" neg au pos" kuhusu mantiki za phd; kishimba makinka mnooo kabla ujaanza kulopoka yey uandaa nondo kwa wigo mpana hvo kma unahsi utoeauti andaa zako nawe tuzchambue

    • @obbykambi98
      @obbykambi98 Год назад

      Cc tuna Akili lkn darasa la saba " Kishimba ana akili na Ueledi maskini hana cheti "

  • @carlosMoses
    @carlosMoses Год назад

    Stupid brain! Tunaendelea kusikiliza mtu ambaye hakwenda shule ajadili shule. Ni sawa na msomi asiyefanya biashara kujadili biashara. Yaani yeye anaamini kila kitu duniani ni 'hela' STUPID! Hawa ndo watatetea ushoga kwa kuwa tu hela inaningia.

    • @michaelphares9411
      @michaelphares9411 Год назад

      yan wewe ni mpuuz wa mwisho umeelewa anachokizungumzia au una kulupuka punguza makasiriko fuck

    • @melkizedekikalanga3349
      @melkizedekikalanga3349 11 месяцев назад

      Amka usingizini wewe,,,

    • @Chaser2497
      @Chaser2497 5 месяцев назад

      Wewe ndo Stupid brain pro