Jaji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tz Afaulu Mtihani wa PhD- UDOM| Atumia miaka mitatu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 15

  • @MushuRwega-qp4zm
    @MushuRwega-qp4zm 2 месяца назад

    Hongera

  • @khalidhaji-ls2or
    @khalidhaji-ls2or 3 месяца назад +3

    Hiii nzuri sana Masha Allah

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 дня назад

    Haha Kiingereza Mihogo😂

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 месяца назад +1

    3 years only and in full employment, very interesting! Looks like hiyo University wanatoa hizo phd kama peremende!

    • @MushuRwega-qp4zm
      @MushuRwega-qp4zm 2 месяца назад

      Tatizo uko karne ya 21 lakini unaishi maisha ya karne ya 19. Who told you kwamba ukiwa employed huwezi kumalizia PhD kwa miaka 3.

  • @JumanneShambi
    @JumanneShambi 3 месяца назад

    UDOM: Embracing knowledge 🇹🇿💪

  • @BoscoMyinga
    @BoscoMyinga 3 месяца назад

    Naona wataalam wangu apo shughulu na mwanga

  • @obstetricfacts1721
    @obstetricfacts1721 3 месяца назад

    The adoption of public defense is a commendable development, reflecting a trend observed not only in East Africa but also globally.
    To further enhance this progress, it would be beneficial to implement a requirement for all PhD candidates to publish their research in high-impact factor journals. This initiative would not only elevate the university's ranking but also cultivate candidates who can contribute to the dissemination of knowledge within the community. It is hoped that this proposal will be considered by all universities and established as an internal policy.

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 3 месяца назад

    Kuna wanafunzi wazuri TZ ila wakati MWENGINE hupitia changamoto kadhaa katika safari ya kusoma PhD, nikiwemo na mimi hapa.

  • @LORDRICKNKYA
    @LORDRICKNKYA 3 месяца назад +2

    Mmh PhD ni miaka 3 sio miaka 5??

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 3 месяца назад +1

      Mitano umetoa wapi

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 3 месяца назад

      Inatofautiana zingine 3-5 kama engineering nyingi ni mi3

    • @shaziaahmed5570
      @shaziaahmed5570 3 месяца назад +1

      ​@@hijazhija316😂

    • @miltonmachage2462
      @miltonmachage2462 3 месяца назад

      ​@@hijazhija316PhD ni miaka mitatu ila inategemea na akili zako so ukiwa mzembe unaweza Soma mpk miaka nane

    • @obstetricfacts1721
      @obstetricfacts1721 3 месяца назад

      Speed yako tu. Lakini standard time ni 3 years for full time with normal progress. Usiogope