KISANGA: RC HAPI YAMKUTA MAZITO, APEWA AMRI NZITO NA MWANANCHI WAKE - "SIO OMBI NI AMRI..."

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • KISANGA: RC HAPI YAMKUTA MAZITO, APEWA AMRI NZITO NA MWANANCHI WAKE - "SIO OMBI NI AMRI..."
    Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi, amekutana na kisanga cha aina yake baada ya kujikuta akipewa amri na mwananchi wake alipokuwa kwenye mkutano na wananchi Wilaya ya Bunda.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Комментарии • 110

  • @mwigaramadhani3687
    @mwigaramadhani3687 3 года назад +4

    Nilicho kishukuru tu alitambua anae mweleza kero zake ni mh 👏👏👏🙌🙌😃🏃🏃

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 года назад +1

    Nampenda mheshimiwa Ally Happy sana yan sanaaaa hanaga uvimbe kazin anaenda haki kwa haki na inapatikana vzr mno

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 3 года назад +4

    Hii approach ya huyu jamaa nimeipenda,km kuna biashara inaendelea hapo iweje choo hakifanyi kazi!?chezea mura ww!hakuna nidhamu ya uoga👏

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 3 года назад +11

    Ifike time tuwe wakali. Huyu mwanaume💪💪💪

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 3 года назад +9

    Salute jamaa yangu

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema 3 года назад

    Safi sana Kamanda umekuwa mzalendo na changamoto ya Ujenzi wa Vyoo imetatuliwa. Huduma za Jamii ni muhimu sana katika maeneo ya Mikusanyiko Mikubwa ya Watu kama Soko, Shule n.k. Mkuu wa Mkoa Ali Hapi endelea kuchapa kazi. Tanzania Imara Kazi Iendelee Usiku na Mchana Iwe Masika Iwe Kiangazi Maendeleo ni Wajibu Wetu Sote.🇹🇿🇹🇿

  • @alphoncembasa1775
    @alphoncembasa1775 3 года назад +3

    Hii imetulia na imekaa vizuri

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 года назад +3

    RC Hapi nimeona raha kutuona tena. Kwa utulivu bila ya kupiga kifuwa, unawasikiliza wananchi wako Na kutimiza wajibu wako. Mungu akupe nguvu kama kiongozi na uvumilivu wa kuwasaidia wenye shida bila ya duku duku. Endelea na jazi baba.

  • @JophasJohn-oh8zu
    @JophasJohn-oh8zu 11 месяцев назад

    Mwamba umetisha

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 3 года назад +24

    Sisi wananchi ndo tumewaajiri Hawa viongozi kwa hiyo tuna haki ya kuwaamuru.Maana sisi ndiyo mabosi wao.Heko mzee!!

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад +1

      Viongozi wetu wana haki ya kuheshimiwa pia! Hawajaomba kushushiwa heshima! Adolf Hitler huyu... Amevuta bangi au ?

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 3 года назад

      @@j.c.maxima816 hakuna kuheshimiwa,wafanye kazi na kuwajibika ipasavyo ndo heshima ifuate.huwezi kumheshimu kiongozi asiyewajibika na mwizi wa Mali ya umma.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад +1

      @@ramadhanimbulu4941 Sasa Ally Happy hawajibiki ipasavyo? Sio haki wala utu kuzungumza naye hivyo, huku wakimkosea nidhamu... Wewe ulitaka Watz tuige mfano wa huyu kichaa Adolf Hitler ? Heshima yake mwenyewe iko wapi? Huyu Bwana kama mzazi ametoa mfano gani kwa Watoto wetu? Mwendawazimu tu huyu...

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 3 года назад

      @@j.c.maxima816 hajakosewa nidhamu! hatupaswi kuomba kutekelezewa miradi ni kodi zetu.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад

      Sikubaliani na ww! Hata kama ni kodi zetu, hatupaswi kuwa vituko na washamba! Agressivity haisaidii chochote, bali inakushushia heshima mwenyewe! Nikupe mfano mmoja tu, mtumishi wangu wa nyumbani nimemwajiri mwenyewe, anakula kwangu, analala kwangu, halafu ninamlipa mshahara kila mwisho wa mwezi... Lakini sizungumzi naye hivyo! Sio kwamba namuogopa wala nini, bali ni kwa malezi yangu, busara zangu, na heshima yangu... siwezi kufanya hivyo... Ee Mungu tusaidie Watoto wa Tz...

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 3 года назад +6

    Safi sana nimeipenda hiyo, maana yeye ndiye muajiri lazima ampe kazi ya kufanya.

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 3 года назад

    Mwenyenzi mungu akujalie mweshimiwa hapi

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 3 года назад +2

    Mara oyeeeeeeeeeee😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 Год назад

    Dah mkuu ukopoa sanaaaah wala huna hasira na wafuasi wako

  • @selemanisaid1193
    @selemanisaid1193 3 года назад +2

    Safi sanaa mara oyeee

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 3 года назад +6

    Ally na viongozi wengine wazalendo Mungu awabariki na mfuatilie mienendo ya viongozi hawa wa chini wajanja wajanja

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 3 года назад +9

    Watu kama hawa wanahitajika Tanzania maana bila hivi hawa viongozi watatuchezea sana wanakula mishahara tu choo kitumikeee choo muhimu jamani acha kabisa choo muhimu watu watumie

  • @mgoledaudi6051
    @mgoledaudi6051 3 года назад

    Alivyo chomekea sasa🤣🤣🤣🤣🤣Bunda tuna raha sana

  • @allymtak1181
    @allymtak1181 3 года назад +8

    Huo Mkoa unaitwa Mara ..Vita ni vita Muraa Mkoa huo hakuna kubembelezana bali ni amri kwenda Mbele na ndiyo maana Ukiwa unaingia huo Mkoa hukutani na kibao kilichoandikwa karibu Mara , badala yake kibao chake kimeandikwa "Sasa Unaingia Mara" unaona hata wageni wanatukaribisha kwa amri 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @neemaruhembe6360
      @neemaruhembe6360 3 года назад

      Serikali ya Samia inataka hivyo Oghambili sawa tata

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 3 года назад +6

    😁😁😁 kazi iendelee hakuna kuleta uzembe hapo !.

    • @mosessimwimba962
      @mosessimwimba962 3 года назад

      Hapi pambambana ndg yangu huko nakuja ila hanna shida komaa mpaka wakikuamisha waandamane uludi nakuombea asubui njema na kazi njema

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 3 года назад +3

    Safi sana mpe za USO huyo mkuu wa mkoa Hana maana hata kidogo

  • @aboukillo1734
    @aboukillo1734 3 года назад +1

    Alli happi ww ni jembe,kiongozi msikivu sana,na usie na hasira Allah akujaalie kila la kheri insha'Allah

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema 3 года назад

    Naomba Global TV mfuatilie kama Vyoo vimewekewa Miundo Mbinu ya Maji na Umeme ili Wananchi wapate huduma na Halmshauri ikusanye Mapato. Tanzania Imara Kazi Iendelee Usiku na Mchana Iwe Masika Iwe Kiangazi Maendeleo ni Wajibu Wetu Sote.🇹🇿🇹🇿

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 года назад

    Rc Yuko vizuri

  • @husseinmaula5914
    @husseinmaula5914 3 года назад +2

    🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣😂😂🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿RAHA SANA.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад

      Aibu... Huyu sio Mtanzania... Watanzania wana hekima na busara... Huyu ana matatizo yake... Apelekwe Milembe tu... Pole Mheshimiwa Ally Happy! Napenda jinsi unavyotatua kero za Wananchi kwa utulivu... Mungu akutunze...

    • @عباسعباس-ش9ه4ت
      @عباسعباس-ش9ه4ت 3 года назад

      😀😀😀😀😀😀

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 3 года назад

      @@j.c.maxima816 busara ya nini wewe acha kuharibu nchi,hapa ndio tulipofikia kiongozi unamheshimu kwakumwamrisha

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 3 года назад

      @@j.c.maxima816 kwaiyo wewe mtanzania unasemaje sasa

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 года назад +1

    😂😂😂😂🥰mkali sana hata bibi yake anajionea

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 3 года назад +16

    Uwiiiiii huyu ndo anakuwa mume wako umekwisha!

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 3 года назад

    Hiii siyo iringa mzee

  • @mechanistzegreat5574
    @mechanistzegreat5574 3 года назад +3

    Huyu ni 0.9% ya ukali wangu endapo mtanipa Nchi. Hivyo ushauri wangu kwenu msinipe

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 года назад +1

    CHOO KITUMIKE 😁😁🤣🤣

  • @musason1680
    @musason1680 3 года назад +5

    Wenye mkoa wetu tnacomment wap..🤣

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 года назад +3

    Hapo amepewa challenge afanye alioamrishwa au ameweke ndani kama kawaida yake

  • @jacksonsimbeye6101
    @jacksonsimbeye6101 2 года назад

    Ikiwezekana,mkuu wa mkoa huyu hamia songwe pia kuwa muumini wa kanisa la sabato,kwa sababu unaupenda ukweli

  • @paulinaswalehe5298
    @paulinaswalehe5298 3 года назад +1

    Hapo sasa

  • @hijaramadhani3221
    @hijaramadhani3221 2 года назад

    Sio ombi ni amri 🤣🤣🤣

  • @gaitanokamage7366
    @gaitanokamage7366 3 года назад

    Yuko sawa kwakuwa wao wako kwaajili ya kuwatumikia wananchi

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 3 года назад +3

    Jamani uyu Mjita sio mkurya.

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 3 года назад

    Uhuru umezidi

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 3 года назад +5

    Mtangazaji unazngua s ungeiacha habari yenyew inajieleza

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 года назад +2

    Mh hapi habari Yako ? nimefurahi Sana kukuona Léo muda Sana .. sijakusikia wala kukuona nakutakia heri nafanaka kwa mwaka mpiya pamoja na familia Yako kazi ieendele mh

  • @rutakihama3523
    @rutakihama3523 3 года назад

    Unasikiaaaa wengine niwajanja wanjanja hahahaaha

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 года назад +2

    Mmmhhh audhubilah minashaitwani rajiim hayomachoo kama umemtolea nduguyangu Ally happy ya Allah yupo mbeleyake nawala hayatamdhulukitu kwa idhini ya manani looooh kamtolee mkeo nawanao nyumbani mimachoyako hunamamlaka ya kwamamtisha wewe kuwa nahekima kwanza loooooh

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 3 года назад +7

    Ndio serekali yetu inavyotaka

  • @MBATINOFILMS
    @MBATINOFILMS 3 года назад +1

    Duuuh

  • @iyobozambia2118
    @iyobozambia2118 Год назад

    Mwamba umeitisha😄😄😄😄😄🤣🤣🇹🇿

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 года назад

    Chacha mura ,vita ni vita muraaa

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 3 года назад

    ukibidi inahitaji watu wa kujilipua

  • @petersidoni7784
    @petersidoni7784 3 года назад +2

    Alafu funaomba msiwe mnaongea sana nyie waandishi wa habar muwe mnaweka vitu husika sio kuweka sauti zenu wakat kuchwa cha habar mshaweka hukoo ni kukosea sana mnakuwa mnakela sana

  • @shollodegeorge9056
    @shollodegeorge9056 3 года назад +1

    Vita haina macho

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu7845 3 года назад

    Lkn ally happi ni kiongozi kweli kwani hapaniki paniki ovyo

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 3 года назад

    Kabisa unajuwa viongozi wanamazoea nibora kuwaamrisha

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 года назад

    yusuph bangi zinamsumbua

  • @edwardmagige874
    @edwardmagige874 3 года назад +1

    Duu hawa ndo wanafanya kabila letu kuitwa wakorofi!!!!

  • @dativadiocles6781
    @dativadiocles6781 3 года назад +2

    Mkurya ndo alivyo

  • @shollodegeorge9056
    @shollodegeorge9056 3 года назад +1

    Vita ni vita muraa

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 3 года назад +1

    Mjita huyo,magesa

  • @ujenziwanyumbakisasatanzan6343
    @ujenziwanyumbakisasatanzan6343 3 года назад

    Wananchi wote ilipaswa tuwe hivi kwa tuliowaajiri

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 3 года назад

    Ikosiku utakuwa raisi

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 года назад +1

    Huyu mlevii kabisaa

  • @rnwinifridanyasebwa9397
    @rnwinifridanyasebwa9397 3 года назад

    Kwetuuu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 3 года назад +2

    Huyo akalale ndani siku 2 tu akakutane na wafungwa vichaa wenzie

    • @alphoncembasa1775
      @alphoncembasa1775 3 года назад +2

      Ukichaa wake uko wapi. Kudai haki

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад +1

      @@alphoncembasa1775 Kudai haki ni kitu kimoja... Lakini kuna namna ya kufikisha ujumbe ! Sio lazima uwe mshamba!

    • @patrickjohn4135
      @patrickjohn4135 3 года назад

      @@j.c.maxima816 j

    • @patrickjohn4135
      @patrickjohn4135 3 года назад

      ujasiri ndo uliofichua mambo hayo y ajabu, watu waog kama wew ni wasindikizajiiii

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад

      @@patrickjohn4135 Mimi sio mwoga... Hata kidogo... Lakini mimi sio kichaa wala mlevi kama huyo shujaa wako wa kinyonge...

  • @evalinemgendi2418
    @evalinemgendi2418 3 года назад +2

    Hahahahahaha

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 года назад +3

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂amken amken amken 😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂

  • @martinemedard8424
    @martinemedard8424 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @leonardmarca3882
    @leonardmarca3882 3 года назад +2

    🤣🤣

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnizidory7765
    @johnizidory7765 3 года назад

    Mbn unaongea ww

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 3 года назад +3

    Huo mkoa.bangi sana

    • @alphoncembasa1775
      @alphoncembasa1775 3 года назад +1

      Hapo bangi Iko wapi au unalopoka tu. Huyu jamaa kaongea Kwa hisia Kali kwakuwa matatizo mengi ya wananchi hayatatuliki Kwa muda mwafaka .

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад +1

      Mlevi huyu... Inaonekana...

    • @patrickjohn4135
      @patrickjohn4135 3 года назад

      @@j.c.maxima816 bangi ni wewe sisi tume waajiri viongoz wakijisahau yatupas kuwakumbusha

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 года назад +2

    Hiviikiwa hapootu unatowa mimacho kama hivoo huko kwako kuhaliganii kajifunze humti
    Shii wewe

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 года назад

    🤣🤣