MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 207

  • @najma3268
    @najma3268 4 года назад +14

    Mama anapoint huyu , anafaa kuwa mjumbe au mwenyekiti maana anakumbukumbu nzur , yaan nimempenda wallah, wanawake woyeeee, yaani mwanamke yupo smart hongera sana dada

  • @arafatharoub3134
    @arafatharoub3134 4 года назад +12

    Like nigongee km unaungan na mimi kua huy mama ni super woman

  • @marthadachi6731
    @marthadachi6731 4 года назад +6

    Mama ana akili sana kajieleza point za maana na alijiandaaa vizur safiiii.Mama katisha sana wanawake oyeeeeeeee super women✌😂😂💞💞💞

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 4 года назад +1

    At zenjibar ...napenda sana vikao vya huyu kiongoz kiukwel ALLAH ampe maisha yenye manufaa hapa dunian na kesho akhera yanikumbusha maisha ya mtume muhammad swalla llahu alayhi wassalam ...hivi ndivo anavotakiwa kuwa kiongozi juu ya anaowaongoza wajazaakumu llahu khaira.

  • @elifansiakwesso6104
    @elifansiakwesso6104 4 года назад +1

    Rc happy hongera sana kazi nzuri sana, mm huwa sichoki vipindi vyako kabisa.

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 лет назад +17

    Huyu mama kaleta hoja nzuri sana kwenye hiki kikao ally hapi mungu yupamoja nawe

  • @mercykitundu9986
    @mercykitundu9986 5 лет назад +10

    Mama kaongea vzr sana tena kwa kujiamin 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 4 года назад +5

    Happy womans dayyyyyyyyyy jmnnnnn ...wamama oyeeeeeeeeeeeeeeeeee😍😍😍

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 4 года назад +1

    Wabunge wetu akina Fulani wangekuwa Wana fanya program Kama hzi walahi majimbo yangekuwa yana noga.... Dizaini natamani Hawa waakuu wa mikoa na baadhi ya wakuu wa wilaya wangekuwa na majukum ya ubunge pia ingekuwa smart Sana...🙌🙌🙌🙌🙌

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 лет назад +32

    Mama ameongea point sana tena sana.

  • @hadijamasanja4068
    @hadijamasanja4068 4 года назад +1

    Hongera mkuu wa mkoa.Napenda unavyofanya kazi na hata vile hautumii hasira katika kuongea na hiyo imewafanya watu kuwa wawazi zaidi kwako kwa sababu unazungumza nao kama rafiki.

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 4 года назад +7

    Huyu hakufanikiwa kuendelea na shule .Ila Yuko vizuri sana

  • @vero57
    @vero57 5 лет назад +32

    MAMA LAO , KWAKELI, HUYU MAMA AWE MBUNGE JAMANI

    • @hadijalukasmdeg9987
      @hadijalukasmdeg9987 5 лет назад

      😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭

    • @nurudovino288
      @nurudovino288 4 года назад

      Hawezi kupewa kwakuwa hajulikani 🙄

    • @hadijalukasmdeg9987
      @hadijalukasmdeg9987 4 года назад

      @@nurudovino288 hivi watu wanafikili kuwa ubunge vigezo vyake ni vichekesho mitandaoni, kaongea point sana ila hawezi kupewa wazifa wowote rabda ujumbe wa mtaani kwao, hiyo ni rahisi kupewa

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 4 года назад

      Yaani 2020 achukue form agombee ubunge na atapita huyo, yaani point juu ya point anaongea.
      Alafu vigezo , anajua kusoma na kuandika Imani ya la saba kafika , ko sifa anayo ya ubunge

  • @aboubacarkillo5140
    @aboubacarkillo5140 4 года назад +1

    Mh ww ni master,uko very friendly na wananchi wako I like that,big up keep your head

  • @glorysimon775
    @glorysimon775 5 лет назад +36

    Huyu mama akiwa diwani atawasaidia sana

  • @josephmakau7322
    @josephmakau7322 5 лет назад +9

    Huyoo mama kichwa anajua sanaa kutoka taarifaa na,anongea point

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 5 лет назад +12

    RC Hapi huwa nakuelewa sana bro
    Nakuona kuwa kiongozi mkubwa wa siku za baadae

  • @robertmbisse8485
    @robertmbisse8485 5 лет назад +18

    Wamama oyeeee safi.. mfano wa kuigwa umesema yaliyo faida ya Kijiji kizima.... sio kwa masilay yake peke yake

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 5 лет назад +30

    Mama oyeeeee nimempenda sana anajiamini

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 года назад +3

    😂😂😂😂😂😀 Iringa oyeeeee! Nafurahi TU mm

  • @neyjoseph813
    @neyjoseph813 5 лет назад +11

    😂😂😂😂nimekupenda sana wewe mama

  • @samweliandrea7802
    @samweliandrea7802 3 года назад

    Daaa mama yuko vzr sana mungu akusaidie uwe na ujasiri huohuo

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 лет назад +25

    Mpeni uongozi uyo mama japo udiwani atawasaidia hapo kijijini kwenu

  • @pendobaharia6922
    @pendobaharia6922 5 лет назад +9

    Watu wa iringa bhna 😂😂😂

  • @faustermathiasfaustet5362
    @faustermathiasfaustet5362 4 года назад

    Fau kama fau we love u ako na cofidance thanaaaa

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 5 лет назад +1

    Safi sana mhandisi unajuwa kujieleza na unaijuwa kazi yako

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 5 лет назад +11

    Mama Hongera Sana 🙏

  • @neemakirenga5298
    @neemakirenga5298 4 года назад

    Kweli furaha Kama jina lako,Mungu akubariki kwa kazi nzurii

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 года назад +1

    Hongera dada sahihi kabisaa ulioyasemaa

  • @elizabethsalaho2344
    @elizabethsalaho2344 5 лет назад +8

    uwiiii mama oyeeeee😂😂😂😂😂

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 2 года назад

    Angalia wa babaa walivyo nyamazaa hahahahaaa

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 5 лет назад +34

    Mama katuzidi mpaka wanafunzi wa udsm tumekalia kubet tu kujieleza atujui mbel ya viongozi

  • @radhiaoman2454
    @radhiaoman2454 5 лет назад +8

    Mama kero zote ulizotoa zina uzito big up Sana ukipata mama kama hawa 10 mambo yanakuwa mstari

  • @fatmapanaguiton9783
    @fatmapanaguiton9783 5 лет назад +17

    Wanawake tunaweza mama huyu shujaa ameongea bila woga

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 5 лет назад +5

    Milady.kila mkutano wa ally jmn tuuone napenda anavyosikiliza shida za watu walla viongozi wote wangekuwa hivi nchi yetu ingefika mbali walllh mungu akulinde na husda za watu

  • @florenciakapanda9942
    @florenciakapanda9942 5 лет назад +5

    Kamweneeeeeee moja nzitoo✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾tunataka vtu vnoge be😅

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 лет назад +8

    😁😁😁😀😀😁😁😀😀😁😁😁😀😁mama umeongea poindi

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 5 лет назад +4

    Ally salum Hapy rc wa iringa nakukubal

  • @shamimlugoya756
    @shamimlugoya756 4 года назад

    😂😂😂huyu mama bila shaka atakua mana muinjilisti

  • @amanijolam4140
    @amanijolam4140 4 года назад +1

    hahahah mwaka huu tutaona mengi mama alijipanga,alipigilia hadi skuna hatari

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 года назад

    impressive..mama gombea udiwani...

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 4 года назад +2

    Hakuna kama MAMA...hyu ni mtetezi anasifa ya kua Kiongozi.

  • @ezramassawe639
    @ezramassawe639 4 года назад +1

    Mkuu wa mkoa uko vema zaidi kwa kutetea haki za watu mungu akutunze

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +35

    Kamwene dada umenena kwa faida ya wote

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 3 года назад

    Mama uko vizuri sana mzazi

  • @divajuniss173
    @divajuniss173 4 года назад

    Nimecheka sanaa uwiii, shkamo mama umenena

  • @braitontweve170
    @braitontweve170 4 года назад

    Nimekupenda bure mkuu wa mkoa wt big up

  • @dazuujuma1211
    @dazuujuma1211 4 года назад +6

    MAMA LAO SUPER WOMAN WA NGUVU NIMEKUPENDA BURE

  • @hadijalukasmdeg9987
    @hadijalukasmdeg9987 5 лет назад +3

    yani nimecheka na kulia kwa sauti wamama oyeeeeeee🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @tshirima8886
    @tshirima8886 4 года назад

    Hongera sana baba

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 4 года назад

    Kioongozi wa mfano..Hongera Ndgu Hapi

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 года назад +1

    Bado sijamaliza yatatu ngoja niangalie kikaratas

  • @yohanamoleli9683
    @yohanamoleli9683 3 года назад

    Wilaya ya hai tungempata mkuu Wa mkoa kama huyu maendeleo yangeonekana namkubali sana RC hapi

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 4 года назад +1

    Mimi nimeona mahindi mazuri sanaaaaaa

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 5 лет назад +4

    Nampenda happy anavyowasikiza wanainchi ally happy oyeeeeee

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 5 лет назад +5

    😆😆😆😆huyu mama anajiamini

  • @thomaslaurent1936
    @thomaslaurent1936 3 года назад

    Safi mama we unafaa kutusemea sisi watanzania

  • @agustinolugusi9671
    @agustinolugusi9671 4 года назад

    hongera mkuu wa mkoa...

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 4 года назад

    Ally hapi the next president of Tanzania

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 4 года назад

    Nakukubali Sana mkuu

  • @joevang4685
    @joevang4685 4 года назад +1

    wahehe mnajiamini sana

  • @khamisrashidy1079
    @khamisrashidy1079 5 лет назад +12

    Aty kimalaika kinapata shida

  • @norahnkanabo5283
    @norahnkanabo5283 4 года назад +1

    Huyu Ally Hapi anaongea kirafiki na wananchi wake hadi raha sio wengine maswali hawataki, hoja hawataki wanakuja kuamlisha tu wananchi na kuondoka, lakn huyu nimempenda anaelekezana vizuri na kuwaelewa wanachi wake

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 лет назад +11

    Kamwene mama

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 лет назад +1

    Safi sana kikao kizuri m

  • @breackychangwe7326
    @breackychangwe7326 4 года назад +1

    Hahaaaaaaa..Eti kimalaika kinapata tabu

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 5 лет назад +8

    Wahehe hoyeeeee!!!

  • @zuberygastony640
    @zuberygastony640 4 года назад

    Huyo Mama anafaa kuwa diwan

  • @benedictashirima9113
    @benedictashirima9113 4 года назад +1

    Asante Mama 🙏🙏🙏🏼

  • @victoriamassawe250
    @victoriamassawe250 4 года назад

    Big up mama bila uogaaa umenikosha sana

  • @mariammwambungu3174
    @mariammwambungu3174 4 года назад

    Wamama hoyeeeee Huyu mama katuwakilisha jamani

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 3 года назад

    Safi mama

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 лет назад

    Nimecheka kwa nguvu wewe dada mimekukubar😅😅

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 года назад +1

    Umoja wa Uraya tena? sindio hao Mabeberu hao uraya

  • @hermanmkobalo3755
    @hermanmkobalo3755 4 года назад +1

    Shkamooo mamaaa

  • @nuruchikoe1959
    @nuruchikoe1959 3 года назад

    Super woman

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 года назад +2

    Huyu mama tumpe utetezi wa wanawake taifa , Hana aibu ya kusema

  • @lucyommy2256
    @lucyommy2256 4 года назад

    Mama oyeeeeeee nimekupenda

  • @olivamnyawami8294
    @olivamnyawami8294 4 года назад

    Woooow ibumu yetu

  • @mariamjackobo6219
    @mariamjackobo6219 4 года назад

    safi mama mwanamke umejiamini

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 года назад

    Kaka Alli sasa unakazi huyu mama wananchi mpeni udiwani

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад

    👍🏽

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 5 лет назад

    Nyelaga kamwene ,mama uko vizuri Sana.

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 года назад

    😀😀😀😀😀kamwene

  • @raphaelmrisho1520
    @raphaelmrisho1520 4 года назад +2

    Wanahitajika watu majasiri na wenye uelewa na mambo kama huyu mama

    • @marymabubakar1646
      @marymabubakar1646 4 года назад

      Alliy,happy,oyeeee,mtarajiwa,waxiri inshaallah,asmin

  • @LucyDeus-yg4pm
    @LucyDeus-yg4pm 7 месяцев назад

    Mama apewe mauwa yake

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 3 года назад

    Anajua kuhoji na kuuliza maswali

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 2 года назад

    Hii kampeni ya nn, he is no more a RC, that's the facts, asubiri kama wengine

  • @helenadenis7234
    @helenadenis7234 4 года назад

    Kamweneeeee vanyalukolo kukaye iringa hooyeee

  • @peterchristopher5216
    @peterchristopher5216 4 года назад

    Meneja wa barabara kaeleza vizuri sana, ya kitaalamu na siyo ya kukurupuka tu

  • @lucyommy2256
    @lucyommy2256 4 года назад +2

    Nani hajacheka kwenye anatikisa ad kimalaika

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 3 года назад

    Watu kama hawa hawapewi uongozi badala yake anapewa mwenye pesa anayetoa rushwa

  • @mmasymery391
    @mmasymery391 4 года назад

    Jamani huyo mama kaongea mpaka nikanogewa

  • @naimaabdul142
    @naimaabdul142 4 года назад

    Point zoteee

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 5 лет назад +1

    Huyu mama agombee ubunge unamfaa sana

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 года назад

    Mnawachagua. WANAOKAAA OFISINI TU NA KUVAA SUTI KYNYWA CHAI. KAZIII HATUZIONI BWANA. WAAMBIE WAFANYE KAZIIIII TUWAONE. SIO UREMBOOO WA OFISI NO TUNATAKA MAENDELEO YA NCHI YETU

  • @aishaawadhimalokimaloki9953
    @aishaawadhimalokimaloki9953 4 года назад

    mama hoyooooo

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 5 лет назад +1

    Safi sana mama

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 лет назад +3

    Mama kaongea vyema

  • @FRJ624
    @FRJ624 4 года назад +1

    Huyu ana akili sana