ila wifi ulizubaa sana mwenzio kafurahi kinyama we umepoooza utafikiri ulinyimwa pilau mda wa saluni why???? yani hapo ulitakiwa ujimwage mpaka nyaku nyaku wafe kwa hasira
safiiiii sana umetisha mheshimiwa ningeshangaa ungeingia na nyimbo za wenzio wakt ww una vichupa vikali vinakata,ila wife material mbona kazubaa jmn kamili gadooo anashindwa kujimwaga ?
lowasa kawa bubu 😎 sio kwa mikono hiyo raisi mtarajiwa anaangalia tu 😂😂😂😁 huyu angekuwa raisi tz trip za vijivijni ningeuza kuku kwenye basi wala hata mtu asingeni jali 😚😚😚😚😚 twamtaka huyu ila tu amani iwepo tulinde amani yetu
ongera sana my prof, Hakka umefanya jambo la busaraaa.....plz may god wxhea u a long lyf in ur marriage
hongera mh. mbunge wa mikumi,ni hatua nzr ukiwa km kiongozi,tunakutakia maisha mema ya ndoa
muheshimiwa umetishaaa, hongera sanaaa
safi sana professor Jay umetisha mzee Baba harusi la kibabe
wangoni huku hatujaona ngoma za songea jamani..hongera wakunyumba❤❤
Mngoni mwenzngu love u
Hongera sanaaaa Brother Prof Jay
WOW... VERY NICE.. CONGRATULATIONS SIR. #JAY
Congratulation Mr and MRS JOSEPH HAULE .....HAVE A LONG AND HEALTH MARRIAGE
ila wifi ulizubaa sana mwenzio kafurahi kinyama we umepoooza utafikiri ulinyimwa pilau mda wa saluni why???? yani hapo ulitakiwa ujimwage mpaka nyaku nyaku wafe kwa hasira
Hahahahahahaha Limy Masele
+Limy Masele hki umeongea kweli 😁😁😁hongera zako
Frola Moses daaaah kweli amepooza kinyama wifi yani ilibidi ayarudi mpk ilo wingi alishikilie mkononi! daaaah ila bro nimemkubali kaitendea haki harusi yake NICE
Frola Moses Yaaani umeona. alifaaa aserebuke vihasaaa..tchaa
Best entrance eveeeerr.. kuimbiwa hivyo dooh..af mke amepoa kama nn.. My future husband plz practice this song to sing for me n i will dance for yo😘
hongera sana
professor kafanya kitu kizuri Sana.... ndoa njema na yenye baraka tele
Namuona lowasa jmn🥰
safiiiii sana umetisha mheshimiwa ningeshangaa ungeingia na nyimbo za wenzio wakt ww una vichupa vikali vinakata,ila wife material mbona kazubaa jmn kamili gadooo anashindwa kujimwaga ?
good kweli muoe maana mmekula ujana hadi mnaingilia nyakati zetu bwana, muda wenu umeisha kikubwa kukubali matokea huu ni muda wetu bwana.
Hahahahahaha
Hahahahhahaha
iko vizuri sana nimeipenda
nice nice congratulation much
hongereni
Good mfalme jizoo
Namuona lowassa apo 💪💪💪💪✌✌✌✌
Sema bi harusi ana zgoo😂😂😂😂🙌
Jay Star shabaash yan ni ngoriiiii
Ilipendeza sanaaa
Kila la kheri katika maisha mapya ya ndoa kwake proff j..aka Joseph haule
nimependa sana... kweli ye msanii bado... ndoa njema prof J...
nomanoma professor
Sawaaaaa Mh Mbunge
am in nairobi bt cjui why sikufika harusi
Gud job mr proff
Nicely mnooooooo
sometimes wahusika huomba nyimbo wenyewe wanazopenda uwezi kumlaumu dj
wow ameezing asante milard
kweli watu walilipa kadi za halali
jaman huyu ndio yule mrangi Wa kondoa au mwingine
huyu jamaa anaongoza binadamu na wanyama
wow wamependeza kwa kwel wagen na magauni yao
Hadi raha
lowasa kawa bubu 😎 sio kwa mikono hiyo raisi mtarajiwa anaangalia tu 😂😂😂😁 huyu angekuwa raisi tz trip za vijivijni ningeuza kuku kwenye basi wala hata mtu asingeni jali 😚😚😚😚😚 twamtaka huyu ila tu amani iwepo tulinde amani yetu
mashaallah
hongera J
safi sana ipo poa sana
iko poa sana
umetisha kaka
huyo ni Lowassa au 😂😂😂
mmh bi harusi umepoa ata aipendezi. nyama nimekosa mlaji loo ningekuwa mm
profesor mistal ad kwenye arus yako,,,uko vizur bro
ustawi wa jamii hili la watoto wadogo kuhudhuria masherehe kama hoya inakuaje?
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
xswe
bonge la harusi i like that
Uko vizur
Ila baba usitoke wcb itakua umefeli maisha asikudanganye dem eshom office yako
aha zari la mentele imenoga kumbe ulikua upoupo kwanza
iko poa tu
uyo mwanamke umemlazimisha au maana hataki ndoa uyo
Ume nishawish niowe
Mohamed Hamza hahahahahaha amsha dudeeeeee
Mohamed Hamza ukiiga utaumia utatusogezea sehemu tuwe tukijikunjua😂😂😂😂
Wa kuitwa Jongwe aka Sugu rais wa mbeya, katisha sana
halafu wifi ndio hata furaha hana kabisa sijui hajapata hata juice ya maembe duuuuu ndio kununa hivyo kweli duuu
Too much Nigerian Music, Tanzania ama East Africa kwingine hakuna wasanii!!?
Prof katisha sana af yuko kamili gado
Flora yote anafikir miaka 15 kuishi na mtu bila ya ndoa km hajaamin km kweli imekua
Tukumbuke kuwa Uyu Jamaa anaongoza Binadamu na Wanyama
duh watu wahumu munavituko
😘😘😘😘
duuu mbunge anachana mistari hatareeeeeee
biaruc kazubaa kama amin kama angeilew
😂 😂 😂 😂 😂 sugu acha kunichekesha mh sio kwa kuchezewa huko
Mtoto yuko kamili gado!!!
hahahaha wifi bhana umeshindwa kuitumia chance
huyu ndio yule mrangi au
yn hp Mc angekuwa pilipili ingkuwa xhdaaaaa
god bless you dears
limy utaruka sarakasi km ebitoke
first
ongela prof jizee
Hahah Sugu sio wa mchezo mchezo
Nina mtakia pia maisha marefu wamitulinga
Hongera sanaaaa Brother Prof Jay
halafu wifi ndio hata furaha hana kabisa sijui hajapata hata juice ya maembe duuuuu ndio kununa hivyo kweli duuu
huyu ndio yule mrangi au
Mtoto yuko kamili gado!!!