SHUHUDIA MAHABA YA SHILOLE NA MPENZI WAKE WAKILISHANA KEKI MBELE YA WAALIKWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 17

  • @irakozeshakiru1131
    @irakozeshakiru1131 19 дней назад

    Shishi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @WitnessShimba
    @WitnessShimba 19 дней назад +1

    Nyamweziii

  • @NacnyFlorah
    @NacnyFlorah 19 дней назад

    Pendethaaaaa❤❤❤❤

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 19 дней назад +2

    Mume saizi ya mwanae.bora shishi ungetafuta mtu mzima

  • @MwajumaElias
    @MwajumaElias 19 дней назад

    Dah😂😂

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 19 дней назад +3

    Huyo si mume

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 19 дней назад

      Kafata hela shemej tu hapo na familia yake inaonekana ina tamaa ya kulelewa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 18 дней назад +1

    Ujingatu vyote zambi hivi anafanya

  • @annathomas-wy8yt
    @annathomas-wy8yt 18 дней назад

    Mbona kofia na miwani,anajificha nini sasa

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 19 дней назад +1

    Shilole umegoma kupungua hata kidogo umekuwa kama pipa

    • @McT-m1m
      @McT-m1m 18 дней назад

      Mmeanza tena mlimsema wema mpaka akakata utumbo na sasa hivi mnamcheka msichana wawatu alikuwaga mzuri na mwili wake tena kwa shilled mnataka hivohivo na wakati mnashuhudia anafanya mazoezi na hapungui

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 18 дней назад

      @McT-m1m ndg yangu wema hakuwahi kufikia unene wa shilole shilole kazidi mno Hadi kampita asha boko

    • @maryamalhajri722
      @maryamalhajri722 18 дней назад

      @@AgnesJohn-f1rajampita asha boko tatizo shishi hajuwi kuvaa nguwo zenye kuendana na mwili wake

  • @vero57
    @vero57 18 дней назад

    Sasa hiyo miwani veep, anaficha nini??? Afadhali tuu ungebakia na photographer