ICU-CHUMBA CHA UMBEA | WOLPER AMCHAMBA MOBETO KUONGEZA SHEPU | MIMI MFANYA BIASHARA MKUBWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 146

  • @RehemaJoshua-n4x
    @RehemaJoshua-n4x 2 дня назад +25

    Yaan wolpa nimekupenda bure! Chukua maua yako🎉🎉🎉 mwanzo nilikuwaga sikuelewi but now nimepata chochote kutoka kwako, asante

  • @puritykananu9920
    @puritykananu9920 2 дня назад +16

    Wolper nimwanamke anapambana sana ❤

  • @florenceamimu1962
    @florenceamimu1962 День назад +5

    I love you Wolper together with your beautiful family .. keep going girl..from Germany ❤

  • @HUpendo
    @HUpendo 2 дня назад +29

    Uyo dada toka alivyoo olewa amekuwa Mt wamaan xanaaa ❤❤❤

    • @aishaaisha4549
      @aishaaisha4549 День назад

      Kweli

    • @ZulfaKassim-q2v
      @ZulfaKassim-q2v День назад

      Ambapo wengi wanafeli

    • @HUpendo
      @HUpendo 23 часа назад

      @ZulfaKassim-q2v wanatamani ndowa hawapendii ndowa ndomaana wanaxhindwaaa

  • @marietharosemary
    @marietharosemary 5 дней назад +37

    Ata mi nakupongeza sana dada maan kwanza unajibu maswal kwa haki na hutaki kumkandamzi mtu pia kwa uigizani nakupa100 %

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk 2 дня назад +26

    Wolper anahongea ukweli tu😂😂😂😂😂

  • @mwanaharusiomar2468
    @mwanaharusiomar2468 5 дней назад +14

    My favourite. Nampenda sana Walper

  • @DaynesKileo
    @DaynesKileo 6 часов назад

    Usemi wa Wachaga wanapambana ni kweli,Hongera wolper,nakupenda maana unajielewa sana 👏👏🙏🙏

  • @hamidahnassoro-12
    @hamidahnassoro-12 2 дня назад +7

    Wolper mungu akulinde na endelea kuvaa hivo hivo stara mama uwe mfano kwa wengine

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 Час назад +1

    Hakunaga mchaga mjinga😊

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 2 дня назад +12

    Mimi nampenda sana dada wolper jamani ❤❤ mungu ukuzidishie na pia akupe maisha marefu 🎉

  • @KADOGOFOUNDATION
    @KADOGOFOUNDATION День назад

    I love Wolper
    Ni bidii yake Jamani!!!
    Watching from Germany
    🎉

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 5 дней назад +22

    Huy dada ana akili sana

  • @UpendoNdosi
    @UpendoNdosi 2 дня назад +7

    Nampenda sana wolpar maan anajielewa sana jmn mungu akutuze

  • @JudithJulius-b2t
    @JudithJulius-b2t 11 часов назад

    Nampenda woper na shilole na faiza hawanaga maigizo kwenye maisha yao

  • @mariejeannettetuyisenge1409
    @mariejeannettetuyisenge1409 2 дня назад +3

    Wouw Nice bae❤hakika nikija dar ndakutafuta

  • @adambakari-f6z
    @adambakari-f6z 2 дня назад +4

    Nakupend mama p❤❤❤❤❤❤

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 2 дня назад +2

    Yaan wolper nakupendaga tangu nasoma mpka leo❤❤❤ Mungu akupe maisha marefu na azidi kukubariki akuinue viwango vya juu, napenda unajielew sana

  • @nimsimasamwel1273
    @nimsimasamwel1273 День назад +1

    Da wolper ni jembe❤️🔥

  • @JackyTarimo
    @JackyTarimo 9 часов назад +1

    wolper chukua dada🎉🎉🎉🎉

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 2 дня назад +1

    My favorite actress tokea nko mdogo ak nampenda asanthee kwa ushauri mzuri allah akuongoze uzidi kupata dada wlper

  • @senorita-u5p
    @senorita-u5p День назад

    Wolper sis , you are good ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 2 дня назад +1

    Hongera mwaya nakupenda

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 2 дня назад +4

    Nakupendaga sana we dada mungu akuzidishie

  • @FaudhiaMohamed-m1t
    @FaudhiaMohamed-m1t 2 дня назад

    Mungu azidi kukutangulia ktk maisha yako yote inshaallah 😘🙏

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 День назад +5

    Mimi pia nanenepaga na stress😢😢😢😢za maishaaa

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 2 дня назад +6

    ❤❤❤wamuche sio shida zake kavuka huko

  • @precieusemutano-f3f
    @precieusemutano-f3f 5 дней назад +1

    Ongera sana wolpa ❤💋

  • @MariaWema
    @MariaWema 2 дня назад +3

    Hivi Hawa Ni Waandishi Au Wapiga Kelele Maana Hata wenyew hawana ushirikiano 😢

  • @asnathybabychussy5729
    @asnathybabychussy5729 День назад

    Well said wolper

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 2 дня назад +2

    ICU wachonganishi 😂😂😂😂

  • @LolyFadi-t8b
    @LolyFadi-t8b 19 часов назад

    Nimeskia ,, wallah "" Kwa walper

  • @Aisha-k2o
    @Aisha-k2o 23 часа назад

    Uyu wolper nampenda sana

  • @Veronica-xe3ss
    @Veronica-xe3ss 22 часа назад +1

    Safi❤❤❤❤❤

  • @christinamasawe5525
    @christinamasawe5525 День назад +2

    Hongera my Mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @LolyFadi-t8b
    @LolyFadi-t8b 19 часов назад +1

    Nilitegemea ngumi Leo walper na maimartha

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 2 дня назад +2

    Wolper nakupenda, mwagie maji machafu huyo maimarth, mbwa huyo asije kukulogea watoto wako,

  • @Fatma-rj7vs
    @Fatma-rj7vs 2 дня назад +1

    OngerA mama p❤❤

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 дня назад +2

    ❤❤❤ wolper my tribal

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 дня назад

      Your "tribal"? What's wrong with you?😢

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 дня назад

      @Brunn-mh2bq kwamba hujaelewa iyo meseji inamaanisha "nampenda wolper mkabila mwenzangu" au?

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj День назад +1

    Yan juma nimmbea mpka saut inamkauka

  • @SaraDiaby-x6x
    @SaraDiaby-x6x 2 дня назад +1

    Asante Jack

  • @Zawadi111Kajumwa
    @Zawadi111Kajumwa 2 дня назад

    Wanawake waongo kweli Haya hongera Ila endelea kuchanga

  • @CharifaRachidi
    @CharifaRachidi 2 дня назад +3

    Lakin mai mnafiki😂😂😂

  • @RahmaAwadh-ul9yu
    @RahmaAwadh-ul9yu 2 дня назад +6

    Huyu ni mm kabisaa Stress nabongekaaaa mnoooo nikiwa na raha zangu basi nakua najitazama vzr mnooo

    • @SashaOscar
      @SashaOscar 2 дня назад

      Tupo wengi kwkwl😂😂😂

    • @RahmaAwadh-ul9yu
      @RahmaAwadh-ul9yu 2 дня назад

      @SashaOscar Acha tu yaan tuko tofauti ss 🤣🤣🤣

  • @KhadijaKandulu
    @KhadijaKandulu День назад

    Umeweza dada

  • @NeemaGrace123
    @NeemaGrace123 2 дня назад +3

    Me wolper nampenda huyu dada mungu akutunze ❤

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 2 дня назад +1

    Nampenda mama p

  • @winadii
    @winadii 20 часов назад

    Jack ana akili sana hawezi kutoa mtaji wake akanunue gari la kifahari..kweli mama

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 День назад

    Uyu dada anajielewa sana

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 День назад

    Mungu wangu! baby dady wake tena?!! kwahyo ni kwel😢

  • @Luscious6826
    @Luscious6826 2 дня назад

    👏👏👏👏👏 mchaga umetuwakilisha vyema

  • @FatmaMohammed-s3k
    @FatmaMohammed-s3k 2 дня назад +1

    Hee au sijaelewa jamaniii inamaana hao wadada ndo wanatoka na mchungaji mwamposa 😂😂😂

    • @neemafrank1123
      @neemafrank1123 День назад

      Hapana itakua na shekhe..
      Oops nimesahau kumbe mashehe hawanaga hela😂

    • @FatmaMohammed-s3k
      @FatmaMohammed-s3k День назад

      @neemafrank1123 chizi wa kolokole ww au na ww ndo vile kumbe wachungaji wanaela eeh ndo maana na ww wanakunaniliii

    • @FatmaMohammed-s3k
      @FatmaMohammed-s3k День назад

      @neemafrank1123 inaonekana na ww huwendi kuabudu unaenda kufuata mabwana kanisani nyooo pumbavu

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 2 дня назад +2

    Wolper hao wanasumbulia na wivu tu

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 День назад

    Dada nampenda huyu 😂😂

  • @CatherineJohn-q8k
    @CatherineJohn-q8k День назад

    Nakupenda sana

  • @TeclaMuniafu
    @TeclaMuniafu День назад +1

    Hili kundi la icu lina unafiki nyie😅😅😅

  • @rosemarykimath9337
    @rosemarykimath9337 2 дня назад

    Ptuuu mbaka syaaa

  • @IradukundaCharlene-u6c
    @IradukundaCharlene-u6c 2 дня назад +1

    Endelea kusoma roho ya umauti 😂😂😂

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 2 дня назад

    Ila mwenzenu hajabongeka wala kunenepa kupita kiasi. Vibonge mchicha msijipendekeze, ubonge kupita kiasi sio afya.

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 2 дня назад +1

    Wlolper uko sahihi ulinimbia Jenga kwanza

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 3 дня назад +5

    Ila juma ni mnafiki

  • @SarahOpasi
    @SarahOpasi 2 дня назад +1

    Ila hata mie nampenda

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 День назад

    Jamani mbona kila siku Mwamposa? Siyo fair

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 2 дня назад +2

    Mnapenda ugomvi nyieee mxwii izo picha za watu zinafanyje apo😂

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 дня назад

      Kwani huwo nani anaongelewa jamani sielewi

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 2 дня назад +1

      @rithadonatus8110 hamn mtuu Ni wehu wao tuu

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 2 дня назад +1

    Juma ni mnafkiii na nusuu😂😂😂

  • @bethherman9779
    @bethherman9779 2 дня назад

    Wakat wenzenu wanatafuta kuna watu unakuta wanatumia lakin wakifanikiwa watu wanaanza eti ooh kajengewa …mara katoa kafara jaman kipind anatafuta wanasahau kuwa wao walikua wanachezea pesa

  • @minawirah470
    @minawirah470 2 дня назад +1

    Uongo stress make you eat ndo unene unatokea....

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 2 дня назад +8

    Mama p anakili sana

  • @leadrcdiva4144
    @leadrcdiva4144 16 часов назад

    I love her 😂

  • @kudrasslaybeautybar8779
    @kudrasslaybeautybar8779 2 дня назад +1

    Sio Hawajawahi kila mtuu Na avyo taka kuishi

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 дня назад +2

    Sasa wolper amemchamba vp mobetto mbona ni wanafki nyinyi😢

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 2 дня назад +1

      Nawe umbea Tu Una kalili mambo kamchamba mobeto wapi? Je kataja jina la MTU au nyie ndio munao chochea mambo ?

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 2 дня назад +1

      @mamasalhat sasa nawe kusoma hujui?

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 2 дня назад

      ​@@rajabdibwa6415Apo sasa 😂😂😂😂😂😂

    • @saidmasika8738
      @saidmasika8738 2 дня назад

      ww ​@@mamasalhatww nawe ukusoma kichwa cha habari wachonganishi ni hao

  • @DeborahLongor
    @DeborahLongor День назад

    Ambia huyo interviewer mwambie akupeleke polepole sureli😢

  • @Zuu673
    @Zuu673 2 дня назад

    😂😂😂😂😂yani sijui nacheka nn yai da mai surayake tu ipo kinafki nafki tu dah

  • @SallyRawanda
    @SallyRawanda 2 дня назад

    Nskupenda bule

  • @chany9950
    @chany9950 2 дня назад +2

    Amen amen love you opla😘😘😘

  • @pudensianaosward
    @pudensianaosward 2 дня назад +1

    Sasa picha za uwoya zinaingiaje hapo,???

  • @ednahdavid3449
    @ednahdavid3449 2 дня назад

    Na dada naomba hayo majani tuyajaribu wote maana na mimi naitaji kupungua dear

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 2 дня назад

    ndo maana sehemu za kusali mi naangalia sana

  • @tatually1366
    @tatually1366 2 дня назад

    Mashaallah mwenyezi mungu akujalie ukweli
    😊

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h День назад

    Lokole utasutwa😂😂😂

  • @HawaYahya-h8t
    @HawaYahya-h8t 2 дня назад

    Watu hawana kazi za kufanya ndomana kufwatilia mambo ya watu....lau mtu angelikuwa na kitu kinamshukhulisha asinge kuwa na time ya kufata ya watu

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 2 дня назад

    Ata na yeye atafanya biashara muda bado bado anakula ujana

  • @ZumrahIdrissa-j6l
    @ZumrahIdrissa-j6l 5 дней назад +9

    Asa mobeto ameingiaje hapo jamn mbon unakosea watu

    • @natamihambo8077
      @natamihambo8077 5 дней назад

      Shangaa

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 2 дня назад +1

      Jamani acheni kuchochea mambo je kamtaja jina mobeto??? Yeye hajamtaja MTU Ila hao kina juma ndio wagombanishi wanaweka picha za watu mladi watu wazidishe nanyie musikalili mambo

  • @giztony2009
    @giztony2009 2 дня назад

    Hawa malaya mbona anatanguliza hela hata aje na mamilioni hawezi kumvulia nguo kwa hiyo wengine ambao cyo wachungaji wakija wanamkula pumbavuu kabisa

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe 2 дня назад

    Haha hahaha haha hahaha haha hahaha haha hahaha haha hahaha 😂😂😂😂

  • @zuwenachuwa7870
    @zuwenachuwa7870 2 дня назад

    Ila juma😂😂

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 2 дня назад

    wanafiki

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 День назад

    Hawa viumbe wambea waliopitiliza

  • @shanifambaraka-v6y
    @shanifambaraka-v6y 2 дня назад +1

    Kunakipindi ulibadili dini usisahau

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 дня назад +3

    Nyie ni wanafiki sana haswa hao wasenge wawili na huyo bi mtu mzima wao Maimatha.

    • @kailakaziba
      @kailakaziba 2 дня назад

      umeona na yanavyo cheka kama wanawake vile duuh

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 2 дня назад +1

    Dah mnaniuz kumchafuwa mtumish jaman

    • @afyabora3207
      @afyabora3207 2 дня назад

      Namie nilikuwa nawaza kama wewe ila 😢 ukweli upo very sad Moshi ukitoka jua kuna moto chini 😢

  • @MariaWema
    @MariaWema 2 дня назад

    Amesema watu wanaokonda mnawaonaje wenyewe washampost mtu 😢

  • @MariamuAthumani-t1c
    @MariamuAthumani-t1c 2 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @wolpertiffah4221
    @wolpertiffah4221 2 дня назад

    Mmmh...juma😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GraceDaniel-l2n
    @GraceDaniel-l2n 2 дня назад

    Naomba kuuliza huyo baba mtoto n mwamposa?

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 2 дня назад +1

    Wee muongo

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm 2 дня назад

    Maneno kuntuuuu😂😂😂😂

  • @letshavealiltalk2313
    @letshavealiltalk2313 2 дня назад

    Juma😅😅🤣🤣🤣

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 День назад

    📌

  • @acapulco4842
    @acapulco4842 2 дня назад

    Masenge Wana shida Sana ukorofi tu VIKUNDU vya wa washa kweli kweli