Maadili hakuna siku hizi ndio maan ndoa Zina migogoro Mtu mjamzito anafungua ndoa hii haipo jamani Unaonaje huyo Mtoto akizaliwa kinacho endela. Alicho unganisha Mungu mwanafamu asikitenganishe. Ina kaa vizuri kweli jaman haifai nidhambi wazazi hembu chambueni hili
Uko vzr sana nimependa
Love 💕 that
Maadili hakuna siku hizi ndio maan ndoa Zina migogoro
Mtu mjamzito anafungua ndoa hii haipo jamani
Unaonaje huyo Mtoto akizaliwa kinacho endela. Alicho unganisha Mungu mwanafamu asikitenganishe. Ina kaa vizuri kweli jaman haifai nidhambi wazazi hembu chambueni hili
❤❤
Raha sana
Am uko vizuri
Dadeki unaenda kwenye harusii ya mtuu humjui hata suraaaa, ! 🤔🤔🤔 We are not serious! Aiseee
😂😃😂😃
Hiyo sio harusi ni send-off ya msichana
Watu wanachangishwa hawawajui hata maharusi!
Haipendezi
Jack mama kija
Nzur sana
YAANI TZ WATU HUENDA SHEREHE NA HAWAJUI BRIDE?
Yaan ajabu kwer
Hahahaaa ila kuna mtu pemben kamwambia
Kabisaaa 😂😂😂
Bi harus ma kija
Mashaalaah
❤❤❤❤❤