Yani hakuna kilichoniflahisha kumuona mkongwe professor Jay kumuoa mwanamke mzuri mwenye sifa zote sitahiki kama huyu. Mama Grace hongela sana sifa zote kwako mama. Na Mwenyezi Mungu awabariki
Professor Jay katoa nyimbo na ma vixen wanaovaa nguo za kiajabu.ila kaenda kwa mtu anaejieshimu.wanawake tujifunze kwa hili utakua na boyfriend anakuruhusu kila kitu ila mwisho wa siku anaenda kwa mtu mtulivu
Mungu hakusimamie wengi wanashindwa kujitambua wakiolewa na mastaa wanajisahau nao baada ya kuangalia nimeolewa na nani usiangalie ustaa angalia jina alisi la yule aliyekuoa ustaa weka pembeni
Hawa ndio wanawake wenye hekima na maadili sio hakina kajala wenye ulimbukeni wa pesa na vitu visivyo kua na 🙏🙏🙏 msingi pamoja
ndomana akawa mke
Woww hongera sana wewe ni mwanamke wa nguvu nakukubali sana na upo bado mrembo sana nakupenda sana msalimu Lisa wangu Mungu azidi kukubariki
Yani hakuna kilichoniflahisha kumuona mkongwe professor Jay kumuoa mwanamke mzuri mwenye sifa zote sitahiki kama huyu. Mama Grace hongela sana sifa zote kwako mama. Na Mwenyezi Mungu awabariki
Pc kali mashallah mashallah busara izidi kua vazilako dada.
I really admire this woman,Hongera P Jay hakika una mke mrembo sana mashallah ❤🇹🇿🇨🇭
Very calm articulate lady with measured words, safi sana how u carried yourself on the interview, u tried to be as open n honest as possible big up
Hongera mama Lisa kwakumpa support mumeo
Pongezi kwa Professor! She's good woman and bright.
#beautifull of course
Hongera pro umepata mke sahii mpole
Akili kubwa professor jy hongera sana
napenda unavyojiheshimu tazama tu ongea yko 😘❤
Mama anaongea mpk raha mama bora 💗
Nimekupenda sana dadaangu
Beautiful, mature and very calm
Amemfirisi huyu professor j ,pesa zote anaonga tu
Hongera mama umetulia vizuri Sana ❤️
Mama Lisa ni mrembo🔥🔥🔥🔥
nimelembo sana sana mungu hajakodea na mpenda bulee
Sana
Waooow!!! Beutful with brain♥️♥️♥️
Professor Jay katoa nyimbo na ma vixen wanaovaa nguo za kiajabu.ila kaenda kwa mtu anaejieshimu.wanawake tujifunze kwa hili utakua na boyfriend anakuruhusu kila kitu ila mwisho wa siku anaenda kwa mtu mtulivu
Thts how men are kuna mke na wanawake hata mwanaume mhuni anahitaji mwanamke mtulivu
Vizuri
Mungu hakusimamie wengi wanashindwa kujitambua wakiolewa na mastaa wanajisahau nao baada ya kuangalia nimeolewa na nani usiangalie ustaa angalia jina alisi la yule aliyekuoa ustaa weka pembeni
Yuko vizuri
Mama kama mama
Huyu mama anajifahamu na IQ yake ni kuwa.. Hongera.
She's beautiful
hawanag longolongo watu kam haw salut kwako dada nakupenda san
Good woman
Safi sana
Mrembo mashallah
Very nice
Mashaalalah
Aliye sikia hii sentensi
Mnaweka wenyewe alafu mnamkimbia😀😀😀😀😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
𝑎 𝑓𝑎𝑛𝑡𝑎𝑠𝑡𝑖𝑐 𝑖𝑛𝑡𝑒𝑟𝑣𝑖𝑒𝑤.........𝑔𝑜𝑜𝑑 𝑎𝑛𝑠𝑤𝑒𝑟𝑠 𝑓𝑟𝑜𝑚 𝑚𝑟𝑠 𝑝𝑟𝑜𝑓.....💪💪
Mtangazaji uko vizuri sana.
Anamchagulia mwenyewe video vixens wa pro,,,wale wazuri kumzidi yeye...hapo sasa
Wow
Duh elfu 2 na 2 me nina mwaka mmoja tuu jaman heshima yako mamaangu
Ni juz mbona
Nimekuelewa sana mama
Nice interview
Mmmh..mbona unaonesha shombeshombe hivi..
Dada sisi watanzania hatupendi muachane na profesa j tunawaombea dua muishi milele mpaka kifo kiwatenganishe
Hakika
Wahoo mrembo
Yaaaan nilijua tu kuwa ni hivyo ila upo kihaya zaid bi mkubwa
Super woman
Allah nijarie niwe mama bora kwa watoto wangu Inshaallah
Amin
+255777290221
Good inteview
Mke mwema
Prof hakoseagi
Ndo umemua
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
ruclips.net/video/HnZquQwbvvM/видео.html
Huyu ndio yule mamake na stamina kw ile. Ngoma yake na prof j
Miss haule
maman kamiligado mwasi ya kitoko lokola nyama
Mke/Mme mwema hutoka kwa MUNGU, hongera kwao yaani kama MUNGU kawapendelea hivi!!! OK, MUNGU AENDELEE KUWAJALIA NDOA NJEMA🙏🙏🙏
Mke mzur 😋😋😋
Utoka kwa Bwana
@@denisrukangula7086 bwana nani hata wewe bwa wa mtu
Hogera sana we nimtu uko natara
Utafika mbari tenbea uwa mbie wote wawe na musmamo k
@BONGO NeWs tV
Utaniambia nini?
Uko mrembo mwenyewe ila zaa mwingine wawe hata wa2 mmoja duuuh wewe unamwangalia MUNGU anamwangalia mchawi anamwangalia ongeza mwingine
😅😅😅😅
2002 Niko dalasa la pili
Darasa la 6
Shemej
Hahahaaa huyu ndoyule zali la mentali la prof Jay
Hapana yule wa zali la mentali anaitwa Nargis Muhamed