PROFESSOR JAY: Nilishawahi kwenda kwa MKE WANGU na MCHEPUKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 185

  • @mctarimo1634
    @mctarimo1634 6 лет назад +123

    Kama unaikubali Wasafi Media na Pia unamkubali Prof Jay Gonga like Twende Sawa

  • @motonkalipaschal4790
    @motonkalipaschal4790 6 лет назад +2

    Hakika nakukubali sana Prof. Jay maana nyimbo zako hunipa nguvu ya kuendelea katika maisha yangu. Mungu akubariki sana

  • @lucyisrael6121
    @lucyisrael6121 6 лет назад +2

    Mungu amekupa mke mzuri na mvumilivu,nawatakieni maisha mema na marefu Prof.J na family yako!

  • @vivianlenard3618
    @vivianlenard3618 6 лет назад +2

    Dah bro hongera sana kumpata mke mvumilivu. binafsi ningekata tamaa kwa tukio hilo.

  • @janeawuor9468
    @janeawuor9468 6 лет назад +1

    Beautiful good work prof Jay you the humblest artist . Na muziki zako zinamafunzo mno nakupenda sana Mungu akubariki

  • @Archivetv12
    @Archivetv12 6 лет назад +9

    Namkubali sana professor jay toka #zari_LA_mentali!!!

  • @graceleonard6150
    @graceleonard6150 6 лет назад +5

    Unabusara sana pr j Mungu akupe hekima zaidi Mungu atakupa nzuri zaidi

  • @ligmmohd8112
    @ligmmohd8112 6 лет назад +49

    Hakika wanawake wanatuvumilia sana wanaume, hasa wale WANAWAKE WENYE subira kama dda GRACE, hivyo MUNGU awasimamie professor.

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 лет назад +2

      Saidi Amiri umeona heeeeee!!

    • @marymathew6529
      @marymathew6529 6 лет назад +2

      na mwenye subira Mungu anamtunuku,huon bidada uvumilivu umempa shavu la kufa mtu

    • @bushmendatoga4754
      @bushmendatoga4754 6 лет назад

      Saidi Amiri wapare ni wavumilivu mno hilo nimeliona

  • @alquinmadoro8064
    @alquinmadoro8064 6 лет назад +1

    Huyu ni miongoni mwa watu wanaonifanya nisikate tamaa na nizidi kupambana zaidi coz ni mpambanaji sana since nikiwa mdogo sana ,respect profesa jay

  • @tatimafahad9376
    @tatimafahad9376 6 лет назад +12

    Nakukubali sana ujawai kukosea big up bro Mungu atakulinda

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 6 лет назад +3

    its a new begining ever, mungu anauwezo wakukuinua zaidi na zaidi

  • @josemahena2305
    @josemahena2305 6 лет назад

    Brother uko vizuri sina cha kusema kwako bali mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi azidi kuibariki familia yako

  • @anneamor6192
    @anneamor6192 6 лет назад +6

    Uko juu Jay ... Hata kuongea kwako kuko na uongozi ndani yake.... maybe God bless you more

  • @hadija846
    @hadija846 6 лет назад

    Pole sana kwa majonzi ya nyumba kwa kweli inauma sana tena sana. M/mungu lazima atakulipia 100%🙏

  • @faybaibe9023
    @faybaibe9023 6 лет назад

    Aki pole sana kwa kubomolewa nyumb yako. I can really feel wat you felt. Mungu atakubariki na zaidi ulokuwa nayo.

  • @zaituniyusuphjuma415
    @zaituniyusuphjuma415 6 лет назад +7

    Safi sanaaa ukianguka amka songa mbele tu kurudi nyuma mwiko

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 3 года назад

    Japo kuwa tunavuruga wanawake wetu, wana umuhimu wa maisha yetu. Mimi ni shabiki wa Prof Jay kutoka Burundi

  • @mohamedsasma879
    @mohamedsasma879 6 лет назад +3

    Pole prof mungu ni mkubwa utapata nyingine na mengine mengi. Na hao waliyoyafanya hayo mungu anawaona na wengi wao wamejenga kwa kuiba pesa za serikali na mashirika ya umma. Pia wanakaa kwenye nyumba za bure. Ni wepesi kuvunja za walala Hoi. Ila mungu yupo believe me.!!!!

  • @marymathew6529
    @marymathew6529 6 лет назад

    mke mzuri mtoto ndo balaa,very beautiful na nimezid kumpenda alivyosema anapenda kuwa daktari

  • @بجادالصاعدي-و4د
    @بجادالصاعدي-و4د 6 лет назад

    Nyimbo zako taari ni Advice tosha kwa wote, walokupa ubunge hawakukisea, Allah aibariki family yako proff

  • @SSs-tb9yo
    @SSs-tb9yo 5 лет назад

    MashaAllah professor mungu yupamoja namwenye kusubiri

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 6 лет назад +1

    Watapotea wengi ila muheshimiwa we we ni noma sanaaaa yaani wata pata tabu sanaaa gongs like kama unamkubalu process j wa mitulingaaa

  • @brightfabian2190
    @brightfabian2190 6 лет назад +7

    Salute kamanda nakukubali sana

  • @nemnem7431
    @nemnem7431 6 лет назад

    Poleni sana kwa hasara hapo umenipa nguvu zaidi zakuvumilia.... Nakupenda hadi naumwa.. ..😍

  • @moureenmbuu1985
    @moureenmbuu1985 6 лет назад

    Unanikumbusha mbali prof j zali la mentali wimbo wangu huu...big up 254

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 6 лет назад +7

    Haa a pole Sana kaka ndio 🇹🇿 hiyo. Yaaan ni uchungu usio semeka speechless kwa kweli.

  • @jeviounipers
    @jeviounipers 6 лет назад +1

    your wife is so pretty and kind....shikilia hapo hapo. A wife is a blessing

  • @godsonsumari2934
    @godsonsumari2934 6 лет назад

    Daah nice interview,Proffesa hujawahi kukosea since day one,nimeipenda sana hiyo saa yako pia

  • @georgeludakulo2118
    @georgeludakulo2118 6 лет назад +10

    Makini bro nakukubalili xn respect kwako

  • @restjohn9342
    @restjohn9342 6 лет назад

    Kaka pole sn kwa pigo naamin Mungu yupo atalipa, haki y mtu haipotei n wivu wa maendeleo tu, pole sn

  • @salumukilangai5189
    @salumukilangai5189 6 лет назад +2

    upo vizuli professa nakubali sana kaz zako na uongoz wako pia

  • @khadijalubuva2629
    @khadijalubuva2629 6 лет назад

    hongera sana prf j pamoja na família yako mko vzr... wasafi TV pia mungu azid kuwaongoza.. inshaallah

  • @samsonkibona5354
    @samsonkibona5354 6 лет назад +2

    Uko vizur sana profesa na kukubari tokea chemsha bongo mpaka pagamisa

  • @issadesmond477
    @issadesmond477 6 лет назад

    Nakukubali sn p jay ujawai kuniangusha na pole kuusu nyumba kubomolewa bila hata ww kujua

  • @aminahamisi7854
    @aminahamisi7854 6 лет назад

    sister grace u are beautiful dear , tulelee msanii wetu , tunawapenda sana

  • @mpanduzimalugu4717
    @mpanduzimalugu4717 6 лет назад +3

    Salute legendary talk my brother

  • @sigifridyfranky8984
    @sigifridyfranky8984 6 лет назад

    pole Sana brother jay kwa kubomorewa nyumba yako ilikua mzuli Sana

  • @bisophicatesalim132
    @bisophicatesalim132 6 лет назад

    Nampenda prof jay na mkubali kama king wa hipop big up

  • @sadaabdallah1641
    @sadaabdallah1641 6 лет назад

    Duh pole sana profesa j kweli nilazima umie kaka

  • @samwelnyabasi5569
    @samwelnyabasi5569 6 лет назад

    Prof jay big up bro nakukubali sanaaaaaa from Nairobi kenya

  • @obeymollel9537
    @obeymollel9537 6 лет назад

    Ee Mungu utuondolee siasa za kipuuzi zisizo na muelekeo Amen

  • @yohanamaugila743
    @yohanamaugila743 6 лет назад

    Mungu awabariki sana pamoja na Dr lisa

  • @ismailchilonga2878
    @ismailchilonga2878 6 лет назад +7

    Congulation wasafi media mko vizuri xaana

  • @maryammeme2615
    @maryammeme2615 6 лет назад +32

    Wasafi media the best just in this short time

  • @jaycee9067
    @jaycee9067 6 лет назад +1

    Prof Jizzo! The master! One love brother💪

  • @mortishavida2273
    @mortishavida2273 6 лет назад +6

    Yoooo! Man prof pole Sana kabisa. Naskitika kabisa. Huu ni unyama kabisa !!! Kubomelewa nyumba uliojenga miaka 15? Na hukupewa malipo? Ayayayayaaaaaa!!! Pole Sana kabisa mzeee

  • @smrmb76
    @smrmb76 6 лет назад +1

    Salute professor jay you still the great of our time

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 6 лет назад +3

    Pole sana kwa kubomolewa nyumba yako

  • @thoyarashid5782
    @thoyarashid5782 6 лет назад +9

    Ana bibi mzuri mashallah

  • @nailaniyonkuru5718
    @nailaniyonkuru5718 6 лет назад +6

    Mke wake muzuri man shaa Allah.

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 6 лет назад +2

    Nooo! Sijapenda sana walipoelezea hiyo ishu mbele ya Lisa. Ilikuwa Birthdei yake....I mean its ok kwao cuz wameongea japo shemeji hasahau....talk to Lisa too kaka. It was her day. Sijapenda.

  • @mainangatia1063
    @mainangatia1063 6 лет назад

    Kazi nzuri proffesa, 🇰🇪

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 лет назад +8

    Mahakama ya Tanzania ni vichekesho! Ndio muhimili tunaouamini na kuuheshimu ila hautendi Hali, kwa Nini waje kuvunja hao wa barabara wakati mahakama ilisema stop kwanza? Ilitakiwa isimamie Sheria yake hapo walichemsha. Prof pole sana, Mungu atakulipa haki yako😁🙄🙄🙄 Dr Lisa karibu kwenye fani tulisukume ghurudumu

  • @domydocta.
    @domydocta. 6 лет назад +10

    Mahala pake safi sanaaa

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 лет назад

    pole sana kaka kukuludisha nyuma mungu yupo nawe utapata zaidi ya hiyo

  • @hadija846
    @hadija846 6 лет назад

    Da inasikitisha sana haya yaliyomkuta yote ni kwa ajili yupo Chadema hatari sana pole sana my dear 😘

  • @mulwamaiyu4140
    @mulwamaiyu4140 5 лет назад

    Day care initiative so amazing I love it

  • @francistsii7885
    @francistsii7885 6 лет назад

    Pole Bro God be with u hongera u not put blame on person

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 6 лет назад

    Poa xna J mungu akupe mwangaza zaidi na zaidi

  • @lameckadamu1198
    @lameckadamu1198 3 года назад +1

    Limenigusa la nyumba vibaya pole jay

  • @bothinabothina3603
    @bothinabothina3603 6 лет назад

    Kiukweli nakupenda sana pamoja na miziki yako

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 6 лет назад

    mungu ni mwema wote waliovunjiwa mungu atawapa

  • @happinesschristopher10
    @happinesschristopher10 6 лет назад

    #BLESSED PTOFJZ POLE SANAA KWA MTIHANI WA KUBOMOLEWA NYUMBA

  • @jaquilinekivunge331
    @jaquilinekivunge331 6 лет назад

    Mungu awabariki familia yenu

  • @dinakidai4118
    @dinakidai4118 6 лет назад

    pole Sana kaka Joseph duu kubomolewa nyumba

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 лет назад +2

    PROFESSA THE UNDEFEATED MYWEATHER MC...

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +16

    Mashallah, tunawapenda pia, good show, *Tumewashaaa*

  • @kihangasper
    @kihangasper 6 лет назад +10

    Respect bro

  • @nicksonmlugu2610
    @nicksonmlugu2610 6 лет назад

    Poleh kaka lakn utapata nyumba nyngn

  • @kennedymaende5297
    @kennedymaende5297 2 года назад

    Kolabo yake na Nonini ni Moto bin 🔥

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 5 лет назад

    Walikosea Sana,na kubomolewa hiyo nyumba ndo imesababisha Prof J asihamie kabisa CCM.lla poa karibu Sana ccm

  • @Barrydauda
    @Barrydauda 5 лет назад

    Sijui huyu jamaa hua nampendea nini,Maana namkubali kuliko kipimo cha kawaida...nilianza kumsikiliza toka 1999 nikiwa std5,mpaka sasahivi ni baba wa watoto 2 lakini sijawahi kuwa dispointed nae...this is a true genius of artist....
    Pia nimependa hii style yenu wasafi,mnatupa burudani huku tunapata ujumbe kupitia maelezo..big up producer wa kipindi hiki.
    Hongera shemeji yetu,hakika ww.ni mvumilivu.

  • @agaaah6697
    @agaaah6697 6 лет назад

    uko vzr sana jay

  • @gemkachar
    @gemkachar 6 лет назад

    Prof J, Naomba utunge nyimbo za kumsifia mke wako. Naona bado anaumwa sana.

  • @hawazinga1852
    @hawazinga1852 6 лет назад +1

    Kweli maisha ynabadlika

  • @gilbertgozibert801
    @gilbertgozibert801 6 лет назад

    a humble brother.

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 лет назад +14

    Nice Project

  • @aizohimself8537
    @aizohimself8537 6 лет назад +2

    Heavy weight MC
    One Love sanaaaaaaaa

  • @mussatendeli6909
    @mussatendeli6909 6 лет назад +11

    Gonga like kama umemuona mkurungezi wa Wcb.

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 6 лет назад +11

    polee sanaaa profesa jey

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 6 лет назад

    pamoja prof j nakuelewa vzur nishanunuaga machoz jasho na dam tape album

  • @zaharanihassan9013
    @zaharanihassan9013 6 лет назад +6

    **USHAURI** **KAMA MBUNGE SASA SISI WANANCHI TUNATARAJI TUJIFUNZE KWAKO TABIA NA MAADILI, NIKUOMBE UKIWA UNAENDELEA NA MUZIKI, HAKIKISHA HUACHII NYIMBO AMBAZO DANCERS WAKO UCHI KWANI JAMII NYINGI WANAKUANGALIA WAKIWA NA FAMILIA ZAO, (by mtazamo, well come UDSM_DUCE))

  • @geraldkweka2073
    @geraldkweka2073 6 лет назад

    Tz bado sana one day ntakosoa nchi yangu naipenda sn tz naipenda ila meng hatuend xwa

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 6 лет назад

    Imenigusa sana kwakweli maisha tu haya

  • @avelynesteven9500
    @avelynesteven9500 6 лет назад

    Nakubali sana

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 6 лет назад +4

    Kiukwel nimeumia sana tena sana.
    Kwa hili bora tu nihame chama hamna jinsi.

  • @prospermpangala1828
    @prospermpangala1828 6 лет назад

    18:42 hii body language ya huyu madam hapa, mmmmh....

  • @seifmdigo2772
    @seifmdigo2772 6 лет назад

    Nakukubali mzazi

  • @karimhemed9261
    @karimhemed9261 6 лет назад +1

    WASAFI MEDIA... 🔥👊🙌

  • @almachusrobert9859
    @almachusrobert9859 6 лет назад

    Mungu ndo mpaji

  • @yusuphmnyamani8571
    @yusuphmnyamani8571 6 лет назад +3

    vzuri sana ni jamb la maendeleo ktk taifa cause unainua na kuongeza idadi ya wasomi nchini

  • @asnakudra13
    @asnakudra13 6 лет назад

    ongera sanaa

  • @imanuelymrema3537
    @imanuelymrema3537 6 лет назад +1

    Show
    Love

  • @ziadahhassan2001
    @ziadahhassan2001 6 лет назад

    Nakukubali sana toka kitamboo

  • @EricBreezzManyota
    @EricBreezzManyota 6 лет назад +3

    Legend

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 лет назад +8

    Wasafi tv 📺 niyakimataifa

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 лет назад +6

    Safi sanaaaaa

    • @deboramrema2861
      @deboramrema2861 6 лет назад

      Pig up sana kaka Mungu atakupa nyumba nzur kuliko hiyo kila jambo linalotekea kwenye maisha lina sababu kubwa Mungu akubariki akulinde ww na familia yako

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 лет назад +1

    😂😂😂kweli pombe noma ukachukua mchepuko ukampelekea mama wa mtoto wako hatari sana dia gambe

  • @Obeddy1
    @Obeddy1 6 лет назад

    So inspiring

  • @zamoyonmaulid953
    @zamoyonmaulid953 6 лет назад

    Big up prof Jize