P Mawenge feat Shakeys - Sitaki (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 176

  • @BeyCategory
    @BeyCategory 3 месяца назад +6

    Nyimbo nimerudia mara3 @pmwenge kwangu ndo masnii bora wangu was hip-hop Luna kipind nilikuwa na stress nikasikiliza ngoma zake ndo zikanifanya nikae sawaa

  • @richardmandia-ni1rp
    @richardmandia-ni1rp 3 месяца назад +6

    Brother P yani utapenda tu kumsikiliza , na uyu madam Shakeys ajachezea nafasi kabisa,. Whoufff 💨

  • @binmasoudTz
    @binmasoudTz 2 месяца назад +1

    Wa bongo tuachie njia jamaa huyu mwamba inabid awe na sanamu lake kweny makumbusho ya HIPHOP tz.

  • @ameritjustin3497
    @ameritjustin3497 3 месяца назад +4

    I don’t understand kiswahili, but I swear to God I love your music (Tz music) best rappers are there. 256 representing

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 месяца назад +8

    Huyu ni mwana Hip Hop wangu bora wa muda wote

  • @SaidMkome-q5t
    @SaidMkome-q5t 2 месяца назад +2

    P uyo mtoto kipaji pambana nae ametendea nyimbo aki🔒

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 3 месяца назад +1

    Shakeys kapita kwenye melody za Konde, ana kitu huyu Dada

  • @saidkingazi4799
    @saidkingazi4799 Месяц назад

    Nime drive kutoka Lushoto mjini kwenda Bumbuli mgwashi (wagosi wa huku wanajua)
    Nimeskiliza hiyo nyimbo njia nzima mana hiyo ni situation ninayopitia kwa sasa 😮

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 3 месяца назад +4

    Ngoma Fire sana pamoja sana Home Boy bila kumsahau Madam Shakey's kaitendea haki kazi imekuwa kubwaaa🎉🎉🎉

  • @SophiaMiraji-h2w
    @SophiaMiraji-h2w 3 дня назад +1

    Huyu ni msanii bora wang sana

    • @PMawenge2018
      @PMawenge2018  2 дня назад

      @@SophiaMiraji-h2w 🙏🏾🙏🏾😊

  • @bashashatvmedia_79
    @bashashatvmedia_79 3 месяца назад +1

    Pongezi sana kwako mwamba hii Ngoma yamoto pia huyo Dem ana talent kubla sana

  • @laxmajor
    @laxmajor 3 месяца назад +2

    P mawenge 😍

  • @langpoison
    @langpoison 3 месяца назад

    🔥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏿

  • @davidjob2118
    @davidjob2118 3 месяца назад

    Big up P... Kazi imesimama🔥🔥🔥 Heshima kwako director Lam, Kichupa kimetulia..

  • @NicksonRajab
    @NicksonRajab 3 месяца назад +6

    Kali sana p mawenge nakukubal siku zote, like za wakenya twenden teke teke 🇰🇪🇰🇪

  • @G-meJames
    @G-meJames 3 месяца назад +1

    Mawenge we mtu+
    Halafu umemleta Mox man

  • @MintangaBashiru
    @MintangaBashiru Месяц назад

    Salute 🇹🇿 mawenge
    Tunakubali kaz zenu masela

  • @PatrickpPaul
    @PatrickpPaul 3 месяца назад

    Hit tu💥💥

  • @jacksonimwasoni2510
    @jacksonimwasoni2510 3 месяца назад +1

    Ngoma kaliiiiiii

  • @KileoTv
    @KileoTv 3 месяца назад

    Kiwalani Kid🔥🔥🔥

  • @swagaton-ke
    @swagaton-ke 3 месяца назад +2

    I love the vibe bro this is amazing 💯much Love from🇰🇪

  • @Best_tz
    @Best_tz 3 месяца назад

    Nice song 🎉🎉🎉

  • @festopaul7549
    @festopaul7549 3 месяца назад +1

    Huyo dada kapita vizur sana🙌🙌p mawenge kama kawaida katisha ngoma Kali🔥🔥

  • @edwinfelix6298
    @edwinfelix6298 3 месяца назад +1

    I wish hii ngoma ifike mbali sana🎉

  • @ElishaNgesi
    @ElishaNgesi 3 месяца назад +1

    Content kali bro mawenge

  • @ibrahimmzito390
    @ibrahimmzito390 3 месяца назад +3

    kumeanza kuchangamka sasa dude la kwenda kabisa 💫

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 3 месяца назад +2

    Salute kwako broo ufundi mwingi Sanaa akili kibwaa sanaa

  • @imraniside4327
    @imraniside4327 3 месяца назад

    Weeeeeeeeeeeeeeeee nge

  • @babahaytham5611
    @babahaytham5611 3 месяца назад

    Mzee Taikun

  • @Alegria_doPovo
    @Alegria_doPovo 3 месяца назад +1

    Hii beat 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 3 месяца назад +1

    Mawenge mzee wakutupea burudani

  • @masterpain
    @masterpain 3 месяца назад +1

    Ni mazishiiiiii

  • @dejackoog8054
    @dejackoog8054 3 месяца назад +1

    Wengeeeeeeeeeee

  • @superdrugtz
    @superdrugtz 3 месяца назад +2

    Mr.P... G.O.A.T

  • @akramikram8364
    @akramikram8364 3 месяца назад +2

    Mwamba anajua sana 💪💪💪

  • @EmmanuelKabigi
    @EmmanuelKabigi 3 месяца назад +1

    Mawenge kwenye swala la content ni mnoma gonga like

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 3 месяца назад +1

    Mbona hii Ngoma Kali sana❤

  • @SaLo_BabChacha
    @SaLo_BabChacha 3 месяца назад +1

    🇰🇪Kali Sana Mwamba 🔥

  • @erickodhiambo6994
    @erickodhiambo6994 3 месяца назад +1

    Message

  • @nyumbumjanja
    @nyumbumjanja 3 месяца назад +1

    Good message blood 💯 #pmawenge

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 3 месяца назад +1

    Mawenge mkali ila huyo dem nae cmjuh ila kaua kubabake🎉

  • @caidobeats
    @caidobeats 3 месяца назад +1

    Masterpiece💯

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 3 месяца назад +1

    Ngoma Kali sanaa

  • @Jukwaa-7
    @Jukwaa-7 3 месяца назад

    Emmmmm.hii yenyewe

  • @HashimMuhombo
    @HashimMuhombo 3 месяца назад

    Kali sana mwanangu 👍🤛

  • @musaMigo
    @musaMigo 3 месяца назад

    Unajuwa p mawenge verse to verse

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 месяца назад

    Oya wenge,HII NGOMA KALI SANA MZEE

  • @HamisiHamisi-xo2uo
    @HamisiHamisi-xo2uo 3 месяца назад +3

    Siwez fanya revenge

  • @bktvonline2043
    @bktvonline2043 17 дней назад

    Kazi nzuri sana 🥰🥰🥰

  • @kpmthehistory6593
    @kpmthehistory6593 3 месяца назад +3

    nakubal mzee from BURUNDi

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 3 месяца назад

    P the Mc mdundo drill kiplan🔥

  • @stuartnjalika9562
    @stuartnjalika9562 3 месяца назад

    Real hip hop here 🔥

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 3 месяца назад

    Ila huyu demu ni fire hatariiii

  • @barakanuni4120
    @barakanuni4120 3 месяца назад +1

    Daaaah mawenge UMETISHA👐🏾👐🏾👐🏾👐🏾👐🏾👐🏾

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 3 месяца назад

    Ngoma kali sana ❤❤❤🎉 eh bwana daaah 🔥🔥🔥🔥

  • @WonderMusicTz
    @WonderMusicTz 3 месяца назад +2

    Kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @TummyAbdul
    @TummyAbdul 3 месяца назад +1

    🔥❤️

  • @AbelZephania
    @AbelZephania 3 месяца назад

    Noma sana 👊

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 3 месяца назад +1

    From 🇰🇪 Pmawenga 🎉Shakeys unajuwa sanaaaa 🔥

  • @AlexMwambungu
    @AlexMwambungu 3 месяца назад

    P on fire 🔥🔥

  • @empafricatv
    @empafricatv 3 месяца назад +2

    P anajua

  • @johnmpagama2424
    @johnmpagama2424 3 месяца назад

    Hii inaendana na wakati kabisaa
    Yes... Kali sana

  • @Jayninetythree
    @Jayninetythree 3 месяца назад

    Great work, my favourite

  • @RifatiJeshi
    @RifatiJeshi 3 месяца назад +1

    Kiwalan Bombrox!

  • @kaJEMBEvip
    @kaJEMBEvip 3 месяца назад

    Inabidi ipande kwenye topten zaoo....

  • @Gastardmt
    @Gastardmt 3 месяца назад

    Bro unyama mwingi hii Ngoma uhakika

  • @benjaminroy7612
    @benjaminroy7612 3 месяца назад

    Shakey's sema Kwenye intro kidgo kazingua Bro P Mawenge ungeruka nayo intro hapo- kidg Ngoma ingevibe more🙏

  • @JoradnSolomoni
    @JoradnSolomoni 3 месяца назад

    Noma sana mwanangu kama ngoma yete

  • @gwamakamwangwembe
    @gwamakamwangwembe 3 месяца назад +1

    Nakubaliii bro🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LeviJohn-yn8nm
    @LeviJohn-yn8nm 3 месяца назад +1

    Best rapper

  • @GenoDc_255
    @GenoDc_255 3 месяца назад

    Weeeeeeeeeengeeeeee🙌🙌🙌🙌

  • @plusfestor
    @plusfestor 3 месяца назад

    noma sana 💪💪

  • @mcbartonkesh3664
    @mcbartonkesh3664 3 месяца назад

    Watching from Kasulu to Kigoma 💥💥💥💥

  • @Georgevasco-ld8be
    @Georgevasco-ld8be 3 месяца назад +1

    Wengeeeee🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @jamespilimo8986
    @jamespilimo8986 3 месяца назад

    Bonge la ngoma mwanangu P,big up❤

  • @ambakisyemwakifyogo2144
    @ambakisyemwakifyogo2144 3 месяца назад

    Safi sana nadhani sasa muelekeo ni mzuri sana huyu Binti yuk vizuri anavoice . Goog good.

  • @talaakipturu3665
    @talaakipturu3665 3 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥TUMEKUBALI🔥🔥

  • @khalidzayan-zh3bd
    @khalidzayan-zh3bd 3 месяца назад +1

    Kwel❤

  • @emmanueljuma5851
    @emmanueljuma5851 3 месяца назад +1

    Kali sana

  • @musapaul3598
    @musapaul3598 3 месяца назад +1

    nomaaaa

  • @Boshatz
    @Boshatz 3 месяца назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @oscarclassc
    @oscarclassc 3 месяца назад

    Tuondokeeee , mawengeeee

  • @sanaanamaisha
    @sanaanamaisha 3 месяца назад

    Hongera sana kaka

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 Месяц назад

    Good job brother

  • @uchebechata9823
    @uchebechata9823 3 месяца назад

    Kiwalani kidd 🎉🙏🙏🙏

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 3 месяца назад +2

    Sina cha kuongea

  • @YCBSALOON-ev4wk
    @YCBSALOON-ev4wk 3 месяца назад

    Oy bro kazi nzuri

  • @Bizzy176
    @Bizzy176 3 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥jiweee

  • @officialrickdee
    @officialrickdee 3 месяца назад

    Sitaki🌏🔥🔥🔥

  • @Gomsrap
    @Gomsrap 3 месяца назад +1

    Mawengeeeeee 🔥🔥🔥

  • @godmanmlokozi1254
    @godmanmlokozi1254 3 месяца назад

    P mawenge kichwa kazi aisee 🔥🔥🔥

  • @yusuphmtuga4951
    @yusuphmtuga4951 3 месяца назад

    Mambizi ndyo nini unazngua

  • @Theone12673
    @Theone12673 3 месяца назад +2

    Tunangoja collabo yako na khaligraph mwana,,,,ila hii pia umeuwa🔥🔥🔥💪

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth 3 месяца назад

    Maweeeeeengeeeee

  • @simonpetro3896
    @simonpetro3896 3 месяца назад

    Dada yangu shakiraaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IDASKAS
    @IDASKAS Месяц назад

    Bro🎉

  • @mapstz9046
    @mapstz9046 3 месяца назад

    Shakeys mim shabiki ako number moja haujanifelisha asee,wengeee

  • @Manzonzo
    @Manzonzo 3 месяца назад

    Kaka 🙌🙌🙌🙌

  • @johnsonchussi2297
    @johnsonchussi2297 3 месяца назад

    Ngoma kali sana haichoshi kuisikiliza

  • @pechuphilmskh5586
    @pechuphilmskh5586 3 месяца назад +1

    💥💥💥🔥🔥🔥🔥