Dakika 10 Za Maangamizi : P The MC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 250

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 6 лет назад +2

    Mb hazijaaribika bure hv p the mc unatokea mkoa gani vile fanya kulike mzee babaaaaa

  • @mosesabwao2673
    @mosesabwao2673 5 лет назад +6

    any artist from Tamaduni Music,, hawatuangushi kwenye kumi za maangamizi,,,one love from 254

  • @gitegagitega6543
    @gitegagitega6543 4 года назад +1

    Hadi 21/11/2020nii njoy nikiwa🇧🇮🇧🇮🇧🇮 p mawengeee p the mc noma naitwa HAKIZIMANA Eric hapa nipo igunga

  • @jeremiahmabula4837
    @jeremiahmabula4837 7 лет назад +29

    hadi unafurahia kutumia mb zako. Big up kwa P the Mc jumong

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 7 лет назад +10

    Afanani Hata mchanaji Ila saaa,ukimsikia radion lazima ngoma zake uzirudilie mara 10 Ivi P u the best line zko ni.........

  • @michaelmwinuka5087
    @michaelmwinuka5087 6 лет назад +10

    Wow kizazi sana p the mc ohm boy
    Kam ww umeipitia hii 2019

  • @mrmajaz4449
    @mrmajaz4449 7 лет назад +4

    Big up P the mc kwa michano mikali, kuliko kupewa dk 10 na kuchana freestyle uchwara bora utoe vitu vikali katika maktaba ya kichwa chako ila ueleweke .....nakuelewa kitambo Jumong P the mc.

  • @jerrymwaikambo518
    @jerrymwaikambo518 7 лет назад +39

    mzee wa baba msaliti, ni mimi tu au kuna mwingine ambaye anamkubali P the MC kwa ile track. Jamaa ana mistari mikali na flow ya kibabe kinoma

    • @msangijr660
      @msangijr660 7 лет назад +1

      P mwenye ndoto za kupiga show kwenye Bama land

  • @eduardobabou3022
    @eduardobabou3022 2 года назад +1

    Nimekua kupenda anachokifanya p the mc ....haforce kazi rap imekubali ♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @mtongorimasyaga9661
    @mtongorimasyaga9661 6 лет назад +1

    P the MC huyu jamaa kwel n MC Ebu Wafundixhe haooo wasioelewa Maana y MC Tisha sanaa My kaka.....

  • @gitegagitega6543
    @gitegagitega6543 5 лет назад +5

    P the mc kaua Sana natamani huku kwetu Burundi micongo kamaio ifanyike( dura )(JR)(FIFI)Saluti kwenu

  • @antonymngambwa6485
    @antonymngambwa6485 3 года назад +1

    2021 Niko hapa nasikiza rhymes bars na vocals zinvyorogwa na P the Mc kwenye M.I.C.🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kwataunit8196
    @kwataunit8196 7 лет назад +25

    One Of The Best Aisee, Jamaa anajua sana Kubikiri Beats yani utasema zinamfata yeye kumbe Ufundi Tu Big Up Smart Boy P The Mcee

  • @westonmagnas4168
    @westonmagnas4168 7 лет назад +3

    respect bro umezifanyia haki dk 10 za maangamizi

  • @promisephilipo8655
    @promisephilipo8655 6 лет назад +2

    Anajua sana P the mc mb zangu hazijaenda bure

  • @kambonamajaliwa4677
    @kambonamajaliwa4677 6 лет назад +1

    Naikubali sana ngoma ya BABA MSALITI NA WANANGU ni mkali huyu jamaa

  • @petermwambito2339
    @petermwambito2339 5 лет назад +24

    Kama Bado unaitazama 2019 gonga like Hapo Chini 254

  • @hustlerconnected3986
    @hustlerconnected3986 7 лет назад +2

    Verrrrrrryyyyyyy Dope.... kATUMIA DAKIKA ZAKE KWA UHAKIKA

  • @musicandfootballfans3368
    @musicandfootballfans3368 7 лет назад +68

    weka likes kama umemkubali p kaua ile mbayaaaa

    • @eliaslusana1908
      @eliaslusana1908 7 лет назад +1

      tanzania son ŚÁŃÁ ŤÚÚ
      ÚŚiPo MĶÚßÁĹi P ŴŔŴĔ ÚŤÁĶÚÁ Ńi mwanga

    • @darlintonmisanya9729
      @darlintonmisanya9729 5 лет назад

      Nakubal p k.y .mc apa bombom kwa nguo fundi

  • @felixkilave9171
    @felixkilave9171 7 лет назад +5

    hawa watu kama Hawa huwa wananifanya hata nikiwa na safari niipotezee ili niwasikilize big up p the mc

  • @nassoromaduhira8480
    @nassoromaduhira8480 7 лет назад +16

    P the MC your the one best mc in east Africa

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 7 лет назад +9

    no#1 ni nikki mbishi {GENIUS} by the way p the mc mkali wa vina pacha tz

  • @williamsamson2988
    @williamsamson2988 7 лет назад +9

    loud and clear unasikia mstar kwa mstar miinato nzuri

  • @petermwambito2339
    @petermwambito2339 5 лет назад +3

    super 🌟 🌟 🌟 P The 🌟 mc
    Underground MBeya Boy chuma hawa ndo wametisha kwenye Dakika kumi za maangamizi
    Kama unakubaliana na mm drop like +254

  • @raymondbashaka5948
    @raymondbashaka5948 4 года назад +1

    mchizi yuko vizuri, before nilikuwa nikisiliza rymes zake nilikuwa namfananisha na NIKI MBISHI

  • @ricaldocovers2311
    @ricaldocovers2311 6 лет назад +2

    p the mc umetisha sana

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 7 лет назад +5

    P THE MC anaandka safi saanaa yan😁😁😁💯🆙

  • @miltonemusumbah2544
    @miltonemusumbah2544 6 лет назад +3

    8/10 punchlines zina uzito wa aina yake

  • @oliveryclemence9405
    @oliveryclemence9405 7 лет назад +5

    It's real supervoice and highpitch Mc in the HipHop Industry!!!

  • @wilsonmcs3369
    @wilsonmcs3369 6 лет назад +4

    P the MC
    Wachunguze sana marafiki

  • @barcarynzory1994
    @barcarynzory1994 7 лет назад +5

    P the MC....so comfortable on em beatz

  • @j-lisheonline
    @j-lisheonline 7 лет назад +8

    moja kati ya dakika 10 kali sana kusikiza, p the mc kauaaaa

  • @hamisinanyata1237
    @hamisinanyata1237 6 лет назад

    Duuuuuuuuh p we ni moto wa kuotea mbali jombaaaa yan umewakalisha wooote

  • @mahamedriffa1062
    @mahamedriffa1062 7 лет назад +17

    HAKIKA NAWAELEZA
    HAKUNA MC MZURI KWA MICHANO MIKALI
    NA MASHAIRI MAZURI. TENA MASHAIRI YENYE VINA VIKALI. KAMA HUYU P THE MC... HAKUNA TANZANIA NZIMA...NAMAANISHA... TAFADHALINI KWA HESHIMA TA PLANET BONGO. MPENI NAFASI TENA.... MAANA NIRAHA SANA KUMSIKILIZA...

  • @zompasevenludovick51
    @zompasevenludovick51 7 лет назад +13

    Asante p ze emcee...Songa ana chakujifunza hapo

  • @jitumainacosta3572
    @jitumainacosta3572 4 года назад +1

    Nomaa sana mzee

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 3 года назад +4

    Comfortable on the beat,good delivery best,kupanga content iko sawa kabisa, P noma 🇰🇪💪

  • @benjabomphe5166
    @benjabomphe5166 4 года назад +1

    Oya wazee hakuna Kama hii, hii ni best dakika 10 ever

  • @amahhhehijaa8988
    @amahhhehijaa8988 3 года назад

    Nakukubali kaka....

  • @LewisKinyua-m8w
    @LewisKinyua-m8w 7 месяцев назад

    Real p mc is dah best rapper bongo even if promo mwambania# craiz

  • @andrew-kitwanambogger8242
    @andrew-kitwanambogger8242 4 года назад +4

    Kiwalani is in the building💪💣

  • @elimukwetu6991
    @elimukwetu6991 6 лет назад +1

    Moja ya ma MC huwa sichoki kumsikiliza ni P the MC Mawenge. Heshima kwake Mkuu

  • @benjabomphe5166
    @benjabomphe5166 4 года назад +2

    hii huwa nairudia sana nadhani ndiyo dakika 10 bora zaidi kuangamizwa, kama ipo nyingine kali kupita hii sema hapa

  • @nickherman4
    @nickherman4 7 лет назад +1

    P the mc umetisha sana
    mlete Zaiidi pia

  • @HamAmbuka-cg4fj
    @HamAmbuka-cg4fj 11 месяцев назад

    🎉🎉🎉 my favorite rapper 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @uniqueboytz3770
    @uniqueboytz3770 4 года назад +1

    Uyu jamaa Ni 💥💥🔥🔥

  • @saidriphat3491
    @saidriphat3491 7 лет назад +1

    Noma Sana hii haijawahi kutokea Sele namvua taji Hile taji lipo ni la P the MC

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 лет назад +1

    P the mc ametulia sana, ninamwelewa zaidi

  • @lwimikoevans3118
    @lwimikoevans3118 5 лет назад +2

    Best of the best

  • @mpaligwajunior7835
    @mpaligwajunior7835 5 лет назад

    Nasikilizaga tuuu sijawai kucoment laki nimejua mwana anajua sana p the mc 🙏🙏🙏🙏 unajua mzee

  • @tumaindaniel7907
    @tumaindaniel7907 7 лет назад +1

    P ze mc noma sana uandish wako nauelewa sana

  • @thomasulungi4844
    @thomasulungi4844 6 лет назад +1

    Asanteeee! Sichoki kukusikiliza. Big up sana

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp 4 года назад +1

    PAMOKOOOO SANAAA P MAWENGEEE P THE MC KAAA KAZAA

  • @calvinloth5356
    @calvinloth5356 7 лет назад +9

    mnaweka video zenye quality ndogo..fanyeni kuweka HD .. these are good memories
    .. big up

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 7 лет назад

      calvin loth sure hata siku ukidanja lazima turejee hapa

  • @brisketkidari1623
    @brisketkidari1623 7 лет назад +1

    1)nakukubali sana
    2)unajua sana
    3)umetulia na beat
    hadi beat inakufata ww
    4)umelifunika kundi lko lte
    5)hvyo unavyo itembea hyo
    beat hakuna hata 1 kti ya walopita alokufikia
    6)dj omi 2namtaka na zaiid hpa
    7)yngu ni hyo big up p th mc
    ww unajua ila amini 1day yes

  • @josemeindrady4491
    @josemeindrady4491 7 лет назад +1

    mkali mkali tu,hatari namtagi tu
    P....

  • @andrew-kitwanambogger8242
    @andrew-kitwanambogger8242 7 лет назад +7

    U already know that brom bronx is in the house man 🙌🎤😂😂

  • @naikenivoxmboya8970
    @naikenivoxmboya8970 7 лет назад +3

    mwanang p huja niangusha big up umeumizaaa

  • @francisngonyani2755
    @francisngonyani2755 4 года назад +4

    much respect bro!!!

  • @emmibrangitili7754
    @emmibrangitili7754 4 года назад +1

    P mawengeee 2020 naichek tena

  • @dickymutai5048
    @dickymutai5048 2 года назад +1

    Mistariii inaflow

  • @yusuphmkwama1013
    @yusuphmkwama1013 6 лет назад +1

    Tisha sana boy chuma

  • @promramson80
    @promramson80 7 лет назад +1

    nice man... songa alimbwanda knazi

  • @norascombedule1057
    @norascombedule1057 7 лет назад +3

    nmeipenda xaana

  • @obaranchasemmanuel3713
    @obaranchasemmanuel3713 7 лет назад +20

    Big up P the MC
    Nainjoy kusikiliza hii kila siku
    1. P the mc
    2. Nikki mbishi
    3. Hidary scoda
    4. Young killer
    5. Moko wa miujiza & Fid q

  • @mussadembelle1282
    @mussadembelle1282 7 лет назад +20

    P the mc wakorea wana muita Ju mong

  • @ramadhanbahari6594
    @ramadhanbahari6594 4 года назад +1

    Sana tuuh p the mawenge

  • @leonardyona1462
    @leonardyona1462 7 месяцев назад

    Jamaa ana flow punch line natural kabisa..

  • @augustinowilliam7453
    @augustinowilliam7453 5 лет назад

    daaahh anajua sana meanangu from lunduno

  • @christiankened211
    @christiankened211 6 лет назад +4

    bruh this is one form of 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hip hop

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 7 лет назад +1

    pthe mc mistari kama unakopy kwenye kitabu then kila beat unaenda nayo kama yako u are unique bro keep it up

  • @wakutingwa.1635
    @wakutingwa.1635 2 года назад

    Baba msaliti.

  • @godrickmigella9451
    @godrickmigella9451 7 лет назад +1

    Umetisha sn P

  • @lodrickvungwa7783
    @lodrickvungwa7783 6 лет назад +1

    P waonee huruma maMC wanaobebwa bwana

  • @kingkolla8521
    @kingkolla8521 6 лет назад +2

    Best mcee

  • @praymwalu
    @praymwalu Год назад

    Naomba namba ya p mawenge kwa yule AMBAYE ANAWEZA KU CLOSE NAYE

  • @alphoncemubago3409
    @alphoncemubago3409 5 лет назад +2

    The underrated P the MC aka Sumu ya Rap

  • @browntiger4849
    @browntiger4849 5 лет назад +1

    P mkali ✌💪

  • @onegifted1348
    @onegifted1348 5 лет назад +1

    Hatari sana

  • @justinmapunda7593
    @justinmapunda7593 5 лет назад +1

    P mc mkn datz hip hop

  • @edwardnyihande2988
    @edwardnyihande2988 7 лет назад +6

    Aisee Huyu jamaa hajulikani sana ila yupo vizuri sana kiuandishi, kuimba, Kuflow na bit

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 7 лет назад +1

    p ninyoko sanaa tunataka hivi.. sio freestyle zenu kelelee tuu....

  • @williamsamson2988
    @williamsamson2988 7 лет назад

    loud and clear unasikia mstar kwa mstar ninato haichosh

  • @barcarynzory1994
    @barcarynzory1994 7 лет назад +1

    Unajua bro.....the story teller.

  • @charlesnghwaya1619
    @charlesnghwaya1619 3 года назад

    Nani anamsikiliza fundi wa Rap 2021

  • @harunahussein6717
    @harunahussein6717 7 лет назад +1

    Namsubir country boy kwa hamu

  • @yusuphmkwama1013
    @yusuphmkwama1013 7 лет назад +1

    Nakubaliii sana

  • @dickymsafi4144
    @dickymsafi4144 7 лет назад +1

    p mc nomaa brother

  • @andrewmulongo3087
    @andrewmulongo3087 6 лет назад +1

    p the emcee ni msanii hatari sana

  • @InstructITWise
    @InstructITWise 5 лет назад +1

    dah uyu jamaa anajua sanaaa an daah!. iyo beat alioimbia mwanandoa ni ya nani wakuu kuanzia dakika ya 8:46

  • @josephryoba9136
    @josephryoba9136 6 лет назад

    Jr Junior Leo hauko fine mbn huna vibe

  • @dullahyorecod777
    @dullahyorecod777 5 лет назад

    Imetuli ile mbaya bro

  • @makiwasuleyman9233
    @makiwasuleyman9233 7 лет назад +2

    Dakika kumi za maangamiz ambazo baada ya kuziangalia nikarudia kabla sijarudia na kurudia tena na hii na ya youngkiller

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 2 года назад

    Mawenge!

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 7 лет назад

    duuh wee jamaa umetisha mpaka bas

  • @khamisgwasta3332
    @khamisgwasta3332 6 лет назад +1

    dis man no 1

  • @salimgeyana7547
    @salimgeyana7547 6 лет назад

    Pacha wa NASH madina...Rapper toka kusin juu...TAMADUNI MUSI FOUNDATION.

  • @giftelia5535
    @giftelia5535 5 лет назад +1

    P the MC
    You are the healer

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 5 лет назад

    Jamaaa bits Kama zote kauaaaaaaaa Kama zakwake

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 7 лет назад +1

    mitaa nayotokaaaaaa p the mc hatari sana