DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI : BOSHOO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 771

  • @dastanherman.kingdicetv1840
    @dastanherman.kingdicetv1840 7 лет назад +229

    boshoo kawafunika wote waliowahi kuja apo kwenye dakika kimi kama unakibali gonga like twende sawa sema bosho ninjaaaa

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 7 лет назад +20

    hizo dakika kumi nipeni na mimi!! kwann lkn tunabaniana dulaaa!! boshooo ninja,, kwa punch hizo!! me siachi kutunga kila siku!! fireeeeee

  • @kennedyjames9786
    @kennedyjames9786 7 лет назад +93

    Boshoo ninja kaangamiza mpaka kapitiliza......itapendeza zadi nikimtunuku cheo cha Amiri jeshi mkuu wa East Africa Radio dakika 10 za maangamizi..

    • @saidollar_Iv
      @saidollar_Iv 4 года назад +1

      Bishooo Ninja Balaa La Dar Mpaka Tanga

  • @mohamedabdallah7526
    @mohamedabdallah7526 5 лет назад +148

    Hahaha😂😂😂 walio angalia hii video zaid ya mara 3 like hapa tujuane 💥💥💥🙌🙌

    • @kopawisdom8112
      @kopawisdom8112 4 года назад +2

      Huyo dogo nomaaaa🔥🔥🔥🔥

    • @coreyluka9124
      @coreyluka9124 3 года назад

      Pro trick: you can watch movies at Flixzone. I've been using it for watching a lot of movies these days.

    • @byronellis7503
      @byronellis7503 3 года назад

      @Corey Luka yea, have been using Flixzone for since november myself :)

    • @mbakepete2153
      @mbakepete2153 Год назад +1

      Mara kumi

    • @geofreysadok4823
      @geofreysadok4823 Год назад +1

      Nimerudi tena😂

  • @mcwaya
    @mcwaya 7 лет назад +12

    Jamaa kanifanya naitikia anavyowaimbisha hapo studio usiku wote huu daaaah... Salute kwako Boshoo

  • @hydrazineazine8764
    @hydrazineazine8764 7 лет назад +44

    Real hiphop haipo kwenye Radio, hawa ndo watu tunataka achaneni na wenye majina makubwa, hiphop ipo mtaan nenden Dullah mkailete.

    • @saulmwakyusa1001
      @saulmwakyusa1001 7 лет назад +2

      Hydrazine Azine point mkali salute mtaani ndo wapo hao wenye majina wanachana kwa kujickia sana

    • @nasrynasry4632
      @nasrynasry4632 7 лет назад

      Hydrazine Azine , and I will be

    • @denismakweba3870
      @denismakweba3870 7 лет назад

      Hydrazine Azine
      Na + Nchama the best wako vizuri

  • @juliusngowi952
    @juliusngowi952 7 лет назад +8

    Nime-enjoy sana sana..nimeiskiliza saa 11 asbh nikatabasamu bila kupenda..Boshoo you are the NINJA for real

  • @kingcharlz3325
    @kingcharlz3325 7 лет назад +17

    Show inanoga kila j3 sababu ya watu mnaowaleta. Big up EA radio kiboko yao kwa dak. 10 za maangamizi

  • @mohamedmbuzu5524
    @mohamedmbuzu5524 7 лет назад +11

    Nlijua utazingua, umefanya poa sana, Congltion GOODJOB

  • @holymoko5058
    @holymoko5058 7 лет назад +32

    mmempa kumi kwel uyo jamaa mbona kama zimekuwa ndogo ivi?!! Boshoo NINJA

  • @mohamedyusuph1321
    @mohamedyusuph1321 7 лет назад +1

    Boshoo ni mwamba ni noma is my best since muanze hii kitu amezitendea haki ten minutes yuko next level East Africa Radio wasaidieni hawa waje wafanye Hip-hop ya kweli nimemkubali sana huyu msambaa wa korogwe big up BOSHOO ni hatari sana

  • @dismashaule1631
    @dismashaule1631 7 лет назад +7

    Wachache sna sasa ivi vichwa kama hi hivi dah big up sna kwake Boshoo ninja kweli we ni ninja

  • @jameschanja8304
    @jameschanja8304 7 лет назад +37

    Ebwana huwa si coment kila wakati bali kwa mtu talented kama boshoo maana hip hop na feel kupitia tanga boy boshoo! Cjapoteza mb zangu kwako bro

  • @zulufkhan1949
    @zulufkhan1949 6 лет назад +4

    Bosho balaaaa,mgongeeni like millioni hapa

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 6 лет назад +5

    home boy jaribu kuachia ngoma, dah tanga na nyie mko good kwa hip hop, much respect kwa punch line kama zote

  • @matowo1990
    @matowo1990 7 лет назад +9

    Ukiongelea Maangamizi huyu mwana ndo kaitendea haki yani ameua mbayaaa na mwana still alikua hajamaliza kutema madini, ningependa toa ushauri huyu jamaa aitwe tena coz since mmeanzisha hii Dakika 10 za Maangamizi hii mchano nimerudia more than 10 times coz haiboi na kama inawezekana hiki kipindi kiwe kwa ajili ya Talented underground kama hawa sio ma star wanaotupotezea muda tu

  • @Majestino
    @Majestino 5 лет назад +1

    Apa ni Majestino Mapozzy toka Congo Drc, napenda sana Est Africa Radio, Napenda sana Planet Bongo, Napenda saaaana Dakika kumi za maangamizi....ipo siku nami ndapita apo....

  • @rama2ification
    @rama2ification 5 лет назад +2

    Talent kama hizi halafu wanakufa maskini aiseee yani kipaji hiki ukioni wasafi festival wala fiesta..hukisikii planet bongo wala xxl.. Kuna haja ya media kujitasmini kuwasaidia watu kama hawa

  • @mudyramadhani3020
    @mudyramadhani3020 7 лет назад +52

    hiii nara ya 20 naiangalia hii yan xichoki sio kama zile zingine ma mc wanatia huruma yan we mtazamaji unamuonea huruma msanii asitie aibu dakika zikimbie fasta

    • @calvinminja2923
      @calvinminja2923 7 лет назад

      Mudy Ramadhani ha ha mm kila siku jamaa anajua

  • @mrquality1080
    @mrquality1080 7 лет назад +4

    Respect sana mkuu.sijawahi kuipinga hiphop kwa namna yoyote ile.
    RESPECT KWAKO BOSHOO

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 7 лет назад +3

    boshoo see u ninja ...
    nakujua before hapa nimeinjoy kukuona Kwenye platform kama hii ujaniangusha mm wala we ujajiangusha ...karibu hale tanga....its all about music

  • @tunechedward4960
    @tunechedward4960 5 лет назад +2

    Tanga wapi likes kwa boshoo

  • @brokertz8203
    @brokertz8203 7 лет назад +3

    Qmmqe boshoo kauwa salute kwake hawa ndo wakuletwa waangamize 🙌🙌🙌

  • @momussa1504
    @momussa1504 7 лет назад +33

    Balaa jingine hili mzeee........ Tanga boiiiii

  • @besumitv8674
    @besumitv8674 7 лет назад +61

    Dogo umenikosha sana, saaafi sana, hipo pop imeanza kuvuka mipaka saafi Freestyle ndiyo asili yetu

  • @issaomary7718
    @issaomary7718 7 лет назад +25

    Ase boshoo nimezima fegi nimewasha bangi,umeua maduanzi wote hapo planet dingi!! Naanza kukufatilia ase oi sana

  • @richmontanna7934
    @richmontanna7934 6 лет назад +16

    Free style of year 2017 no one like this. Kenya we locked all time

  • @Majestino
    @Majestino 5 лет назад +1

    Bosho Mkali ana pumzi kweli kweli, yeye na Mbeya Boy nimesha wakubali kweli kweli, awa wasani mbona aha toki Congo japo wako tayari kwa michano

  • @andrewmndeme1846
    @andrewmndeme1846 3 года назад +1

    Moja ya show kubwa haija tokea tna hadi Leo heshima kwako boshoo ninja

  • @doctor_fazi
    @doctor_fazi 7 лет назад +7

    Www.Boshoo ni ninja kisoo dogo ana panch line kuliko mcee yoyote aliyewahi kufika hum studio .co.tz

    • @johnmadawa8686
      @johnmadawa8686 5 лет назад

      dulla unanifurahisha kaka unamizuka sana hip hop

  • @rosieeliahu7720
    @rosieeliahu7720 4 года назад

    Hip hop ni kitaani bhna,boshooo yupo vzr,tunayemkubal ucache kugonga like aise

  • @rashidynnungu6775
    @rashidynnungu6775 7 лет назад

    Kama umesikilza mpaka mwisho alafu hukucoment ww n mchawi dogo anajua huyu mweeeee ☺️☺️☺️

  • @davidlocker8460
    @davidlocker8460 3 года назад +1

    Naomba mmmlete tna mbeya boy chuma

  • @davidmdavid4869
    @davidmdavid4869 7 лет назад +3

    Maangamiz kama haya ndo tunatak wahun salute boshoo ninja

  • @JonanceMkude
    @JonanceMkude 10 месяцев назад

    Dah yaani jamaa noma sanaaa na pia nakubali sana kazi one love❤ 1:33

  • @magembefrank7624
    @magembefrank7624 7 лет назад +9

    Korogwe vipaji vipo sana tu ila njia oya pamoja sana umeua hii ni yakwanza japo nyingi zimepita

  • @chiyughajr.9968
    @chiyughajr.9968 7 лет назад +8

    Undergrounds wanadhihilisha uwezo wao kuliko masuperstar waliridhika. Big gwasi kwako Korogwe Finest

  • @asjoh5390
    @asjoh5390 7 лет назад +3

    Ukimsikiliza kwa makini Boshoo ana uandishi flani wa akili sana uliotulia, punchline zake pia nyingi sana katika kila verse🔥🔥🔥🔥

  • @jimmymwandenuka8690
    @jimmymwandenuka8690 7 лет назад +6

    boshoo ww ni nouma sana umeuaaaa wote waliowai kuja

  • @wafiq4
    @wafiq4 6 лет назад +4

    Ukooo poa zaidi ya kuangamizaaa ... 2018 still viewing its 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gvanafrica2934
    @gvanafrica2934 7 лет назад +13

    Duuuuh jamaa mkali Sana.... Anajua Sana... Anachezea midundo kiufundi

    • @shaphyvuai6805
      @shaphyvuai6805 6 лет назад

      GVAN CHORUS kweli anaenda vizuri sana na bits mnyama mkali

    • @salumumbetu395
      @salumumbetu395 5 лет назад

      Uyo jamaa ni xhida

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 6 лет назад +1

    Eminemi toy... Boshoo nimekugawa bure😁😁😁😁😁

  • @yehovalyimo3744
    @yehovalyimo3744 2 года назад

    kati ya show za dk 10 za maangamizi huyu boshoro ninja sichoki kumsikiliza ....... yupo vizuri sana ktk mistari anayochana...

  • @jacksonfrank5474
    @jacksonfrank5474 6 лет назад

    Sema Boshoo ninjaaaaaaa.....ebana ww ndio no moja toka dk 10 za maangamiz zilipoanzia..Big up sana home boy

  • @j4wasaimon981
    @j4wasaimon981 7 лет назад +1

    Atakae sema ujui namchukulia arabii jamaa nyko na nusu 🔥

  • @wafiq4
    @wafiq4 7 лет назад +1

    I always watch bt dis dude #boshoo seems 2 b da raw on da mic ... need moo like .. wanao jita ma star ata sijui mnangara vp chini ya hili jua...✌🤛👍
    1:ngwea
    2:chidibenz (wazamani sai anazingua)
    3:boshoo ninja
    Tatu bora...

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 6 лет назад +1

    Kaa mbaliiiii na Boshoo Ninja, charie ya korogwe finest, big up ninja langu

  • @nassydemeddy6366
    @nassydemeddy6366 7 лет назад +21

    Brother una balaa hatari🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💪

  • @ismailmtunguja3218
    @ismailmtunguja3218 6 лет назад +1

    Boshoo ninja umeibeba tanga kinoma noma Hakuna kama ww kwenye kumi za maangamizi

  • @mariammhando7520
    @mariammhando7520 5 лет назад +5

    Tanga boy! Home boy..... Tanga stand up!

  • @denisngowi8650
    @denisngowi8650 7 лет назад +2

    Uwiiiiiiiiiiiii!!!huyu jamaa anauwaaa aisee vitu kaa izi ndo tulikua tunavitaka mazee i lov hip hop

  • @edwinkaijage3852
    @edwinkaijage3852 6 лет назад

    Nakukubali xana bosho tokaenzi zakilinge msasani japo nilikua nakukazia mlangoni..

  • @abbasrashidi5978
    @abbasrashidi5978 7 лет назад +2

    Boshoo kaua saaana. ....one of the best

  • @hemedihamisi7170
    @hemedihamisi7170 7 лет назад +4

    kumalamaako we chalii Ni noma😂😂🔥🔥🔥gonga like Kama unamkubali boshoo

  • @tobiasbeda2022
    @tobiasbeda2022 6 лет назад +3

    Boshoooo sichoki kuangalia na kusikiliza maangamizi yako

  • @godfreyngowi6434
    @godfreyngowi6434 Год назад

    Daaah sijawahi ichoka hii free style....❤❤❤

  • @amanilyobah423
    @amanilyobah423 6 лет назад

    Dah BOSHOO NINJAA UMEUA SANAAA MAANA WENY MAJINA HUA WANAARIB SANAA

  • @davidameer4399
    @davidameer4399 7 лет назад +3

    Ana Punchlines ana Flow kali ana Styles ana Swagg pia Hip Hop inamuhitaji
    Sema Boshoo Ninja

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 7 лет назад

    boshoo..umeua..naona..safari yako ya mziki utafika mbali sana

  • @abdulrahmanilikavala7317
    @abdulrahmanilikavala7317 7 лет назад +3

    Aisee boshoo umechama kinoma hongera sana endelea kupambana

  • @halidishabani1307
    @halidishabani1307 7 лет назад

    umetisha kinooomaa,,home boy,,kaza ,,ongeza bidii,,kili kili in z house,,

  • @jozanTv
    @jozanTv 7 лет назад

    Aiseee jamaaa hatare anajua mpaka anaboa...TISHAA KUPITILIZA BOSHOO NINJA,,SALUUUTE!!!1

  • @kelvinsichone2359
    @kelvinsichone2359 7 лет назад +9

    BOSHOO ni Fire/Moto wa kuotea mbali, Mkuda hakaii. Much respect bravoo. Keep it up!

  • @jimmyisdory9933
    @jimmyisdory9933 7 лет назад +4

    Top 3
    1:bosho ninja
    2:hidary scoda
    3:miracle

  • @kingcharlz3325
    @kingcharlz3325 7 лет назад +13

    Jamaa kaangamiza mpka basi ila mleteni stereo

  • @sullentmimaee1906
    @sullentmimaee1906 7 лет назад +6

    Duhuu kaka DULLAH tutafutie vichwa kama iv10 tuu then tutafute watano5 kati ya aho kumii aisee hip hop itasimama
    Sallout brother__#__dullah
    ________________#__JR

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 7 лет назад +4

    Oyooooooooh so talented
    Nmekupa salute

  • @richardwest6771
    @richardwest6771 6 лет назад +5

    Sichok kuitazamaaaaaa boshoooooooo👍🌋💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nigeriacultureandtradition8527
    @nigeriacultureandtradition8527 5 лет назад +2

    Boshooo Ninjaaa Nasema hivi . A H S A N T E !!!

  • @carekazinza6035
    @carekazinza6035 7 лет назад +3

    tixha kinoma noma mkar duuu atar Sanaaaaaaa we kwenye tatu mbomba za kumi za maangamiz nakuweka

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 6 лет назад +1

    J mo, uyu dogooo ni wew swarga zako zote eee anazoo

  • @peterngassalah6454
    @peterngassalah6454 7 лет назад +4

    Yap 10 za maangamiz iv ndivyo inafaakufanywa ayea ametisha boshoo ninja

  • @jumamaganga5064
    @jumamaganga5064 5 лет назад +1

    hatuna kiki tuna stater umezoea koko beach huku pasific kuna papa shikamoo boshoo ninja

  • @kelvinjuma-mliverpool7348
    @kelvinjuma-mliverpool7348 5 лет назад +1

    unajua adi unakera!! mwanangu boshooo

  • @bakarikambutu4885
    @bakarikambutu4885 7 лет назад +2

    jamaaa namjua toka kula kwenye kiswahil na sanaa

  • @salumuhafidhi1920
    @salumuhafidhi1920 7 лет назад

    boshoo boy katisha sijawahi kuona dakika 10 kama hii#BOSHOO NINJA ni hatari sana from Bonge La mTanzania-BLT-Mtabe TZ

  • @kunanamna4176
    @kunanamna4176 7 лет назад +4

    1.maarifa big thinker2.wakiafrica3.boshoo ninja4.miracle5.climax bibo Mabovu waliomezwa1.Hidary scoda 2.elisha 3.mex carter 4.youngdee 5.baghdad hamna kitu

  • @amanilyobah423
    @amanilyobah423 7 лет назад

    Dah aisee Huyu Jamaa Boshoo ni Nomaaaa sanaaaaaaaa aisee

  • @onesmomganga972
    @onesmomganga972 7 лет назад +4

    Umeuuua Mathias...boshooo ninja

  • @abrahamanijuma7710
    @abrahamanijuma7710 6 лет назад

    boshoo ninja.. schokagi angalia hii kitu... umetisha mzee

  • @mbarakakilangilo83
    @mbarakakilangilo83 6 лет назад +1

    Jamaaa niatar sana? daaaaaah

  • @ismailmtunguja3218
    @ismailmtunguja3218 6 лет назад

    Tetesi zinavuma boshoo sipendi kazi ni mvivu napenda ( k )

  • @andelherrera5137
    @andelherrera5137 7 лет назад +2

    Boshoo ninjaa..Umeuwaa bro

  • @martinsamwel2851
    @martinsamwel2851 7 лет назад

    Boshoo ninjaaaaaa.....umetisha ninjaaaaaa

  • @meshack2559
    @meshack2559 5 лет назад +1

    Huyu ndo master wa dakika 10 za maangamizi,

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 7 лет назад +1

    Ashakhum si matusi kumamaeeee huyu msela kaangamiza kisengeeeeeee Big up

  • @kelvinescapla
    @kelvinescapla 7 лет назад +1

    ..Daaaaaaaaaiiimn, mzeee😳😳 #Shikamooo..

  • @wankyroshna5544
    @wankyroshna5544 7 лет назад

    Daaaa.. Noma sana hii mtu imetisha balaa. Siku zote mlikuwa wapi kutuletea balaa kama izi.

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 6 лет назад

    MC umetisha man umefunika majina makubwa very nice

  • @lokom.herman9403
    @lokom.herman9403 7 лет назад +5

    Hatariiiii 🔥🔥

  • @enockngendakuriyo6759
    @enockngendakuriyo6759 7 лет назад +1

    This th real free style omg bosho ninja nakubali 👊👊👊👊💪✌

  • @bablematz1309
    @bablematz1309 4 года назад +1

    No 2 rank yangu nakupa hiyo kati ya wote waliokuja apo 🔥🔥 #Boshoo

  • @ismailseiphuy8554
    @ismailseiphuy8554 7 лет назад

    big up jombaa umefunik wote waliopita hapo....noma sanaaaa

  • @augustinewilliam8281
    @augustinewilliam8281 4 года назад

    Kama unakubali mkoa wenye herufi 2 T.A piga likes zako apo 🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐

  • @ibrahkazoba3678
    @ibrahkazoba3678 7 лет назад +11

    Na nnaskia, tetesi zinavuma../
    Boshoo mvivu sipendi kaz eti mapenda...😅😅

  • @philipmchina6919
    @philipmchina6919 6 лет назад +1

    Nakubalii sanaaa mzeyaaa boshooooooninjaaaa

  • @IddyBosco
    @IddyBosco 7 месяцев назад

    kazinzur bro nakubr uwezowako👏

  • @josephmnango9803
    @josephmnango9803 5 лет назад +1

    Daaa huyo jamaaa mpeni lisaaa limoja

  • @angelgaudance7942
    @angelgaudance7942 7 лет назад

    bado ajatokea wa kuifunika hii boshoooo ninja on the map big up planetbongo ambua mjuu na other member

  • @bakari_njobela371
    @bakari_njobela371 7 лет назад

    huwezi pita kwa duke kama mzinguaji.the real definition of kilinge#tamadunimusic#kinasa#duke tachez#boshoo#