JAY COMBAT KWENYE PARTY YAKE MTONI BAR HII NI MIDUNDO YA USWAZI LIVE SHOW

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 306

  • @ElisanteBlazi
    @ElisanteBlazi 6 дней назад +3

    Hakuna cha mikono juu wala kushoto kulia ni dakika 35 unstoppable much love combat 🎉

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 месяца назад +26

    Jay Combat unapumz hatari.
    Hongera sana Dakika 35 non stop👏👏👏👏👏🙌

  • @morganbaraza5176
    @morganbaraza5176 Месяц назад +6

    Jay Kenya unatamba. Because of you we are aware and falling in love with the Singeli genre🇰🇪.. Generational talent! Tunakuombea mungu uzidi kungaa🙏🙏

  • @EsterSekwao
    @EsterSekwao 2 месяца назад +14

    Kumbe singeli ndio tamu hivi jamani❤❤❤😂😂’ Broh anajua sanaaaaaa💪💯💯

  • @RobertKibinzaGuke
    @RobertKibinzaGuke 4 месяца назад +35

    Mwanzo mwisho hakuna piga makofi wala mikono juuu.....nakubal mkali

    • @kevimchizi9974
      @kevimchizi9974 3 месяца назад +1

      Kaka umeongea k2 kikubwa sn

    • @youseph-tz
      @youseph-tz Месяц назад

      💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shabani6631
    @shabani6631 2 месяца назад +9

    Daah! We mtu kiboko kipaji halisi kabisa Moro Mabegani🎉

  • @EmmanuelKalist-o8b
    @EmmanuelKalist-o8b 2 месяца назад +6

    Baro baro jiandaeni huko mmemuona Jay combat hanaga tunaenda kushoto tunarud kulia

  • @JoshuaJaphet-f9u
    @JoshuaJaphet-f9u 2 месяца назад +8

    Huyu jamaa hata kama huiped Sigel utamskiliza2 saluti sana kizaz

  • @dayanamsuya6516
    @dayanamsuya6516 3 месяца назад +14

    Boy unapiga mitindo yote ragga ,singeli,rap ,kinanda na singeli michano salute sana

  • @Quick_Tar08
    @Quick_Tar08 6 месяцев назад +19

    Nguvu ya mziki , jay combat lyrical feelings catch 🎉🎉🎉

  • @yasindiego3457
    @yasindiego3457 4 месяца назад +10

    Jay Combat ananyoosha kuliko Rula Mungu anaonesha ukubwa wake Juzi Juzi to alikua Miso misondo …. asahiv Jay combat anafanya mabalaa yake ni Mtu na Nusu Kweli Kweli 🔥🔥🔥

    • @MathiasMuloka
      @MathiasMuloka 4 месяца назад

      Nauza nyumba kwa bei nafuu natuma adi mikoani usafiri bure 🙏

    • @doiuioo-nm3bc
      @doiuioo-nm3bc 3 месяца назад +1

      @@MathiasMuloka vp

  • @MahmudSaidy
    @MahmudSaidy 6 месяцев назад +13

    All the way kutoka kasumbalesa namsikilizia home boe🎉🎉🎉

  • @RashidiHussein-zi1mc
    @RashidiHussein-zi1mc 5 месяцев назад +9

    munguwapili duniani mamá nakubali sana jay combati

  • @jafaryusuf-v5x
    @jafaryusuf-v5x 2 дня назад

    Dah nakkubali sn brooo big up 2 much

  • @Kenyan._pozee
    @Kenyan._pozee 4 месяца назад +8

    Mombasa 🇰🇪 🔥 wivuuuuuu mama wivuuuuuu 😂❤🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @MalikaPaulse
    @MalikaPaulse 3 месяца назад +7

    Chila boy hapa cape town south africa unatisha mbovu 1🎉

  • @KhadijaMohamed-on1fz
    @KhadijaMohamed-on1fz 4 месяца назад +6

    Hata mama yangu ana mama yake😢😢🙌
    Jay anajua asee🥰🔥🔥

  • @abdiharuna2818
    @abdiharuna2818 5 месяцев назад +9

    Wana wanaimba kwa hisia sana

  • @KassimFologo
    @KassimFologo 5 месяцев назад +4

    Kaza buti twende nkubali good good

  • @OmaryMgema
    @OmaryMgema 2 месяца назад +1

    Nomaaa broo hekoooo Sema njooo na kwetu mitaa ya njaa matajir wa majinguu kibishi tunaishi tunakusubr Sana

  • @happyshunda9386
    @happyshunda9386 3 месяца назад +4

    Vile nikiamka zangu asubuh naenjoy kuskiza iz ngoma❤❤❤

    • @Madaga-h8y
      @Madaga-h8y 3 месяца назад

      Uwakika mzee kwa heshima 👊🙌

  • @azizajuhudi1410
    @azizajuhudi1410 5 месяцев назад +39

    Nakukubali sana Jay Combat show kali

  • @hallaboy8191
    @hallaboy8191 4 месяца назад +2

    Aaaah Uwakik Jamaa Unatoa Burudani Unajikazaa kuburudisha Wanna Shoo Asaa ✌️✌️✌️

  • @jamesjames6862
    @jamesjames6862 3 месяца назад +2

    Kipaji 100%. favorite 12:50

  • @mpukuchicollin4617
    @mpukuchicollin4617 5 месяцев назад +16

    Nawaza Safari yangu 12:55

  • @twaibukamba6848
    @twaibukamba6848 Месяц назад +1

    Karibu mboka manyeka tabora uku nyuki ni wengi noma sana jay singeri

  • @MohamedBashiru-lc3in
    @MohamedBashiru-lc3in 6 месяцев назад +4

    Nakubal sana jay

  • @shashemuzyo4537
    @shashemuzyo4537 2 месяца назад +1

    Huyu jAmaa anajua mamaeeeee.. sikia sikia

  • @AdaiBoy-n6z
    @AdaiBoy-n6z 4 месяца назад +2

    Naitwa dj adai kutoka tanga mwamboni jay combat anajua kaza buti brooo

  • @Eagle-kilometer
    @Eagle-kilometer 4 месяца назад +10

    Uyu jamaa namfananisha na juice Wrld the lyrical genius 🔥🔥🔥 anaweza kukuliza 😢

  • @gasparmpoma3860
    @gasparmpoma3860 2 месяца назад +14

    Kipande chetu Pendwa kinaanzia dakika ya 23:50 tuguse hapaaaa Na tulike

    • @amaniagato
      @amaniagato 2 месяца назад +1

      Umetisha sana mzee wangu✊🏽

  • @getajo1153
    @getajo1153 2 месяца назад +1

    Kwani we nani?
    Nimeitafuta sana hii ngoma aisee... Kinanda yaani kinanikumbusha wazee wa Lebanon Yombo Dovya miaka ya 1994,,,, minanda ya Buguruni usiku... Nimekumbuka mbali sana... Good job...

  • @RamVsouth-Ra
    @RamVsouth-Ra 3 месяца назад +32

    Inaonekana mashabiki hawakuwa na HeLa tu ila mwana kawanogesha hataree walitamani wamtunzee SEMA wamechacha

  • @eddytheblayze3810
    @eddytheblayze3810 3 месяца назад +1

    Kwani hakuna mtu ameconvet kuanzia apo kwny nawaza safari yangu mpaka Kwa mama???? JAY COMBAT unatungo za hisia na zauhalisia na melody Kali sana unaeza mliza mtu aisee we jamaa nikikuskiza namuona JACK SIMELA wa jagwa music (RIP), ishi humohumo

  • @MatundaAfya
    @MatundaAfya 3 месяца назад +6

    Jamaa ako na mapafu ya mbwa

  • @tanzaniaboy9605
    @tanzaniaboy9605 2 месяца назад +5

    Mwenye singeli yake kaja ni mawe mwanzo mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @enosuper_online_tanzania
    @enosuper_online_tanzania 4 месяца назад +6

    nakusogezeeni pande hilo apo 23:30 tupate vibe bila kuchoka

  • @ZaynabuJuma-xy4kb
    @ZaynabuJuma-xy4kb 4 месяца назад +2

    J combat noma moro kuna vpaji

  • @amdunishomari2221
    @amdunishomari2221 4 месяца назад +2

    Mwana anajua sanaaaaaaaa

  • @jonasmacharo881
    @jonasmacharo881 3 месяца назад +1

    J Combat ni mmoja tu👊🏿

  • @charlzdaddy3444
    @charlzdaddy3444 Месяц назад

    Sichek na yoyote na ulinda wang moyo❤ unajua sanaaa JJJ

  • @bigbro-my6xj
    @bigbro-my6xj Месяц назад

    Nakubali sana kamanda jay kombati

  • @TajimChigwea
    @TajimChigwea Месяц назад +1

    tajimu nami ntakua2 kama jay combat

  • @harunasaid5713
    @harunasaid5713 3 месяца назад +3

    kaka wewe fundi kitambo sana sijakuona toka utoke mikese

  • @ShabaniMmale
    @ShabaniMmale 2 месяца назад

    Uyu jay combat hanakuja sana yupo poa

  • @AbdallahMtambo-x9y
    @AbdallahMtambo-x9y 3 месяца назад +1

    Salut apo achuz manyeto south Africa shelia pombe familia canali apingwi jay combat apingwi naye

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 4 месяца назад +14

    Jamaa ana pumzi ya ajabu sijaona

    • @Oten_jr
      @Oten_jr 3 месяца назад

      Namby sas angekuwa havuti na bangi

    • @Madaga-h8y
      @Madaga-h8y 3 месяца назад

      Kabsa Asisee 🙌🔥🔥

    • @amonymzawaaa8934
      @amonymzawaaa8934 28 дней назад

      😂😂😂​@@Oten_jr

  • @RamadhaniMaendeleo
    @RamadhaniMaendeleo 2 месяца назад

    Dah unastahil pongezi san uko vzr mwambaaa

  • @davidsalikoki6319
    @davidsalikoki6319 2 месяца назад +2

    Kofia😂

  • @MfisumukizaCruce
    @MfisumukizaCruce 2 месяца назад +1

    Ni kama dakika 35 za kuangamiza unyama unyamani joo💥💥

  • @CavoohSoka
    @CavoohSoka Месяц назад

    Jamaa unajua snaaa❤

  • @RajabPeter-t5g
    @RajabPeter-t5g 3 месяца назад

    Uko saw dogo mungu atamujalia maishandoayyooo ❤❤❤❤❤

  • @geofreydiego6829
    @geofreydiego6829 4 месяца назад +5

    Mziki u sasa ni wake mung azid kumpa kipawa

  • @ropedwai7499
    @ropedwai7499 4 месяца назад +1

    Wanangu moro 🔥🔥

  • @JumaShelukindo-d4w
    @JumaShelukindo-d4w Месяц назад

    Nakubali saba kaka🎉🎉🎉

  • @HawaSaidi-g2d
    @HawaSaidi-g2d Месяц назад

    Nakukubali sana mauwayako🎉

  • @herminachrispas888
    @herminachrispas888 2 месяца назад +1

    Nyieeee huyu jay combat mbona anabalaa zito jamn kheee

  • @achulettaaquilo9392
    @achulettaaquilo9392 3 месяца назад

    Wolaaaaa umetisha mwamba

  • @Unse-h4z
    @Unse-h4z 2 месяца назад

    Waaaa salute bruda kali sana

  • @daviddaniel1493
    @daviddaniel1493 3 месяца назад

    Jay combat mtu mbayaaaaaaa oyaaaaaa kwan we naniii🔥🔥🔥🔥

  • @ShabaniAmani-b5l
    @ShabaniAmani-b5l 4 месяца назад +2

    Kwa heshima

  • @PauloJacob-t2w
    @PauloJacob-t2w 3 месяца назад

    Nakubari unaushamba uimbajiwako..nakubarisan

  • @AllyIdd-i8r
    @AllyIdd-i8r 5 месяцев назад +1

    Nakubali sanaaaa

  • @athumanijoseph3042
    @athumanijoseph3042 3 месяца назад +2

    23:40 ni🔥🔥🔥🔥

  • @becaozil6553
    @becaozil6553 6 месяцев назад +6

    zakota mawe..mpishi wa midundo

  • @Scout_Viral
    @Scout_Viral 2 месяца назад

    nawaza safari yangu top top song

  • @MuhinaJohn
    @MuhinaJohn 4 месяца назад +12

    Inawezekana asili ya singeli ni morogoro maana kila msanii anajua

    • @stevenwiston27
      @stevenwiston27 4 месяца назад +1

      Imeixha iyo

    • @Mzawa12
      @Mzawa12 4 месяца назад +1

      KWANI hujui Hilo??? Singeli imeanza Morogoro na Singeli imetokea kwenye mnanda

    • @DeodatusiLyaruuu
      @DeodatusiLyaruuu 3 месяца назад +1

      Yaaaah kaka Moro Kuna vipaji atali kina sholo na awo wengine walikuwa wakienda Moro wanaiba nyimbo wakija dar wanaiba wao

    • @dullahsimbaulanga6472
      @dullahsimbaulanga6472 2 месяца назад

      >>>Yoo sure ata mnanda waliupiga Sana Moro

  • @HappynesJoseph-s1j
    @HappynesJoseph-s1j 17 дней назад

    Baba najati hupingiki mkoani ww mkali sana mama

  • @traviskong-r7b
    @traviskong-r7b 4 месяца назад +1

    Hiko kibiti cha dakika 12:28 Woow nmekipnd

  • @Alexmshan
    @Alexmshan 3 месяца назад

    Huyu mwamba ni balaaaaa❤

  • @peterarsenal255
    @peterarsenal255 2 месяца назад +2

    35 minutes of pure fire😁🔥

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 29 дней назад

    Huyu jamaa ni nomaaaa🔥🔥🔥

  • @mzungushbobo5430
    @mzungushbobo5430 2 месяца назад +1

    Moro mabegani akuna anaejua kesho yake umetisha mdgo kisingekuwepo kifoooooo

  • @Isihakali
    @Isihakali 5 месяцев назад +1

    Nakubali 🙌🙌🙌

  • @bettyrobert956
    @bettyrobert956 2 месяца назад

    Oya weeeee😂😂😂😂 natamani ningekuwa hapo🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌

    • @BkZombi
      @BkZombi 2 месяца назад

      mwamba anajua sana huyu

  • @LionziJames
    @LionziJames 4 месяца назад

    Jamaa unatisha sana. Mwamba nakubar

  • @ZainbZainb-s6f
    @ZainbZainb-s6f 4 месяца назад +1

    Kubababakeeeee dude la moto adi raha 💃💃

  • @RajabuNguyahambi
    @RajabuNguyahambi 2 месяца назад

    Nakubali sana

  • @mbuziwakutaga
    @mbuziwakutaga 4 месяца назад

    Geita finest nakubali msukuma mwenzangu

  • @Wakufoc..tz1
    @Wakufoc..tz1 Месяц назад

    oya jay bakola kaliii kisinge kuwepo kifo

  • @TariqMohamed-h7k
    @TariqMohamed-h7k 3 месяца назад

    Nakubali kaka🙏🏾

  • @robertmrindoko4038
    @robertmrindoko4038 4 месяца назад +52

    TULIO TOKA WOTE TIKTOK TUJUANE APA 😂😂

  • @becaozil6553
    @becaozil6553 6 месяцев назад +2

    Mzaz wa vipaji

  • @YusufHamad-e4r
    @YusufHamad-e4r 2 месяца назад +1

    Nkbl sana jay combat

  • @mshengajuma.9113
    @mshengajuma.9113 3 месяца назад +2

    Kipaji kikubwa. The real test.. test ya mnanda kabisa msingi wa sengeli

  • @athumanimakange9346
    @athumanimakange9346 3 месяца назад +2

    Huyu mwamba na kidensa ndio nyota ya singeli kwa sasa

  • @abdulimbogo
    @abdulimbogo 2 месяца назад +1

    Sikia sikia

  • @SudiTumbo
    @SudiTumbo 2 месяца назад

    Unatisha jay combat

  • @StephanoKamunya
    @StephanoKamunya 2 месяца назад

    Dahi jey mfarume wasingeli aisee afrca tuna vichwa

  • @krmangara7755
    @krmangara7755 3 дня назад

    MZIKI HISIA.

  • @peterluitfrid296
    @peterluitfrid296 3 месяца назад +1

    Yoooo aya ma beat yasingeli na evolvee fr fr 🙌

  • @ChidoManzola
    @ChidoManzola 3 месяца назад +3

    Kumbe uyu jamaa ni wa chuga nyumbn kbc

  • @samsonhenry3871
    @samsonhenry3871 4 месяца назад

    Oyaaa oya oyaaa unajuaaaa mwanetu

  • @salminseif4526
    @salminseif4526 5 месяцев назад +7

    Moro finest🔥🔥

  • @HassanRajab-i1c
    @HassanRajab-i1c 3 месяца назад

    Kweli mwanang mziki hisia

  • @haisamseif2744
    @haisamseif2744 2 месяца назад +1

    Hashiki mapumbu kama wasanii wengine hatumii nguvu hadi raha, ingekua wengine ungesikia tuimbe wote sijasikia

  • @RamaGaizo
    @RamaGaizo 4 месяца назад

    wanangu unajuwa Sana wew ndok kiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 4 месяца назад

    Hii ngoma ya wivu akiipiga chuga itakua balaa 🙌🙌

  • @antigonvalentin4333
    @antigonvalentin4333 6 месяцев назад +4

    Tuwekee nyimbo mtandaoni na ww

  • @IssaMdede
    @IssaMdede 4 месяца назад

    Hom anajua Sana babu mziki hisia