Nandy - Mlete (Official Visualiser)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии •

  • @ashantyjofrey
    @ashantyjofrey Месяц назад +135

    Walioielew hiyo dance gong like tu mpe maua yake nand🎉🎉🎉

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Месяц назад +205

    Yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu inshalaaaaaaa🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz Месяц назад +168

    Tunao mkubali nandy tujuane kwaku like hii comment

  • @jideouragan
    @jideouragan Месяц назад +42

    Wa kwanza hapa toka congo 🇨🇩 kama wewe ni shabiki wa nandy tiya like yako apa

  • @AminaAhmad-m8t
    @AminaAhmad-m8t Месяц назад +31

    Jamn mimi cjawah pata like naomba leo munipe like kwaajili ya nandy wetu kwakuendelea kusimama no 1❤️❤️❤️❤️

  • @P2genR_Tz
    @P2genR_Tz Месяц назад +103

    Kama umelikubali hili goma gonga like🎉

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ Месяц назад +33

    wale wa African princess tujuane hapa Kwa like ❤

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah Месяц назад +206

    Wa Kwanza hapa kutoka Burundi BUJUMBURA likes zangu jamani familly African princess , Leo Siku yangu yaku zaliwa likes zangu jamani

  • @davidsamwel11
    @davidsamwel11 Месяц назад +35

    Wakati Nandy analeta wimbo naomba like mlete hapa😂👍

  • @officialjayclassic3614
    @officialjayclassic3614 Месяц назад +32

    From Kenya🇰🇪with love
    Hili goma balaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @JuniorFaradja-l3v
    @JuniorFaradja-l3v Месяц назад +35

    Kazi nzuri sana maua kwa nandy na waombea wote wanao soma comment iyi mungu atufikishe mwaka mpia salama🙏🙏🙏

  • @amnehomar
    @amnehomar Месяц назад +27

    Kuleni chuma hiko😂😂😂Nandy my sis umeua wallahy

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 Месяц назад +19

    Nani kagundua Zombie kagundua mziki wake yaan namaanisha ile ya marioo UNANCHEKESHA na hii ya Nandi ni kama kuna ufanano flani hivi. Kwann wabongo wengi wasiimbe hivi ili sound iwe international

  • @JijoSawen-v6b
    @JijoSawen-v6b Месяц назад +22

    Much love from 254❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪2024 you've done us proud as your fans.2025 mwendo uwe huo huo

  • @irenesalumu
    @irenesalumu Месяц назад +17

    Tz kàtika ubora 🇹🇿wetu....mwezi wa 12 klabu full this dance. Hao wanaojifanya the best...#wamejaa kwenye comment Hadi AIBU

    • @Faizul-Anwar
      @Faizul-Anwar Месяц назад

      Wasee huyu tumfanyie nini...amevuka mipaka...anatunauo kweli

  • @DesmondKombe-it6ve
    @DesmondKombe-it6ve 4 дня назад +1

    Kali sana ni mm na yeye Nandy 2

  • @DullySykesMusic
    @DullySykesMusic Месяц назад +3

    Kubwa mdogo angu🔥🔥🙌

  • @paulojohn-vx1qb
    @paulojohn-vx1qb Месяц назад +19

    Naombeni like 100 tu jmn❤❤❤

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf Месяц назад +16

    Kama wewe unampenda Nandy weka like hapa 😊

  • @BarisbarakaBaris-q4w
    @BarisbarakaBaris-q4w Месяц назад +11

    Kama unaskia unanchekesha ya marioo kea mbali gonga like❤

  • @DanielMrema-e3t
    @DanielMrema-e3t Месяц назад +16

    Namsikia harmonize kweny hii ngoma na imagine apo angesema bomboo claaaaaaaaa

  • @SanivaAlvares
    @SanivaAlvares 14 дней назад +2

    African princess unajua xana ❤❤❤❤ nakupnd xana

  • @wilberforcewilpower3254
    @wilberforcewilpower3254 Месяц назад +11

    Na hii wa🇰🇪 mtaangalia tu, mtake msitake...😁

  • @SaumuIsmail-m5h
    @SaumuIsmail-m5h 10 дней назад +2

    Eti hana kitu mi ndo nisha pendana nae😢😅😅😅

  • @jaykillertz9231
    @jaykillertz9231 Месяц назад +14

    Nipeni like mashabiki wa nandy

  • @ProsperBukuru-un7ne
    @ProsperBukuru-un7ne 9 дней назад +1

    Africain Princess Much Love Kutoka 🇧🇮🇧🇮 Buja ❤️❤️🤕🇧🇮🇧🇮❤️💥💥

  • @lattymusic2203
    @lattymusic2203 Месяц назад +12

    Noma sana salute African princess we mkali

  • @AmazingPabloOfficial
    @AmazingPabloOfficial Месяц назад +10

    🎉🎉🎉Nandi to the world with some international melody 🎉🎉🎉

  • @BekaBaysab
    @BekaBaysab Месяц назад +8

    Favourite of all time kutoka kwa nandy😂

  • @TantieBary
    @TantieBary 17 дней назад +1

    Moi m'y name is hidy je suis guinéens mais j'aime bien t'es chanson qu'elle faut m'inviter au Tanzanie 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 moi suis en Guinée 🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳 ...............?

  • @edinahamisi531
    @edinahamisi531 Месяц назад +10

    Nandy nakupenda❤❤

  • @ElvineFaida7-i8d
    @ElvineFaida7-i8d Месяц назад +6

    ❤❤❤ Fire
    Aya Nandy continue doing
    Vibe songs so that they can go viral on TikTok 🎉

  • @Monica-254
    @Monica-254 Месяц назад +16

    Kenyans here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ZainabZainab-s7o
    @ZainabZainab-s7o Месяц назад +1

    Nandi Dada angu hii ngoma umeuwa❤❤❤❤

  • @Priney254
    @Priney254 Месяц назад +6

    From 254❤moblove nandy❤

  • @AmazingPabloOfficial
    @AmazingPabloOfficial Месяц назад +5

    Hit song of the year 🎉🎉🎉but if you think nyimbo zetu ziko Bora zilete .🎉🎉mauwa yako Nandi ,am watching you all the way from Zambia and if you think am saying the truth zilete, likes zenu🎉🎉👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

  • @Laydo-12
    @Laydo-12 19 дней назад

    Yes 👍🎉 from United States of America

  • @mariamEvelyn-h8p
    @mariamEvelyn-h8p Месяц назад +7

    Dance imeniacha oyiii yani zile za Salman khan 🎉🎉🎉🎉

  • @StevenZango-ks2bv
    @StevenZango-ks2bv Месяц назад +1

    Mm msukuma jaman cjui like mnazipeleka wapi maana kila mtu anataka like

  • @MercylineAtyang-z1l
    @MercylineAtyang-z1l Месяц назад +3

    Kama umekubali hii ngoma like hii comment

  • @Enockdismasdijango
    @Enockdismasdijango Месяц назад +9

    Wakwanza leo mm nip like

  • @kristahahamfalme
    @kristahahamfalme Месяц назад +6

    Love from kenya 🇰🇪🇰🇪
    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @Pendo-x4h
    @Pendo-x4h 2 дня назад

    Ukovizuri nandy nakupenda nyimbo zako zinanikosha mim Jana

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma Месяц назад +14

    Kenya tumekubali...Mziki Safi...receive love from Kenya🇰🇪🇰🇪....Mziki wa Nandy mbona safi,🔥🔥🔥

    • @montezsharma
      @montezsharma Месяц назад +1

      Kabisa❤❤🇰🇪🇰🇪

    • @mylovejosecharles4362
      @mylovejosecharles4362 Месяц назад +1

      @@montezsharma sikilizeni za will poo🤣🤣🤣

    • @RahimNgasa
      @RahimNgasa Месяц назад

      Kenya soma hiyo injinia nabado

    • @RoyAshuma
      @RoyAshuma Месяц назад

      @@mylovejosecharles4362 nasikiliza za Willy Paul...ila nandy mbona unyama mwingi🔥🔥♥️♥️♥️

    • @spmfrmmrgrtwn
      @spmfrmmrgrtwn Месяц назад

      😂😂😂😂

  • @ThedarRousell
    @ThedarRousell Месяц назад

    Always beautiful singer ❤️

  • @LoveAron
    @LoveAron Месяц назад +4

    Nandy km Nandera fire ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 songa mbele kipenz

  • @ImakulataNkoyi
    @ImakulataNkoyi Месяц назад

    ❤❤❤ ilatu dada yangu usijali hata watowe nyimbo nyiki wewe usijalinaho dada mungu hatakusaidia tu

  • @LuluOMary
    @LuluOMary Месяц назад +3

    The African Princess ni Mmoja Tu Afrika❤❤❤❤❤❤

  • @ChiddyMentary
    @ChiddyMentary Месяц назад +1

    Wanguuuu sinaaa.

  • @oirishgervas6603
    @oirishgervas6603 Месяц назад +17

    Mimi kama mkenya naomba kusema Tanzania kuna mziki mzuri sana kuzid huku kwetu kenya.Yani kenya tumekaa kama mafala tusio jitambua et superstar wetu ni stevoo wakati wenzetu Tz wana international artist wengi vibaya mnoo na wanatoa hit song daily
    To make story short kenyan we are mad tutaishia kugombania unga wenzetu wanasonga 🔐

  • @CarlosAmergo
    @CarlosAmergo Месяц назад +5

    Congratulations my African princess

  • @Dr_Cayden_Official
    @Dr_Cayden_Official Месяц назад +2

    Kali sna❤ mupenzi wangu nandy❤

  • @FaudhiaIssa-d7p
    @FaudhiaIssa-d7p 10 дней назад

    Ngoma Kali sana ongera kwa nandi

  • @Itsoboy
    @Itsoboy Месяц назад +5

    Nampenda uyo maid wako nko kenya#nandy

  • @Marwawandety
    @Marwawandety Месяц назад +1

    Kiufupi the African princess 👸 anazidi kushika hatamu kwenye industry
    Hongera sana 😊

  • @KHAMISISADICK
    @KHAMISISADICK Месяц назад +5

    Wa kwanza Leo nipe like zangu

  • @expedit8235
    @expedit8235 5 дней назад

    Fireeee.... Ni balaaa What a Banger....

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +7

    Wa kwanza the African princess❤❤❤

  • @TatuHamisi-cs7ng
    @TatuHamisi-cs7ng Месяц назад +2

    Goma kali kionoma🎉🎉🎉🥰🥰🥰

  • @ireneque9813
    @ireneque9813 Месяц назад +12

    Yeap creativity on point!🇹🇿....hatujui Kiingereza ila sio mziki❤️❤️

  • @StanzaMata
    @StanzaMata Месяц назад +1

    Damn 🔥🔥🔥🔥 love from Rwanda ❤🇷🇼🇷🇼

  • @DjBoi-m6z
    @DjBoi-m6z Месяц назад +3

    Big my African princess

  • @CalvinOtieno-b6q
    @CalvinOtieno-b6q Месяц назад

    Jus listened to song title and like wow,that was absolutely incredible!The Melody,lyrics,and Vocals were jus Perfect.Thank you for creating such a beautiful piece of music.254

  • @Hamirazy26
    @Hamirazy26 Месяц назад +3

    Kama unamkubali nandy gonga like hapa

  • @HappynessJohn-q3c
    @HappynessJohn-q3c 9 дней назад

    Alipo king 👑 hakuna kitu kinaharibika🎉🎉🎉

  • @AmazingPabloOfficial
    @AmazingPabloOfficial Месяц назад +5

    Number one in the building 🎉🎉

  • @sandyravin254
    @sandyravin254 Месяц назад

    Mimi nazidi wa kwako , ntajileta Tz , more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OmmysniperTV3839
    @OmmysniperTV3839 Месяц назад +3

    Umetisha

  • @Luhyagal289
    @Luhyagal289 Месяц назад +1

    Our African princess 👸 ❤️ ❤❤❤love from kenya 🇰🇪

  • @kinggtz7422
    @kinggtz7422 Месяц назад +2

    All about mas mas and happy new year 🎉🎉

  • @heavenlightfrank6203
    @heavenlightfrank6203 Месяц назад

    Ni mwendo wakuwashenyeta 😜👉🇰🇪

  • @BrendaOsodo-k5w
    @BrendaOsodo-k5w Месяц назад +2

    Hii wimbo imenikill Nandy fans oyeee

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili Месяц назад +5

    ❤mlete,hongera

  • @George_onyango
    @George_onyango Месяц назад +3

    Nandy she is very beautiful and glowing I deligently love the song is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Jeffrey-v7d
    @Jeffrey-v7d Месяц назад

    The African princess utawauwa kwamwendo uuh dah , congratulations My best artist ❤

  • @odaxcontawa
    @odaxcontawa Месяц назад +3

    Ila zombie akipiga🙌🏽🙌🏽

  • @lovarbicard4378
    @lovarbicard4378 Месяц назад +1

    Lovar bicard ❤❤ fans Wangu liké zangu ziko wapi🎉🎉❤❤

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 Месяц назад +3

    Goma kali,sema Limekaa kijinsia sanaaaa 😂😂😂

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba 29 дней назад

    Nandy unajua kuimba Kishida zuchu Ila unarombaya Sana unamonea zuchu wivu Sana acha wivu Nandy hamshindi xouj kuimba sana

    • @FatumaMfaki
      @FatumaMfaki 22 дня назад

      Eti anamshinda zuchu 😂😂😂😂😂 aisee mnapenda jokes sana

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b Месяц назад +3

    Mlete on form🔥🔥

  • @MCKITENGO
    @MCKITENGO Месяц назад

    Nandy kwa hexhima kubw xan kweli umetixh dada yetu sio pw inaitw kali ya mwaka au nasemaj nandy wet????....🎉🎉🎉🎉

  • @TelvoMorisi
    @TelvoMorisi Месяц назад +5

    Kazi zanguu😂🎉🎉❤❤❤

  • @Basso_Steven67
    @Basso_Steven67 Месяц назад +4

    Goma la mwaka 🔥🔥🔥 ✅ 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @MapigoTV-tz
    @MapigoTV-tz Месяц назад

    Bonge la surprise toka kwa dada angu Nandy

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu Месяц назад +3

    nyimbo nzur sana hongora sana❤❤❤❤🔥🔥🔥

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o Месяц назад

    Nandy umeuwa yani sau vocal iliyotumika hapa ni level ingingine kabisa

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b Месяц назад +3

    Nandy never disappoints🙌🔥

  • @AbdallaAli-ov3jg
    @AbdallaAli-ov3jg Месяц назад

    Unajitahid ila kwa Zuhura bado sanaa ila unafanya vizur congrats

  • @mohdmassoud3052
    @mohdmassoud3052 Месяц назад +7

    Ngoma kama ya india vile najiona kabisa namskiliza sharuku hani😂🙌

    • @FatumaHassan-l5g
      @FatumaHassan-l5g Месяц назад

      😂😂😂😂mm nkafkr goma la kizungu yn najiona kbisa nasklza zile ngoma za gym😅😅

  • @HUZZAMSUZNAKISIMBA
    @HUZZAMSUZNAKISIMBA Месяц назад +2

    Ita kuwa wimbo huu kuandika marioo tu

  • @Misedua
    @Misedua Месяц назад +2

    Wimbo mzuri❤

  • @ZuuGojero
    @ZuuGojero 19 дней назад

    Namkubali sana zaidi sana

  • @mabbysettv9951
    @mabbysettv9951 Месяц назад +2

    Love you nandy❤❤

  • @godskinda2962
    @godskinda2962 Месяц назад

    Nilkua simkubali nandi ila kwa hili jiwe walahi nauza vinyanya mshenzi ,,,wooooi mie wooooi woooooi miee

  • @EmmaDrizeJuice
    @EmmaDrizeJuice Месяц назад +2

    Ila ngoma kaliiii

  • @damesabundiko4066
    @damesabundiko4066 10 дней назад

    🎉🎉Vanny boy hatari ❤

  • @lusungurodrigue5446
    @lusungurodrigue5446 Месяц назад +3

    From DRC 🇨🇩🇨🇩🇹🇷🇹🇷

  • @WilondjaSongolo04
    @WilondjaSongolo04 Месяц назад +2

    Kazi nzuri princess wangu

  • @Dj_salu_mtoto_mbaya
    @Dj_salu_mtoto_mbaya Месяц назад +3

    UNABAYA SHEMEJI ❤

  • @moipopstar5735
    @moipopstar5735 Месяц назад +2

    What a hit 🎯🎯🎯