P Mawenge - Customer Care Ft Dj Gold & Foby

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 апр 2023
  • #CustomerCare #Bodaboda #Kiwalani #SimuNaMatukio
    One of the best stories in SIMU NA MATUKIO EP, very interesting and very touching
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 799

  • @izzoboy
    @izzoboy Год назад +63

    Nyimbo kubwa sana enye ubunifu wa hali yajuu piga like kama unaani mawenge ni goat 🐐

  • @WilliamKihundo-gd2qi
    @WilliamKihundo-gd2qi Год назад +133

    tulio angaria zaid ya mara tatu hii nyimbo tukutane hapa

  • @ZinhoAndreMacaica
    @ZinhoAndreMacaica Год назад +46

    P. Mawengwe we noma let me say you are best like kama na mwamini P

  • @nackplankton1669
    @nackplankton1669 Год назад +1

    Mamaeeee aiseee P mawenge inabid aangaliwe sana sio mtu wakawaida......Foby umeua sana chorus aiseee

  • @victorbuchwa3300
    @victorbuchwa3300 Год назад +19

    Ngoma kali sana! Bonge la idea, yaan unaweza hisi idea za kuimba mapenzi zishaisha lakini kumbe bado zipo. Big up P Mawenge🫡🫡🫡🫡🫡

  • @gilbertassenga4343
    @gilbertassenga4343 Год назад +18

    Naombeni likes zangu, mwamba kauaaaaaa

    • @swagaton-ke
      @swagaton-ke Год назад

      P mc you are always the best much love from Kenya

  • @samwelmsuya7874
    @samwelmsuya7874 Год назад +11

    Kiwalani standup ❤😂😂🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🏃🏾‍♂️ am from kiwalani Chadema DAIMA SOKO 🙌🏾

  • @clean.tz2024
    @clean.tz2024 Год назад +1

    Oioi Mzee Mawenge Mbona hujamalizia nini kikafuata baada ya bibie kukutext fanya session ya pili mzee umetuacha solemba man........NGOMA YA MOTO 🔥

  • @Admin-wh2ex
    @Admin-wh2ex Год назад +44

    P MAWENGE his my favorite rapper this nowadays , he deliver what the people wants❤️❤️❤️ more love my brother🇰🇪From

  • @reubenmathias7695
    @reubenmathias7695 Год назад

    Hii ni more than fire inanikumbusha ngoma ya fid Q na matonya ngoma inaitwa USINIKUBALI HARAKA

  • @mchillymber
    @mchillymber Год назад +2

    Mawenge idea zako zinanirusha nyuma sana...zile story zetu za bongo dar ea salaam...

  • @pineapplemelodymaster
    @pineapplemelodymaster Год назад +16

    It's your time Brother achia mawe we unarap vizuri tunasikia mashairi una aidia mpya kila siku hiphop sio kujigamba Bali ni kuburudisha na kuelimisha nakufuatilia mno I like it kazi nzuri video simple ila inaeleweka beat Kali foby kaua coras Kali respect kaka

  • @bwenza_tz5965
    @bwenza_tz5965 Год назад +1

    Mi nasema huyu ni master of ideas Big Up Bro

  • @galacha9757
    @galacha9757 6 месяцев назад +1

    Pmawenge,after nimekuona kwenye interview EATv nimesema wacha niskize ili chupa,,,hii idea 💡 mzee ni mwanga falni wa kibaba,,,oe asikwambia mtu janangu umeweza sana❤😂,,,hilo dundo la mwisho,,"leo niko nae getoh na ugali nshasongewa😂"...Love from Kenya ❤

  • @duveehducci9380
    @duveehducci9380 Год назад +17

    P MAWENGE THE LEGEND ALL THE WAY FROM KENYA🇰🇪🇰🇪 TO T.Z🎉

  • @bmmaresy2685
    @bmmaresy2685 Год назад +15

    Aliepita Kwenye Chorus anaunyama mwingii piaa 🔥🔥

  • @pboymsafiipeterfundii251
    @pboymsafiipeterfundii251 Год назад +4

    Oyaah nyie uyu mawenge froo yake inaeleweka ebu tujuane Kwa like hii comment #mawengeeee

  • @stephanolucas8145
    @stephanolucas8145 Год назад +1

    Sijawai kuwa na shaka na jumbe zako kweny muzki, good idea ❤❤❤❤

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo Год назад +2

    Mawenge uko na maubunifu sana kaka daaaaaaaahhh Bado group Admini siichoki halafu unanichosha na hiiii kaka

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 Год назад +6

    This is your time P achilia Mawe kama haya, Storyline on Top, Video is dope Chorus jamaa kaifanyia justice

  • @emanuelfitani3042
    @emanuelfitani3042 Год назад +2

    Daaah nilikuwa nafikiria niiplay au dsaah p uko gud sana broo maweengeeeeeee

  • @senetaworldwide
    @senetaworldwide Год назад +9

    🔥🔥🔥CUSTOMER CARE🔥🔥🔥CREATIVITY 100% , 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿IZZA BANGER

  • @kamanda007
    @kamanda007 Месяц назад +1

    Foby sauti nzuri sana, Mawenge uko vizuri, hii nyimbo ingekuwa Diamond mngekuwa na view million 50 sasa hivi

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 Год назад +2

    Huyu Director Kaumiza sana humu 🔥🔥🔥

  • @osiahstimah
    @osiahstimah Год назад

    Customer care tuisupport mpaka iwe 1 trending

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 Год назад +1

    Best song mwaka 2023 hadi sasa cjui huko mbele kama kuna nyimbo itaikuta hii ngoma michano amazing creativity the best

  • @moseserasto7011
    @moseserasto7011 Год назад +4

    Ubunifu wa hali ya juu, wasanii wengi hawaimbi ngoma za kueleweka wameishiwa mashahili. Jamaa yupo vzr sana P

  • @franklaurent4042
    @franklaurent4042 Год назад +2

    P ni noma sana Story imetulia comedy kidogo

  • @M7-Band
    @M7-Band Год назад +16

    The best Rapper In East & Central Africa.

  • @bashiteentertainment3298
    @bashiteentertainment3298 Год назад

    Wengeeeeeeeeeeeee nakukubali mpka nawazaga lini ntainjoy show yako jukwaani

  • @asgardunic8555
    @asgardunic8555 Год назад +1

    gud song indeed

  • @UmwamiOrongoro
    @UmwamiOrongoro Год назад +3

    P kama P

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 Год назад +1

    Skuiz na muelewa sna huu jamaa💥💥

  • @vanpido7877
    @vanpido7877 Год назад +5

    Kiwalani finest ✊! Umefanya kama haufanyi tena brother ⚽🥂!

  • @MussaAbdallah-nw9bx
    @MussaAbdallah-nw9bx Год назад

    Bomba la ngoma. Yaani mabomba la ngoma nimekubali asee. P mawenge umeua. Nimekubali asee

  • @immasudi8332
    @immasudi8332 Год назад

    Weenge mtu mbad kbsa nakubari bro 🔥🔥🔥🔥

  • @annahrajabu-bi6vj
    @annahrajabu-bi6vj Год назад

    Nakubali wang god bless you My lovely friend iko powaaaaa 🙏💯❣️💝💓🎊🥳💐

  • @selmaanjumah8522
    @selmaanjumah8522 Год назад +1

    Wengeeeeeee🔥🔥🔥

  • @djromp_kenya
    @djromp_kenya Год назад +2

    P Mwenge vipi bwana...ni mchizi fulani hpa kenya 254 na eeh ban hiyo kazi nzuri mwenzako nimependa hiyo vibe ...kazi nzuri sana..upewe sifa🔥💪💪

  • @abubakarabdallah9297
    @abubakarabdallah9297 Год назад +2

    Daah nimerudia mara nying sana ni nomaaaaaaa

  • @famorsn9834
    @famorsn9834 Год назад +2

    dude... cheza umu umu... ndo pesa ilipo..🔥

  • @Godmaletz
    @Godmaletz Год назад

    Video Kali brother mkubwa p mawengeeeeeee p the mc kiwalani bom bom .ndo nyumban # Godmale tz hapa

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 Год назад +3

    Labda ni masuala ya mtandao 🔥🔥🔥🔥 kanasa customer care

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 Год назад +1

    P umeua mwanangu unique idea... Am your big fan bro. Thumb up guys ✊👍

  • @andreamachumi8713
    @andreamachumi8713 Год назад +2

    Ubunifuu wa kiwango Cha juuuuuu sana😀😃

  • @CertifiedStoic
    @CertifiedStoic Год назад +10

    Nilisikiliza hii kwenye tape ya ‘Simu na Matukio’ nikaipenda sana. Baada ya hii video it’s all coming together even more🔥 Hongera sana Mawenge… blessed with TALENT🙌

  • @beckamohamed469
    @beckamohamed469 Год назад +1

    Uyujamaa atali sana💥💥💥✊✊

  • @jackumemeofficial
    @jackumemeofficial Год назад +1

    Umejua mwanangu we ni noma na nusu

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv Год назад

    Huyu jamaa nimeanza kumuekewa 😂😂😂 anastory nzuri sana 🤣🤣🤣

  • @osmondyfate6599
    @osmondyfate6599 Год назад +6

    Msanii wangu bora sana huyu jamaa 🙌🙌🙌🙌

  • @BasaalChimwenga-ye5vc
    @BasaalChimwenga-ye5vc Год назад +6

    Big up wenge Kenya twakupa high class

  • @jamaliyombe941
    @jamaliyombe941 Год назад +3

    P mawenge,the best MC,mwanangu unajua sana

  • @Babalee87
    @Babalee87 Год назад +1

    Muda wakushika hela nyingi unazidi kuushika vema.
    Sina Shaka na uwezo wako since day one Pacha. Respect 🤳🏾🤝🏾🙌🏾💥

  • @abdutarickmohammed4751
    @abdutarickmohammed4751 Год назад +2

    We maweng dunia nyngne unajua music p1 xana

  • @uchebechata9823
    @uchebechata9823 Год назад

    Boss wa Marapa kila siku utabaki kuwa mkali 🙌🙌🙌

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 Год назад +2

    Oyaa hii collabo kali sana yaan kila mmoja amesimama vizuri kwenye kipande chake hasa foby umeua👉👉😂😂😂🤣🤣

  • @user-if8so4hb5b
    @user-if8so4hb5b Год назад +1

    Ngoma moja hatari sana,mwamba anajua hatari🎼🎼

  • @Doncollins254
    @Doncollins254 Год назад +11

    I like it the way you create a random story and it comes out as a bang!, no 1 fan from 254

  • @udakutv5071
    @udakutv5071 Год назад +4

    Leo asubuhi nlikua bado cjaickiliza hii nyimbo nlikua nawaza siku nimtongoze customer care kama utani my favourite songwriter umeonyesha how is done na imenishangaz kiukwel ckutegemea all in all nakuombea ufike mbali sana bro!! Una kipaji kikubwa sana

  • @flavianpaskal5499
    @flavianpaskal5499 Год назад +1

    nimeisubilia kwa kitamboo 💯 sijawai kukupinga mkali 🎤

  • @arnoldmadebe7242
    @arnoldmadebe7242 Год назад +2

    unyaaaaaamaaaaaa achia mzee

  • @juliustinala4372
    @juliustinala4372 Год назад +6

    malafyaleeeeeee......ulikanunu mwaisa...rap is all about creativity and this one is dope i salute you brother

  • @swedish_james
    @swedish_james Год назад +6

    Mawenge Kenya 🇰🇪 tunakukubali sanaa🔥🔥🔥🔥

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 Год назад

    Kaka mawenge kuandika hits umeshindikana!naomba tu ufanyie kazi promotion ya ngoma zako..branding yako mwenyewe..i guess these numbers shoukdnt be for such a hit song!

  • @mzewasteve4369
    @mzewasteve4369 11 месяцев назад

    Nyimbo ni kali sana..inafaa views million..bt shida managment.... angekuwa kwele lebal kubwa angeshine na huu wimbo

  • @sammichael1946
    @sammichael1946 Год назад

    p mawenge nakukubali kinoma hujawai yeyusha kwanza kuna ngoma kama mama mjane na mitaa nayotoka sijawah acha akuziskiza hii tena hit... noma hsjui hizi mistari unatoaga wapi

  • @kulishaandry5730
    @kulishaandry5730 Год назад +1

    P hujawahi niangusha.... Najiuzaga bila majibu hizo idea huwa unazpataje❤

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Год назад +6

    🙌🙌🙌 #Pmawenge Ur The Best Story Teller... 🎧🎤🎶📻🎥📺🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥

  • @NicksonKamwela-pi4sn
    @NicksonKamwela-pi4sn Год назад

    Daaaah, MAWENGE, mi nimiongoni mwa mashabiki zako kindaki ndaki , naskiliza group admin sijaichoka tena hiii, sema ndo hivo hip-hop bongo haipewi promo but your the best

  • @koffian254
    @koffian254 Год назад +2

    Mwanangu io story noma sna,we mkaly sna mwanangu..💪

  • @nadianady877
    @nadianady877 Год назад +2

    Mmeua sanaaaaa,ila Foby ni talent kubwa mnoooo

  • @emmanuellemike3475
    @emmanuellemike3475 11 месяцев назад

    Bonge la ngoma naangalia kila week mara 8 ,,sema wabongo hatujuagi vitu vizuri ,hii inatakiwa aiende!

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 4 месяца назад

    Wakina p namawenge yetu wala atuna habari Mtoto yupo ghetto anatoa kitu 😂🔥🔥🙌

  • @zamtangaobeid5275
    @zamtangaobeid5275 Год назад +2

    Wa kwanza mm naombeni like zangu

  • @jacktonjoseph3479
    @jacktonjoseph3479 Год назад

    @P.Mawenge we ni Noma aseee ......nyimbo nimeielewa nairudia mara ya 4

  • @sharifuwagge2250
    @sharifuwagge2250 Год назад

    dah braza kichwa kibirit ubongo nyumba...bro una mwandiko!!!!ujawah kosea

  • @kingmawese
    @kingmawese Год назад

    Isipokiwa namba moja intrending youtube wanakuhujumu brooo umeuwa dahh wasikufananishe na machari ww ni level Ingnw

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 Год назад

    Vijana wanauelewa mchezo alafu bonge la India kwenye bonge la ngoma🔥🔥🔥🔥

  • @holykingmedia2429
    @holykingmedia2429 Год назад +3

    Hiki Kibao Nimekuwa nikiwazia video kama hii 🥳🥳🥳🥳💥💯💯💪💪

  • @sattoflavour9344
    @sattoflavour9344 Год назад +1

    P mawenge unajua sana aisee duuh🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mjuba
    @mjuba Год назад +3

    Wengeeeeee 🔥🔥
    Nakubali sana mwamba 🤜🤛

  • @beryboyclaseek7496
    @beryboyclaseek7496 Год назад

    Mawenge, Atari sana mwamba apa customer care alinata sio😂💪💪🔥

  • @oscarsolomon4018
    @oscarsolomon4018 Год назад +3

    Break dance naziona kama ulivyotuahidi😂😂

  • @barakamashimbe9457
    @barakamashimbe9457 Год назад +1

    P mawenge one of the Best HIPHOP anajua kupangilia flow..content..vina na Anaweza ku delivery Ujumbe bila kutumia lugha chafu so anastahili kua Kwenye tuzo za mwana hiphop Bora 🙌🙌🙌🙌💥💥🤝🤝🦁

  • @ronleekiongozi8305
    @ronleekiongozi8305 Год назад +1

    from Kenya aisee ii mliua
    likes za mawenge hapa wazing

  • @edward_ethane
    @edward_ethane Месяц назад +1

    I swear l love everything in this song,the beast, lyrics 👌💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍mob love

  • @makachamusic
    @makachamusic Год назад

    Customer care 💥💥💥💥💥 noma noma ni nomaaaaaaaa

  • @thelaymoworld
    @thelaymoworld Год назад +2

    Wengeeeee❤❤❤

  • @storagetz634
    @storagetz634 Год назад +3

    💥💥💥💥 bonge mboja chupa kaka wewe nimfalme 👑 wahi game👐

  • @dingiiman8654
    @dingiiman8654 Год назад

    kuna wasanii wana imba kuzid ata simba tatizo nyota , nakubal sana broo mawenge

  • @hezronjacob1365
    @hezronjacob1365 Год назад +2

    Kiwalan kid we proud of you broo hii ngoma ni kali bonge la idea 👏👏👏

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 Год назад

    We mjinga unajua sana mashairi mpangilio aseee umetisha sana kweny hili ngoma

  • @lifeofkhalifamweda6358
    @lifeofkhalifamweda6358 Год назад

    Best story teller now songa asubir kidogo

  • @AbihudDismasi-wc2uh
    @AbihudDismasi-wc2uh Год назад

    Mawenge wewe ni hatari daah hivi kwa utongozaji huo kuna pc anatoka hapo daah 👍

  • @richardmandia-ni1rp
    @richardmandia-ni1rp Год назад

    Goma limefikia mbaliiii trending safi kabisa

  • @koffianodichisesa238
    @koffianodichisesa238 Год назад +4

    Nakubali p mawenge huna kazimbovu 🔥

  • @philljombs1151
    @philljombs1151 10 месяцев назад

    You don't fail brother 🎉.👍 Na Fobby mkali pia namkubali

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 Год назад +3

    Asikwambie mtu hii ngoma Kali sana. Umetukumbusha enzi za ngwea R . I . P ngwea

  • @JerryMpex
    @JerryMpex Год назад

    Bonge la idea boy chunya tunakukubali sana👊 mitaa ya lunduno🙌

  • @nkindwaonlinetv2832
    @nkindwaonlinetv2832 11 месяцев назад +1

    unyama sna mawenge ,by zincblesse Artist Baba