Mazungumzo ya wimbo wa #achiajala ni ya kubuni na yamelenga kuchochea majadiliano kuhusu maudhui tofauti ya kijamii kama kanuni za ubaya na wema (moral values), athari za ukosefu wa malezi bora, msongo wa mawazo, ukosefu wa ajira na mahusiano kati ya ongezeko la uhalifu na umasikini. Wasanii wa hii kazi hatukulenga kuchochea maamuzi mabaya kwa namna yeyote. Tunaamini kuwa sanaa hii ni sehemu ndogo tu ya uhalisia na wasanii tunajaribu kucheza nafasi yetu tu kupeleka ujumbe kwa jamii Shoutout to incredible performance by @incredible_nory kuwakilisha antagonistic role kwenye wimbo. Character aliyechezwa na @incredible_nory amekuwa inspired na a legendary character Robin Hood from 1370’s ballads and tales anayesemekana alihisi kudhurumiwa umiliki wa rasilimali na akachukua maamuzi ya kulipa kisasi kwa kuchukua miliki ya walio daraja la juu la maisha na kuwapa masikini #DZSTVN
imeenda broo hujawahi kutungusha kwenye kuandika stroy wewe n ibora zaidi ya hta waandika stry za movie bongo hpa take a time weka stry njoo na movie brooo your master mind on this all in all bonge moja la ndoma bonge moja la idea...... @dizastaVINA
kwa yeyote anae ona hii 2050 achia jala na muscular feminist ni ngoma zilizoleta ukombozi wa fikra kwa vijana wa tanzania natumaini inafanya ivo kwenu pia
Nilikua kijiweni nimepaki bodaboda yangu Ila hii nyimbo imenirudisha ghetto nisikilize vizuri, sikuhitaji makelele ya pale kijiweni. Apa ndo narudi kijiweni baada ya kusikiliza...🙌🙌🔥
Kitu moja kali zaidi na ngoma za Dizasta, ukianza kuiskiliza ata kama wewe ni mtu wa mbwembwe unatulia kwanza na unaanza kuwa conscious🙌🙌 RESPECT genius 👏👏👏👏 Meru Kenya we salute 💯
Hauwezi kuwa mtoto ukisha ZAA. Na mtoto hawez kula NDOTO ikija njaa ,pia kuna mstari wa nyimbo Yako X unasema " MAISHA YA NDOTO YATAISHA UTAIRUDIA KAWAIDA NA UTAGUNDUA Kuwa HAUKUWA MALAIKA" DIZASTAR VINA bro kila nikiingia online nataman kujua kuna nn kuhusu wewe.....ni noma appreciate💯
nimerudi sababu hawa jamaa nilitamani kitambo sana walink up... kama mtu huna skio la ndani huwezi ona hii combination.... kwa haraka natamani kuona more collab btn them than hii moja... sAFI SANA @KAALAMOTO NA @DIZASTAVINA sana brothers.. sio lazima watu waonekane uchi au ziimbwe content za matusi ndio tutrend noooo..... keep on going vina.. time will tell mzee.. i believe this gonna make them notice kwamba HIP HOP is still alive n nobody can against this sababu hata trending imezama bila kick na snare... HIP HOP IS GREAT LIFE AISEEE
Memaliza kusikiliza ngoma nimeagiza NYAMA 😅 Tena metumia pesa ya boss asee😢. Kuna wakati tunasahau kumbe tunàishi mara moja tu😢 KAMA HII NGOMA IMEKUGUSA TIA LIKE 👉
EA anthem “lakin bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪black you don’t have to bend knee ile ki uncle tom ,,, kipaji + maarifa+juhudi+ubunifuu= DIZASTA
Mazungumzo ya wimbo wa #achiajala ni ya kubuni na yamelenga kuchochea majadiliano kuhusu maudhui tofauti ya kijamii kama kanuni za ubaya na wema (moral values), athari za ukosefu wa malezi bora, msongo wa mawazo, ukosefu wa ajira na mahusiano kati ya ongezeko la uhalifu na umasikini. Wasanii wa hii kazi hatukulenga kuchochea maamuzi mabaya kwa namna yeyote. Tunaamini kuwa sanaa hii ni sehemu ndogo tu ya uhalisia na wasanii tunajaribu kucheza nafasi yetu tu kupeleka ujumbe kwa jamii
Shoutout to incredible performance by @incredible_nory kuwakilisha antagonistic role kwenye wimbo. Character aliyechezwa na @incredible_nory amekuwa inspired na a legendary character Robin Hood from 1370’s ballads and tales anayesemekana alihisi kudhurumiwa umiliki wa rasilimali na akachukua maamuzi ya kulipa kisasi kwa kuchukua miliki ya walio daraja la juu la maisha na kuwapa masikini
#DZSTVN
Kaka me ni mwandishi wa vitabu naomba uniruhusu niandike kitabu kwa kutumia wimbo wako wa shahidi & mlemavu
Mhuu Kal sana mtalamu
u know what u do and u r pfct boy❤❤❤🎉🎉
Daaah imekaa poa sana hii track brothers nitaifanya tena kwaajili yenu TAFADHARI
imeenda broo hujawahi kutungusha kwenye kuandika stroy wewe n ibora zaidi ya hta waandika stry za movie bongo hpa take a time weka stry njoo na movie brooo your master mind on this all in all bonge moja la ndoma bonge moja la idea...... @dizastaVINA
Ila kaa la moto ni mbad uyu jamaa all in all dizasta tujengewe Sanamu lako mamayeeee
@scooby 🙌🏾🙌🏾
Huyu jamaa wa vers ya pili ya yeye kauwa kinyama Daaah!
Dizasta unajua tz huna mpizani anae mkubali dizasta like hapa %
kwa yeyote anae ona hii 2050 achia jala na muscular feminist ni ngoma zilizoleta ukombozi wa fikra kwa vijana wa tanzania natumaini inafanya ivo kwenu pia
Nilipenda kuwa ruban ila mambo nimakubwa ukubwani..... Dah kweli Hip Hop shule
Noma sana ..
Naacha Comment leo, nitarudi 2050 nikiwa mzee kuaambia wajukuu wangu kwamba ngoma za Dizasta zimenikuza📌🔥
na reply kwako😎
Niko pamoja na ww mzee hichi kichwa never seen before
(punguza maninja ndo uweze kumkumbatia mkeo) mstari wa maana sana maana ndoa nyingi huvunjika kwa watu wanaoendekeza masela na kusahau familia
Ila aisee bro una content Kali sana Yan nataman Dunia ielew Aya madini adim
Nilikua kijiweni nimepaki bodaboda yangu Ila hii nyimbo imenirudisha ghetto nisikilize vizuri, sikuhitaji makelele ya pale kijiweni. Apa ndo narudi kijiweni baada ya kusikiliza...🙌🙌🔥
Haya maisha yangu ni kitabu,na hii ni page Chafu, So achia JALA😂
Nilipenda kuwa rubani.. ila mambo ni makubwa ukubwani🙌
Mwalimu wangu 🗽
255 na 254 on top nakubali kaa la moto kiumbe
Daah noma sana
Philosophy iko kwenye dam ya dizasta vina ❤
Kitu moja kali zaidi na ngoma za Dizasta, ukianza kuiskiliza ata kama wewe ni mtu wa mbwembwe unatulia kwanza na unaanza kuwa conscious🙌🙌
RESPECT genius 👏👏👏👏
Meru Kenya we salute 💯
kufeli ni kushindwa kujaribu...
Haipingwi mwamba wa Kali🙏🎵
Dizasta noma sana kabla ya kusikiliza ngoma yake nieacha like kwanz sababu najua hukosei
Hip~Hop ipo mabegan mwako bRoo🙌🙌
Noma mzee 🔥🔥🔥🔥
siachii jala broo
Ee bhana brother kamaliza poa sana achia jala
Haya madusko,hatuwez kugawana NUSU.🎙️🎤🎤
Konkiii... Black Maradona ft kaa LA moto... Oya weeeeee toa jala
Kakae kule kwa akina whozu na kina bonge la nyau.. siachii jala bro
Duuh! Huyu Kaa La Moto! ASEE! Mmekutana Wote Magenius Wa Uandish! 👏👏👏
Unajua mpaka unajua Tena anyway achia jala
Hauwezi kuwa mtoto ukisha ZAA. Na mtoto hawez kula NDOTO ikija njaa ,pia kuna mstari wa nyimbo Yako X unasema " MAISHA YA NDOTO YATAISHA UTAIRUDIA KAWAIDA NA UTAGUNDUA Kuwa HAUKUWA MALAIKA" DIZASTAR VINA bro kila nikiingia online nataman kujua kuna nn kuhusu wewe.....ni noma appreciate💯
Mmekutana leo collabo safi sana
Hayo yote chini ya mbuyu! Tafakari hayo!
akili nyingi sanaaaa
Kila nkiikutana namtu uwa namcklzsha ngoma za vina na naacha heshimaaa
Real mcs wamekutana wamefanya real HIP HOP real fans mko wapi? One love from Zanzibar leo kaa limewaka mpaka Zanzibar na Tribulation ipo forodhani
Hakika bro kwa Mabata Aman imefka
Kaa lam moto kauaaaa
Dude tamu sana lazma vijana tujifunze kujitegemea sio wote walionavyo wamerithi wengi wao wamehustle congratulations to both of you Disasta n Kaa
Masters nimekubal
Story Taylor kama story Taylor TANZANIA NA WORLD WIDE naamini sana katika kazi zako
Vina mzee ni 100%
Sisi kitaa ya kino tunamwita dizasta ni teacher wa ma teacher father wa mafather
Uwezo wa dizasta unajulikana kuwa ni next level,, ila leo nimejua kuwa kuna KAA LA MOTO nae ana verse moto balaa
Hata mm pia❤
Iko imara sana🔥🔥
Haujawah kufeli💪
Kuna tofauti kubwa kati ya fid q, geez mabovu , gwair pamoja na wewe. But iyo tofauti ndio wewe halisi .
Pamoja sana, kitabu🙏
Ujawai kuniangusha kaka. Wao wanakuita vina ila kwang ww n darasa la maisha afya ya ubongo
Mpaka wasemee kaka ww niwamoto ❤
Kubwa ✊🏿✊🏿✊🏿
Maadili 💯💯💯 Wakiongea tunasikiliza
angekata tamaa nyerere,,,,, oyaah vinaaa
Namiliki jina la ukoo na sio sheri
Hii n kawaida ya uyu jamaa salout kinoma kk
Nonde sure skills mine
We msengeeee unatishaaaaaaaaaaaa
Kaka meshabiki yako sana
nimerudi sababu hawa jamaa nilitamani kitambo sana walink up... kama mtu huna skio la ndani huwezi ona hii combination.... kwa haraka natamani kuona more collab btn them than hii moja... sAFI SANA @KAALAMOTO NA @DIZASTAVINA sana brothers.. sio lazima watu waonekane uchi au ziimbwe content za matusi ndio tutrend noooo..... keep on going vina.. time will tell mzee.. i believe this gonna make them notice kwamba HIP HOP is still alive n nobody can against this sababu hata trending imezama bila kick na snare... HIP HOP IS GREAT LIFE AISEEE
Bro wew ni alien
Unaweza
ONE minutes remainiiiii wananguiuuu tufurahie kitu roho inaaminiaaaaaaaaaaaaaaaa
Ata sikupingi vina❤❤❤
Dah kweli kusingelikuwepo Taifa angelikata Tamaa Nyerere
🤙
Namiliki jina la ukoo sio Sheri dear.
Sema blood ulinifanya niipende hip hop,, nakukubali kinoma tu
Nilikua nimemiss sana aise haya madini
Memaliza kusikiliza ngoma nimeagiza NYAMA 😅
Tena metumia pesa ya boss asee😢. Kuna wakati tunasahau kumbe tunàishi mara moja tu😢
KAMA HII NGOMA IMEKUGUSA TIA LIKE 👉
Kaka vina we mchfu bro Yan ipingwi oioi kala Kama kala ngose msafiri nakubali 👊
Daaa uyu jmaaa🙌🙌🙌noma sana
"..Upo kwa Era wanaomPenda ndio haJui kuPerform.."
Unabalaaaaa
High ✊️
Kaa la moto kiumbe
Moto wa gesi
EA anthem “lakin bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪black you don’t have to bend knee ile ki uncle tom ,,, kipaji + maarifa+juhudi+ubunifuu= DIZASTA
▶ noma sana ACHIA JALA✍️ndio ushaamua sasa tutafanyeje🙌
Heh! Yoh bro,
Mwenye vina viake 🕊️
Nimaaaaasaaa tiche
Na wait fundi
Hauwezi kuwa conscious alafu tumbo empty
Kala moto❤
Kama unakubaliana na mimi kwamba hii Combination inatakiwa irudie collabo nyingine gonga like hapo ili washtuke
Dizasta umeangamiza shout out kwa kaa la Moto
Sitaki kuuza ndoto kama bidhaa..
Ila mtoto awezi kula ndoto ikija njaa.. 🙌
Oyaaaaaaaaaaa
Oya wana tunakukubal dizasta achia mawe acha ukimyaaa
Daaahh
Nimeshindwa leo sio kwamba nilisinzia jana 😂 😊wewe bhna Kwa mandishi nakukubali miaka buku ..unajua sana
Noma sanaaa🎉🎉🎉
Daaaah. Kaka kwa hiki chuma aseeeh!! Ni atr sana. Yan ni zaidi ya darasa. Mungu akujalie zaidi kaka
uu muziki ni shule level za juu sana
Oyaa wee hili jinii
NAAAMH HONGERA SANA KWA KAZI YENYE UJUMBE
Kali sana hii
Daah wewe ni noumaaaaaa
THE GREATEST OF ALL TIME..HUTAKI PITA HIVI
Nasubiri Kwa hamu kubwaaaaa mnooooo kama mda haisogei vileee!!!!
Hiyo ni sura ya tilli boy