Sudi nikk tunamjua vizuri kulko wewe lakini huyu Kalamoto anaweza kukaa na nikki mbishi fid q, sterio chidbenz jcb songa one incredble wakazi youngkiller na wakatafuna kayoga vizuri kakasagika broo♨
Kama huitaiweka Kwa nafsi as in take it personal basi kila mmoja ana Uhuru wa kusema na kutoa wazo lake na kuskika na kutoa sababu zake. Lakini wazo lako haliwezi kuwa la mwisho ukisema ndio basi. Sijawai msifu kaa la moto ila hii nyimbo ni Kali manake imetoka moyoni. Dmx said, "if it comes from the heart it can't be ignored". Naitwa FELLOW B rapper toka Mombasa ambayo huyu kaa la moto yuwatoka na mda utasema vizuri
Nina swali tu nasii kwa ubaya, Kaa La Moto is best in Kenyan Hiphop nashangaa mbona views chache ilhali zigo hili kubwa Kenyans time has come to supoort this kind of Artist, Nakufatilia Nikiwa mjini Nanyuki
I always thought hip hop was dead in Kenya, but after listening to this, I must say that kaa la moto has raised the dead. You are now m best rapper in Kenya, keep it up, you'll go places. After johnny Vigeti, there is Kaa la Moto.
Nobody in Kenya can surpass such lyrical prowess as this possessed by Kaa La Moto.Nobody.Too bad Kenyans only support trash music and celebrities.Long live Kaa La Moto🙏🏾
Hawa ndio Eric Omondi anapigania waskike sio Khaligraph ama Bien, bien has a flow but zero lyrics.. they should sit down and we raise bars for our underground hip hop… I respect u KLMoto🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Kaa la moto ni mnyama sana hii ndo hiphop tunataka kusikia kutoka Kenya sio Unasikia track huwezi tofautisha na wamarekani babu Kaa la moto peperusha bendera ya Kenya tunakupenda bongo
Gonga Like Ako Kama Umemkubali Kaa La Moto Twende Sawa 254
KLM🙌🏾🙌🏾
Fanyeni Mambo
This guy my God yyyyyyyy is he not famous ain't nobody this talented
There so many more than him
He's talented
I wonder too
I agree with you 100
He should be humble and keep pushing his art. One day yes.
So deep trillest MC in east Africa love from Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
This is what Kenyan hiphop misses,it's roots!
K.L.M Ni Mwandishi bora wa swahili Hiphop East Africa baada ya Fid Q.Bisha tuone.
Mikono juu kwa k.L.M
Nikki mbishi unamjua..?!
Sudi nikk tunamjua vizuri kulko wewe lakini huyu Kalamoto anaweza kukaa na nikki mbishi fid q, sterio chidbenz jcb songa one incredble wakazi youngkiller na wakatafuna kayoga vizuri kakasagika broo♨
Ukiachana na fid kuna uyoo dizasta vina
Kama huitaiweka Kwa nafsi as in take it personal basi kila mmoja ana Uhuru wa kusema na kutoa wazo lake na kuskika na kutoa sababu zake. Lakini wazo lako haliwezi kuwa la mwisho ukisema ndio basi. Sijawai msifu kaa la moto ila hii nyimbo ni Kali manake imetoka moyoni. Dmx said, "if it comes from the heart it can't be ignored". Naitwa FELLOW B rapper toka Mombasa ambayo huyu kaa la moto yuwatoka na mda utasema vizuri
LYRICISIM bruhhhhhhhhhhhhhhhhhhh. This will be around for years to come. SALUTE G.
ONDU STREETLAWYER
This is wot we call classic music shit tha will stay for ages n generations.
“Nalindwa na dua nazile mnaziita swala “
hahaha Ondu. Who knew tutawahi patana kwenye comments section hahahaha
Nakubali kakaa ngoma kali shiney hapa
Malishoni alishwe ndama, wakwanza kwa familia ilibidi nimtunze mama eishhh jombaaa you are beast,sangooo umeuwa beat🙌🙌🙌🙌
Masha allah akuzidishie kipaji chako alicho kupa mola
No cursing Just straight up hiphop clean n deep this is a rebirth of kenyan hip hop ...sounds like Maumau ukoo flani
Shukrani kwa kuteka mawazo yangu na kulisha mafikira yangu! K.L.M
Nina swali tu nasii kwa ubaya, Kaa La Moto is best in Kenyan Hiphop nashangaa mbona views chache ilhali zigo hili kubwa Kenyans time has come to supoort this kind of Artist, Nakufatilia Nikiwa mjini Nanyuki
This guy Kenya ana uwa namkubali sana
Oooiii...
Umemaliza G..
Zaidi ya nlivyofkiria... thnx 4 representing homeboy
Real Kenyan hiphop budaa...Dope lyricizm, mad beatz, great video wacha tu
2020 kama unaikubali hii ya Msafiri gonga like ...........hiphop sio uhuni..#Edu-entertainment
Content ya kizazi mashairi yameenda shule dope song big up K.L.M
Immortal technique wa Kenya bana kaa la moto si ukuje ufanyie kazi Nairobi upumzishe Octopizzo sabu ameishi kutuimbia utoto
Mswahili msafiri kafiri.... Ya leo kali #msafiri
I always thought hip hop was dead in Kenya, but after listening to this, I must say that kaa la moto has raised the dead. You are now m best rapper in Kenya, keep it up, you'll go places. After johnny Vigeti, there is Kaa la Moto.
...IFANYE REMIX NA FID- Q! Hii ngoma Daily iko kwa list yangu nkienda Gym!
Itakua dope sn🔥
Oyaa kaa moja safi San video bala mungu akubariki gonga like Kama wamkubali kaa
Wakilisha mwana Mbs ndio kitaaaa
Kaa la Moto isn't just an artist but the East African hip-hop icon
Duh kaa kuja polepole mistari yagonga ndani ya roho watupa pressure! Naskia kama story yangu umeieleza wewe. 👏🙌👌...
Nakubali jibaba hip hop for life
Ukiskiza ukiwa gulf unaifeel sanaa big up bro
Nalindwa na dua na zile mwaziita sala!
Kaa la moto akiwa home kwetu kabisaa 😁😁 mtkenya
Video of the year no doubt...lv toka githurai..
yoo kaa you are number 2 to no one
Unatembeaga RUclips you realize how mainstream has deflated our industry,,Djs mmetuangusha big time. This is a big, timeless song
💯
Kazi safi sana brotherman
100 audio 100 visual. Big up
Nobody in Kenya can surpass such lyrical prowess as this possessed by Kaa La Moto.Nobody.Too bad Kenyans only support trash music and celebrities.Long live Kaa La Moto🙏🏾
Ngwande ngwande mjomba mzuka mahali kwake💪💪💪💪🔥🔥🔥💯💯
So Kenyans you want to tell me this video hasn't hit 100 k views. Leave alone a million.
Soooo Saaaaad.
A lost world indeed
Hii video ulishoot Nanyuki🔥 lyrics ziko freshi sanaa💪🏾
This track is so hard hahaha am a big fan ever since
kaa la moto umenyamaza sana sijui kwann n mm n fan wako ile mbaya kutoka kisauni swalihina apa
2023 and listening to this .timeless
Bonge la pini bloody, kiumbe! Mtu asikwambie kitu Mombasani twakutambua ile mbaya, mwana 👊🔥
KING 👑 KAA IS BACK...kaly sanaah brouwh tofauty
Sikiza mashairi ya mjukuu wa mmaasai...those brothers out there in foreign countries mkizumbua riziki, this song speaks a lot!
Big up bro
Nimeelewa Sasa Maanake 'KAA LA MOTO' Hizi barz zachoma mwanangu
From #RNN wewe ni mnoma kwenye hii sanaa. Lots of wisdom on your music
Ligi Moja na immortal techniques
bado tuko hapa ... from SEATTLE. WASHINGTON....tupo salama,,, mwezi wa tano 2022
Ajab!! the visual storyline on point... worth watching
Noma sana
Moto... 🔥🔥🔥
Video concept 💯
Good music 🎶
Hawa ndio Eric Omondi anapigania waskike sio Khaligraph ama Bien, bien has a flow but zero lyrics.. they should sit down and we raise bars for our underground hip hop… I respect u KLMoto🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Haujawahi nibwagaaa mzea,,, more
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
#RealRecognizeReal KaaLaMoto🔥🔥🔥pure #Edutainment 💯💯Ni Mziki si Kiki.., Msafiri anajua East o' West Home b Best🤝👏🇰🇪🙏
3:08-3:18 Mo faya!!
The one & only running coast
Stephen Ziro Watch out for Fellow B
@@issaadam867 alafu nakuona kijana wangu
Wamjuwa Fellow B
Kitu nzito man killer stuff
Kennedy Bahati vile inafaa! Amani sana kaka
Hey brother mpaka ume taja kunta kinte.... You have exposure... Dope track
This is like the Don Williams of country music....gentle giant. Very unique, very talented but most of all....very underrated
This is a big tune, Very few know how a good music sounds like 🔥🔥
@@RichardAether thanks
Kaa la moto ni mnyama sana hii ndo hiphop tunataka kusikia kutoka Kenya sio Unasikia track huwezi tofautisha na wamarekani babu Kaa la moto peperusha bendera ya Kenya tunakupenda bongo
Hii ni moto sana babaz
You represent the really situation happen to the people who living in Diaspora
This guy is the next big thing in East Africa!!He is soo real in what He preaches in the name of Music.
2024 Niko hapa
Uspime aise 🔥
Msafiri ⚡️
Katika wasanii wa Kenya namkubali sana Kaa la Moto 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿
2023 mkuu unaweza wee ni POETRY Dizasta Vina wa Kenya ndio mana Fid Q kakuchukuwa #KITAAOLOJIA
Kenyans saa zingine tunabebwa ufala....this is the kynda talent that should be playing on our TV's...but we have to put up with so much bull****
Kaa LA moto mziki mnene
Fellow B appreciates the creativiy in this song from beat, chorus and lyrics. Iko sawa
Wewe ni balozi mwema wa Kiswahili....Tunakushukuru
Iko hatar
Mzuka sana
Kali sana
Nafurahi nikickia msanii wa nyumbani akiflo poa aisee inapendeza sana big up kaa la moto(hili kaa lina moto lizime ulale njaa)
Kaa la moto jina kubwa......immortal technique wa Kenya
Hatari sana hii ndio hip hop napenda lyrics zake kubonga kuhusu real life sio bombe na Wanawake mziki imekomaa mziki imeenda shule fid Q wa kenya 🇰🇪
Listening Now
kali sana...big up bro
Wow wow Smart Smart ina ingia saaaaaana inafundisha sana hongera hongera,,,,,💃💃💃🕺🕺🕺👌👌👌😍😍😍😍
Hii ndo hip hop bt kenya ni nchi isiyoelewa ..Djs hawataki kucheza ngoma zetu!
🔥🔥🔥 visuals kali sana
...wanaokupiga buti naskia ni wajukuu wa nabii🎤🎼
Here from Mejja at Tuko. Big up man!! Good stuff!!!
Well done bros 🙌💯🔥🔥🔥👏👏👏
15th replay...damn
Havire sanare mwanare 💯▶🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
From iko nini walai sijui kama tuko na KLM yuko juu sana💪💪💪💪💪
This guy need to be on top of the game..Bonge la ngoma🔥🔥
Niceee iko juu the message n the video dope
Wanaopiga Mateke naskia ni wajukuu wa Nabii.That hit hard.
Kaa la moto...mmoja baadhi ya wasanii na tambua nchini, kazi yako inamanufaa boss.
Love kwa mabaharia na masela wote beach lolote lile, kazaaa
Braaaap Moto Kaa
KLM for life. One of the few musicians that I can listen all day long.
@@tales254 Asante
Eeee bro kipaji kiko kakaa,, Nakukubali kakaa , Mungu akufungulie
Kaa la moto anakubali bibilia....respect kwake
Congrates kaka mdogo....hip hop daima.
👌🏾🔥🔥Good music..kipup👊🏾
This guy deserves more recognition
Msafiri hii nzito sana
Kaa ur bad mzee joh nairobi hapa wnaimba hip hop ut upuzi ....u feed me good music which am always hungry for hip hop