The best way to maneuver an enemy. Masterpiece song. According to Sun Tzu, the art of war, then, is governed by five constant factors to be taken into account in one’s deliberations when seeking to determine the conditions obtained in the field. In my understanding, you have applied the 3rd principle, which is EARTH. Lyrics was well planned for a future big win.
" mitihani hii haina majibu palipo amani pana taifa nadhifu usitegemee niwe msafi kama malaika wa mbingu na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu" this provokes a tear Bro 🔥🔥✍️ wino kweli ulimwagika hapa Love from Kenya
oya kaka mkubwa lile atomic bomb unalo andika usisahau kuna mwengine kaunga, motra the future sasa iki kupendeza wa jumlishe tuu wote. Ata ikiwa nyimbo ya lisaa tunaskiliza😊😊
Ngoma ya Dkk 8 Trending on top 5 Zilizobaki hazifikishi Dkk 5 Do you know what it takes to listen to a 8 mins song that doesnt talk about Love/sex/gossips/Politics but STRAIGHT AND RAW HIPHOP!? Oiii "D" that is history
If Rapcha is typing...he better be ready to become she...Dizasta anauwezo wakumbadili Fid kuwa sajna,yeye atabadilishwa jinsia kuwa Zuchu..Akacheze na watoto wenzake wakupiga kelele hapo anaingia kwenye tanuri la🔥🔥🔥
Vigezo wanavyoangalia hao sijui ni vipi ili ikija upande wa usawa hilo tuzo lingaichiwa DIZASTA alihifadhi kabisa maana hakutatokea tena mwengine atakaekuwa na uandishi kama huu
@@igpk2275 hapo target yake kubwa ni Rapcha ndo maan 80% ya hii nymbo inamuhusu yeye na wala sio diss kwa rapcha hapan ndo maan always anasound we are best friend anamwambia ashukuru sana leo kaka ake anampa darasa bure kwa kuwa ana maujuzi kama Ngwear ama Bruce Lee
Me naona Rapcha arud kwanza darasani mamaee!! Bro,..umeua!! Napenda ngoma ka hz,..c kwa ubaya ila zinachangamsha sana ubongo. Kumbuka,.hajatusiwa mzazi wa mtu yeyt,..HESHIMA
"Wanaita wanawake mabitch, utadhani hawatapata mabinti" "Futa candy crush kwenye simu" "Siwezi ringa nyumbani mbali bro" "Furaha yangu ni kuona umamretire bi-mkuwba nyumbani" "Pole sana universe doesn't play fair" "Ukilala game itakujig-jig now now".... These nukes are not for an individual, Dizasta is attacking an archetype... He is a poetry genius and a gift for our generation.
Hii inanikumbusha Machine Gun alivyomdis Eminem Killshot ikamuhusu aisee rapa wenu amechokoza mzinga wa Nyuki hii ikawe fundisho Kwa marapa wote wanaodis Culture Dizasta is A Legend men ✊🏾
Shida watu wamemjua jamaa juzi tuuu ndo maana Hata wanafananisha na hyo anayeimba Kwa Sauti ya juuu kama kwaya huyu mwamba anajua na nyimbo zake zingine unaweza usielewe Hata mwaka mzima
Sema Tanzania atuna usimamiz mzuri kwenye sanaa kwamana Ukiangalia Tuzo wanapewa wale ambao hawajui uandishi Bali mziki wao una Bebwa na mabiti yenye mkito mkarii na sio uandishi. Wale ambao Wana jua uandishi na hawana promo wanakuwa wanajifanya hawawaoni na hawathamini ila cc mashabik tunazd2 kuwafuatilia atuchoki 🔥🔥🔥🔥 Dizasta is better artist kweny nchi hii uandish wa umakin kama Huu wanao wachache sana na Hawana promo nying na Wala hawapew kipa umbele kwenye media yeyote apa Bongo 😥😥
There no coming back after this, this is a straight casket. Mtu anakufundisha alafu anakudiss alafu tena anakukumbusha alafu anakuelimisha alafu anakudiss alafu anakukumbusha. Damn.. after professor jay, fid q na nikki mbishi nimewapa hii nafasi kwa ajil ya u legend... ila this guy disaster nobody can fuck with him, alafu its a miss match katumia bunduki kuua mende
Lunya left.. Rapcha Typing🤔.. Tale trip to garilaya.. Fela Muted... Kadgo Witness.. Candy Crush Uninstalling.. Mavuzi got Respect🙌🏾.. Mende got shot💥 Kanisa knows everyting about Dizasta🫢 I'm going to react this Case🏃♀️
Tupo tofauti kama sigara na tumbaku so ukiletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Huu mstari nimeuelewa sanaa kaka hakuna rapper yeyote anaeweza kua kama ww wewe ni the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rapcha umekanyaga waya huyu jamaa SI wakumdiss kabisa hili goma utazani limetungwa miaka 100 kumbe limetungwa siku 1tu na kichwa timamu dah dizasta unajua sanaaaa& good song@
Hii sio level ya Rapcha,badala ya battle inabidi asujudu...na hili ni onyo kwa wote,never mess with DIZASTA uwezo wako wa kufikiria sio wa dunia hii.. kaeni mbali na huu 🔥🔥🔥
Dizasta bro hii ngoma ilikuvusha ligi kubwa ikakupeleka ligi special uliua sana mwamba hapa niliproof u are the best beast iko siku watakuelewa tu niamini
Rapcha alilikoroga...hii kapigwa kwenye kila mshono lazima ainame na kusikilizia maumivu😅😅😅. Nilikua namkubali Rapcha ila kumdiss Vina imebidi nimpunguze kwenye favorites. Dizasta, take a bow brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@@totojinga2795 yan ata hazifanan we jamaa disaster hajawai kurudia beat...mi nawashangaa wanaosema nymbo zake beat lile lile....tatzo watu wanaskia ila hawamskiliz mshkaj ni 🔥🔥
Sikuwahi kua shabiki kindaki ndaki wa huyu mwamba ila Kwa hili me nishabiki ako namba Moja kwanza kitu nilichopenda kwenye dis track Umeonesha uwezo Alafu pia humu Kunalaza Pia huja dis mtu umemuelimisha chalii 🔥🔥🙌🙌
Nimerudi kuiskiza tena ...hapa..baada yakuskiza ..ngoma ya Motra the future( Sisi sio marafiki)..lakini bado...haiwezi fikia Best friend ya king Dizasta Vina🙌🙌🙌
mara ya mwisho, pigo kama hili alipigwa lil pump baada ya kumgusa J cole (1985)🔥🔥🔥 "wekeza ujikimu" "futa candy crash kwenye simu" "wenzio walinijadili wakavua tai" Dizasta
Tumpe maua yake akiwa hai maua hayatamsaidia kitu akiwa mdani ya jeneza...heshika sana D mwanangu nakukubali ile ile nna ngoma zako zote asee kila ukichapisha napitia hilo chapisho lako hongera sana🤝
Every now and then I come to revisit this masterpiece. For my mental health
best song ever ..the reality on it is lit broo ...kazi safy
The best way to maneuver an enemy. Masterpiece song. According to Sun Tzu, the art of war, then, is governed by five constant factors to be taken into account in one’s deliberations when seeking to determine the conditions obtained in the field. In my understanding, you have applied the 3rd principle, which is EARTH. Lyrics was well planned for a future big win.
Watoto wanakuja jana af wanadiss babazao 😅dizasta shkamoo
" mitihani hii haina majibu palipo amani pana taifa nadhifu usitegemee niwe msafi kama malaika wa mbingu na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu" this provokes a tear Bro 🔥🔥✍️ wino kweli ulimwagika hapa Love from Kenya
"Mjini umekuja juzi juzi alafu unaleta makuzi mamaye" kama umesikia hiyo acha like🔥🔥🔥🔥
Mstari wa rapcha huo nn
Black maradona hatari
Rapcha choko yule
Imesikika hiyo naniukweri
ukosawa yooh
Tulio lud kusikiliza tena hii ngoma tujuane kwa likes apa
Haya mlikua mnabisha Kaka yangu dizasta hatojibu niliwaambia ni Kaka yangu namjua sio mnyonge manina likes hapa nizione 😂😁😁
Professorial substance, really substantial,full body of work,maths, science and history all combined.The reach for the stars.
Black maradona
this is space's stuff....... people on the earth can not manage
@@luganonsubisi3418 anakwambia yupo tayari alikua tayari na ameshakua tayari
yaani NI wewe2 ukijichanganya anakunyandua
@@luganonsubisi3418 >
Scientists 📻
oya kaka mkubwa lile atomic bomb unalo andika usisahau kuna mwengine kaunga, motra the future sasa iki kupendeza wa jumlishe tuu wote. Ata ikiwa nyimbo ya lisaa tunaskiliza😊😊
as usual, track yoyote ya Dizasta huwa like kwanza kisha nasikiliza, Likes zangu hazijawah kwenda Bure. Dizasta Genius sana
hahahahha
Kumbe wewe kama mimi naanza kulike kwanza alafu ndio nasikiliza.
Hakika
Black maradona
Ngoma ya Dkk 8
Trending on top 5
Zilizobaki hazifikishi Dkk 5
Do you know what it takes to listen to a 8 mins song that doesnt talk about Love/sex/gossips/Politics but STRAIGHT AND RAW HIPHOP!?
Oiii "D" that is history
Nishadiss hadi kanisa langu msenge, hukumbuki unataka Niue mende kwa bunduki 😀😀😀
master on teaching mode 💪
Edger Vicent Mwaipeta MNYAKYUSA,,,,,,,,The Black Maradona
Professor Tungo
Lunya left..🚶♂️
Rapcha Typing...📝
Tale trip to garilaya...🚗
Fela Muted...🔇
Kadgo Witness..😇
Candy Crush Uninstalling...🚮
Mavuz got Respects 👮♂️
Mende got shots🔫
Kanisa knows everything about Dizasta
If Rapcha is typing...he better be ready to become she...Dizasta anauwezo wakumbadili Fid kuwa sajna,yeye atabadilishwa jinsia kuwa Zuchu..Akacheze na watoto wenzake wakupiga kelele hapo anaingia kwenye tanuri la🔥🔥🔥
Huyo mtoto mwacheni apate somo. Kakutupukia rap Alafu hataki Elimu. Shenzi Sanaa hawa watoto wa type yake.
P hajakwambia game jela,sio daycare?🤣🤣🤣🤣
😂😂😅😅
Black maradona hatari
Kila Mwezi lazima huwa nirudigi hapa kusikiliza. Nitaendelea na utaratibu huu hadi Mwisho.
Huyu mwamba apewe tuzo yake ya utungaji Bora, Ngoma zake zote Kali asee🔥🔥🔥
Nakubali dizasta anaulimwengu wake kwenye huu mziki
Akili zao haziwaruhusu kumuelewa ila ngoma za dizasta zinaishii 💥💥💥
Uandishi wa huyu jamaa apewe kazi kwenye ngazi Fulani afundishe wasanii 🔥🔥🔥🔥🔥
Vigezo wanavyoangalia hao sijui ni vipi ili ikija upande wa usawa hilo tuzo lingaichiwa DIZASTA alihifadhi kabisa maana hakutatokea tena mwengine atakaekuwa na uandishi kama huu
Oya kaka ngoma zake uhakika
Hizi Dakika 8 za maangamizi make hip hop Culture iko hapaaaaa...
Dizastaaaaa....
Hatwariii,kauwa Sana panorama
Hao ndo watu waliotoka kwenye dunia ya punchline,dunia ya uandishi bora 💪💪💪💪watu wenye sanaa yao
Hii ngoma ina unyama mwingi sana nimeplay mara kumi kuisikiliza ❤❤❤❤
Hiyo inaitwa kung’atwa nakupulizwa, unapewa vitu alafu unapozwa you are my best friend 😂😂
Nimecheka 😂😂😂😁😁😁
Hahahahaa hatari kaka
Dah na enda nunua Album yah huyu mwamba kwa kweli 🦅
Nimependa sana huu mstari "Shukuru leo kaka ako nipo so school is free ,skills ka' Albert Mangwair ama Bruce lee" 🔥
Kamaanisha nn hapo
@@igpk2275 hapo target yake kubwa ni Rapcha ndo maan 80% ya hii nymbo inamuhusu yeye na wala sio diss kwa rapcha hapan ndo maan always anasound we are best friend anamwambia ashukuru sana leo kaka ake anampa darasa bure kwa kuwa ana maujuzi kama Ngwear ama Bruce Lee
Umeelewa nn lakn hapo kiongozi??😳😳😳
Eeeh bana nmecheka saana niliposkia huu mstari
Mamaeee🙌🙌🙌🙌
Kuna ngoma moja huyu jamaa sijui kashirikiana na Nan vile ....hila anabishana na bounsa ivi....john from Kenya nisaidieni kuipata
Yupo na Shaulin inaitwa Baunsa
Me naona Rapcha arud kwanza darasani mamaee!!
Bro,..umeua!!
Napenda ngoma ka hz,..c kwa ubaya ila zinachangamsha sana ubongo.
Kumbuka,.hajatusiwa mzazi wa mtu yeyt,..HESHIMA
futa candy crush kwenye simu ✊🏾
Bongo rapa ni wawili tu Dizasta na fid q wengine ni fujo sema dizasta umeniangusha kumjibu yule dogo ule bado sana
Dizasta vina's tracks you can't listen while walking. You must sit down. 🔥🔥🔥🔥
Kama umesikia Rapcha kamalizwa kwenye verse ya mwisho weka like hapa 👍👊
Kapewa Kuma Mae
Hatari aiseeerr
Demu wake yupo Dubai na kichupi🤣🤣🤣
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa mammaeee hahahahaaa 🤣🤣😂🤣🤣😂
@@ibrahimusuphian454 🤣🤣🤣🤣
Tuliotoka kule,na tukajua dogo kakurupuka tena
Kama unaamin dogo rapcha kayakanyaga gonga like apa 🐐
Dizasta n vorteller
Rapcha is still young here...Dizasta 💯
Rest In Peace Mangwair Hip Hop legendary. Hollaa Dizazta U re too a legendary bro
"Wanaita wanawake mabitch, utadhani hawatapata mabinti"
"Futa candy crush kwenye simu"
"Siwezi ringa nyumbani mbali bro"
"Furaha yangu ni kuona umamretire bi-mkuwba nyumbani"
"Pole sana universe doesn't play fair"
"Ukilala game itakujig-jig now now"....
These nukes are not for an individual, Dizasta is attacking an archetype... He is a poetry genius and a gift for our generation.
Not to mention the wordplay skills 🙌🏾
I had to screenshot this bro, stored on my archives ❤
Well put
Sawa fundi tungo, Mungu akuhifadhi zaidi na kukupa maarifa .......unawalea leo kesho wananyea kambi
ARGENTINA IS PROUD OF MESSI.... HERE TANZANIA OUR MESSI IS DIZASTA. THIS MAN IS COMPLETE PACKAGE THAT THE INDUSTRY NEEDS.
Hii inanikumbusha Machine Gun alivyomdis Eminem Killshot ikamuhusu aisee rapa wenu amechokoza mzinga wa Nyuki hii ikawe fundisho Kwa marapa wote wanaodis Culture Dizasta is A Legend men ✊🏾
Ni sawa umemfukuza mtu mpaka kwake akaingia ndani akatoka na shoka 😂
Dogo aliyakanyaga Eminem kaenda kuua
Rapcha kaingia cha kike
@@Damiantuby 😂😂😂😂
@@mugadimon3563 Vina ana line moja anakwambia
Kibaha mile moja/
Mi ni 8 miles-eminem/
99 tafuten pa kupeny maana c kwa moto wa dizasta. Mtakuf ghafla bila kuugua😂😂😂😂😂
"Tunaiheshimu culture tukifagia hatutupi ndani"🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shida watu wamemjua jamaa juzi tuuu ndo maana Hata wanafananisha na hyo anayeimba Kwa Sauti ya juuu kama kwaya huyu mwamba anajua na nyimbo zake zingine unaweza usielewe Hata mwaka mzima
Sema Tanzania atuna usimamiz mzuri kwenye sanaa kwamana Ukiangalia Tuzo wanapewa wale ambao hawajui uandishi Bali mziki wao una Bebwa na mabiti yenye mkito mkarii na sio uandishi.
Wale ambao Wana jua uandishi na hawana promo wanakuwa wanajifanya hawawaoni na hawathamini ila cc mashabik tunazd2 kuwafuatilia atuchoki 🔥🔥🔥🔥 Dizasta is better artist kweny nchi hii uandish wa umakin kama Huu wanao wachache sana na Hawana promo nying na Wala hawapew kipa umbele kwenye media yeyote apa Bongo 😥😥
@Rapcha kachambia upupu @dizasta vina sio mtu mzuri
Nyieeee Hii ngoma nilishaiskiaza kesho ni kali snaaaaa yan inafundishoooo
Kwa kweli huyu dogo nneskiliza ngoma zake kadhaa kuna KANISA, KIKAO, ..ila iyo kikao dah
Ile Siku mbaya na Hatia V, daah!!
There no coming back after this, this is a straight casket. Mtu anakufundisha alafu anakudiss alafu tena anakukumbusha alafu anakuelimisha alafu anakudiss alafu anakukumbusha. Damn.. after professor jay, fid q na nikki mbishi nimewapa hii nafasi kwa ajil ya u legend... ila this guy disaster nobody can fuck with him, alafu its a miss match katumia bunduki kuua mende
Ah apo rapcha kaya kanyaga hawezi ku bato na uyu jamaa
💣💣💣 weka mbali na watoto 18🚫⚠️
Sijawahi kuchoka ngoma zako very deep feeling
Nikiwa naweza kumgeuza fid q kuwa sajna..
Dizasta daaah
Legend ni legend tu kwa dizasta uyu dogo wa 1999 atauponza
KAMA UMERIRUDIA HILI GOMA MARA KUMI KULISIKILIZA GONGA LIKE HAPAAA DIZASTA VINA MESSI WA HIPHOP🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Sio mara kumi km tisini
Nmeirudia masaa yote ata sielewi n mara ngap
Iko kwa repeat mode,nimeisikiza siku nzima naona kama ndio naianza mara ya kwanza...lazima apate somo la bure
Sio mara kumi tuuu mara Kwa mara
Sijui ushabiki wa mziki unazingatia nini kwakweli..huyu DIZASTA kwanini sio msanii mkubwa??uandishii utaupata wapi???
Daa huyu mwana noma leo nimesikiliza nyimbo zake zote 🤛🏼
Lunya left..
Rapcha Typing🤔..
Tale trip to garilaya..
Fela Muted...
Kadgo Witness..
Candy Crush Uninstalling..
Mavuzi got Respect🙌🏾..
Mende got shot💥
Kanisa knows everyting about Dizasta🫢
I'm going to react this Case🏃♀️
Go go go bro 💥💥💥
Bro tufanyie reaction hii😂
😂😂😂van
😅🤣🤣
Your wellcome
UNYAMA DUU ASEE WAMEKA NDO KWANZA NJANUARY HII💥💥💥💥💥
Siwezi ringa nyumbani mbali Bro 🙌🙏
Deep thinker 💥deep writer 💥 deep delivery 🔥🔥Usiuwe mende Kwa bunduki📸
Ujawahi kuangusha kizazi cha mashabiki wa hiphop,what a masterpiece.we need u bro.mamae.
Nilishasemaga tracks zako zitumike kama lecture katika vyuo vikuu hapa inchini... This shit is hot 🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥 real the blackmaradona 👊👊👊👊
oyaaa wee hii ngoma unatoa album 1000 za raptcha😃💥💥💥kumamake 🙌🙌🙌
Hahahahah. Mamaee wallah dah
🤣🤣🤣🤣
yan inshot mwaka ushafungwa😃😃😃💥
Kumamake huyooo
@@Kalifikra akanywe sumu tu😃😃
Rapcha kaa mbali,iki kichwa balaaa
Tupo tofauti kama sigara na tumbaku so ukiletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Huu mstari nimeuelewa sanaa kaka hakuna rapper yeyote anaeweza kua kama ww wewe ni the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rapcha umekanyaga waya huyu jamaa SI wakumdiss kabisa hili goma utazani limetungwa miaka 100 kumbe limetungwa siku 1tu na kichwa timamu dah dizasta unajua sanaaaa& good song@
Hii sio level ya Rapcha,badala ya battle inabidi asujudu...na hili ni onyo kwa wote,never mess with DIZASTA uwezo wako wa kufikiria sio wa dunia hii.. kaeni mbali na huu 🔥🔥🔥
dizasta anaweza kumbadili fid akawa sagna sasa rapcha atakua nan?
@@jackumeme8373 Mtazamo wangu atakuwa ZUCHU🤣🤣..maana fid nae ni ngumu kitambo alegezwe kuwa sajna rapcha atageuzwa hadi jinsia🤣🤣
Rapcha awe belle 9🤣🤣
@@jackumeme8373 daaah sjui hata umefkiria nn
@@stevemwachi254 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Serikali yetu ingetenga kipindi kimoja madarasani zipigwe ngoma zako tuuu naisi tungekuwa mfano wa kuigwa na dunia
Ni kipindi cha dk 8 sekunde ya 27📝📌🔥# GREAT DIZASTA VINA ✊🏿
mimi nimemfaham dizasta kupitia rapcha mabifu yanasaidia kumbe
Kuna mtoto kakuchokoza mkuu motra the future anautaka moto !!🔥🔥✅
Humu ndani yamepigwa mawe siyo ya dunia hii,msamehe tu dogo alitereza tu mzee wangu
Hiyo inaitwa kusa unaswe
Ata sisi wenyewe mtaani tunakutana na challenge Kubwa tunavumilia tu
@Dizasta best hip-hop Tz
Unajua xan bro vina kama vina
Muziki mgumu huu kuelewa. Respect sana Dizasta
Dizasta bro hii ngoma ilikuvusha ligi kubwa ikakupeleka ligi special uliua sana mwamba hapa niliproof u are the best beast iko siku watakuelewa tu niamini
Tanzania 🇹🇿😍
Kuchagua BEAT PIA ni BLESS
Rapcha alilikoroga...hii kapigwa kwenye kila mshono lazima ainame na kusikilizia maumivu😅😅😅. Nilikua namkubali Rapcha ila kumdiss Vina imebidi nimpunguze kwenye favorites.
Dizasta, take a bow brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Gia ya chini ya ufundi wangu
*1 Flow’s 100%*
*2 lyrics 100%*
*3 Rhymes 100%*
Jamaa anasound kama kagdo.. hana style hana flows..
Ila beat kama ya ..Nobody is safe 3..ama
@@totojinga2795 yan ata hazifanan we jamaa disaster hajawai kurudia beat...mi nawashangaa wanaosema nymbo zake beat lile lile....tatzo watu wanaskia ila hawamskiliz mshkaj ni 🔥🔥
P hajakuambia ...Game jela... sio daycare
Sikuwahi kua shabiki kindaki ndaki wa huyu mwamba ila Kwa hili me nishabiki ako namba Moja kwanza kitu nilichopenda kwenye dis track
Umeonesha uwezo
Alafu pia humu Kunalaza
Pia huja dis mtu umemuelimisha chalii
🔥🔥🙌🙌
True definition of rapper sio awa wase** wanaoimba sauti za kike na kufuga nywele kama wachumba ..
KIKATILI NAKILL MASTANZA ..
Other people are different from the rest of us because they are genius. You will be up forever Dizasta
4
Bro yule mtoto mdogo tu akuwezi kaka umetisha sana 🔥 🔥 🔥
PROTECT DIZASTA VINA AT ALL COSTS WE CAN'T LOSE THIS LEGEND ✊🏿
Kama Fid Q kamuweka namba 2 kwenye playlist na Rapper of all time, sisi tubishe ni nani, dizasta ana madini bana
Mwanangu Edgar unaReflect sana maisha halisi🙌🔥
We ndo ulinifanya nipende kusikiliza hiphop na sijutii ur the real G.O.A.T 🙌💣💥
Nimerudi kuiskiza tena ...hapa..baada yakuskiza ..ngoma ya Motra the future( Sisi sio marafiki)..lakini bado...haiwezi fikia Best friend ya king Dizasta Vina🙌🙌🙌
Oy huyo dogo anazingua mpe jiwe jingine
mara ya mwisho, pigo kama hili alipigwa lil pump baada ya kumgusa J cole (1985)🔥🔥🔥
"wekeza ujikimu"
"futa candy crash kwenye simu"
"wenzio walinijadili wakavua tai" Dizasta
Sikupingi mzee👊👊
😁😁😁🤣🤣🤣
Tuko tofauti ka sigara na tumbaku so ukiniletea chuki hiyo ni ishara ya upumbafu 😁
DIZASTA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unatisha sana vina Natamani kuwa kama ww
Oyaaaa mwamba vina unajua mpk unakeraaaa💪
Noma sanaaa tunakubali wote dunia nzima
Tumpe maua yake akiwa hai maua hayatamsaidia kitu akiwa mdani ya jeneza...heshika sana D mwanangu nakukubali ile ile nna ngoma zako zote asee kila ukichapisha napitia hilo chapisho lako hongera sana🤝
Ngoma zako uchoki kuzisikliza ngoma best friend ngoma Noma Sana mwana anajua
Vina ni Eminem mwingine battle yake ni ya sayari nyingine ......Salute My G...
Daaah hili darasa sio battle!
Black Maradona🙌
Mtoto amepigwa rabona👏👏👏
😂😂😂Panenka iliyotukuka
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂daah
Salute sana kwa hii talent ..
Kuchana 8minutes is not for everyone
"Kaza ndonga una deal na ma senior...."
Dizasta get the crown we ni king mzee wangu 😂 mtoto ameunyea mkono tunaukata kabisa 🙌
Mtoto ame beep huku..... Hebu mpigie
Mafanikio si lazima approve Mtu 💪
2pac wa bongo ni dizasta vina 🔥🔥🔥🔥🔥💯like 2pac like mangwair 🔥🔥🔥
Japo sikuji kuji mbele
Na sisukisuki nywele
Na sifugi fugi upele
Na situpitupi mchele
Sifagilii mananilii machupi chupi tele
Am your bestfriend