KIGOGO AFICHUA | MWENDOKASI BONGO FULL KIYOYOZI, KAHAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 май 2024
  • DAR ES SALAAM: MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Dk Athumani Kihamia amesema wapo mbioni kuleta mabasi ya kisasa zenye huduma bora na za kisasa ambayo yatahusika katika safari ndefu na za moja kwa moja kwa gharama za tofauti na ilivyozoeleka.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Комментарии • 6

  • @rickazi
    @rickazi Месяц назад +3

    So sad.. Dailynews inaandika headline isiyo endana na habari yenyewe. Kigogo afichua? Mwendokasi Bongo full kiyoyozi? Na cover photo ambayo siyo part ya story 😢😢😢

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 Месяц назад

    Ziara ya nn na mradi wamesha uuza...mbwembwe tu...

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 Месяц назад

    Kwa hiyo tofauti ya operation between mbagala na gongo la mboto ni mwezi moja tu

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc Месяц назад

    Hamna mpango eti “tumewaongezea muda mpaka March “ yaani miezi 10 !

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 Месяц назад

    Hiz siasa hiz eti 98.9%...

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io Месяц назад

    YOTE MNATAKA KURA TU ,