ROC Worshipperz Ft Elia Mwantondo - Bwana Amenitendea (Live Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 22 янв 2025
- Biblia katika Kitabu cha zaburi 136:23 inasema aliye tukumbuka katika unyonge wetu kwamaana fadhili zake niza milele. MUNGU natukumbuka kwenye nyakati ngumu na Ana toponya nakutufuta machozi.
Roc worshippers @rocworshipperz tumekuja na wimbo wa kuya kiri matendo makuu ya MUNGU Kwetu na wewe tuna Amini umetendewa mengi na MUNGU wimbo huu ukawe ni sifa Kwa MUNGU .
CREDITS:
Musicians :
Main keys : Maestrokeys.
Aux keys : Kepha mdeme
Pads: Jem's keys
Bass guitar: official_jpkaz
Solo guitar 1: Benjamin_kaz(Music director)
Solo guitar 2: John wagala
Drummer : Baraka ngowi
Percussion: Frank
Song composer: @zamoyonialexofficial8738 (Zamoyoni Alex)
Venue: Reality of Christ Church
Video directed by: ROC MEDIA (Adam wa pili)
Audio Captured by : Mitchell_mike_jr
Sound engineer: Mitchell-Mike_jr
Audio mixing & mastering by : (Baraka Ngowi)
Producer : (Baraka Ngowi)
Backline: Sound Solution SSI Africa
Light: Joram
Decor:Denis Decor
Wenye Ushuhuda wa kutendewa na Bwana waseme Amen.! Mimi nashukuru kwa kupata Neema ya kuimba na hawa watumishi wa MUNGU.!
Ubarikiwe sana kakangu Mungu azidi kukuinua
Barikiwa Mtumishi
Bro you're a blessing to many.... you're my mentor too... please pray for me I want to be a great servant of God too!!!
Wimbo mzuri sana
Bwana amenikumbuka Huu mwaka jamnaii
Kwangu, huduma ya Reality of Christ (ROC) ministry imekuwa baraka sana kwenye maisha yangu kupitia Kanisa, Agape Gospel Band, ROC worshiperz na ROC TV hasa kpindi cha Sauti Therapy. Mungu azidi kumbariki mbeba maono wa ROC ministry, Pst. Sanbella Kyando.
Haleluyaaaaa🙌🙌🙌RoC Worshiperz hamnaga mbambamba kwny swala zima la kumsifu Mungu...chukueni maua yenu🎉🎉🎉
Kuna worshipers wengi, halafu kuna ROC WORSHIPPERZ, zingatia herufi za mwisho, mnafanya vizuri sanaa, hakika nimemuona Mungi akinitendea mambo ya ajabu sana, nashindwa hata kueleza , wonderful song, na miziki imelia sana, Mbingu zimefunguka
Hongereni kaka go 🔥🔥
🎉honger Kwa ndoa
Musicians maua yenu 👏👏👏
Nomaaa sana ❤
alooo huu wimbo 🙌🏽🔥🔥
Roc mnainuka sana..huu wimbo ni wa Juu Sana. Tanzania one thing you're unique with ni mavazi muonekano wenu unasukuma mziki wenu sana. Bassist apokee salamu, Solo 1and 2 wako fireeee 🔥. Keyboards pia mmeongezaa hatua kwa hatua huku Kenya 🇰🇪 mmnapendwa sana
Roc Mnatisha mungu aendelee kuwatia nguvu ktk huduma hii yakumtukuza yesu alie hai.
Bwana amenitendea amenikumbuka barikiwa sana kwa wimbo
Dah! Hii kitu ya motooo mnooo.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. The Chemistry aiseee; JP, BNgowi, BenjaSolo.....ni balaa.....🙌🙌🙌🙌
Yaani kama mwenzangu na mm apo anataman apate na bia maana twanga pepeta ikasome
🔥 🔥 🔥 kweli Amenionea Huruma...Ahsante Bwana
Band hiii wamama mzidi kuva vizuri msiwe kama hawo wengine kuva makola namapantalo kumazabahu nasio halali nichukizo kwa bwana
Blessed the way you wanted 🙏🙏 representing 🇰🇪🇰🇪 toleka💃💃💃this is 🔥🔥🔥🔥
Am blessed with you guys
Huku ndiko napendaga, merci
Please put on your dizzer account we like this work
Bwana amenikumbuka eeeee🙏
Agape Gospel Brand na ROC worshipers wanafanana
Sababu wapiga vyombo wengi ni wa kutoka Agape (Baraka Ngowi drummer, JPbass, mpiga lead guitar ambaye ndiye MD wa Agape na Maestro anayeimba na Eliya
sa unakuta mtu kaend kweny ibada kama hivyo akimaliz hapo huyoo anaingia zake kweny ulevi na uzinifu na masengenyo mwili mzima sasa najiulizaga si bora tu angepitiliza huko huko juu kwa juu ss hapo aliend kufany nin?? MUNGU atusaidie sisi wanadamu
Great mixing bngowi
Mambo ni 🔥🔥
Kwakweli.....Hilo sebene hatar
kazi nzuri sana Mungu awatiye nguvu
Huku msumbiji tunabarikiwa sana Rock woshiper we love you guys
Receive your flowers for this wonderful music.This is truly excellent.🎉🎉🎉🎉🎉🎉.So much love from Kenya 🇰🇪.
The AGB band is extraordinary. Wanapiga mziki kama malaika
Mbarikiwe sana, mnakuwa sababu ya watanzania kubaeikiwa 😇🙏🙏
I don’t know how many times I listen to this song in a week 👏👏👏💃💃💃
Hii moto sanaaaaaaaa🎉 My heart is full of joy nasikiza hii ngoma Kila time.. MUNGU awabariki
Mixing ya kikubwa hii hongera mdogo wangu Ngowi
Mixing ni top notch ...... @bngowi 💪🏾💪🏾💪🏾
Mnoo
Kazi njema sana hii
Ameen
The back and the instrumentalists for me🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Good job guyz
Hamna kazi hapa😏
Safii
🔥🔥🔥 absolutely powerful 🇰🇪🇰🇪
Indeed you deserve congratulations guys
😊😊 Amazing 😻 🔥
Wao good song
Amen 🙏
The song is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good melody, good rythm, God bless you..
Wapi mororo
This is more than a praise
Hallelujah glory to God
Moto ni mkali
👌🙏💥
🔥🔥
jouer avec Jésus
Intro 🔥
❤❤❤❤🎉
❤❤❤
be blessed 🙏
❤
🔥
moooooooooooto!!!!
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🔥🔥🔥
'Promo SM' 🤔
Amen 🙏
❤❤