😭😭😭 Huu wimbo umeniliza nkikumbuka jana yangu ilivyokua na giza ila kwa NEEMA YA MUNGU leo yangu imekua yenye mwanga,,,HAKIKA YEHOVA UMENITENDEA MEMA NA NITALISIFU JINA LAKO DAIMA
naukumbuka huu wimbo uliimbwa jumapili ambayo niliamua rasmi kujiunga na hili kanisa na kuwa mshirika, that day nlitamani ibada iendelee ata masaa 2 zaidi, it was an amazing service🔥🔥 Mungu aibariki team nzima ya kabisa la Reality of Christ 🙌🏼
Asante sana Danny wetu Kwa nyimbo nzuri ❤
Kenyans🇰🇪 around gonga like hapa🔥🔥🔥
Hakika Amenitendea Wema
Congrats ROC WORSHIPPERZ & Daniel Bahizir and All musicians
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😭😭😭 Huu wimbo umeniliza nkikumbuka jana yangu ilivyokua na giza ila kwa NEEMA YA MUNGU leo yangu imekua yenye mwanga,,,HAKIKA YEHOVA UMENITENDEA MEMA NA NITALISIFU JINA LAKO DAIMA
MBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU KWA WIMBO MZURI,NMEKUA SHABIKI WENU TANGU WIMBO WA MWAMBA NI YESU,NABARIKIWA NIKIWA KENYA
naukumbuka huu wimbo uliimbwa jumapili ambayo niliamua rasmi kujiunga na hili kanisa na kuwa mshirika, that day nlitamani ibada iendelee ata masaa 2 zaidi, it was an amazing service🔥🔥 Mungu aibariki team nzima ya kabisa la Reality of Christ 🙌🏼
Hakika amenitendea wema
What a wonderful song🥳🥳🥳 Praise the Lord
God bless this team. I feel so blessed. Thank you, Daniel. Amenitendea wema, Bwana.❤
Amenitrndea wema bwana siwezi mimi kueleza❤❤❤
Really blessing ❤️..Mungu anaweza yote na atakutendea zaidi na zaidi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amenitendea mema Bwana MUNGU siwezi kueleza❤❤❤❤
Amen, mubarikiwe zaidi maana mwatubariki sisi washirika wa madhabahu ya Mungu
🔥🔥🔥
You have done me well Lord. Thank you🙌🙌
You are very welcome
🥳🥳🥳 leo imefanyika mwanga
Blessings 🥳
I have been waiting this song for si long 🎉
I so blessed with this song,,,Mungu awabariki sana
Glory to God
❤❤❤❤
Ameeen
Ameeeen
🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
Where is this group based?
Reality of Christ Church,Dar es salam,Tanzania
🔥🔥